Mungu wa mbinguni amjalie afya njema amuweke mbali na majeraha 🙏Pia akaimarishe kiwango chake na kila atakalo fanya ndani ya pitch kikawe Bora sana YANGA BINGWA 💚💚💚💚💚💚💚🔰🔰🔰🔰🔰🙏Welcome home of champions Prince dube 📌📌📌
@FatmaSalm-jn4xu7 күн бұрын
Ameeny
@GreysonMbisse7 күн бұрын
Ameen
@umikifupa-mi3re7 күн бұрын
Ameen thuma Ameen Ya Rabbi
@othmanali74087 күн бұрын
Amin
@saumbakar76437 күн бұрын
Aminaa
@5googleuuu7277 күн бұрын
Mungu Amulinde na. AMUJALIE AFYA NJEMA NA FURAHA NDANI YA MOYO WAKE. DUA KILA HATUA. PAMOJA NA VIONGOZI WA YANGA WAWE NA AFYA NJEMA DAIMA INSHAALAH 👏👏👏👏👏👏👏👏💚💛💚💛💚💛💚💛
@user-ut9uo6dc9d7 күн бұрын
dube anafulaha kama ameshinda spotpesa. karibu kwa mji wa Raha dube yanga💚💚💚💚💚
@malietamalieta96587 күн бұрын
Karibu jangwani usiwai nyoa kipara uku jangwani hakina wakina saido mzamiru wenye kipara tofauti ni gamondi baba we piga pank yako msimu ujao ikawe heri kwako piah na kwa timu yetu inshallah 💛💚🏆🤲
@Manywele.Maluja7 күн бұрын
Amefurahi Sanaa dube inaoneka ndoto yake imetimia kuungana na wananchiiiiiii Tim ya makombee
@user-br7fz4zd5x7 күн бұрын
Kafurahi mwenyewe mungu amwepushie na kila mweshari nae inshaallah furaha yake ikatimie uwanjani !!
@ChidySuleiman7 күн бұрын
Lakn kaz zinafanyikaaa na hawa vijana🎉🎉🎉
@josqwerty7 күн бұрын
Mm wa kwanza naomba like zenu Kama unamkubali dubee
@SembaSemba-x4f7 күн бұрын
❤❤❤❤❤
@MonaMaiko7 күн бұрын
Mungu akusimamie, akuongoze, akupe nguvu, afya njema, maarifa , dube
@FlolaSemen7 күн бұрын
Mungu akulinde price dube
@phiddeschacha31437 күн бұрын
Hivi Dube anaongea kiswahili? Ila amependeza sana jamani yaani Yanga hatuna watu wabovu, vijana wetu wote wapo smart 🙏🏾🙏🏾💪🏿
@jr_mkumbojr6 күн бұрын
Yes anaongea kiswahili kizuri kabisa
@Adamson-kz2pn7 күн бұрын
Karibu ubingwani prince
@alyne77107 күн бұрын
Hii Team ya Yanga nikubwa mpaka inaogopesha naina juwa kucheza na alama za nyakati nakama kuna team inaamini kwamba kuna siku yanga itashuka ndio kwanza inazidi kubarikiwa na Mungu mana ina viongozi wachamungu wenye upendo na taifa pia kujali na kutoa misaada mbali mabli nje na ndani ya nchi ivyo team hii sio team ya kawaida ni Team ya Mungu kama izirael ogopa sana sana sana
@hasanimohamedi2797 күн бұрын
😂dube anafurahaaaa sanaa
@sosomacharles99207 күн бұрын
Mungu naomba anilinde niione ligi ya mwaka huu,mbona itakuwa tamu sana.
