Nolilagaaaaaa, Nolilga Wewe Mamaaaaa Nikifikiria J4. Hii ni kwa ajili ya kuwaenzi na kuheshimu wazazi na kuthamini mchango wao kwa Malezi yako.
Пікірлер: 194
@OmmyyMsangi23 күн бұрын
Hapa namkumbka mtangazaji anaitwa dijaro warungu tbc fm daaah wa 2025 tujuane kwa like
@Baharia92Ай бұрын
Mwenyezi MUNGU naomba uwajaalie wazazi wangu afya njema zaidi uwaepushe na magonjwa na ukazidi kuwapa miaka mingi zaidi duniani Amin
@HuseniSaidi-d5l2 ай бұрын
23/11/2024 nip hap nakumbuka❤❤❤
@kale_maga2 ай бұрын
5-12-2024 naomba ridhaa yako daddy nifanye remix
@Zakhchannel Жыл бұрын
2024 hii ngoma pendwa kwangu❤❤
@anorldmarandu4725 Жыл бұрын
26.01.2024 nyimbo nzuri mno kwa namna yeyote lazima uwakumbuke wazazi wako hata kama wametangulia mbele za haki Kuna namna utafeel something.
@AnnastaziaFelician Жыл бұрын
2024 Niko hapa nachek
@Paskalemilistemilist10 ай бұрын
Tupo pamojaa mama Yangu kipenzii Leah pascal mapuma na mr EMILIST john nawaheshimuu Sana'a wazazi wangu mungu hawapee maishaa marefu mama Yangu na baba nawapendaaa sanaa mama y🎉🎉🎉❤❤❤❤
@MilitonAmos5 ай бұрын
Ii nyimbo naomba ipande dalaja zaidi make sote tumezaliwa jinsi ulivyo ndivyo ulivyo lelewa🙏🙏🙏 asante mungu kwawema wako
@Baley-M.a.b Жыл бұрын
23/01/2024 nimebahatika kuhusikia tena mwimbo wangu pendwa Amen 🙏🙏 God bless my parents
@wallesmdoe91642 жыл бұрын
Nyimbo nzur sana 2022 Tuko wangapi tunaofatilia muzk huu Goga like apo👇
@Issanuru83o7 ай бұрын
18.6.2024 kitambo hicho ndani ya T.B.C fm unakutana na Dijaro warungu .tumshukur mungu kutuweka had sasa.
@AshaIddy-y3m11 ай бұрын
mungu akulaze salama baba yangu😭😭🙏
@ismailisack-zo3lq9 ай бұрын
Jamani huyu kaka angefika mbali sana jaman Yuko wap
@deovisual Жыл бұрын
07 Feb 2024, nimeutafuta kuusikiliza tena
@aginsagins-jf4vz5 ай бұрын
Niliitafuta sana hii nyimbo leo nimeipata.
@VivianMajaaliwa5 ай бұрын
Daah ubarikiwe uliye imbaa tuwakumbuke wazazii wetu jaman bila waoo tusingekuwepo❤❤
@danielmlengu74568 ай бұрын
2024 tena
@reginardkanza14025 ай бұрын
Huu ni wimbo Bora kuliko zote Tanzania inaujumbe mzuri sana
@suleimanomar59564 жыл бұрын
Waliopoteza Mama au Baba au Wote Naomba Tujuane Hapa. Mungu Awalaze Wazee Wetu Pema Peponi...Ameen.
