BEHIND THE SCENE: ONA DUBE ALIVYOREKODIWA NA VIJANA WA YANGA KWENYE UTAMBULISHO WAKE.

  Рет қаралды 119,267

Yanga TV

Yanga TV

Күн бұрын

#timuyawananchi #daimambelenyumamwiko

Пікірлер: 293
@michaelchiza6795
@michaelchiza6795 3 ай бұрын
Kwa usajili huu Matola na Mgunda msikae mbali soon mtaitwa mmalizie ligi😂😂😂kama unaamini weka like yako apa
@ngoyaboy1590
@ngoyaboy1590 3 ай бұрын
Hahaha wasjee wakasafiri wakaenda mkoan
@Stevmwamba2090
@Stevmwamba2090 3 ай бұрын
Acha kuongea ukwel
@AllyJofrey-mg6ri
@AllyJofrey-mg6ri 3 ай бұрын
Afu wana anza GSM amewekeza timu nyingi
@mariamjuma1670
@mariamjuma1670 3 ай бұрын
😂😂😂😂mbavu zng awachelewi kufukuza kocha wakila 10 safi
@ndahanisimon6817
@ndahanisimon6817 3 ай бұрын
😂😂😂😂
@dallovision
@dallovision 3 ай бұрын
Hongera sana kazi kubwa inafanyika mnastahili kuwa ktk club kubwa
@halimasawa611
@halimasawa611 3 ай бұрын
MashaAllah dube yuko n furaha wallah❤me nilikua nikithamn dube acheze yanga Alhmdhulillah ndoto yangu imekamilika Allah atujalie maisha marefu n baraka tuzidi kuona mafanikio ya team yetu pendwa
@RiskaPoyo
@RiskaPoyo 3 ай бұрын
Karibu sana tem ya wananchii Prince dubeeeee
@selemanmcharazo
@selemanmcharazo 3 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉 hivi hivi Ili Azam wasituchukulie poa kurubuni wachezaji wetu,aah hii nimeipenda fantastic kubwa kuliko.
@Evance-op4jw
@Evance-op4jw 3 ай бұрын
hapa nimeami tunaenda kwenye mafanikio zaidi hongera uongoz Asante Mungu kwa unayo tujalia asante rais wetu injinia erres said asant wadhamini wetu asante wanachama wote nz wafadhili na bodi yoote ya Yanga
@AmanaAmos-hv3yz
@AmanaAmos-hv3yz 3 ай бұрын
Nishafurai sasa nipo bze nashangaa ayo matoy mezani,,.. welcome team ya wananchi
@Manywele.Maluja
@Manywele.Maluja 3 ай бұрын
Mungu akukinge na majeraha mwambaaaa
@moiseszacariasmoisesmoises
@moiseszacariasmoisesmoises 3 ай бұрын
jamani mashabiki wenzangu wa yanga,ayupo mtu yeyote yule ambae anaweza kunishawishi kuepukana na timu hii❤ mimi ni laiya wa 🇲🇿 cabo delgado.
@SalumKinyogori
@SalumKinyogori 3 ай бұрын
Kalibu sana mtoto wa mfalme katika Tim ya kifalme
@SaraJinalangu
@SaraJinalangu 3 ай бұрын
😅😅😅😅Sio kalibu Kalibu - karibu Rrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr😢😢😢kiswahili ni lugha yetu mama
@BiasharaZetuPoint
@BiasharaZetuPoint 3 ай бұрын
Nyie Dube anafuraha😍😍💚💛💚💛
@Le_petery
@Le_petery 3 ай бұрын
You guys are working too hard out there. Shout out 💚💛 keep going..
