#Exclusive

  Рет қаралды 69,360

BENTV MEDIA

BENTV MEDIA

Күн бұрын

Пікірлер: 218
@habibumavulla
@habibumavulla Күн бұрын
Kaka Jastini kess sikudai unajuwa sana kuchambuwa wala upindishi maneno na ukosaii sana kaka nakufatilia sana piga kazi kaka.🎉🎉🎉🎉
@DIVINEPROMISE-c1n
@DIVINEPROMISE-c1n Күн бұрын
Wachambuzi wetu wangekua hivi mpira ungeheshimiwa
@dominickiungulia1016
@dominickiungulia1016 2 күн бұрын
Uncle Kessy ni mchambuzi mzuri sana nakupongeza!
@KelvinMtavangu-ow8yo
@KelvinMtavangu-ow8yo 22 сағат бұрын
Yes, Kaka Justin Kess, congrat for your good football analysis. You really know how it is. Asante .
@gorethzilyahuramu7895
@gorethzilyahuramu7895 Күн бұрын
Safi Sana kaka kess maneno yako niya ukweli kabisa.
@salimdiabyonlinetv4873
@salimdiabyonlinetv4873 Күн бұрын
Kessy Akili Nyingi Sana, Wakikuskiliza Simba watapata Kukua japo, Kiukweli Management ya Simba ni Mbovu, Yanga Alhamdullah Twaendelea Uzuri ❤, Tunaushukuru Uongozi Sana wa GSM ❤.
@SarhaSaid
@SarhaSaid Күн бұрын
Kaka uko vizuri 🎉🎉
@omarypizza6992
@omarypizza6992 Күн бұрын
uko vizuri kaka
@RashidShabansalmin
@RashidShabansalmin Күн бұрын
Kaka umetisha mung akueke maish maref amn
@BakariMsoka
@BakariMsoka 2 күн бұрын
Mungu akubariki Sana nilianza kuku fuatiria tangu ukiwa East African wewe na mwenzako Goza chuma Sijui yukowapi kamanda wangu
@MilliamMangare
@MilliamMangare Күн бұрын
Safiiiiiiiiiii❤❤
@erickganira6324
@erickganira6324 Күн бұрын
Justin kessy papa WA Roma
@Izzoh2021
@Izzoh2021 2 күн бұрын
Umeongea point kubwa sana kaka,nimakosa sana viongozi kuropoka ropoka ya ndani wanaonekana kama wamesha ishiwa na mbinu mapema na nikikundi cha wauni tu na wanatafuta pakutokea,waache udunduka na watengeneze team na sio kusubiri maamuzi wawape matokeo
@allysinde6208
@allysinde6208 Күн бұрын
Umetisha Sana Kessy
@SantinaChale
@SantinaChale Күн бұрын
Hongera sana kaka yetu we kweli unajuwa uchambuzi.siyo wachambuzi wetu wa mchongo
@SevarinijrChitanda
@SevarinijrChitanda Күн бұрын
🔥🔥🔥
@AliyHamisi-jr5ve
@AliyHamisi-jr5ve Күн бұрын
Unaongea ukweli big up
@mussabeda
@mussabeda Күн бұрын
Pole bado mtasema yanga raha
@AngelinaHassan-fe3jp
@AngelinaHassan-fe3jp Күн бұрын
Fact
@charlesmichael4467
@charlesmichael4467 2 күн бұрын
4 times beat to our main contender ..steel 4th to ward a cup...time will tell.
@PerfectMassasi
@PerfectMassasi 2 күн бұрын
Serikari haitumii Sheria ya watu wanao tumia lugha isio stail mtanndaoni Ili kukomeaha! Maana wengine wapi hapa bongo!
