#live

  Рет қаралды 6,950

BENTV MEDIA

BENTV MEDIA

Күн бұрын

Пікірлер: 58
@asantelaizer6674
@asantelaizer6674 7 сағат бұрын
Bro nakubali sana unawaelimisha wasiojielewa,,, endelea Kaka ipo siku wataelewa tu
@FaharuAdam-zm5ce
@FaharuAdam-zm5ce 8 сағат бұрын
Dah kweli unaongea point tu
@evaristgaspa6074
@evaristgaspa6074 5 сағат бұрын
Ambokire kama unanamba ya azizikii mpigie umshauri anashuka kiwango porepore sisi mashabiki wayanga tunaona
@flova7022
@flova7022 5 сағат бұрын
Mme wa mchome
@SimonMabigi
@SimonMabigi 7 сағат бұрын
Daaah ukweli mchungu we nichambuz unaenyooka😂
@EbeEbe-j6l
@EbeEbe-j6l 5 сағат бұрын
Sema ukitaka umfaidi huyu jamaa we chambua mchele pumba achana nazo sometimes anatema point nzuri sana mfano anavyochambua matatizo ya magement kwenye timu za Kariakoo 😂
@alfredbowa9677
@alfredbowa9677 5 сағат бұрын
Mandundu kwani hawajui wanajifaliji kwakujitekenya tu
@CHARLESJUMANNE-d3m
@CHARLESJUMANNE-d3m 7 сағат бұрын
Wambie baba ,wambie
@erasmuskwayu5643
@erasmuskwayu5643 9 сағат бұрын
Waambie hao Makolobwanji
@sarahkinyashi6213
@sarahkinyashi6213 7 сағат бұрын
Ninachojua ENGINEER ni RAIS wa YANGA,pia ni mwenyekiti wa vilabu barani AFRIKA🙏🙏🙏🙏cvngine💛💚💪
@GodfreyMwendawila-ff7on
@GodfreyMwendawila-ff7on 7 сағат бұрын
kuna msenge anaita watu kafili na hajui maana ya kafili kweli inahitajika elimu kubwa sana kwenye maisha
@marialumbanga
@marialumbanga 5 сағат бұрын
Usitumie nguvu nying kwanza unatakiwa ujue maana ya kafiri
@MethodkifokaMethodkifoka
@MethodkifokaMethodkifoka 7 сағат бұрын
Una kiti chako mbinguni
@gwakisagedion457
@gwakisagedion457 4 сағат бұрын
Kwhiyo kikosi cha fountain Gate ni kipana sio...timu imefunga mabao 27 imeruhusu 13 alafu inashinda nyumbani ti unaifanaisha na simba...
@hawamasanje9589
@hawamasanje9589 7 сағат бұрын
Waambie Ambokile Simba hawajielewi ushamba umewajaa kila siku kumsema Eng Heris atabaki kuwa mwenyekiti wa Vilabu na Simba ikiwemo watazidi kubishia kwa kukosa akili
@MeckMsea-cx1ct
@MeckMsea-cx1ct 6 сағат бұрын
Acha kujipendekenza wew unapenda sana sifa unatumia nguvu nyingi ww
@djnizoh
@djnizoh 8 сағат бұрын
Hakunaga mwaisa mshamba
@gwakisagedion457
@gwakisagedion457 4 сағат бұрын
Kwani nani alikwambia chama timemuombea mabaya yanga..kwani simba ni kama mashabiki wa yanha wanaotupia watu majini
@EbeEbe-j6l
@EbeEbe-j6l 5 сағат бұрын
Sema huyu jamaa muongo kichizi 😂😂😂 ila sometimes hua anaongea point.....mimi kama shabiki wa Yanga nawashauri wana simba mpuuzeni tu anafata upepo huyu jamaa juzi kati alikua anasema Yanga imeshasha flop Simba itabeba ndoo leo tena kageuka 😂😂
@IssaHussen-v4p
@IssaHussen-v4p 6 сағат бұрын
We bwege ndugu
@sijaonamjungufinias481
@sijaonamjungufinias481 6 сағат бұрын
Wewe ngogwe kwani aliyefunga lile goli ni nani, ubora wa ngogwe wenzio uko wapi, Kwan umelazimishwa kuiongelea simba, mpuuzi wewe achana na simba