@malietamaliet
@malietamaliet 3 ай бұрын
Aziz ki fridge ake bovu msirudie kumwambia kitu na huyu mwamba ni hatari Sema Azam sijui wanachezaga mpira Kwa lengo Gani msimlete baleke tafadhali 🙌🙌💚💛
@daudimolleltutafungatu5486
@daudimolleltutafungatu5486 3 ай бұрын
Da kweli ase baleke hatumtaki huyo ila ongereni sana chama langu la yanga Kwa kumnasa mwamba huyo
@MussaLilombo-e8o
@MussaLilombo-e8o 3 ай бұрын
Boss- unamjua Baleke? Ni poacher yule jamaa. Akiwa na Dube basi mabao yatakuwa mengi
@malietamaliet
@malietamaliet 3 ай бұрын
@@MussaLilombo-e8o namjua ila venye ashawai pita Kwa makolo Bora tu wamuache abaki msonda dube na clement ama wamlete ata sowah
@giddychanga
@giddychanga 3 ай бұрын
Baleke na Dube ni watu wawil tofauti na hatar sana Mmoja mikimbio yake ni ndani ya box na mwingine hatar sana akitokea pemben
@SuhuurFarxaan
@SuhuurFarxaan 3 ай бұрын
Kweli Ata mm simtaki
@ahmedalsaadi7108
@ahmedalsaadi7108 3 ай бұрын
Uhakika wa kumfunga kolo tushapata bado ligi ianze tu😅😅
@zuhuranasoro8923
@zuhuranasoro8923 3 ай бұрын
Na huyu jamaa sasa alivo na hasira nao😅
@salmaamani7021
@salmaamani7021 2 ай бұрын
😂😂😂
@mhinajerome5964
@mhinajerome5964 3 ай бұрын
Hapo next level big up kazi inapigwa kiweredi sana
@ayeshakhan1636
@ayeshakhan1636 3 ай бұрын
My team on fire
@MussaLilombo-e8o
@MussaLilombo-e8o 3 ай бұрын
Aisee- kumbe kuna mambo mengi yanafanyika kabla ya kupostiwa. Hongereni
@athumanishabani1143
@athumanishabani1143 3 ай бұрын
Level za juu sana hiz !!!
@titomtokoma803
@titomtokoma803 3 ай бұрын
Kweli nimeamini timu kubwa hufanya mamno makubwa kiweledi zaidi nimeanza kuona dalili ya TREBLE msimu huu 💚💛💚💛💚💛
@mussaissa6796
@mussaissa6796 3 ай бұрын
YAANI KAMA NAKUAMINIA VILE
@Izzoh2021
@Izzoh2021 3 ай бұрын
Hii wale waandishi wa mchongo wameshindwa kuinasa hohohoho na hii ndio maana halisi ya team kubwa kula mswaki ikibidi hohoho
@ip_header
@ip_header 3 ай бұрын
Hongera sana vijana mnaweka content za kisasa. Keep it up 🎉🎉🎉
@kanchitarshi
@kanchitarshi 2 ай бұрын
👏👏 Wow am so happy to see you dube👏👏
@SalumKinyogori
@SalumKinyogori 3 ай бұрын
Kalibu sana yanga dubeeeeee 🎉
@augustinomkongwa5444
@augustinomkongwa5444 3 ай бұрын
Hii idara ya habari imepikwa ikapikika na imeiva mnatisha advert zenu siyo za nchi hii 👏👏👏!!!!
@trice_yanga
@trice_yanga 3 ай бұрын
dube ana furaha sana😂😂
@FirdausyAbubakary-bl2wo
@FirdausyAbubakary-bl2wo 2 ай бұрын
Handsome boy in the house❤❤❤❤ Welcome young Boy to the Home of Champions🧡💛🧡💛🧡🧡💛💛💫💫💫💫💫
@GraceMbulu-rp8ko
@GraceMbulu-rp8ko 3 ай бұрын
Muuaji anae tabasam karibu ❤❤❤
@User255tv
@User255tv 3 ай бұрын
Kwa miaka 4 mfululizo kijana hakuwa na furaha huko Azam. Hatimaye katimiza ndoto yake ya kuichezea timu anayoipenda. Karibu sana Jangwani PMD.