@AmaniMnzava-g5r
@AmaniMnzava-g5r Күн бұрын
Kessy your the best hakuna mkweli kama wewe ktk uchambuzi
@raymondswed7358
@raymondswed7358 Күн бұрын
Amelazimishwa sio amezalimishwa.. Mwandishi wa habari unazingua sana😂😂😂😂
@mustaphaathumani5843
@mustaphaathumani5843 Күн бұрын
Mwandishi anauliza vizur sana hongera
@Majhidymhessa
@Majhidymhessa Күн бұрын
Mr,Kessy uko sahihi sana na uko vizuri. Hakika unajua kufafanua ball..... Waambie hao Simba waache kuwavunja mioyo wachezaji kwa kweli
@barakawabuge5285
@barakawabuge5285 Күн бұрын
Shabiki pekee wa kolo asiyestahili kuitwa panya rodi🎉
@ElizaYanga
@ElizaYanga Күн бұрын
Haswaaaa
@RaphaelHenryMkude
@RaphaelHenryMkude Күн бұрын
Vizuli umechambua vizuli sana unajua
@GustavJoni
@GustavJoni Күн бұрын
Uko pw Sana kwa uchambuz
@BeatriceSoka-c7c
@BeatriceSoka-c7c Күн бұрын
Huyo chsma hana issue ni kite tuu
@HASSANABDALLA-uw2ui
@HASSANABDALLA-uw2ui Күн бұрын
Weldone Justin Ile ya diara na ateba alikuwa anafanya golkipa mmoja tu, Justin mkumbuke golkipa anaitwa compos
@allysinde6208
@allysinde6208 Күн бұрын
Yani unanyoosha kama Rula... Nakuelewaga sanaaa!!!
@DominicMakamba
@DominicMakamba Күн бұрын
Kessy ni Mtu na Nusu. Mchambuzi Makini Sana na Unajua Soka.
@ShijaMihayo-e5j
@ShijaMihayo-e5j 2 күн бұрын
Ww kipala unaakil tunajua nyenye kipala unaakili ww unaakili
@FahadBurhan-dl9ik
@FahadBurhan-dl9ik Күн бұрын
Justin Kessy akili kubwa mwamba sana😅
@Ndiko-d2o
@Ndiko-d2o Күн бұрын
Pengo lenu ni kiungo mchezeshaji tafuteni mbadala wa chama
@Abuu-gs1yi
@Abuu-gs1yi 14 сағат бұрын
Nyie hamna pengo mko vizuriiii mno
@josephgalandu128
@josephgalandu128 Күн бұрын
Tuliwaambia wanashinda kwa timu mbovu mkitana na Yanga ndo kipimooo
@NgasaLuhamba
@NgasaLuhamba Күн бұрын
Kolo naye kathaminiwa na GSM?
@speciallvoice8091
@speciallvoice8091 2 күн бұрын
Sema Kess uko vzr Sana
@SamweliMwamlima-g9v
@SamweliMwamlima-g9v Күн бұрын
yeah
@GustavJoni
@GustavJoni Күн бұрын
Kipigo kikigeuka naomba tuwe wapole jamani.yangu msiende kwa mama kulalamika.
@charlesmugisha6529
@charlesmugisha6529 Күн бұрын
Naomba nijue unatumia kinywaji gani nitakuja kulipa.
@jumannemsengi2195
@jumannemsengi2195 Күн бұрын
MAKOLO wenzio lazima uwasifie hufanyi vibaya kwa kuwa ni matashi yko toka MOYONI mwako , ucjichanganye kama msemaji wenu Ahmed Aliy , kusifia usajili mbovu YANGA ipo vizuri tuache kujidanganya wachezaji wanajisahau kama maneno aliyoisema Ateba fc acha basi mapenzi mpka mdomo unachacha
@GustavJoni
@GustavJoni Күн бұрын
Lakin usisahau yanga nao walianza kulaum Azam TV hiyo imekaaje zungumza kuhusu hiyo
@mussabeda
@mussabeda Күн бұрын
Simba mbavu than 0 - 1
@CIFSeries
@CIFSeries Күн бұрын
Bro unajua namna ya kuchambua soccer kiufundi zaidi Allah akutunze na akupe siha njema
@FabianJumaGalula
@FabianJumaGalula Күн бұрын
Jasitini ni mmoja 2 naatabaki hamung'unyi maneno
@GedionMollel
@GedionMollel Күн бұрын
Wew ni mwisho ukweli mtupu
@MasanjaMasanja-mz3ll
@MasanjaMasanja-mz3ll Күн бұрын
We jamaa ni noma!!
