alieirudia hii ngoma aweke like hapa kw kuendelea kuwasapoti wasanii wetu bila y kujali tofauti zao
@careneluzito10136 жыл бұрын
Beka jameni uja wai kuni angusha mtu wangu wa nguvu big up bro kama una mkubali beka dodosha like 👇
@kadigatanzaniya47925 жыл бұрын
Beka ni namba moja kwa kuimba maana nyimbo zake zimetulia kwakweli allah yupo atamfanyia wepesi lnshaa allah
@imeldambiki77526 жыл бұрын
Beka ww noma nakukubali sana napenda nyimbo zako zote cjawahi kukosa kukusikiliza kwa siku, nakuombe kwa mungu usonge mbali
@slimhur21706 жыл бұрын
Beka unaweza tena sana kila cku unazid kutuonyesha umahir wako watu wana chuki mioyon mwao badala wamsupport huyu kijana wanahangaika kusupport watu waliofika mbali ambao tayar wanajiweza tumsupport huyu kijana afike mbali zaid jmn gonga👍kama unamkubali beka🔥🔥🔥
@enockndale84722 жыл бұрын
napenda beka anajua kuimba the most talented former yamoto band member sauti anayo .From 254 Nakukubali
@elizabethpeter2546 жыл бұрын
Nimeielewaaaa!!! xanaa hiii ngoma xalute xana kwako beka boy!!!
@paulhenerico42436 жыл бұрын
Bonge moja la wimbo unajuwaa aiseee nice melody
@abduljuma40406 жыл бұрын
Aisee dogo beka big up nimekubali Sina shaka tena na wewe👏👏
@lucassiwa38606 жыл бұрын
Much respect broo dropisha ngoma tuu🎶🎶💯Gonga like kama umeilewa ngomaa
@tom_ckm6 жыл бұрын
Watapata tabu sana👌👌👌👌 Bonge moja la ngoma siachani na beka flavour
@KhadijaKhadija-mk6jf6 жыл бұрын
Daah huu wimbo itanifany nirudiane na mpenz wang wa zaman😍😍
@shabanikamsawa59655 жыл бұрын
Khadija Khadija hahaha just try 2 4give him
@salmaazard97936 жыл бұрын
asante kk mungu akupe kujua zaidi na zaidi siachaninae!!!!!!!!!!!!
@silverrisermkali546 жыл бұрын
Nice music bro kizuri kisifiwe jamani
@quintadial14316 жыл бұрын
Silver Riser Mkali sawa sana
@silverrisermkali546 жыл бұрын
Quinta Dial kabisa
@zainabugassa61176 жыл бұрын
Yaan wajina wa baba angu mimi uwa nazipenda ga sana nyimbo zako kazi nzuri baba
@chollo_simba_tz88926 жыл бұрын
kazi nzur sana hiii. daa kwel ulijipanga hukutania game💪💪💪💪💪
@mcmullinbrian16086 жыл бұрын
shukrani sana beka. nilimtumia mpenzi wangu wa zamani hii ngoma akafanya anirudie tena.
@EstherNzomo-hm6vp6 ай бұрын
Bado mko na yeye this 2024 😢😢
@yusramapenz27566 жыл бұрын
waooo mapenzi yamitandaoni sina kazi kaz no zalau🔥🔥💪💪🔥💪🔥👊👊
@mbodzebemasika74776 жыл бұрын
beka hajawai kua na wimbo mbaya..kiboko kabisa hata mzee yuaskiliza
@megzfavour51905 жыл бұрын
Beka nakupenda sana,go go go
@mariamchikoko54986 жыл бұрын
mashallah kichupa noma sana Allah akubariki uendelee kuwa perfect kila Leo nakupendaga sana ,hii nyimbo siichoki kuisikiliza km umekubali gonga like twende sawa
@michelemasinde28623 жыл бұрын
Napenda song's zako sna,big up, Bekah
@richardmnkande11306 жыл бұрын
Nina uhakika huyu kijana akipata management kubwa ikainvest pesa ya kutosha huyu kijana atafika mbali.... Yuko talented sana na anajua muziki..... Kuanzia melody...Sauti...utunzi...
@evaevance59326 жыл бұрын
Happy aichani naye happy weee navokupenda wee kamdada hiyo mistari hebu isikilize vizuri mna najua huo ujumbe wako mama sawa #beka wa mtu
@lashymreal65556 жыл бұрын
Uko vizuri tangu day 1much respect from Kenya
@issaomary95206 жыл бұрын
Dah,beka uko vizuri ngoma imeturia sana√√,gonga lek kama unamkubari beka,
@pamjepngetich47072 жыл бұрын
You make me to be happy full time beka....mungu asidi kupa nguvu
@veronicakaria9545 Жыл бұрын
My favourite song nikishaanza lewa.Hahahaha gonga 👍
@momax_tv4 жыл бұрын
Siachani nae sileo hata baadae ngoma kama ngoma beka u never disappoint much inspiration bruh keep t up naipenda sana
@tundwamukala19126 жыл бұрын
Beka big up 🙏🙏🙏🔥🔥🔥 ngoma kweli iyo SIACHANI NAYE🔥🔥🔥
@richardamswetyjesus80172 жыл бұрын
Good, Yesu ndo anataka kuishi pamoja.