@EmmanuelMkainei-p1s
@EmmanuelMkainei-p1s 3 ай бұрын
Murch love yanga Africa 💚💚💚💚💚💛💛💛💛💛💛💛💛
@KassimRamadhan-lu7hq
@KassimRamadhan-lu7hq 3 ай бұрын
Mmmmh jamn yanga mna siri kwahiyo yote haya yanafanyika hatujui😂😂💚💚💛💚💛
@amaniomar1755
@amaniomar1755 3 ай бұрын
Mtihani wa kwanza ukitaka kusign Yanga SC lazima friji liwe linagandisha 🎉🎉🎉
@hatibbaraka3956
@hatibbaraka3956 3 ай бұрын
Ilikua siri hadi tuhakikishe kila kitu kipo sawa ndio yawe public ili Azam na yeye aonje machungu ya kumkosa roho yao.
@MarthaGabriel-s6b
@MarthaGabriel-s6b 3 ай бұрын
Ndo nashangaaa
@yasrikomba7874
@yasrikomba7874 3 ай бұрын
Hahahha kweli kabisa
@monicalucas3738
@monicalucas3738 3 ай бұрын
Karibu mwana wa mfalme ktk club ya wafalme🥂👏👏
@PanchoValentino-wh7wt
@PanchoValentino-wh7wt 3 ай бұрын
Mmetisha saaaana aiseee💛💚⭐⚽💯🦵
@PatrickKimaro-do3lj
@PatrickKimaro-do3lj 3 ай бұрын
ila mnajua kucheza na akili zetu hizo ndo gari anakabidhiwa dube
@musamakuhana2200
@musamakuhana2200 3 ай бұрын
Daima mbele 💛💛💛💛💚💚💚💚
@frankndaturu5910
@frankndaturu5910 2 ай бұрын
Aseee karibu brother hii ni timu ya wananchi 💚💛💚💛
@NeemaAkyoo-s4s
@NeemaAkyoo-s4s 3 ай бұрын
Mmh huyu mwamba aliwaweza azam pale walipo halika tim zinazo mtaka zipeleke ofa mezani makolo wakapeleka na wale wasudani yanga tukakaa kimya ka vle hatujasikia alf mwamba akagomea ofa zao akasema hizo hela yuko tayar kulipa lakini awe huru daah prince alikuwa anaipenda sana yanga mwamba kabsa saiv wacheza wazur wanataman kichezea yanga wala hatutumii nguvu kubwa kuwashawishi
@catherineamiri9854
@catherineamiri9854 3 ай бұрын
Wananchi hamlali jmn si saa nane hii😂😂😂
@Cuteeeee477
@Cuteeeee477 3 ай бұрын
Afu kazuri dube kapole 💚💚💛🔰
@hildaelkana7132
@hildaelkana7132 3 ай бұрын
Tmu inapenda sifa hii😅
@MSHAURIALLY
@MSHAURIALLY 3 ай бұрын
Raha ya yanga ni kuwa mtu anaweza akaja kama mchezaj ila akaondoka na kipaji Cha uigizaji 😂😂 💚💛
@puridangote2701
@puridangote2701 3 ай бұрын
Hii imekaa poa sana em kunywa soda bili nalipia mm😂😂😂😂
@yasrikomba7874
@yasrikomba7874 3 ай бұрын
Kalibu yimu ya makombe dube ❤
@Baba-JJ
@Baba-JJ 3 ай бұрын
Kwaheri EPL maana sijui kama msimu ujao tutaangalia EPL badala ya YANGA. 😂😂
@michaeljpm5597
@michaeljpm5597 3 ай бұрын
Mm nilisha achaga kitambo
@Muksinkhatib
@Muksinkhatib 2 ай бұрын
@@michaeljpm5597yaan ww ndo mm kabisa na vile man utd inazngua nfo cion radha kabisa na epl😅
@fatmaally7252
@fatmaally7252 3 ай бұрын
Aseeee yanga bwana tamu 😂😂😂😂😂😂😂😂
@Sumaiyafisoo
@Sumaiyafisoo 3 ай бұрын
Yangaa 🎉🎉🎉
@MalifezaMajidi
@MalifezaMajidi 3 ай бұрын
Dubereeeeee
@shaibusaady2420
@shaibusaady2420 3 ай бұрын
Allaah Akbar
@Sumaiyafisoo
@Sumaiyafisoo 3 ай бұрын
Kila la kheri dube😂😂😂😂
@SmartTz-y5z
@SmartTz-y5z 3 ай бұрын
Irayanga itaja niuwamm imefanya hadi nimehana namkewangu irove yonga
@ahmedalsaadi7108
@ahmedalsaadi7108 3 ай бұрын
Oyooo
@kabujeasukile5462
@kabujeasukile5462 3 ай бұрын
Vijana kweli Munapiga sana kazi nimependa ubunifu wenu💛💚💛💚💛💚
@ceciliaathanas751
@ceciliaathanas751 3 ай бұрын
Kumbe Dube anajua kuongea Kiswahili vizuri kabisaa wow
@Jeyb07.
