Kama umerudia kusiiiliza hii Ngoma zaidi ya mara moja gonga like hapa
@happykwela3332 жыл бұрын
Twende Dodoma kaka😘
@vedastomtasha2 жыл бұрын
Ngoma Kali la kusikiliza nikiwa naelekea home nmetulia kwenye kibasiiii na pod zangu sikioniiii kwako kaka Ben pol uishi💪💪💪💪💪
@fatmajama89682 жыл бұрын
Ben pol hakika hapa umegusa sana mioyo yamashabiki zako goo bro goo
@shedrackabdulrehman90842 жыл бұрын
Pamoja na yote nifuraha kwangu kuona kakaangu kipenzi anakuja na ngoma mpya. Kaka nisiwe mchoyo wa fadhira nakushukuru kwan nyimbo zako nisehemu ya maisha...
@sureboyofficial64732 жыл бұрын
Ntakutafuta hizi ndo tungo adhimu, big up bro
@mwanguohermanmwasoko39542 жыл бұрын
Hii song inaleta mood flani ya home alaf sai ni msimu wa sikukuu,narudi nyumbani.
@KaswaleIssa-yn3ri Жыл бұрын
Nakukubali sana broo nimemis ngoma zako
@bennirichog2 жыл бұрын
Uhye jamaa kukaya na Nene nakusukwa mno😭😭
@Mwalazanyi Жыл бұрын
Watu kamili ndio wanajua maana ya hii radha...... nice music💥💥💥💥🎵🎶✌✌
@MajaliwaThobias24 күн бұрын
Kaka ben chukua maua yako umenikumbusha kitu yapaswa kweli kukumbuka home❤
@DarkidTz2 жыл бұрын
King 👑 Kubwa sana Hii 🙌🏾
@ikrampoppe1412 жыл бұрын
Sawa kaka.Pamoja! Like moja kwa Ben Please
@ronnamax2382 жыл бұрын
Kubwa sana hii💕💕🙌🙌🙌🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@zawadithomas10086 ай бұрын
Ben pol never disappoint 😀 katukumbusha nyumban halloo maua yakoo 🌹🌹🌹❤️
@kefasonseth68422 жыл бұрын
Nyimbo uliyotoa hakuna aliyefikiria kuitowa your the generous
@farijalimussa25922 жыл бұрын
Kukaya kunyumba ...HOME SWEET HOME wakukaya moshi Kilimanjaro tujuane muda wetu wa kurudi huu
@patrobasskatambi19292 жыл бұрын
Bravo Mr. Brave (Ben P) Push it harder n' harder, Keep it burning with a blue flame... Youth are the National Vanguard of change and the future Legends
@dypascal36712 жыл бұрын
Bringing that African tradition music vibe back. ❤
@ChekanaoYavito Жыл бұрын
sarut ksbisa hiz ndoo ngoma kar
@mosesmahinya96542 жыл бұрын
Itifak ya utunz imezingatiwa nice song full vibe n lesson also
@twaha10912 жыл бұрын
Kama umeikbal Ngoma ACHA like hapa 🔥🔥🔥
@kivumbi76732 жыл бұрын
Gozbert jeuri sana
@peterkalaita2 жыл бұрын
Dah @benpol
@hamisimayombya91322 жыл бұрын
Nakubaliii kaka @benpol sweet melody
@mwasakaseti81392 жыл бұрын
Hadhi fulani ya wahenga katika karne mpya🇹🇿,,
@Jkone8912 жыл бұрын
Hiyo beat, ikiwa Kenya itakitwa ya Kiluhya, noma 🔥
@timothyleonard17282 жыл бұрын
Mwamba wa nyumbani kabisaa
@epos94732 жыл бұрын
master ben here we go
@mussarnbtz2 жыл бұрын
Ng'huuya kaya
@mauaasc37502 жыл бұрын
A masterpiece, 🎶 good vibes only 👌🙏
@lucaszanzara23562 жыл бұрын
Kazi nzuri Sana
@mussarnbtz2 жыл бұрын
Tunahitaji good music only, ayo mengine ya trending sijui nn hayatuhusu, achia ngoma si tupite nazo
@mosesbarnabas33792 жыл бұрын
Much appreciated,kaka wa rafiki yangu jaffety Paul.