@chanelyanyimbozayanga65693 жыл бұрын
Inauma xna R.I.P mydear dady😭☹️😟😕☹️☹️😟😕
@kimweritz63643 жыл бұрын
R. I. P My deceased father
@catherineshirima86433 жыл бұрын
R.i.p mom
@dausonpaulmaguru70682 жыл бұрын
Ameni
@nurujuma6912 Жыл бұрын
anauma sana kupoteza mzazi au wazaz maumivu hayazoeleki kwakwelii
@davidpatrick8982 Жыл бұрын
Dah hii ngoma 🤔 2024 respects 🙌
@mwanakhatibu37224 жыл бұрын
10-4-2020 wangapi tunaangalia leo like naomba mwenyezi walaze mahali pema peponi wazazi wang
@jumanneiddi41144 жыл бұрын
🙏🙏🙏amiin
@mwanakhatibu37224 жыл бұрын
@@jumanneiddi4114 broo tuletee vitu
@jemaalphonce22794 жыл бұрын
🙏🙏🙏 Amin
@wamwerutv63264 жыл бұрын
@@jumanneiddi4114 mungu awapunguzie wazaz wangu adhabu za kabri
@CalvinJames-k1s3 ай бұрын
November 1, 2024 😭😭😭😭 nawapenda wazazi wangu😭😭😭
@laddoonlinetv2363 Жыл бұрын
2023 bado tupo nayo
@wilcasterlungwa5274Ай бұрын
tunaomaliza mwaka kwa kusikiliza huu wimbo tujuane👆👆👋👋
@BELINANDEMBO Жыл бұрын
Nimemiss sana mamaangu na babaangu
@aginsagins-jf4vz5 ай бұрын
Nyimbo nzuri inanitoa machozi japo wazazi wangu wote wapo hai natamani siku moja nipate kitu kizuri nikawape nikawaimbie hii nyimbo
@emmanuelbonaventura42583 ай бұрын
Mungu akujaalie ufanikishe ndoto hiyo
@aginsagins-jf4vz3 ай бұрын
@emmanuelbonaventura4258 Aamen
@BELINANDEMBO Жыл бұрын
Nimewakumbuka sana baba na mama nawombea huko mliko kwani mlikua watabiri wa kubwa wa maisha yangu yote mlionambia yote yananitokea
@emmanuelonesmo703418 күн бұрын
20/01/2025 Mashairi yamenyooka mno kwenye wimbo huu Heshima kwako Jumanne Idd
@MARCUSF.GARCIA-yt1ep7 ай бұрын
Daaaaaaah hii ngoma hii inanifanya nilie 😢
@sodiumchloride85582 жыл бұрын
wangapi tupo nao hapa 2023😃😃😃bonge la song😘😘😘
@AshaIddy-y3m9 ай бұрын
baba yangu😭😭😭😭
@pastor_elia_A.B4 жыл бұрын
ifanye remix mashairi hayo hayo alaf fanya kisasa
@AbdallahRama-z4v2 ай бұрын
29/11/2024 eeeh mungu watunze wazazi wangu wape afya njema
@RumeysaHussein7 ай бұрын
Unanikumbusha mbalisanaa
@fatmaidrisa86663 жыл бұрын
Mung awape maisha maref wazaz
@giftjohn93256 ай бұрын
Bonge la ngoma
@MihayoPaul5 ай бұрын
Nilikua form one 2004 bado naiskiliza leo
@marthebukonka44105 ай бұрын
Repose en paix mon papa et que Dieu bénisse ma mère
@killer_effects Жыл бұрын
niliisaka hii song leo nimeijua jina
@LucyStephano-m6f Жыл бұрын
Napenda sana hii nyimbo huwanawaombea wazazi wangu maisha marefu
@jabirikilagilile97994 жыл бұрын
Kaka hii ngoma kali mnooo ila hujui tu hebu fanya video kaka wamama unawashika sanaa mtaani wimbo una hisia huuu wimbo wako unapigwa sanaa ila mwenyewe hujali yani kama uliufanya kwa bahati mbaya vilee inauma sanaa moro tunakupenda sanaaaa njoo ufanye show uone mambo moro ndio kitovu cha music
