BEFORE I MEET YOU 💔 { 23 }

  Рет қаралды 70,580

Donta Plus

Donta Plus

Күн бұрын

Пікірлер: 536
@TabithaRange
@TabithaRange 5 күн бұрын
Suzi mie kweli sijafarahia vile umefanyia Lisa,,mimi sijawai pata like
@JennyRenald
@JennyRenald 5 күн бұрын
Marafiki wenyewe ndo Kama Suzi ndomaana hata sifagilii kuwa na Marafiki😏😏😏
@rosemarymtatiro
@rosemarymtatiro 5 күн бұрын
Ila Suzy una tabia mbaya hata kama ni movie inaonekana hata katika maisha ya kawaida una tabia mbaya cha kumywesha mwenzio pombe halafu pesa unapewa wewe
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 4 күн бұрын
😂😂😂😂
@FlorenceTuyisenge-m2e
@FlorenceTuyisenge-m2e 4 күн бұрын
Kabisa
@CATHELINIRAPHAEL
@CATHELINIRAPHAEL 5 күн бұрын
Nan haujapend tabia ya Amina aliyomfanyia Lissa kam me
@Teresia-vk1wh
@Teresia-vk1wh 5 күн бұрын
Amina sio rafiki kabisa😢😢
@Pat139enZaeadic
@Pat139enZaeadic 5 күн бұрын
Aaahh we acha tu amenishinda tabia 😂😂
@EvalineMollel-py7fc
@EvalineMollel-py7fc 5 күн бұрын
Tabiaa mbaya Sanaa 😢😢
@Violethsoory
@Violethsoory 5 күн бұрын
Hii ni movie lakin Kuna kitu Cha kujifunza ndo maan Huwa spendi marafiki ona sasa rafiki gan huyuuu
@KILESHOJNR.001
@KILESHOJNR.001 5 күн бұрын
Huyu Amina/Suzi n mshenzi sana wallah 😂
@fatnaharerimana2030
@fatnaharerimana2030 5 күн бұрын
Yaani huyu amina namchukia jameni rafiki kama amina nikija kukugunduwa nakuuwa hakiyamungu daaah amenikwaz alafu liss kw ulofa mwing ananitia hasira we acha tu anaeelewa kama mimi anipe like zangu hapa
@jamilashabani8580
@jamilashabani8580 5 күн бұрын
tuna mchukia kwn Lisa siaende nyumbn kwani akili kashikiwa
@jamilashabani8580
@jamilashabani8580 5 күн бұрын
Amina ana Roho Mbayaa kama itakuwa no tabia yake
@NasraIbrahim-dw1hr
@NasraIbrahim-dw1hr 5 күн бұрын
Suz mchenzi anamkandia jalufu et malomac
@Ncdthebigmind
@Ncdthebigmind 3 күн бұрын
Mimi pia sipendi huyu dada na anakaa hivyo ndio alivyo
@JacklineTotito-rh3im
@JacklineTotito-rh3im 5 күн бұрын
Najifunza kitu akuna rafiki wa kweli kwa hii Dunia
@viviankemunto4435
@viviankemunto4435 5 күн бұрын
Mungu ndio rafiki wa kweli
@MariaSalim-u5z
@MariaSalim-u5z 5 күн бұрын
Kabisa
@erickndunguru1824
@erickndunguru1824 5 күн бұрын
Rafik wakwel n uchi wako tu
@SabinaSulley-x7v
@SabinaSulley-x7v 4 күн бұрын
Mungu wangu niepushe na marafiki kama suzy
@JastFinancial02
@JastFinancial02 4 күн бұрын
Usiringanishe TABIA zako na wengine kama wewe so RAFIKI wa kweli ni wewe ko adi kelvin sio rafik mwema
@FadhilaElisha-t4k
@FadhilaElisha-t4k 4 күн бұрын
Amina najua nikazi kipnzi siwezi sema unatambia mbaya Mamy,kwakuwa kiongozi wako ndo kakuambia uchukue huo uhusika
@JastFinancial02
@JastFinancial02 5 күн бұрын
Wangapi wanaomkubali kelvin loveness na boni kwenye hii drama tutambuane ❤🙏🤲
@SylvainMuvunga-o3w
@SylvainMuvunga-o3w 5 күн бұрын
Wakwanja tena Léo nipe liké zenu wa Congo ❤❤❤
@GhaniaNasser-d9p
@GhaniaNasser-d9p 4 күн бұрын
