Beka Flavour - Naona kiza (Official Video )

  Рет қаралды 1,812,292

Beka Flavour

Beka Flavour

Күн бұрын

Пікірлер: 874
@Kashindi-Lotengya
@Kashindi-Lotengya 7 ай бұрын
Tunao angalia wimbo uu kwa mwaka wa 2024 tujuane kwa likes.
@aliionlinetv8397
@aliionlinetv8397 6 ай бұрын
Tupo😅
@Giant349
@Giant349 9 ай бұрын
Who's here with me 2024 , God bless y'all 🎉❤❤❤❤❤
@hassansaid9925
@hassansaid9925 6 жыл бұрын
kudadeki we Beka utanilipa mb zangu ,,,huwezi nifanya me niangalie wimbo Mara kumi wew,,,daaaaah noma xana
@officialmtangakingkassimu5291
@officialmtangakingkassimu5291 6 жыл бұрын
Wapili km unamkubali beka like hapa na reply huyu jamaa ni moto htr
@gillaygershom1709
@gillaygershom1709 5 жыл бұрын
Namkubali sana brother angu
@joelkiroge9761
@joelkiroge9761 Жыл бұрын
Walai hii kaliiiii,🔥🔥🔥🔥
@evansbwire8512
@evansbwire8512 6 жыл бұрын
Yaani sauti na mashairi yanaendana sana. Namkubali sana huyu Beka flavour
@josephinemwangome2100
@josephinemwangome2100 5 жыл бұрын
Evans Bwire safi beks
@ralfbuanar9118
@ralfbuanar9118 3 жыл бұрын
This is good song love you beka
@JuhudiOmari
@JuhudiOmari 6 ай бұрын
Nakuku Bali sana mwenyezimungu atakusaidiya utafikambali
@benjaminsteven7350
@benjaminsteven7350 9 ай бұрын
Kandahar twende wote 2024 -2025
@sylvanusinjomango2169
@sylvanusinjomango2169 6 жыл бұрын
Mbui mbui ukayimuka mlongo mlungu awoloki uswanu na yuwe mwayetu music unoa
@mspwjjjso6261
@mspwjjjso6261 2 жыл бұрын
Kwajina naitwa Amina Saidi masha Allah BEKA Kwa sauti umejaliwa
@careneluzito1013
@careneluzito1013 6 жыл бұрын
Sisi mashabiki wako tuna kukubali sana bro
@MariaMaria-jb2yk
@MariaMaria-jb2yk 4 жыл бұрын
Big up
@edinasimon6534
@edinasimon6534 6 жыл бұрын
yaan unazidi kunikonga moyo wangu joomoon beka huu wimbo sichoki kuusikiliza mweeee so nice one
@johnstephen3191
@johnstephen3191 4 жыл бұрын
Otilebloun
@johnstephen3191
@johnstephen3191 4 жыл бұрын
Otilioblown
@fiolakaipiti5607
@fiolakaipiti5607 3 жыл бұрын
I'm a Namibian who loves your songs even thou i don't understand the language i love your songs keep going ❤❤❤👏👏👏👏🔥🔥🔥🔥
@malemaabbey2316
@malemaabbey2316 Ай бұрын
Awesome song thanks for streaming ❤❤2024 still waiting for others
@nyikarappa8604
@nyikarappa8604 6 жыл бұрын
Kazi kazi jiwe juu ya jiwe we hatali unanichanganya mpaka naona gizaaaaaaaaaaaaaa
@nicodemuskenga7439
@nicodemuskenga7439 4 жыл бұрын
from kitaa cha 254 nakubali mistari beka congrats
@tuyizereghadi1619
@tuyizereghadi1619 10 ай бұрын
Wuwuwu Yeyeye Uuuuuh uuuuuh Baby boo Umenichangacha changanya mpaka umenimaliza eh Baby eeeh umenichangacha changanya wengine naona Giza eh My baby boo Umenichangacha changanya mpaka umenimaliza eh Baby boo umenichangacha changanya wengine naona Giza eeeh Naona Giza×4 Ukinipa Sana nasemanga dozee Peremende yako tamu kote kote Tupendane kifo kitukute wote(mi nawe) Unanifanya mpaka nisikuchoke Kwani dini gani sema niokoke Unataka wapi sema twende wote Mwenzako Niko radhi Chochote mimi nitakupa wee Ili mapaparazi wasijaribu kukugusa eeh Kupanda ndio kazi kushuka rahisi kabisa wee Nifanye kijakazi kwa penzi lako limefika weeh Nangangana na Mimi Kama nguo fiti mwilini Nitameza quinini ukiniacha mi safarini weeh Rangi yako inamulika mulika