@nabil-kd5sb Жыл бұрын
please let push this song to 1m or more cos....I believe it's a great song
@shameemrashid52196 жыл бұрын
siachani nae ukweli kabsaaa nyimbo imenitach😚😚😚🔊🔊🔊🔊
@Roy-r2v6 жыл бұрын
Nini hufanya msanii mzuri kama huyu haskiki lakini akienda wasafi 1m views na siku moja....we need to support this this great talent
@meryciananyankena75906 жыл бұрын
Nan anaweza kuimba au kuandika huu wimbo 😘😘😘
@baksarybrown2756 жыл бұрын
imeweza mzee baba Kazi nzury sana zidi kujituma sana
@bish_daddiyao6 жыл бұрын
Beka Beka Huu Wimbo Unanicheza Kichwanii Kila 24/7 nAupenda Saana Jamanii♥️🇰🇪♥️🙌🏽♥️
@ashybossbabe40886 жыл бұрын
bekaa unajuaaa baba😇yaan hii nymb mda wote nasklzaaa...siachannae🙌
@fatomajande57303 жыл бұрын
Haujawai kutoa nyimbo nisiielewe nakukubal sana my bro yn hii ndo nazid kukupa big up
@chrissjoel77524 жыл бұрын
*Naona maajabu sana eti hii ngoma na uzuri wote huu haijafikisha 1M kwa miaka miwili duh!!!!!*
@najumnassoro77736 жыл бұрын
Iyo bek umetubamba mungu akuzidishie ubunifu na nguvu
@geraldmasanya63066 жыл бұрын
I pray for you all Bela, aslay, mbosooo, enock but sitamani kuiona yamotoooo saiziii ndo kwenyeweee hukuuu one lovee mwambie enock abadilii style again hadii jina abadiliiii no aibuuu hapooo bekaaa nashauriii wekaaa two month ndo utoe kichupaaa kingineee love you
@wildflowgang48236 жыл бұрын
beka wewe ungekuwa Kenya you were to be number 1 Artist ..mkali zaidi
@geraldswai54924 жыл бұрын
Hii nyimbi nakumbuka mbali nilipokuwa na demu wangu jaaaman....
@FatumaMustapha-yw5qq3 ай бұрын
Pole sana
@fatumamungenje69906 жыл бұрын
katika watu ambao wanakupenda na kukubali kazi zako mm namba moja ujawai niangusha kaka angu kazi zako mzuri
@maryamathman89176 жыл бұрын
Wallahi hii song naipenda km nini vile.
@dionisjoseph56046 жыл бұрын
Ngoma kalii,ebu pitenii na kwangu msikie kiba wa piliii, nakuja kuaribu hali ya hewa soon,town
@sakinaomar3016 жыл бұрын
Siiiiiiiinaaaaaaa sina mwengine bonge la ngoma#siachani nae
@swabrinamasoud1066 жыл бұрын
Wow nyimbo nzr siachani nae c Leo ata bdae 👌😘😘😘
@Vincent-gp4jo Жыл бұрын
beka moto napenda kazi bro veen toka Nairobi Kenya
@zulfatymkawa80936 жыл бұрын
Yani hii ngoma Kali cjui ht nisemeje kwa siku naisikiliza ht mara mia na sichok pongez kwako beka,from+986
@aizackokazakimdota28046 жыл бұрын
mzee baba bado kidogo kupasua mwamba wa dhahabu# beka fleva tz
@nancyulotu70206 жыл бұрын
Naipenda sana hh nyimbo jaman daaaaaaaah
@desonedesigner45296 жыл бұрын
Hii nyimbo ni special kwaajili ya #hapiee asiicukulie kma buludani tu bali acukuwe maneno yalio ndani ya wimbo huu nakuyafanyia kazi uenda yakawa msaada kwenye maisha yake mna kampata mwanaume anae mpenda mi naamini ivo
@mariamchikoko54986 жыл бұрын
kamoyo kangu nakugaia moja kwa moja usije nirudishia fireeeeeeee
@hamoudcreator63436 жыл бұрын
Video vixens wa kibongo majanga matupu.. Hamna kitu.. Hivi hamufanyi hata mchujo jamani... WA KAWAIDA SANAAAA
@edwinkaijage38526 жыл бұрын
Beka anakua kuliko asily kama upo namm gonga like
@mojo50ful6 жыл бұрын
nawakilisha Afghan peace keepers.big up champ always on point
@amossymussa69966 жыл бұрын
Jamaa anaweza kabisa yani nimeikubali sana
@hadijapazia6846 жыл бұрын
Naikubali sn Beka flavour ni motoooo
@wilifredmagooge36156 жыл бұрын