Sijapenda tabia ya Amina kwakweli ukiwa na rafiki wa hivi mueExit mapema mnooo
@AishaGovi
@AishaGovi 2 күн бұрын
Ila Suzy jamani haujafanya poa kabisa 😢 sijapenda
@ElvinaElvina-qi9kb
@ElvinaElvina-qi9kb 5 күн бұрын
Waa inamafunzo san hii movie kwli kikulacho kimwako nguoni😂😂😂🎉🎉🎉much love guys
@mankinishee
@mankinishee 5 күн бұрын
Tunajifunza nambo mengi sanaa kupitia filamu zenu
@RakhaniahAshraphu
@RakhaniahAshraphu 5 күн бұрын
Hlo nisomo ktk haya maisha tuishi kwa kumcha mungu tu mana Hakuna wakuamini pesa 😢😢
@SyombuaMuvengei
@SyombuaMuvengei 5 күн бұрын
Im there from kenya 254..🇰🇪🇰🇪🇰🇪..akika wewe lissa unajitakia matatinzo mwenyewe anae kumalinza yuko karimbu yko funguamacho hila utakua umechelewa nakuonea uruma daah😢😢😢😢😢
@NeemaBandika-i3u
@NeemaBandika-i3u 4 күн бұрын
Kweli kabisaa Lisa be wise and think twice ...from kenya 🇰🇪
@ampermumoh4
@ampermumoh4 4 күн бұрын
Huyu Amina kwa muonekano wake ni dhahiri hata katika maisha halisi ni snichi
@JosineNiyikigongwe
@JosineNiyikigongwe 5 күн бұрын
Amina wewe unaroho mbaya
@rahmamohammmedy6169
@rahmamohammmedy6169 4 күн бұрын
Suzy suzyyyy😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢duhhhh kunapoelekea ntakufata huko huko nkutiw makofii😂
@عائشة-ذ9م
@عائشة-ذ9م 4 күн бұрын
Courage ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@DeboraIlomo
@DeboraIlomo 5 күн бұрын
Suzy we nimuuaji Tena ni uhalisia wako wewe ndivyo ulivyo
@winniemwaka3202
@winniemwaka3202 5 күн бұрын
Amina ww si rafiki mzuri kbs
@viviankasena
@viviankasena 5 күн бұрын
Pia mm naomba like ju naona watu wakiomba kweli 😂😂
@ChristineMaloba-hk9je
@ChristineMaloba-hk9je 5 күн бұрын
Acha kubishana na sisi😂😂❤
@jamilashabani8580
@jamilashabani8580 5 күн бұрын
Amina SUZI punguza Basi Umbea Na roho Mbayaa una haribu MV Ww KWA ROHO MBAYA NA UMBEA
@MariadaudiMazengo
@MariadaudiMazengo 4 күн бұрын
Mmh watu wanapeana like Kwa kujuana
@MaryamIsmaeel-v3i
@MaryamIsmaeel-v3i 5 күн бұрын
Tabia ya suzi sijaipenda
@GraceThoya-u7d
@GraceThoya-u7d 5 күн бұрын
Dada Lissa hyo Amina alkuuza Kwa Mr d alkula pesa hyo rafki wako mnyama sana ❤❤
@Sundaymgandi
@Sundaymgandi 2 күн бұрын
Suzy n mnyama walai 😢
@OmanOman-y7z
@OmanOman-y7z 5 күн бұрын
Pole lissa kwa kuwa na lafiki mnafiki jamani 😢😢suzi unatabiya mbaya Sana yani wewe sio lafiki ila muwaji 😂😂 asante kwa mafundisho munayo tupatia kwa kilasiku vipenzi😢😢😢🎉🎉❤❤
@Susankhaemba-h3l
@Susankhaemba-h3l 5 күн бұрын
Amina n rafiki mbaya sana sana tena sana🎉🎉🎉
@VeronicaMabonga
@VeronicaMabonga 5 күн бұрын
Kikulacho ki nguoni mwako😢😢,,,umdhaniae ndiye siye💔
@FrancineZuwena-t8v
@FrancineZuwena-t8v 5 күн бұрын
Wangapi wana tamani mimba ya Lisa iharibike ili wahowane na jarufu
@olicej7837
@olicej7837 5 күн бұрын
Mimi no moja na aachane urafiki na masuzy😂😂😂
@TabuBaya-mr4lx
@TabuBaya-mr4lx 4 күн бұрын
Mungu alinde watoto wetu wasiweze kupata rafiki wabaya kama suzi