@vincentdaud9954
@vincentdaud9954 6 сағат бұрын
Ambokile nakukubali sana . Ni bahati kuwa na mchambuzi km wewe
@CHARLESJUMANNE-d3m
@CHARLESJUMANNE-d3m 7 сағат бұрын
Anae kutukana bro yy ndo fara Sabu hajui mpira ni mpiga kelele tu washaur kaka
@rashidnganga8730
@rashidnganga8730 8 сағат бұрын
Chuma cha mjerumani
@gwakisagedion457
@gwakisagedion457 4 сағат бұрын
Huyo hajaanza leo kuiongelea simba vibaya..yy na mkaraboko wanatabia hiyo sna tu..nimewafatilia sana hawa..wanSimba hawa watu ni wa kupuuzwa tu wanatafuta followers. .maana anaongea vitu vingine vya ajabu ajabu ..ni kawaida yake..akiwa redioni pale redioni ikiwa ishi ya simba tu laxima aishadadie...mnafiki w taifa..anakerekwa na simba na majungu kibao...toa ushahidi wa ten percent..nawe unatoa tuhuma za simba..toa ushahidi wa ten percent...waxee wakiongea mnasema wanakurupuka...huyu hajaanza leo kuiongrla simba vibaya anajitahidi sana kuleta mvurugano mfutalieni hata akiwa ktk kipindi cha efm yy na mkaraboko...wanaongea vitu kama mashabiki..ss vitu vya ndani ya simba ambavyo inabidi mashabiki...ten percent unsyosema uoye ushahidi ww si unajiamini. Viongozi msiache mtu kama huyu anaharibu kila siku image ya simba..inabidi mmwite atoe tuhuma anaxozisema kuhusu simba
@azizasoli
@azizasoli 8 сағат бұрын
Huyu jamaa kwanza ni simba, isipokua hapo anasema ukweli ili viongozi wa simba wabadilike furaha yake irudi sio kwamba anaisema simba kwa ubaya...
@peterkandaya565
@peterkandaya565 6 сағат бұрын
UTOPOLO wanachoangalia wao ni mtu awasifie,hawajali hata km anawapaka mafuta kwa mgongo wa chupa,ukitaka kujua huyu Ambokile ni Utopolo nitafutie clip anayowasifia Simba Yani kwa Simba kwake kila kitu kibaya km Mchome eti naye anajiita mchambuzi nyie pigeni kelele lkn mjue Simba ndiyo baba zenu na ndiyo mana wanashika nafasi ya sita kwa ubora Afrika WEHU NYINYI😂😂😂😂😂😂
@marialumbanga
@marialumbanga 5 сағат бұрын
😂😂😂unateseka ukiwa wapi mtani mbona salama ngale kila siku anaiponda yanga huu ni mchezo hauitaji hasira😂😂
@gabrieltomeka6110
@gabrieltomeka6110 8 сағат бұрын
Waambie hao makolo kweli wachambuzi wengi wanaongea kiunafiki kwa sababu ya upenzi
@Bquality
@Bquality 7 сағат бұрын
Huyu nae kila cku anabadilisha maneno
@gwakisagedion457
@gwakisagedion457 4 сағат бұрын
Tushamzoea huyu...ni kawaida yake....ss tunahifadhi maneno yake. Ni kawaida yake ..mfatilieni ndo mtagundua..haya yote anaongea baada ya simba kutoka sare..ligi si bado inaendelea..ss tutawajibu uwanjani na si kwenye mitandao kama anavyofanya..aendelezemipasjo yake kma kawaida. Maana yy na mkaraboko nod tabia zao..ss tupo na tunatunza risiti
@gwakisagedion457
@gwakisagedion457 4 сағат бұрын