@jumanneiddi41144 жыл бұрын
Asante kaka nitafanyia kazi ushauri wako
@calvinchars84 жыл бұрын
Mungu awalaze mahali pema pepon wazazi wangu ameeeeen
@ElishaSolomoni-kc4zk Жыл бұрын
@calvinchars8 pole xna ndg yetu pole
@LizzyNyange13 күн бұрын
Mungu amlaze mama angu mahal pema peponi amin
@SalumHamis-v1f7 күн бұрын
Mama❤❤❤
@calvinb683 жыл бұрын
🙏🙏hii song nmeitafta kinoma bg up san j4
@LucyStephano-m6f Жыл бұрын
Naenda sana hii nyimbo huwanawaombea wazazi wangu maisha marefu
@thomasmwaipale26212 жыл бұрын
Kama kuna anasikiliza ngoma nzuri mpaka leo 09/2022 tujuane
@MwanahabMwenjuma Жыл бұрын
🎉niatar kaka tupe video yake bas
@ElishaSolomoni-kc4zk Жыл бұрын
Whose here 2024
@jabirikilagilile97994 жыл бұрын
We love the song good meseji bit imeshika sanaaaaaaaaaaa sauti safiiiiiiii sio kama zingine matusi tuuuuu mwanzo mwishoo
@jumanneiddi41144 жыл бұрын
Asante sana
@reginardkanza14025 ай бұрын
2024 Rich plumbing
@naomimasudi41 Жыл бұрын
Alooo ukisikiliza hii ngoma hadi unaweza lia 2023
@mariamkimweli22424 жыл бұрын
Jaman nimekumbuka mbali sana kipindi cha uhai wa😭😭😭😭 wazazi wangu mungu awalaze mahalipema pepon Amina🙏🙏
@hassanabdy40943 жыл бұрын
Pole Sana ndugu yangu duh inasikitisha Sana
@sikujuaiddy24285 жыл бұрын
Jamani nolilaga nolilaga muziki unaongeaaaaaa awoteeeee
@jumanneiddi41145 жыл бұрын
😆😆😆😆
@patyropasa1044 жыл бұрын
Umenikumbusha mbali sana enzi za Djalo Arungu..
@jumanneiddi41144 жыл бұрын
🙏🙏
@salamamohammed54463 жыл бұрын
@@jumanneiddi4114 toa video my ii nyimb ni mzuli
@MazaoSaimon Жыл бұрын
Niko Mumbai imenikumbusha mbali
@quantumboy6535 жыл бұрын
Sometimes linatoa chozi ....hii nyimbo😢😢
@jumanneiddi41145 жыл бұрын
Yaah hii inafundisha sana
@wallesmdoe91642 жыл бұрын
@@jumanneiddi4114 namkubari sana 🪴 mtumishi
@NeemaOnsama Жыл бұрын
Jamani you wimbo inaujumbe mzuri na unaumiza
@kimweritz63643 жыл бұрын
Daaaah kitambo sana wasanii wetu wakowapi hawa
@seiphhemedy52094 жыл бұрын
safi sanaaaa j4
@alexkowile2914 жыл бұрын
Atari sanaa mzee wakazi nyimbo aiji chuja iiiii
@saimjonas4 жыл бұрын
Nakushauri weka video, hii ni nyimbo kubwa sana
@jumanneiddi41144 жыл бұрын
🙏🙏
@jersonmpeka4984 Жыл бұрын
Nyimbo inajumbe mzito sana
@juliusonesmomfumya87094 жыл бұрын
Dah broo ultisha sana haitakuja kuchuja maana nakumbuka tangu nikiwa kadogo hii song ilibamba kichwan
@jumanneiddi41144 жыл бұрын
🙏🙏
@leylathemed94374 жыл бұрын
Atariiiiiiiiii sio p unaweza sichok kusikiliza hii ngoma
@MNYALU_OG5 жыл бұрын
Kitambo Sana inanikumbusha mbali sana
@jumanneiddi41145 жыл бұрын
Sure
@stancreezzy55004 жыл бұрын
@@jumanneiddi4114 kitambo
@benedictimlali6264 жыл бұрын