@fredamlima1150
@fredamlima1150 Күн бұрын
Bro Kessy tumekuelewa sana upo vizuri kwenye kuongea ukweli
@AhmedKasuku
@AhmedKasuku Күн бұрын
Timu kama Simba haiwezi kuwa na ofisi Msimbazi pale.
@AhmedKasuku
@AhmedKasuku Күн бұрын
Hili ni eneo la biashara kaka
@RobertHamiss
@RobertHamiss Күн бұрын
! ! !
@jumaissa7587
@jumaissa7587 Күн бұрын
justine naomba namba yako ili nikupe maneno yako live
@Zulfashaban-zj8hz
@Zulfashaban-zj8hz Күн бұрын
Kaka nakupendaga sana
@ekimnkande2873
@ekimnkande2873 Күн бұрын
KAKA HUJAONA MAKOSA YA REFA
@fabiandanford3572
@fabiandanford3572 2 күн бұрын
Leo kesy umenifundisha kitu sana kuhu kunufaika😂😂😂
@yuzolove7120
@yuzolove7120 2 күн бұрын
Kaka umeongea ukweli
@patridabernard9148
@patridabernard9148 Күн бұрын
Huyo kiongozi ni zwazwa na hawana jipya na Bado walalama sana Hadi wafukuze kocha
@MunaMohammed-j3m
@MunaMohammed-j3m Күн бұрын
Mech ilikua 50/50
@RenatusMatungwa-o7c
@RenatusMatungwa-o7c 2 күн бұрын
Valentino mashaka ana goli 2
@SaidyMwajeka-p2v
@SaidyMwajeka-p2v Күн бұрын
Nice justin 👍🎉🤝💚💚
@FridanyoniFridanyoni
@FridanyoniFridanyoni Күн бұрын
Vaa wanayo thimbaaaaa
@luganomwakijabilwa9191
@luganomwakijabilwa9191 14 сағат бұрын
Yupo sahii sana dabo dabo dabo niliwambia watu azam wamejichanganya kumuondoa dabo mapema
@alphoncealmack9240
@alphoncealmack9240 2 күн бұрын
Na hata mechi ya ngao ya jamii simba na Yanga refa aliinyima Yanga goli 3 lkn bado walipiga kelele wamenyimwa penat ambayo si goli maana penat waweza kukosa, hawaoni hayo yote.jana kayoko ameminya pande zote lkn wao ndio kelele tu. Na wanajua fika timu yao bado sana kuweka bato na Yanga
@alisalmin512
@alisalmin512 Күн бұрын
JUSTIN MDOGO WANGU NAULIZA HII SIMBA YA SASA AKIONGEZWA FEITOTO INAWEZEKANA YANGA KUFUNGWA ????
@revmsamilaofficial6607
@revmsamilaofficial6607 Күн бұрын
Mimi ni Simba, wewe ni Yanga lakini nimekukubali unaongea facts sio ushabiki. Mchome ni chawa anaongea ushabiki. Uko vizuri ndugu Born City unayelijua soka.🙏🙏🙏
@maxmillianmarwa5943
@maxmillianmarwa5943 Күн бұрын
Huyu jamaa anasema kweli kabisa, jamani viongozi wa simba sikilizeni
@devotabashome1090
@devotabashome1090 Күн бұрын
Nimekusoma vizuri.....mtenda akitendewa........
@tezuramziray8700
@tezuramziray8700 Күн бұрын
Jamaa unajua sana
@Hajimajoka-k9c
@Hajimajoka-k9c 2 күн бұрын
Kaka nakuelewa sana ww ni mkweli.