Kwenye Giza mwanga kimuli muli Uzuri wako wengi unawadatisha Wanagonga mwamba hawafungi goli Najiona Mimi nikikutazama usoni Sasa kioo Cha Nini, unatosha kua ndani Wengine napiga chini namba yako moja amani Petee vaa kidoleni, ndoa tufunge mwakani Mwenzako Niko radhi Chochote mimi nitakupa wee Ili mapaparazi wasijaribu kukugusa eeh Kupanda ndio kazi kushuka rahisi kabisa wee Nifanye kijakazi kwa penzi lako limefika weeh Nangangana na Mimi Kama nguo fiti mwilini Nitameza quinini ukiniacha mi safarini weeh Japo kuja tuishi kwangu wote Japo urafiki sioni kisa Cha makelele Tukikosa kuku tutakula matembele Mboga za majani zinapatikana pia uku
@sikabwelehani
@sikabwelehani 6 жыл бұрын
Wow 😲 Noma sana Beka flever kazi nizuri sana god bless you bro 👉🏾👉🏾👉🏾👍👍👍💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻👏👏👏👏👏
@PWANIMUSICUPDATES
@PWANIMUSICUPDATES 2 жыл бұрын
Ni cheche mzee babaz tukikanyaga tunaacha alama 🔥🔥🔥🔥
@derrykboyden
@derrykboyden 8 ай бұрын
You have gained new subscriber❤❤
@pendogerald8452
@pendogerald8452 6 жыл бұрын
hujawahi kukosea beka wangu jomoooni, sauti yako tu mi hoi mungu azidi kukuinua juu zaidi
@anrvanaodequeen7116
@anrvanaodequeen7116 6 жыл бұрын
yaan nyimbo zko zotr ni 🔥🔥🔥
@aasdfghrehema7204
@aasdfghrehema7204 4 жыл бұрын
Wuko juwu beka yani muziki nasawuti namashahiri binaendana from bujumburura burundi 💋💋💋✌✌👌👌muziki wabutamu lov you😍😍
@hamisibale4654
@hamisibale4654 6 жыл бұрын
Kaza buti beka fleva kaz nzuri nzuri sana,kila ukitoa ngoma kali jione kama bado hujatoa ngoma Kali ili ufanikiwe zaid ya ha po
@ashurakapinga9148
@ashurakapinga9148 4 жыл бұрын
Bek nakukubali miziki yako yani.choma mahali.hongera
@hassangulamu3937
@hassangulamu3937 5 жыл бұрын
bofonga bofonga baba la baba pomoja sana goooooood sio hawa wwanaoimba ujinga ujinga eti nyege nyegezi upuuzi huo pamoja mzee beca.
@lemashonthomas5062
@lemashonthomas5062 6 жыл бұрын
Uwaga sipendi kuwa mnafikii Beka umeuwaaa Sanaaa 🔥 🔥 🔥 kwa wanaye ikubal like yako isikosekane apa ili Twend sawaaaaaa
@merrymtenga3983
@merrymtenga3983 6 жыл бұрын
Beka upo gud
@tomkwoba1577
@tomkwoba1577 6 жыл бұрын
Huyu kijana Wachana nayeeeeee.... Big up bro may God protect you......
@Game-nj3br
@Game-nj3br 2 жыл бұрын
Kip moving kiooo cha watanzania inshallah
@maureenkibs7330
@maureenkibs7330 3 жыл бұрын
❤️❤️❤️io beat na moves zanifanya nishinde tu apa ,,,na sauti pia iko 👌👌👌👌👌 napenda sana nyimbo zako ziko🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@ItelPhone-v4m
@ItelPhone-v4m Жыл бұрын
Hua napenda kusikiza san huu wimbo nakumbuka zamani❤🎉
@andrew0502
@andrew0502 6 жыл бұрын
Pale Beka anapoungana na dancers wengine kudance, utaipenda duu!!
@justinonyancha5169
@justinonyancha5169 6 жыл бұрын
Beka Flavour,kazi nayo kweli kaipiga.kila wakati nahisi kuirudiarudia hii kazi,yaani hapa Kenya sipumui kabsaa.The dance crew iko sawa kabsaaa
@ashasalum5948
@ashasalum5948 6 жыл бұрын
Beka nakupenda sanaaaa yani hii ngoma inaniumizq kinchwaaa
@estherjonas4630
@estherjonas4630 6 жыл бұрын
saf sana . endelea kumpenda mpenz wako hilo ndo wosia wangu. huyo mtoto mzur sana usimwache kisa ustaa wakoo
@lovehassan7217
@lovehassan7217 5 жыл бұрын
Wish u all be best Beka Fravour Nakkubali sana.