@jacklinenyaboke44422 ай бұрын
Nice song
@etox69402 жыл бұрын
Chuma cha moto
@ommy21media912 жыл бұрын
Nami ngoja nirud nyumbani 🙏🏼🙏🏼
@mafurubulilo40832 жыл бұрын
Much respect my friend Ben paul
@justinejulius96052 жыл бұрын
It's so emotional bro ... especially tulio mbali na Tanzania... Much love from Qatar
@sehemunzuri2 жыл бұрын
Ben itabidi urudi tu brother.
@bennirichog2 жыл бұрын
Uhye jamaa kukaya na Nene nakusukwa mno 😭😭✋
@safarirockerz27812 жыл бұрын
Kakaaaa umetishaaa that song has tear me down 😢 Big up Franken .. ATACK GOOD PRODUCTION BROTHER
@jumemerular152 жыл бұрын
Ka vibe fulan ivi
@carrB2 жыл бұрын
Remix na sauti sol🔥🔥🔥🔥
@oscarmwakyusa37612 жыл бұрын
Bravo Ben Pol. This is a masterpiece 👏👌
@alphadreammedia2 жыл бұрын
Mbona viewers kidogo
@amosjulius70272 жыл бұрын
Safi sana.. this is a real meaning of talent.
@vissionaryosborn2 жыл бұрын
Aisee za hv unazipatiaga mno bro
@elmilson80522 жыл бұрын
No place like home 🇹🇿❄️ 😭😭
@shedrackdaudi34032 жыл бұрын
Hale sande mwaha
@issasalum95332 жыл бұрын
Love from Oman but really I miss home tz
@EmanuelSalehe-j7c Жыл бұрын
❤my parents
@Chida2 жыл бұрын
You killed it my brow Ben heshima kwako one classic
@aziziwailu75312 жыл бұрын
Ngoma Kali mnoo
@mariamakonga2003 Жыл бұрын
Sana
@octavianlunyanya93582 жыл бұрын
Kongole kwako mwanamuziki wa nyumbani (Benard Paulo) kwa utunzi mzuri, ala, na muziki...hakika hii ndiyo uhalisia wa kujivunia vya nyumbani kwa asili na mafundisho ambayo ni wazi kimaadili hatunayo tena katika zama hizi. Mimi ni kijana wa sasa, ila umenipa taswira ya vile ilikuwa nyakati ambazo niliishi na kabla ya kuwepo kwangu katika uso wa dunia hasa nchini kwangu Tanzania.
@mellojazzyofficial2 жыл бұрын
My ge ngoma kubwa sana
@teeqflavour1552 жыл бұрын
Japo na Udogo kwenye Sanaa ya muziki ila wakwetu remix nipite
@redemtamkemwa82222 жыл бұрын
Waooh sweet 🏡 home
@nzalatv59272 жыл бұрын
Ben pol nakubal home boy
@kingdee2552 жыл бұрын
Bravo 💥
@Vetexenterprise2 жыл бұрын
Umejipata sasa
@NandyTopic2 жыл бұрын
🔥
@edwardnelison74852 жыл бұрын
Bernard paul always on top
@kyelaonlinetv22 жыл бұрын
Bona kama ime ludiwa
@Directorjax552 жыл бұрын
Good song
@EmanuelSalehe-j7c Жыл бұрын
❤
@shadrackchristopher96122 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥
@rosebonny42942 жыл бұрын
😍😍
@silvernayzer41072 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🎻
@hamadikassim30912 жыл бұрын
Bro hii colabo ilitakiwa uwavute sautsol
@Kidaboma2 жыл бұрын
Akili mingi mwanangu, unajua mziki
@januarymhimbano3032 жыл бұрын
Kukaya kutali ila tunapakumbuka
@nybcp2 жыл бұрын
❤🔥♥️
@jay-bblueband71402 жыл бұрын
Pol
@AliphosBukombe4 ай бұрын
Sofia sofia
@amosjulius70272 жыл бұрын
Huyo bassesit siyo Jojoo kweli?
@HaKuNaMaTaTa101eNT2 жыл бұрын
💥💥💣
@harrisonarts36172 жыл бұрын
✅✅✅
@nzalatv59272 жыл бұрын
Mzk tofaut tofaut
@abdallahgaillah76502 жыл бұрын
Kitu cha chrismas na mwaka mpya Safi sana kijana👏2022 2023