@erickganira6324
@erickganira6324 Күн бұрын
Justin kessy wewe ndio papa WA Roma kwa soccer ya East ...naomba uvuke uanze kuchambua derby za east Africa
@omarymtandi
@omarymtandi Күн бұрын
Kesi upo sawa naamini unafanya uchambuzi kupata furaha co njaaa
@officialjayclassic577
@officialjayclassic577 Күн бұрын
SEMA naona kina kabwili wagawa 0 ndo wanashabikia alichokiongea huyu choko mwenzao
@iddysekamba
@iddysekamba Күн бұрын
Choko niyule aliefungwa mara 4 mfululizo
@SophiaLinus-s9i
@SophiaLinus-s9i Күн бұрын
Hivi ateba alifunga goal ngapi maana aliwaahidi wanasimba kwamba ataifunga young Africans
@gaspernsajigwamwaiswagha6071
@gaspernsajigwamwaiswagha6071 Күн бұрын
Huu jamaa anongea kitu ambacho ni sahihi
@ShaniBilary
@ShaniBilary 2 күн бұрын
Hongera
@musamshema7838
@musamshema7838 Күн бұрын
Munguwangu Kunawatu watakufa humu
@josephgalandu128
@josephgalandu128 Күн бұрын
Malalamiko fccccccc😂😂😂😂
@MunaMohammed-j3m
@MunaMohammed-j3m Күн бұрын
Yaani.huoni aibu uyanga umekithori lwako
@aminasogo5780
@aminasogo5780 Күн бұрын
Maneno kuntu kaka
@ibnmally424
@ibnmally424 Күн бұрын
Huyu sio mchambuzi ni shabiki
@Nasskhef
@Nasskhef Күн бұрын
Ni kweli basi wacha lile goli tukupeni nyinyi lichukueni haya mmeshinda sawa broo?
@alphoncealmack9240
@alphoncealmack9240 2 күн бұрын
Makolo lzma wajue uwezo wa Yanga ni mkubwa sana. muda wanaotumia kupiga kelele wautumie kujenga timu yao.si kutupigia kelele wakat uwezo wao tunaujua fika
@PeterMdulla
@PeterMdulla 2 күн бұрын
Ni kweli kaka
@chrysanthushakaunga6560
@chrysanthushakaunga6560 2 күн бұрын
Bro uwezekano wa yanga kuchua ndoo ni mkubwa sana
@JayHassan-cd2vg
@JayHassan-cd2vg Күн бұрын
Miaka simba alipokuwa anachukua makombe back to back ulikuwa ujasomea uchambuzi
@MunaMohammed-j3m
@MunaMohammed-j3m Күн бұрын
Mbona yanga ikionewa unaongea
@mwinyihijaramadhaniseif1100
@mwinyihijaramadhaniseif1100 2 күн бұрын
Semaukweli shehe.wanamraumu lefa bur
@GadsonEnos
@GadsonEnos Күн бұрын
Nani Sasa Rofa ambae hana Office Simba au YANGA Simba ndo Marofa
@AbelChisasi
@AbelChisasi 2 күн бұрын
Mwamba kessy unawaumbua, makolo watakuchukia bure
@HusseinYusuphsimile
@HusseinYusuphsimile Күн бұрын
Hanalolote mnafiki TU huyo. Anajaza tumbotu.
@geraldbagole4494
@geraldbagole4494 Күн бұрын
Kitu cha kwanza kwanini wachezaji wa Simba wanaumia tuna approach Derby?Kama Hamza na Kagoma wasingeumia,wazee wangeabika tu.Quality ya Simba ni bora sana.Huyo Kayoko sijui kama anakuwaga yeye,kijana mkatili sana😂
@Abuu-gs1yi
@Abuu-gs1yi 14 сағат бұрын
Duh,,, TUMEWASHENYENTA TENA bhana
@abdallahakida7908
@abdallahakida7908 2 күн бұрын
Mpira mnauharibu tff wache kutangaza marefa kabla ya mechi acha wamuzi watajwe siku ya game kabla ya masaa mawili kuanza game
@nyangumimedia7013
@nyangumimedia7013 Күн бұрын
umesahau SIMBA na DODOMA JIJI alinufaika na penat kwakuwa yeye mkubwa
@abdulkarimnassor284
@abdulkarimnassor284 Күн бұрын
Baadae mtabadilika tu,hatutawaelewa
@jumaissa7587
@jumaissa7587 Күн бұрын
Sasa unakumbuka huko nyuma ulimponda chama kwa uzee wake wakati yuko simba?Sasa amekua kijana.