@malkiabintimfalme6820
@malkiabintimfalme6820 5 жыл бұрын
Beka dear Leo nimeamka tu na mood ya kusikiza nyimbo zako,,
@rashiddihuka1236
@rashiddihuka1236 6 жыл бұрын
Beka flavour unajua sana yaaan uko gud Kama utafka mbali
@yustochitema8201
@yustochitema8201 5 жыл бұрын
Jeshi la mtu mmoja nakukubali sana bwana mdogo,kipaji halisi cha muziki
@paulsantanatzee8301
@paulsantanatzee8301 6 жыл бұрын
nakuombea kwa mungu uwe wa kimataifa zaidi maana unajua na Wala hauimba kawaida ww ni fantastic
@ommytrueboykimwaga7129
@ommytrueboykimwaga7129 6 жыл бұрын
Hongera kwa kazi nzuri Wazeee piteni na kwa #mr_nay mzigo upo hewani kama unapenda ngono basi fanya dhanaaaaaaaa
@ogegavincent1831
@ogegavincent1831 Жыл бұрын
hello beka am from Kenya 🇰🇪 ilike the way you are determined very hard-working
@aingatv5389
@aingatv5389 6 жыл бұрын
Wow, kazi mbili kwa mpigo na tena zote ni safi, bado top 50 kuwatch, and 1st from +254. Congrats bro. Gonga like kama wakubali huyu ba mdogo kipaji anacho kweli...
@saraaroon1521
@saraaroon1521 6 жыл бұрын
Nice
@michelmisheck7862
@michelmisheck7862 6 жыл бұрын
noma sana fresh ...+254 support
@jamsmussa8374
@jamsmussa8374 6 жыл бұрын
Hadiiiii rahaa
@liliangodfrey4095
@liliangodfrey4095 6 жыл бұрын
upowap
@mwajabually1816
@mwajabually1816 4 жыл бұрын
Nampenda saaaana beka anaimba vzr saut ad rahaaaaa
@zunguboyzungu3088
@zunguboyzungu3088 6 жыл бұрын
Aaaa hii ngoma Kali san nakupa #salut kwa kz nzr
@bensonelgridinabraham4797
@bensonelgridinabraham4797 6 жыл бұрын
Thumb up, tofauti ya daktari na mganga wa kienyeji... Gonga like meeen.
@jacobmuhanyi276
@jacobmuhanyi276 6 жыл бұрын
kiukwer dogo unatisha kwa wimbo huu tosha kabisa nakupatia asilimia 100 Na pia mungu akubarik,by Jacob mfinga rukwa
@TizoHaule
@TizoHaule 6 жыл бұрын
duh kanyimbo kananibamba ako 💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💔💔💔
@youngboy2200
@youngboy2200 6 жыл бұрын
Hatari Sana mzee baba Kama unamkubali flavour beka like hapaaaa 🔥 🔥 🔥 🔥
@tulinavehussein5733
@tulinavehussein5733 Жыл бұрын
Beka nyoko wewe nasikiliza nyimbo hadi nalia ngoma kali hadi inakera na hiyo sauti ka babu yako😜 i love you❤️
@mussamisinzo4934
@mussamisinzo4934 11 ай бұрын
Naona kazi nzuri
@romanticbeautysaloon8883
@romanticbeautysaloon8883 6 жыл бұрын
Tisha xn MZEE BABA #bekaflavour 👏👏👏👏
@janettantine9076
@janettantine9076 6 жыл бұрын
wow my beka una tisha sana ww good songs
@hellengideon2423
@hellengideon2423 3 жыл бұрын
Have listened to this hit for more than ten times n I can't imagine missing it for a day😍😍
@Obelia_sea_fur
@Obelia_sea_fur 6 жыл бұрын
am kweli kijana kaficha kakaja moto mbaya kali bro #fiahburn
@mauaiddy7033
@mauaiddy7033 6 жыл бұрын
Nifanye kijakazi kwa penz lako nmefika wengne naona kiza 😘😘😘😘😘😂😂😂😂😂😂😂😂😂👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
@manmbilo5383
@manmbilo5383 6 жыл бұрын
Naomi Iddy nouuuumaaa
@timothypareso1477
@timothypareso1477 5 жыл бұрын
Wimbo mzur kwel
@gilbertgobeta3118
@gilbertgobeta3118 6 жыл бұрын
Beka we ni balaaa umeua sana mzee
@mdbclassic1403
@mdbclassic1403 6 жыл бұрын
we kijana una hatar ,,ngoma kali kinyama