@Jeyb07. 3 ай бұрын
Dube anafurahi sana kutia saini yanga hivyo vitu hajawahi kufanya
@zakiakondo2849
@zakiakondo2849 3 ай бұрын
Prince anaona raha anaenjoy kafurahi kabisa 💚💚💚💛💛💛
@IbrahimMussa-c3t
@IbrahimMussa-c3t 3 ай бұрын
Karibu mwana wa king 💛💚🔥🔥
@meddymachozy1815
@meddymachozy1815 3 ай бұрын
Welcome dube
@IdrissaSheumo
@IdrissaSheumo 2 ай бұрын
Masha Allah
@MoBecca-l2g
@MoBecca-l2g 3 ай бұрын
Dubeeeeee
@rukiakyaka1827
@rukiakyaka1827 3 ай бұрын
Alhamndulilah namshukuru M/Mungu
@MaishaMedstz
@MaishaMedstz 3 ай бұрын
Wananchiiiiiiii
@amaniomar1755
@amaniomar1755 3 ай бұрын
Mwamba kwelikweli 🎉🎉🎉 #mwnawamfalme katua rasmi
@Victorrwezimula
@Victorrwezimula 3 ай бұрын
💚💛💚💛💚💛💚 yanga mitano tena
@jumakhatib892
@jumakhatib892 2 ай бұрын
ALHAMDULILLAH ALHAMDULILLAH ALLAH KARIM tumepata striker yanga
@kolosii4351
@kolosii4351 3 ай бұрын
Dube HB sana. Halafu kanenepa ghafla. Ila nimefurahii mwenzenu.🎉🎉😂😂😂
@chemstry409
@chemstry409 3 ай бұрын
Tumuombe Mungu atupe uzima maana yajayo yanafurahisha....😂😂😂😂😂
@rogersiddy
@rogersiddy 3 ай бұрын
Haswaaaaa Kuna mtu atakula Kono la nyani japo limesajili timu nzima😂😂😂😂😂😂🙌
@amaniomar1755
@amaniomar1755 3 ай бұрын
Hapa ni Mungu tuuh 🎉🎉🎉
@fatmaally7252
@fatmaally7252 3 ай бұрын
Amiiin inshallah
@aishabakari8040
@aishabakari8040 3 ай бұрын
Nampendaga huyu kaka jamani 🥺💚
@ErickBrichard
@ErickBrichard 3 ай бұрын
Aisha ulale na wewe
@barikilangoy4737
@barikilangoy4737 3 ай бұрын
Amekusikia
@nicholousmtemi3902
@nicholousmtemi3902 3 ай бұрын
@@barikilangoy4737 hahahaha
@FrankMahuna-xb7lt
@FrankMahuna-xb7lt 3 ай бұрын
Tafta no yake
@salmamlokela1987
@salmamlokela1987 3 ай бұрын
Mmmmh ushaaanza na wewe
@Shadia544
@Shadia544 3 ай бұрын
Kwa hiyo makolo wakiteseka jeee😂😂😂😂😂
@arafatymakamenyange2665
@arafatymakamenyange2665 3 ай бұрын
dube yanga alikuwa anaitaka kama ushafatilia clip zake tofauti tofauti akihojiwa
@amaniomar1755
@amaniomar1755 3 ай бұрын
Yanga wanasign wachezaji wanayoitaka ndio maana hawasumbuki kupata sign zao
@bensonchota3461
@bensonchota3461 3 ай бұрын
Hivyo vitoycar kwenye picha zinaonekana magari makubwa kwelikweli😂😂😂 mambo ya technology hayo👏👏👏
@sullehtz9327
@sullehtz9327 2 ай бұрын
PRINCE DUBE 🙌