@hopefully7090
@hopefully7090 Күн бұрын
Hamna mchambuzi hapa huwezi kuwa mchambuzi kwa kuattack upande mmoja
@Abuu-gs1yi
@Abuu-gs1yi 14 сағат бұрын
TUMEWASHENYENTA TENA bhana
@abdulikilala5902
@abdulikilala5902 Күн бұрын
Kesi ww matako tuu alafu ww yanga ndo maaana unaongea upumbavu pumbavu tu yanga walibebwa alafu unaongea utaira nenda huko
@SophiaLinus-s9i
@SophiaLinus-s9i Күн бұрын
Young africa bingwa unaifungaje ?
@Abuu-gs1yi
@Abuu-gs1yi 14 сағат бұрын
TUMEWASHENYENTA TENA bhana
@AbelShija-v1o
@AbelShija-v1o Күн бұрын
Ukwel mtupu na ukwel unauma vibaya mnoo
@augustinemainde
@augustinemainde Күн бұрын
Dawa inaanza kuwapata mpira hauna mbamba😂😂😂😂😂😂
@AbelChisasi
@AbelChisasi 2 күн бұрын
Kessy uko vizuri mwamba, waambie hao makolo
@jumaissa7587
@jumaissa7587 Күн бұрын
Wewe kessy wacha ujinga,simba haina jema kwako.Tafadhali usituchambulie mechi zetu,achana na sisi.
@GodlistenMunuo
@GodlistenMunuo Күн бұрын
Duuh kumbe simba hawana hata ofisi kweli makolo ni hewaaaa
@pinomjata678
@pinomjata678 Күн бұрын
Magori kafanya makosa lakini hujui kuchambua unaongea ushabiki kufungwa kwa sio lazima kwamba mpinzani alikuwa bora. Ubora wa Yanga ulikuwa wapi jana? Umedanganya kwamba Ulaya timu zinachagua marefa sio kweli. Pia kuhusu mkuu wa marefa alikuwa analaumiwa ni mshabiki wa United na anavalishwa jezi za United ni uongo. Unaongea kiushabiki sana, unashindwa kuongelea mechi ya jana wewe ni ushabiki tu, halafu unaongelea walichokisema wengine kuliko mtazamo wako. Hujawahi kuongea vitu vya maana kwenye football kazi yako ni kujisifia, kupotosha watu na kuongea kinafiki. Hata wewe acha ushabiki ongelea soka. Kwani Baleke, Musonda, Mzize na Dube wana magoli mangapi. You are off topic
@amanilupembe9788
@amanilupembe9788 2 күн бұрын
Bro unajua bolly
@sittandaki2135
@sittandaki2135 Күн бұрын
Kwakuwa amesifia Yanga😂😂😂😂😂😂
@salimramadhani5237
@salimramadhani5237 Күн бұрын
wamepakwa futwa na didy😂😂😂
Это было очень близко...
00:10
Аришнев
Рет қаралды 5 МЛН
龟兔赛跑:好可爱的小乌龟#short #angel #clown
01:00
Super Beauty team
Рет қаралды 67 МЛН
ROSÉ & Bruno Mars - APT. (Official Music Video)
02:54
ROSÉ
Рет қаралды 90 МЛН
НАШЛА ДЕНЬГИ🙀@VERONIKAborsch
00:38
МишАня
Рет қаралды 2,8 МЛН
MPOKI MUHUDUMU / BROTHER KEY TAJIRI
30:27
BONGO LAND
Рет қаралды 168 М.
MZEE SAIDI WA SIMBA AKIISIFIA YANGA
9:11
Mnuano Tv
Рет қаралды 2,2 М.
JINSI YA KUJILINDA NA UCHAWI NA WACHAWI: SHEIK JUMA KONDO BUNGO
46:37
SIMULIZI ZONE (SZ BONGO)
Рет қаралды 18 М.
LIVE JOGA BONITO: SIMBA NA YANGA WAVUNA POINT TATU LEO
Crown Media
Рет қаралды 101
GB 64 MNYAMA SIMBA HASHIKIKI, TARATIBU TUTAELEWANA TU
14:03
Ngwale Sports HD
Рет қаралды 2,4 М.
Это было очень близко...
00:10
Аришнев
Рет қаралды 5 МЛН