@benardmwashi6289
@benardmwashi6289 6 жыл бұрын
Mdogo wangu Beka umenigusa Sana kwenye hiki kitu🇧🇫🇧🇫🇧🇫+🇰🇪🇰🇪🇰🇪+🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿=Africa
@djbizo425
@djbizo425 6 жыл бұрын
unajitaidiii kijana wanguuu upoo vzr
@ckukuu8404
@ckukuu8404 6 жыл бұрын
Woow hii nayo ndio nyengne kati ya zile fav za beka flavour we mkali aki huu mwaka kuja Mombasa upige show bana
@udakuudakutv7176
@udakuudakutv7176 6 жыл бұрын
Yan huyu m2 nashndwa nimuweke kund gani mana ni wapekee sana anajua mpaka anakera kama unamkbali kama mm gonga #like.twende sawa
@yusramapenz2756
@yusramapenz2756 6 жыл бұрын
waooo kizazi jeuli kazabuti kaka kama unakubali beka flavour komet ilituende sawa💪💪💪💪💪🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@elvinhokenya3078
@elvinhokenya3078 6 жыл бұрын
Waaaaa...Maxmaizer wewe ni mnomaaaaa
@gervastweve8612
@gervastweve8612 6 жыл бұрын
ninyi ndio tunasema wasanii mnaokuja vizur kwel " kama unamkubali gonga like
@janemikono6573
@janemikono6573 6 жыл бұрын
Gervas Tweve nice
@evodearfellisian8678
@evodearfellisian8678 5 жыл бұрын
Sana broo
@gillaygershom1709
@gillaygershom1709 5 жыл бұрын
Penda sana uyoooo
@kelvinlyimo7764
@kelvinlyimo7764 4 жыл бұрын
Like iyo kwiyo
@princesstimmy1163
@princesstimmy1163 3 жыл бұрын
Napenda nyimbo zako daah
@ItelPhone-v4m
@ItelPhone-v4m Жыл бұрын
Nakubali san broo mungu azidi kukupa nguvu❤🎉
@nyabokemabuka6321
@nyabokemabuka6321 6 жыл бұрын
aaaah dah mm bby boo hajanichanya unatisha kaka nakukubali mm yaani kazana utafika dogo
@evansnabutete4902
@evansnabutete4902 3 жыл бұрын
rosicky sam...tokea kenya kazi poa sana bro
@stanleyndelwa7491
@stanleyndelwa7491 6 жыл бұрын
Wew Falaa UNAJUA hadii KERO , kazaa mwanangu
@dennismugendi3787
@dennismugendi3787 5 жыл бұрын
Meme ndo imenileta huku...Awesome song.
@pharisjane6856
@pharisjane6856 6 жыл бұрын
From Kenya tumeikubali kazi yake Beka
@rahimajuma688
@rahimajuma688 6 жыл бұрын
watano from Oman like Tanzania kuna mziki jaman
@andrew0502
@andrew0502 6 жыл бұрын
MB zangu Beka zinaisha na huu wimbo boy dah!!!!
@kenzonshunju8435
@kenzonshunju8435 6 жыл бұрын
sanaa @Beka
@NehemiaMaritine
@NehemiaMaritine Жыл бұрын
Ngom hoi nom🎉🎉🎉
@teddyludigija2371
@teddyludigija2371 6 жыл бұрын
mboga za majani zinapatkana pia hkuuu😘😘😘😘😘ngoma kalii inatibu mafua na kikohozii😂😂😂
@christinajames5680
@christinajames5680 6 жыл бұрын
Kwani din gani sema niokoke,,, Kali saana
@alimakanz5030
@alimakanz5030 6 жыл бұрын
Kwauwezowake allah atafika kazi nzur
@officialzmusic
@officialzmusic 9 ай бұрын
Kaka hizi ngoma ebu piga ten kama hizi achana na ukisasa, , ❤❤❤❤
@avynines1754
@avynines1754 5 жыл бұрын
This is awesome ,,napendaaa hiyo beat joh
@hamzajafari3493
@hamzajafari3493 6 жыл бұрын
ngoma Kali sana m baba
@akuyashammahnatoo6670
@akuyashammahnatoo6670 6 жыл бұрын
watching from kakuma kenya ,beka flavour mm ni fan wako sugu
@naromorobert5129
@naromorobert5129 4 жыл бұрын
my best song I lv much even his voice
@ChristinaJoseph-k7o
@ChristinaJoseph-k7o Жыл бұрын
Nakukubali sana kakaangu sauti inanikosha
@mtironyangaresi7083
@mtironyangaresi7083 6 жыл бұрын