ngoma kali atari kaka unajua ww kaza but buot mungu atakushika mukono🙏🙏💓💓💓👊👊👊👐👐😎😲
@alexkadzeha29444 жыл бұрын
Wow nice one inavuma mpaka sasa ,frm +254 ..MSA
@meredouble98976 жыл бұрын
Who else is watching from USA 🇺🇸 as me here.. big up sana BEKA, you never disappoint me...🙌🏾👌🏾👏🏾❤️😍
@fredymsemi11316 жыл бұрын
Naachana nae viipi..becka kitu iko poa sana ila #mbayuwayu# tuangushie nayo iko vizuri nayo...#²⅝⅝5
@EmmanuelMihangwa5 ай бұрын
Beka unawenza Sana ngoma zako zote nazifuatilia Sana zinaningusa Sana beka
@liberatakato25224 жыл бұрын
nakubali sana nyimbo zako kaka
@DEGESTAR6 жыл бұрын
Jamani ugopeni beka kwenye mziiki ni atari sana. Gonga like kama unaielewa ngoma hiyii .acha ku lala
@maxelinambawala39336 жыл бұрын
Hatar
@ayanmahadmusa15326 жыл бұрын
Ngoma iko vizur
@barasaslaa51146 жыл бұрын
uko vizuri sana bro ongeza juhudi mara dufu
@jamsonkingz64985 жыл бұрын
Kwa kweri napeda hii ngoma zaidi kila siku lazima niusikize kama Mara 5... 👑
@MariamuJanga-b3j Жыл бұрын
Wewe kama mm tu hii nyimbo huwa siichokagi kamwe
@ismailyomary69306 жыл бұрын
sjawahi comment nyimbo yako yet Ila hiii ngoma daaaaaa wew jamaa. nashindwa kukutafsir umetishaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@fatmachilu39586 жыл бұрын
yaani unikumbusha mbali sana nikisiliza huu wimbo. daaah
@rhobimarwa81626 жыл бұрын
we kaka mhh mungu anakuona yani ayo Maneno yalivyo zaidi yaasali
@momakisomamawida23246 жыл бұрын
Beeeeka upo juu unamzidi daimondi
@shiksshiks84946 жыл бұрын
Pia mim siachane naye😍😍 Safari ya mapenzi imeishia kwako bae😍 Ila nikwa ndoto tu😭😭
Huyu jamaa ni fundi sana. Kwaupande wangu Aslay Mboso Enock wote wanafunikwa na huyu mtu. Cjawah sikia nyimbo mbaya kutoka kwa Becka
@hawiihawily28166 жыл бұрын
huwa sichoki kukusikiliza..inshort nakukubali saaana hongera
@abeidmayanga8096 жыл бұрын
good job jaman sasa huyu beka mhenga anataka ushindani naww nadhan itakuwa sasa ukipoa usimjib anataka mbereko kutoka kwako
@naomibujiku62416 жыл бұрын
nice song kaka nakukubaliii sana broo
@Everything-series.6 жыл бұрын
Nani huyo ame dislike.. +254 big love bro
@aminaadamomary78862 жыл бұрын
Uko vizuri kaka uku geita msalala🤗🥰
@simonjuma29126 жыл бұрын
Nakubal mkuu ngoma imesimama vyema sana
@pricillajohn61086 жыл бұрын
daaah? kweli siachan nae unanikosha kweli beka bigp san
@iamlevybrian59146 жыл бұрын
Unajuaga bruh bigup wapi likes za beka?
@georgepaulo6045 жыл бұрын
Safi.sana
@junior_kejr16385 жыл бұрын
nilistick kwa dem fulani,,,when this was released ikawa imeingilia na situation nilikuwa napitia waah ikabidi nimemtumia huyo dem askie ii ngoma,,best song
@mirriamseneto27732 жыл бұрын
Mpenzi wangu ni wimbo zako beka😢❤
@samwelkihongole53466 жыл бұрын
kibidu bdu ucje........🔥🔥🔥🔥🔥noma sanaaa
@princenewton6 жыл бұрын
Nawakilisha taifa la Kenya +254🙌🙌🙌Big up beka👊never disappoints
@sharifashaban48246 жыл бұрын
Ngoma iko nice San beka
@salimaamir55616 жыл бұрын
Prince Newton tuko wengi kenya oyoooo baada ya kiba ni beka
@zuberinyoni24816 жыл бұрын
mamboo....vp
@zuberinyoni24816 жыл бұрын
o745140270
@mariamrashidi21136 жыл бұрын
Prince Newton mambo
@rahmamichael84836 жыл бұрын
Upo vizuri mdogo wangu miak 1000
@abdulnyawaba45156 жыл бұрын
wew ni mkali hasa, tena unaweza... keep it up
@jacksonshiling89566 жыл бұрын
Tisha sana mtoto wa Ifakara kama na unakubali gonga like hapa chini