@Sundaymgandi
@Sundaymgandi 2 күн бұрын
Kabsa 🙏🙏🙏 bayeee
@Katele-v8o
@Katele-v8o 5 күн бұрын
❤❤❤❤îla uyu sio rafiki muzuri
@NgalaMchombo
@NgalaMchombo 5 күн бұрын
Kutoka Kenya likes zenu 🇰🇪🇰🇪
@HusseinChangawa-h7g
@HusseinChangawa-h7g 5 күн бұрын
Mwisho wa ubaya ni aibu...Amina unafki utakua ni kipaji chake...lissa akiachwa Amina atamuoa labda acha tuone mwisho itakuaje
@aishalovesesibe
@aishalovesesibe 5 күн бұрын
Amina rafiki mubaya sana namuchukiya Suzi kikuracho😳🤣❤️🤣🤣🇧🇮🇸🇦
@fafabelkiss1349
@fafabelkiss1349 4 күн бұрын
Amina unamfunza mwezako tabia mbaya hatukipendi hatakidog
@SilvanusMwijage
@SilvanusMwijage 4 күн бұрын
sasa
@MichaelMtalula
@MichaelMtalula 5 күн бұрын
1 nimmi naomba like jaman
@isayatimoth1867
@isayatimoth1867 5 күн бұрын
Mbona jamani nyie ni WA kwanza tu Basi mm nimechelewa nimeni like 😂😂
@ChristineMaloba-hk9je
@ChristineMaloba-hk9je 5 күн бұрын
Za nn😂😂
@Saumu-p8v
@Saumu-p8v 5 күн бұрын
Suzy so rafikiii mwema ata move inafundisho sana kwa waelewa wameeelewa
@mirajinabaswa2492
@mirajinabaswa2492 4 күн бұрын
Kwa sababu ya Suzy mapenzi na marafiki shikamoo
@N.Euphrem
@N.Euphrem 5 күн бұрын
Nic movie mi wa 204 naomba mu likes m jaman from Burundi 🇧🇮 Tanzania Kenya
@mankinishee
@mankinishee 5 күн бұрын
Hongereni kwa kutoa kazi kwa wakati🎉🎉🎉
@MilcahKawaza
@MilcahKawaza 5 күн бұрын
Suzi mnafiki ww nmekuchukia kwa ulichomfanyia lisa
@NasraIbrahim-dw1hr
@NasraIbrahim-dw1hr 5 күн бұрын
Lisa toka hapo huyo mchenzi anakuvulugia mapenz yenu na jalufu kaz iko vema ❤❤❤
@brycutemwende
@brycutemwende 5 күн бұрын
Namchukia Amina...sio rafiki mwema
@ElizaLiz-rg8xq
@ElizaLiz-rg8xq 4 күн бұрын
Kikulacho ki nguoni mwako 😢😢
@aishaaisha1485
@aishaaisha1485 5 күн бұрын
IIH MOVE INABOA SAII ,NIULIZE TU KISTARABU UYU LISSA ANA KWAO SAZOTE ANAONYESHWA TU KWAIYU MSALITI UUU NIUJINGA SASA MTATULETEA
@ZadatuOmari
@ZadatuOmari 4 күн бұрын
Amin we nirafik mbya sana sijapenda ulicho mfanyia mwenziy
@BarakaSenior
@BarakaSenior 3 күн бұрын
Marafi wanafiki,, Rafiki ni Yesu tu
@MaryMmole-en9qz
@MaryMmole-en9qz 5 күн бұрын
Mungu usinipe rafiki kama suzy jmn jmn
@alharithadam4532
@alharithadam4532 5 күн бұрын
Mimi pia
@AminaAlly-v7e
@AminaAlly-v7e 4 күн бұрын
nitampgaa nimuwe mm sitocheka na kima
@rosedzuya6869
@rosedzuya6869 4 күн бұрын
Huyu suzy a.k.a Amina sijampenda movie za Donta TV zote yaani msaliti tu, yuanikera yaani.
@Mikeys-m9w
@Mikeys-m9w 5 күн бұрын
Mungu Niepushe na Ma Suzy Wengine 😅😂😂
@olicej7837
@olicej7837 5 күн бұрын
😂😂😂😂😂masuzy mapumbavu sana😂😂😂
@glorymanga3650
@glorymanga3650 3 күн бұрын
Ilaaa Aminaa anajua sana kuigiza hongera nyingi kwakee❤
@BertilleBertin
@BertilleBertin 5 күн бұрын
Nimewahi jamani kutoka Burundi🇧🇮🇧🇮 nawapenda
@NarokaMshana
@NarokaMshana 4 күн бұрын
Huyu Suzy amenichosha ana tabia mbaya sana.inaonekana hata kwenye maisha yake ya kawaida ndivyo alivyo...