Kwani dini gani xema niokoke. ,,,,beka nomaaaaa,,,,,,,
@emmanuelstephano5050
@emmanuelstephano5050 6 жыл бұрын
Vzuri mno mungu akusaidie malengo yatatimia tu
@salomejoseph
@salomejoseph 6 жыл бұрын
My every day tune.nakupenda beka #beka karibu 254
@peterkiio6925
@peterkiio6925 Жыл бұрын
Leta kamoja na king 👑 ishiaka yani aslay
@nicks_kenya6703
@nicks_kenya6703 3 жыл бұрын
Nakukunali kakangu kwa kazi safi
@wisehunt
@wisehunt 6 жыл бұрын
Beka unanicanganya bro, keep it lit
@janethmdachi7858
@janethmdachi7858 6 жыл бұрын
Safi mnooo nakupenda mpka naumwaaaa
@yvonnemasombo5548
@yvonnemasombo5548 2 жыл бұрын
Waallah! Mungu ajibu dua zako inshallah
@neimahakram1458
@neimahakram1458 6 жыл бұрын
hyu kijana ni sheeedah hongera sana
@milyakitsa3066
@milyakitsa3066 4 жыл бұрын
Nani anaisikia Mara nyingi Kama mimi I knew the song through my boyfriend am addicted to this song volume yote Hadi jirani anateta wimbo moja 2 dada iishe iianxe
@hoseamgaya7074
@hoseamgaya7074 6 жыл бұрын
safi sana mdogo wangu kazi nzuri
@joycherry8508
@joycherry8508 3 жыл бұрын
Beka🔥🔥🔥🔥 run run run🎶🎶⭐⭐
@kristakristian7518
@kristakristian7518 5 жыл бұрын
Mswano sana
@keynglawrence4852
@keynglawrence4852 2 жыл бұрын
From USA salute to beka flavor
@sirjoel4228
@sirjoel4228 6 жыл бұрын
Ww ndo beka nakuelewa sna endelea ku2malza
@4yayasmusic394
@4yayasmusic394 6 жыл бұрын
Yani nimesubiri sasa sioni jiza naiba naona ndoa eeee asante mwanangu beka video shwari sana sitochoka kuiangalia nakuisambaza kwenye mabaa naona itapendwa sana hata wakongwe wataipenda gonga like kama wewe unapenda mziki wa beka one 4
@jacobwandera8303
@jacobwandera8303 6 жыл бұрын
was here at 2,864 views.... Beka Flavour hoiyeee
@abdalahgsang3473
@abdalahgsang3473 6 жыл бұрын
kiufupi nakukubali beka keep on... moo lov
@blessedtwinsseke7161
@blessedtwinsseke7161 6 жыл бұрын
hii song nouma khaaaaa aminia ninja Beka
Beka Flavour Feat Mr Blue - Tuwesare (Official Video)
3:32
Beka Flavour
Рет қаралды 1,2 МЛН
Beka Flavour - Kibenten (Official Video)
3:13
Beka Flavour
Рет қаралды 3,5 МЛН
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 2,9 МЛН
How to whistle ?? 😱😱
00:31
Tibo InShape
Рет қаралды 14 МЛН
Кәсіпқой бокс | Жәнібек Әлімханұлы - Андрей Михайлович
48:57
Kluster Duo #настольныеигры #boardgames #игры #games #настолки #настольные_игры
00:47
Comedians dancing to MARIAROZA by EDDY KENZO.
3:59
Eddy Kenzo
Рет қаралды 46 МЛН
Linex Feat.  Diamond Platnumz - Salima (Official Video)
4:32
Linexsundaymjeda
Рет қаралды 19 МЛН
BEKA FLAVOUR - POA POA (Official Video)
3:29
Beka Flavour
Рет қаралды 3 МЛН
Alikiba - Mwana (Official Music Video)
3:55
Alikiba
Рет қаралды 37 МЛН
Beka Flavour   _  Libebe ( Official Video )
3:34
Beka Flavour
Рет қаралды 554 М.
Beka Flavour  -  Finally | Official Video
3:51
Beka Flavour
Рет қаралды 991 М.
Beka Flavour -  Sarafina (Official Video)
3:55
Beka Flavour
Рет қаралды 1,9 МЛН
Aslay - Natamba ( Official Music Video )
3:37
Aslay
Рет қаралды 17 МЛН
Diamond Platnumz Ft Fally Ipupa - Inama (Official Video)
3:36
Diamond Platnumz
Рет қаралды 142 МЛН
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 2,9 МЛН