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt 3 ай бұрын
Karibu Jangwani Safi sana Cha la wenyewe 🎉🎉🎉
@barakahmichaels1631
@barakahmichaels1631 3 ай бұрын
🔥🔥🔥
@sulleymanjimmy2214
@sulleymanjimmy2214 3 ай бұрын
Dube na Kiswahili 🙌🙌👏👏👏👏🔥🔥
@HamicKauno255
@HamicKauno255 3 ай бұрын
Hivi ligi inaanza lini mbona NAOGOPA maafa yanayoenda kutokea msimu ujao wakina Deborah lazima wafarakane Uwanjan 💚💛💚💛💪
@fatmaally7252
@fatmaally7252 3 ай бұрын
Kwani kwa jirani kuna Debo uko baaaah
@errydeo8865
@errydeo8865 3 ай бұрын
Ukisikia BEHIND SCENES,ndo hizi! Yaani mchezaji environment tu! Morali tayari! Raha ni pale kwamba hivi vitu vinafanyika JANGWANI!!!! NA YANGA INA PROFFESIONALS IN ALL AREAS!..Love FROM Cambridge UK
@AlmachNestory
@AlmachNestory 3 ай бұрын
Usajili bora kwa wakati sahihi, ikawe heri kwake, Mungu amweke mbali na majeraha ili aweze toa kila bora zaidi, kwa kila hatua Mungu awe pamoja naye.
@JOHNAroyce
@JOHNAroyce 3 ай бұрын
wataama makolo sijui? 😅😅😅😅😅😅
@marymoshi572
@marymoshi572 3 ай бұрын
Dube yupo excited sana na feel kabisa yani anavyo ipenda yanga🎉
@ThomasWebiro-rs5yr
@ThomasWebiro-rs5yr 3 ай бұрын
Nlisema sikusema endelea
@seifmsabah4384
@seifmsabah4384 3 ай бұрын
Leo nimekubali dube ni mwananchi
@HalidiKilale-i8i
@HalidiKilale-i8i 3 ай бұрын
Mbona wananchi mnaangaika makelele tu..kweli nyie vyura bado saana....mmezoea kuiga.sasa mmeandaa vizuri utambulisho mmesahau utaratibu. Hamna jipya...
@trice_yanga
@trice_yanga 3 ай бұрын
asante Kwa kutufatilia mpaka huku KZbin 😂😂
@Sumaiyafisoo
@Sumaiyafisoo 3 ай бұрын
Yangaa
@Mr.kigoma
@Mr.kigoma 3 ай бұрын
Lakn kwa zaidi ya 99.5 naamin aziz hatakuwepo nae msimu ujao kwan naamin hakuna team kwa hapa tz ambayo inaweza kuwa na mcheza wa aina ya k aziz, chama, pacome hiyo ni ngumu ngoja tuone😂😂😂😂😂💚💛
@hamisishabani4072
@hamisishabani4072 3 ай бұрын
DUBE KARIBU SANA,KWA WANANCHI WENZIO,TUMEKUELEWA UNAMEPENZI MAKUBWA KABISA NA CLUB YAKO YA YANGA AFRICAN'S,TIMU AMBAYO INAWAKILISHA VIJANA WOTE WA KIAFRIKA,BILA KUJALI MIPAKA YETU,AFRIKA NI MOJA.KARIBU UIPAMBANIE CLUB YAKO PENDWA,HAPA NCHINI,AFRIKA NA NJE YA AFRIKA!!! WELCOME HOME YOUNG AFRICAN,PRINCE DUBE,NGYABONGA KAKULU MFUETU!!! YANGA IMARA!! DAIMA MBELE!! NYUMA MWIKO.MAPAMBANO YANAENDELEA.VITA MBELE!!!