Unajitahidi kutafuta followers kw nguvu sio hajaja. Ongea yote maliza yote simba nguvu moja simba inakuuma eeh inakuumaa eehj...umenyimwa ten percent sio eehh
@onesmoOne-f5e
@onesmoOne-f5e 9 сағат бұрын
Mnachanganya singida black star ndo anaongoza
@mwinyihijaramadhaniseif1100
@mwinyihijaramadhaniseif1100 8 сағат бұрын
Nikweli nisimba hata mchome viyongozi wajiyongoze
@FodiGereji01
@FodiGereji01 8 сағат бұрын
Huna ishu wewe hujui kitu wewe
@ElisanteElisante
@ElisanteElisante 8 сағат бұрын
Hahahah kavamia fani 😂😂😂😂duuu asee hata lasaba hawezi ongea hivyo jitahidi basi hata useme vilabu sio virabu 😂😂😂😂
@GodfreyDismas-p1q
@GodfreyDismas-p1q 6 сағат бұрын
Mnajua anacho kiongea sema mnajifanya vichwa vigumu
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 8 сағат бұрын
AMBOKILE HUNA JIPYA MANENO YAKO YA OVYO SANA. ACHANA NA SIMBA HAIKUHUSU
@theodoryitambu7652
@theodoryitambu7652 7 сағат бұрын
Wewe ndio boya
@iddiyrashid1682
@iddiyrashid1682 8 сағат бұрын
Huyu Ambokile maneno yake mazima
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 8 сағат бұрын
WEWE MJINGA SANA AMBOKILE UNASEMA SIMBA INABEBWA NA WATU WA NJE KWANI NDY WANAO HEZA?ACHA UJINGA WAKO ILE DABI KIJILI NDY ALIJIFUNGA LILE GOLI WEWE ND UNATUPIGIA KELELE SANA. WEWE NDY HUJIELEWE KABISA. ACHANA NA SIMBA SASA UNAPIGA KELELE UMEENDA WEWE ?ACHA UJINGA WEWE.
@MethodkifokaMethodkifoka
@MethodkifokaMethodkifoka 8 сағат бұрын
Anitha unateseka ukiwa wapi
@theodoryitambu7652
@theodoryitambu7652 7 сағат бұрын
Mnateseka sana makolo
@mnllyboy_tz9107
@mnllyboy_tz9107 7 сағат бұрын
Kama inauma chomoa, ila usinye 😂😂
@vincentdaud9954
@vincentdaud9954 6 сағат бұрын
Anitha tafuta mume
@derickmkuwa6977
@derickmkuwa6977 6 сағат бұрын
Kwani we hujui shabiki ni mchezaji wa 12?
@MakarotiKamugisha
@MakarotiKamugisha 8 сағат бұрын
We nae ni mbwa goli moj domo kubwa
@SalvatoryMtunga
@SalvatoryMtunga 8 сағат бұрын
Mikwala mbuzi.
@davidkiluwa
@davidkiluwa 8 сағат бұрын
Sema ule wewe sio mchambuzi unaonyesha mahaba yako wazi wazi kigeugeu
@Barakaveresi
@Barakaveresi 6 сағат бұрын
Wewe malaya kumaamako
@MuhammedAbdallah-h2t
@MuhammedAbdallah-h2t 9 сағат бұрын
Wewe Kafiri
@vincentdaud9954
@vincentdaud9954 6 сағат бұрын
Muubudu majini , shiriki , na chuki ubaguzi
@jamalijamali6820
@jamalijamali6820 6 сағат бұрын
Acha ujinga wewe ndio nini sasa!! Khah!! au una matatizo ya Akili??
@HenryZubaber
@HenryZubaber 5 сағат бұрын
Mtalia sana
小丑家的感情危机!#小丑#天使#家庭
00:15
家庭搞笑日记
Рет қаралды 35 МЛН
How to whistle ?? 😱😱
00:31
Tibo InShape
Рет қаралды 18 МЛН
REAL 3D brush can draw grass Life Hack #shorts #lifehacks
00:42
MrMaximus
Рет қаралды 12 МЛН
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Los Wagners
Рет қаралды 51 МЛН
MZEE SAID ATOA LA MOYONI | YANGA WANATUNYANYASA SIMBA
22:16
MATOLE TV
Рет қаралды 13 М.
小丑家的感情危机!#小丑#天使#家庭
00:15
家庭搞笑日记
Рет қаралды 35 МЛН