@MariaSalim-u5z
@MariaSalim-u5z 5 күн бұрын
Yaani suzy na mr d nawachukia kabisa hata kuliko shetani
@makadiriisihaka964
@makadiriisihaka964 4 күн бұрын
Ila suzy Nakupenda unajua kuigiza uhalisia ,,😘😘😘
@JoeriaAbdallah
@JoeriaAbdallah 5 күн бұрын
Huyo si rafiki mwema kwko lovenes😮
@pendochacha1326
@pendochacha1326 5 күн бұрын
Wa 21 aisee niliisubiliiii🎉🎉🎉🎉 mnoo
@isaackpeter5223
@isaackpeter5223 5 күн бұрын
Mm nipo upande wa Mr D,we beba mzigo huo chapa kabisa😂😂
@mkacibeiib7278
@mkacibeiib7278 5 күн бұрын
yani amina uko tayari kumua mwezko kisa ni pesa duuu sio kwa udugu huo jmn 😅😅😅😅😅😅 marafiki kama waa noma😢😢😢😢
@LeilaAbdi-p4i
@LeilaAbdi-p4i 5 күн бұрын
Amina ako na roho yakikatili jamani hii yatufunaza kuwa makinisana na marafiki hao ndio nyoka baadae siri yako baki nayo wanangu ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
@SarahChombo
@SarahChombo 4 күн бұрын
Suzy hata maisha yake yakihalisiaa uko hvoo kabsaa
@EliasRafaelGacia-o6d
@EliasRafaelGacia-o6d 4 күн бұрын
Suzi sio lafiki nzuri🇲🇿🇲🇿🫱🫲
@AgnesKahayi
@AgnesKahayi 5 күн бұрын
Amina sijapenda ulivyomfanyia love tangu mwanzo sijawahi kukoment ila imenibidi nicoment
@DamarisdhahabuDamarisdhahabu
@DamarisdhahabuDamarisdhahabu 4 күн бұрын
Waomba huyo shetani ndiyo Akulinde
@NahimanaMariamu
@NahimanaMariamu 5 күн бұрын
Wewe mwanamke nishetwani rafiki mnafki afaiurafiki kabisa nakushukiyawwemdada
@TatuMkeso
@TatuMkeso 5 күн бұрын
Amina kiboko na hy character unaichezea hak
@MelinaMerlins
@MelinaMerlins 4 күн бұрын
Amina hii ni ishie kwa movie isiwe ndoivo ulivo
@MamuShkan
@MamuShkan 5 күн бұрын
Nipeni likes na mm 😂😂😂 sijui ata kazi
@MatherShedrack
@MatherShedrack 2 күн бұрын
Aminaa acha roho mbaya mwambie ukwel mwenzio umemuwekea dawa za kulevya
@RebeccaKayira
@RebeccaKayira 4 күн бұрын
Suzy rafiki mubaya sana tena muongo
@EmanueliDanieli-t4h
@EmanueliDanieli-t4h 5 күн бұрын
Namchukia sana Mzee kama mr D na rafk mbaya kama suzy namwomba mungu aniepushe na watu wenye laana kama hawa
@NaomiMsagwa
@NaomiMsagwa 5 күн бұрын
Suzy mbeya sana 😅
@AnnaKimario-h2w
@AnnaKimario-h2w 5 күн бұрын
.unaweza kua narafiki mnamfiki kama Suzi Bora kuwa na maadui miaa Moja ukiwa unawajua
@AishaRashed-m5o
@AishaRashed-m5o 5 күн бұрын
Jamaan wadau Amina au Suzi ananikera San rafiki mnafiki huy👈👈👈👈
@EmanueliDanieli-t4h
@EmanueliDanieli-t4h 5 күн бұрын
Lisa na we ujinga mwng sana unashndwa kujicontrol acha kupelekeshwa na suzy
@jeromekyaba2449
@jeromekyaba2449 5 күн бұрын
🎉🎉 Dr Congo tuna wapenda pamoja na kazi zenu❤
@HabibaKhamisi-xo8tz
@HabibaKhamisi-xo8tz 4 күн бұрын
Duuh🤔🤔 Yaan Naingia Saiz Usiku Sijuwi Kama Ntapata Hata Like👍 Zenu Maan Watu Ninyomi Humu Ila Nawapenda❤❤
@JescahJuma-ts2dj
@JescahJuma-ts2dj 5 күн бұрын
Ila Suzy sio rafiki mwema kabisa
@DorkasSanga
@DorkasSanga 5 күн бұрын