@barakambise181
@barakambise181 3 ай бұрын
Yanga daah 😢😢😢
@EsterNestory-u2s
@EsterNestory-u2s 3 ай бұрын
Priva abiud shayo,,, anasema timu ya azam wanaiwaza azam tv na ukiwa azam haitw champions league maneno ya abdulaziz
@DjFae.b255
@DjFae.b255 3 ай бұрын
Kunawatu awata ludisha team kipindi Cha pili uwanjani minipo kalibu San yangasc 💚💛 dube 🔥🔥
@sonicaghendewa9886
@sonicaghendewa9886 3 ай бұрын
Dube yuko na smile sio poa😂😂😂
@SadKazimbaya
@SadKazimbaya 3 ай бұрын
Yani kweli mnajitia ujinga sana hivi mnaangaika kwenda kukodi vitu ili tu DUBE afike sehemu nzuri mnaacha kutengeneza kwenu kuwe pqnzuri nyinyi bqdo mnaangaika na kukodi sehemu.
@anrelyltv3757
@anrelyltv3757 3 ай бұрын
🔥
@sevarinijrchitandachitanda138
@sevarinijrchitandachitanda138 3 ай бұрын
🔥🔥🔥🙏
@EliaMkumbo-wn7bm
@EliaMkumbo-wn7bm 3 ай бұрын
Mwana wa mfalme mpemelele dube karibu timu ya wananchi karibu saana mwamba utupe raha wananchi ukisikia dubeeeeee tayari nyavu
@Jumachilowe
@Jumachilowe 3 ай бұрын
hii taasis iko pw xn dah yng raha
@safiaothman7506
@safiaothman7506 3 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
@saliieking7279
@saliieking7279 3 ай бұрын
Siamini macho yangu tumemsajili dube YANGA TAIFA KUBWA
@SixmundPonera-ft8ts
@SixmundPonera-ft8ts 3 ай бұрын
Dube ni kama anajilaumu kuchelewa kujiunga na club hii kubwa kabisa young African
@frankmafumba9153
@frankmafumba9153 3 ай бұрын
kwishaaaaaaaaa❤❤❤
@athumanishabani1143
@athumanishabani1143 3 ай бұрын
Mashaallah
@shedracklaizer9256
@shedracklaizer9256 3 ай бұрын
🎉🎉🎉tunaomba na ya chama ...
@jackobchavala3384
@jackobchavala3384 2 ай бұрын
💚💛
@emmanuellukuba3457
@emmanuellukuba3457 3 ай бұрын
💚💛💚💛
Tazama Chief Odemba Akimhoji  Maswali Magumu Kamanda Muliro
28:34
From Small To Giant Pop Corn #katebrush #funny #shorts
00:17
Kate Brush
Рет қаралды 72 МЛН
РОДИТЕЛИ НА ШКОЛЬНОМ ПРАЗДНИКЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 3,3 МЛН
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 15 МЛН
Inside Out 2: ENVY & DISGUST STOLE JOY's DRINKS!!
00:32
AnythingAlexia
Рет қаралды 15 МЛН
Yanga 2-1 Simba | Highlights | Ngao ya Jamii 13/08/2022
23:51
Azam TV
Рет қаралды 4,9 МЛН
Ronaldo Haircut Challenge #cr7 #cristianoronaldo
0:14
Nandito Creative
Рет қаралды 3,2 МЛН
10 Ways to MISS a Putt
0:31
Colin Amazing
Рет қаралды 11 МЛН