@aishabakari80407 күн бұрын
Kutoka ile siku ya wape tabasamu ndio niliaza kumpenda 😍
@anniemagayane29847 күн бұрын
Wewe ndo mie kabisa 😂😂
@BenjaminSapa7 күн бұрын
Ukiangalia vzurii huyu jamaa kavaa nguo ya njano kashangilia style ya baleke 😂😂😂 maana ake ndo anaefata
@PiliAbdallah-vc2no7 күн бұрын
Hakika allah ni mkubwa ndoto yangu ilikuwa hii kila siku na imetimia karibu kipenzi changu🎉❤
@aboudasilver65417 күн бұрын
Pili wewe ni utopolo😂😂😂😂
@KatemiMasalu7 күн бұрын
vp❤
@Kabeya4107 күн бұрын
@@aboudasilver6541na wewe ni DEBORA FC BIN ZOA ZOA FC😅
@FirdausyAbubakary-bl2wo4 күн бұрын
kalivo kazuury sasa waaoooh mpaka raaha aiseee💛💚💛💚💛💚💚💛💛💚💛💚💛💚💛💚
@Cathyson4697 күн бұрын
Huo ndio mguu wa mchezaji❤
@hanifamziray2777 күн бұрын
Karibu sn jangwani mzee baba tumefurahi sn
@jumalukinga37467 күн бұрын
Wellcome Prince'Killer' Dube
@kabujeasukile54627 күн бұрын
Karibu sana mtoto wa MUFALUME
@julianansamuli99107 күн бұрын
Ila dube ni mpole jaman❤
@lusekelo977 күн бұрын
Wengine hawa wanapost mazombi kututishaaaa😂😂😂😂😂💚💚💛
@user-kr2zi7du7y7 күн бұрын
😂😂😂jinga sana umenfanya nimecheka
@lusekelo977 күн бұрын
@@user-kr2zi7du7y 😂😂😂😂😂 kwani nimekosea jamani
@johnjulliusntwenya47136 күн бұрын
Yesu akulinde uepukane na majeruhi, najua kuna watu wanakuombea uumie ufeli ila naamini jina lake Yesu krist litakulinda 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@denicmwemez88887 күн бұрын
Daaah akika MUNGU nimkubwa nilitamani sana dube acheze YANGA Daaah asante MUNGU
@kamanapeter47517 күн бұрын
top scorer
@selemaniselemani33987 күн бұрын
Wa kwanza mwenyewe hapa
@Kabeya4107 күн бұрын
Hii ndo Yanga tupo mbali mpaka waje kufika hapa sisi tupo mbaaaali
@user-mw3yp6kl5c7 күн бұрын
Dube dah mbona mwenyewe naiogopa timu yangu😂😂😂😂
@anithqpaul39236 күн бұрын
Karibu Sana mwana wa mfarume jangwani mungu akutangulie kwakila jambo🎉🎉🎉🎉🎉
@marymoshi5727 күн бұрын
Hatar sana kapendeza anafurah san mwamba
@5googleuuu7277 күн бұрын
Alihamundulih mashaalah nimefurahi
@marystambuli80457 күн бұрын
Katibu saana Mwana wa Mfalme kwenye Timu yenye hadhi ya juu. Jisikie nyumbani tunakuombea. Kwa msaada wa MUNGU utayatenda makuu.
@ShaniSadiki7 күн бұрын
Mungu mkubwa jmn,hii yanga ni ya htr kwakweli,mungu atufanyie wepes Lila mchezaji wa yanga afanye vzr,amin
@user-ov6kd3jz6c7 күн бұрын
Safi sana wananchi timu yangu
@BectMaridadi7 күн бұрын
Karobu sana dube kwenye tim yamabingwa
@morningstarartproduction84367 күн бұрын
The Smiling killer sio the killer who smile 😁😁
@mosokaisack127 күн бұрын
All the best prence
@ndelishomoshi84897 күн бұрын
Kapendeza sana ❤❤❤❤
@Gusta1399-r9i7 күн бұрын
Kuna jamaa katoa code huko baleke is coming
@sevarinijrchitandachitanda1387 күн бұрын
Dubeeeeeeeeee🔥👍
@hajimnubi45817 күн бұрын
Chama siku yake mvalisheni jezi imeandikwa magori😅
@kassidpandu8667 күн бұрын
Mpe heshima yake Mwite Babu chama wewe mbona huna Nidhamu,
@rashidihusseni67757 күн бұрын
Kuna muhuni kule nyuma anaonesha ishara ya baleke😂😂😂😂
@emmanueljacob37737 күн бұрын
Katoa Siri ya Kambi 😂
@mtambuleahmad7 күн бұрын
huyu mwamba amekuja mahar salama ,makolo watatusamehe kwenye suala la ubingwa wa msimu ijao ,hakika yanga tamu !!!
@mtambuleahmad7 күн бұрын
asante rais wetu uwe na maisha marefu ,makolo tabu iko palepale
@GSengo6 күн бұрын
Uwaaaaaaa!!
@monicalucas37385 күн бұрын
Karibu nyumbani mwana wa mfalme🥂🤝
@dominamushi71716 күн бұрын
Karibu sana dube mungu akulinde.
@LindaTimalas7 күн бұрын
Mchezaj mkubwa lazma acheze timu kubwaaa kama Yanga. Karibu mwana wa mfalme kwenye timu ya makombe❤
@DosantosMico7 күн бұрын
Karibu mwana wa ufarume dube jangwani hakika ww ni mtoto wa ufarume
@MzeewaYanga-hm8jq7 күн бұрын
Nmeona tafusili ya team kubwa
@footballmoments-d1c7 күн бұрын
Nani kaiona celebration ya Baleke
@maselemusic86577 күн бұрын
Nimeiona hiyooo😅😅😅
@felixnestoryrwelamira2197 күн бұрын
naam yabga bingwa
@neemaisrael6887 күн бұрын
Kijana mpole jamani.🎉
@happysanga68467 күн бұрын
Kalibu dubeeee wetuuuu💚💛🙏🙏🙏🔥🔥🔥😁😁
@agnesngalanda1137 күн бұрын
Yan dube anafurahaaaa
@selemanmcharazo7 күн бұрын
Hiyo immemkaa vizuri mno
@AbdulrahimHogola7 күн бұрын
Jamaa katoa code ya baleke hukooo
@user-lh9du2nu1g7 күн бұрын
Allaaah🎉
@ivanpatrick11807 күн бұрын
Mungu amuepushe na majeraha🙏🏾
@user-zx1vk9pr1w6 күн бұрын
Waaaah eebwana weeh ! Had raha , kalibu mwamba - daima mbele
@annambele7896 күн бұрын
Tunawaombea wachezaji wote Afya njema ili tupate mataji ya Kitaifa ba Kimataifa. Pongezi kwa Eng. H....