Yaan amina unaonekana ndo tabia zako za uhalisia haiwezekani kila movie unacheza una roho mbaya na unafanana nayo kwa kwel unakera 😏😏
@selinakatega6691
@selinakatega6691 5 күн бұрын
Waaaooo nimekuwa wa kwanza oyeeeee
@EvelineAdrew-vp3fx
@EvelineAdrew-vp3fx 5 күн бұрын
Wa kwanza leo naomben ❤ bas
@SalibokoFeruzi
@SalibokoFeruzi 5 күн бұрын
Nina muchukiya Amina kupita kiasi😮😮😮😮😮😮😮😮😮
@Dk-Tz
@Dk-Tz 4 күн бұрын
Ifike hatua suz afe tu maan kila ep anazid kunikela,. Au kam kuna uwezekan atolew 2. Tubak na loveness wetu😢respects sana DONTA TV 👍🏾
@LeylaMetusela
@LeylaMetusela 4 күн бұрын
😂😂😂😂😂nimecheka mm😊
@JOYCEMKAMBE
@JOYCEMKAMBE 5 күн бұрын
Hii movie inaboesha ikiwa amina habadiliki
@SaraChando
@SaraChando 5 күн бұрын
❤❤❤❤wakwanza leo
@AdejaAhmad-uq4wj
@AdejaAhmad-uq4wj 5 күн бұрын
Huyo amina sio rafiki mzuri kwa loveness
@YalerdNgwira
@YalerdNgwira 4 күн бұрын
Amina ni zaidi ya shetan
@AseleRamazani
@AseleRamazani 4 күн бұрын
Wapi Julius jmn nimemussss ❤❤❤
@SarahMungure-v9o
@SarahMungure-v9o 4 күн бұрын
We Amina mwanaharamu una mhuza mwenziyo kweli
@MupendaNadine-w5m
@MupendaNadine-w5m 4 күн бұрын
Yani Amina anaroho mubaya kama sura yake. Simupendi kwenye filamu zotee uwaga simupendi
@VirginiaMwikali-hb3sn
@VirginiaMwikali-hb3sn 4 күн бұрын
Suzzie ni rafiki mnafiki sanaa
@GladysAntoni
@GladysAntoni 3 күн бұрын
Ila ulafiki kama huu siuweze kabisa bolatu nikhae pekeyangu bila lafiki😢😢😢😢
@SarahMungure-v9o
@SarahMungure-v9o 4 күн бұрын
Pole love achana na huyo Amina siyo mtu kabisa
@fatumajumakombaikokombaiko8788
@fatumajumakombaikokombaiko8788 5 күн бұрын
Leo nasoma comment ty ❤nawapnda nyote watazamaji wenzngu
@BERTIUSSS
@BERTIUSSS 5 күн бұрын
Sio vizuriii 😢😢 nanii kasema zailisaaah 😅
@agathaKamuya
@agathaKamuya 5 күн бұрын
Amina ni rafiki mnafiki ,saaana.
@nahimanawanjani9865
@nahimanawanjani9865 3 күн бұрын
Ww suzi uko mshezi sana unapenda pesa
@KahindiNyevu
@KahindiNyevu 4 күн бұрын
One day one time lesa siku Moja atajua Amina si rafiki mzuri sijui atafanyaje
BEFORE I MEET YOU 💔 { 24 }
37:23
Donta Plus
Рет қаралды 79 М.
JINI KISIRANI_EP04
16:14
LIKOMA
Рет қаралды 28 М.
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 30 МЛН
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН
BEFORE I MEET YOU 💔 { 25 }
24:36
Donta Plus
Рет қаралды 72 М.
Maua Sama feat Jay Melody - Nitampata Wapi (Visualiser)
3:29
Maua Sama
Рет қаралды 403 М.
BEFORE I MEET YOU 💔 { 22 }
24:36
Donta Plus
Рет қаралды 88 М.
LOVE WITH BLIND BOY 😎 | S2 EP 4 |
31:57
ANU SMILE 🤑
Рет қаралды 9 М.
BEFORE I MEET YOU 💔 { 20 }
21:25
Donta Plus
Рет қаралды 84 М.
BLACK DAY  |6| #Kakoso
19:29
DIRECTOR KAKOSO
Рет қаралды 2,9 М.
DIAMOND ALIVYOMLETA RAIS SAMIA UWANJA WA JAMHURI, MIAKA 48 YA CCM
3:27
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 30 МЛН