Daah hii Ngoma imenikumbusha mbali Sana boe unaweza
@jumanneiddi41144 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@HusseinaliPereketeke Жыл бұрын
Fanya video kk, mm kila siku nausikiliza sana, na hunitoka mchozi,
@athtz9 күн бұрын
2025🔥
@adamkadiri38644 жыл бұрын
Nice brother P1 sana
@meryaanadominic70758 ай бұрын
16.05.2024 like 😢
@ChukiNjilinge Жыл бұрын
Hii nyimbo MashaaAllah
@venancymchizi2794 жыл бұрын
Kitambo sana Yani nime kumbuka mbali sana kipindi nipo nyachilo yani
@valerianmchau73682 жыл бұрын
Broo hii nyimbo uliimba mungu akubariki kwa ujumbe huu
@chanelyanyimbozayanga65693 жыл бұрын
Nani baba kashalala km tujuane apo jaman2021
@hassanabdy40943 жыл бұрын
Nimekubali San hio song dunh sopoa
@LizerCurtain8 ай бұрын
Good
@godfreynyoni462310 ай бұрын
Kitambo
@AnordErio Жыл бұрын
Nyimbo itaishi mpaka jua litakuwa la njano
@amymuomary72684 жыл бұрын
2020/7/ gong like Allah abariki wazaz wetu kwa walio hai na kwa walio tangulia mbele za allah awapunguzie adhabu za kabuli amiiiinnnn
@khojarobebebebebebebebe93293 жыл бұрын
Enzi hizo dijaro arungu kwny kipind lazima aipige hii nyimbo
@johnmwita31234 жыл бұрын
Dah noma sana
@redpromediat.o.tstrongteam16795 жыл бұрын
Safi Sana kiongozi. Nipo Boise Idaho Usa 🇺🇸. Siku yangu imeanza Poa na wimbo huu.
@jumanneiddi41145 жыл бұрын
Pamoja sana
@JohnEliya-m6u Жыл бұрын
Nyimbo itaishi milele
@SaidNapanja-ib2pe Жыл бұрын
Mama Ashifaina ni mshabiki wako mkubwa
@alimiahbakari78063 жыл бұрын
Hizi ndio nyimbo za kusikiliza ., meseji yke inaumuhimu sana haipitwi nawakati
@salamakombo32574 жыл бұрын
Good jumanne iddi
@jumanneiddi41144 жыл бұрын
Thanks 🙏
@chanelyanyimbozayanga65693 жыл бұрын
2021 July apo... Malike yng tafadhali kwa my dady R.I.P😭😭😭😭😟😕☹️😟😕
@NNONGWA11 ай бұрын
J4, wapi mdogo wanguuu.?Music je? Usiwatelekeze washabiki wakooo
@erastobefoodproducts3 жыл бұрын
Kweli man dah!
@Beautybylucky Жыл бұрын
2023
@mohamedngotwike79692 жыл бұрын
Hii nyimbo itaishi milele dah
@frankmiraco98445 жыл бұрын
Kali
@jumanneiddi41145 жыл бұрын
Asante sana
@soudsaid3403 жыл бұрын
2022 bado chuma akijavuja
@AnordInnocent-p3d Жыл бұрын
Kaka huu wimbo mkali naomba utoe vdeo kk nakuombea kk
@livinusjulius57974 жыл бұрын
Kama mpka 2020 unasikiza huu wimbo gonga like
@allyburhan92354 жыл бұрын
Duh thanks God nimeitafuta sna hii nyimbo
@CarlB525 ай бұрын
Utakuwa husalimi watu ndio maana umeitafuta muda mrefu😂😂😂
@laurenthenry98284 жыл бұрын
Umeimba wimbo wenye meseji asante sana
@hafidhmbaraka40074 жыл бұрын
Dulla jokeri
@frankhoffa83565 жыл бұрын
Very good Mr aidd. Wimbowako unaishi aise!
@upendomziray81764 жыл бұрын
Napenda sana huu wimbo unafundisha kuheshimu wazazi na kuwajal