@marthageorge50436 күн бұрын
💛💚💛💚💚🔥🔥🔥
@jackobchavala33846 күн бұрын
💚💛✔️
@augustinpetro65567 күн бұрын
Mitano tena 🤣🤣🤣🤣🤣
@queenmwasanguti23706 күн бұрын
Dubeeeeeee🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@annambele7896 күн бұрын
Hongereni kwa usajili ulio bora.
@reonardchatanda63717 күн бұрын
💚💛🖤💚💛🖤
@athumanishabani11437 күн бұрын
Mashaallah
@magrethyeremia22797 күн бұрын
Waooooo karibuuu
@SaleaKissima-vr7zw7 күн бұрын
Yanga ndani njee ya uwanjaaa nirahaa
@SaleaKissima-vr7zw7 күн бұрын
Na ndanii ya uwanjaa ni balaaaa kabisa
@AdolophinaShawa-pd8yo7 күн бұрын
❤❤
@shaibusaady24207 күн бұрын
Allaah Akbar
@Shaniaseleman7 күн бұрын
tabasam tu hoiii
@errydeo88657 күн бұрын
Hizo sio Office za kukodi jamani,ni JANGWANI!
@MagrethMgesi7 күн бұрын
💚💚💚💛💛💛💪💪💪
@errydeo88657 күн бұрын
YANGA is full of proffesionals in all AREAS!
@aishabakari80407 күн бұрын
💛💚💛💚💛💚🔥🔥
@albertvalentino1307 күн бұрын
CPA Imekamilika --- ukijipima ukiona timu yako ni ya unga unga mwana,na especially imejaa wavulana,hapo nadhani maamuzi sahihi na ya busara yatakuwa ni " Kuto kupeleka timu uwajani,basi " Hapo utasalimika na madhara ya CPA ( Chama -- Pacome + Prince and Aziz ) mfano Ogast 08 --- kataeni kupeleka hao wavulana wenu uwanjani " Heri lawama kuliko fedheha "
@DelsonGerald-to6yn7 күн бұрын
🔥🔥
@user-et8sg4kt2r6 күн бұрын
Welcome bro to join our international world record team
@RoseGeofrey7 күн бұрын
Welcome mwana wa mfalme🎉
@ThadeoSamson7 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 kalibu sana
@shabanimasoud72777 күн бұрын
Tutashenyeta Sana MWAKA huu
@gabrielmchau87647 күн бұрын
Safi safi
@neshamringo68107 күн бұрын
💚💚💛💛
@user-sz8cl3ke7c7 күн бұрын
💯💯💯🗽🗽
@user-nm5ff3ri8k7 күн бұрын
Feisali kakimbia ugari sijali.dube kafuata ugari sukali
@hassankunjayo6267 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@mariamshabani71077 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤
@kassidpandu8667 күн бұрын
Huyo jamaa ana vyuma Mwili Mzima
@AdolophinaShawa-pd8yo7 күн бұрын
Anavyotabasamu❤❤
@AhazyStanley7 күн бұрын
Mashallah 💚💛🫡
@filemonkwaja61817 күн бұрын
Yanga bingwa
@Ally-xp4jy7 күн бұрын
Welcome smile killer
@joventjustus71157 күн бұрын
💣💣
@Gusta1399-r9i7 күн бұрын
Kuna jamaa katoa code huko baleke is coming 6:45
@magrethyeremia22797 күн бұрын
Umetimiza haja ya moyo wako sasa dube hongeraaaaa kwa hilooo
@snamabdu69167 күн бұрын
Kumbe Huwa Mnawaambia Wa Busu 😅😅😅
@Elihurumamathew7 күн бұрын
Yaani hapo ndipo unapoanza kuona thamani ya kikosi cha simba na yanga utofauti na thamini yake ila watu wetu wapicha wametuangusha kidogo mchezaji anatakiwa kuvaa full kuanzia jezi mpaka soksi na viatu alafu ndiyo picha zinaendelea naakivua hata akivaa nyingine zinakuwa nizatimu siyo nguo binafsi sasa hapa hela iliyotumika kwa chama na mwana wa mfalme pale simba wale vijeba wao waliowaleta unasajili watano mpaka 6