Wewe ambokile unabishana na wazee 😂.. Njaa mbaya Sana
@leemabibaphotography8053Күн бұрын
Sasa hapo njaa imetoka wapi kama timu mbovu asiongee. Haya ao wazee wenyewe wako sawa wanausawagani muliongea na mungu mkakuta wazee waluoongea wako safi na hawana raana wao. Acheni watu waongee bhana
@rexgodwill7353Күн бұрын
@@leemabibaphotography8053 Hao wazee wa simba wamekuwa na timu ngapi nzuri na mbaya... Wameona mechi ngapi za waamuzi wangapi mpaka uzee wao? Leo hii wewe ukajione una akili kubwa kuwaelimisha Hao wazee cha kufanya... Jamani jamani sikilizeni Hao wazee wanalalamika nini Acheni kutia kibiriti kwenye petrol.. Kaeni kimya kama hamna cha kuwajibu na wala hamkuulizwa nyie Acheni walioulizwa wajibu.. Mmmh
@mahamedabdi188119 сағат бұрын
Mkolo wazee wa muchungo ndio mnamatatizo ya akili mtu akiwaambia ukweli 😂😂😂😂 hamtaki 2 hamkumbaliani
@rexgodwill735317 сағат бұрын
@@mahamedabdi1881 endeleeni kucheka kwenye hoja za msingi nakuona watu wajinga ila taarifa iwafikie huu mpira mnaocheza midomoni mkiwaachia marefa uwanjani kuwakwapulia matokeo mwendelezo wake mtauona na ndiyo tutacheka wote kwa sauti kubwa... Ongezeni kuchochea moto ili joto liongezeke 👍
@fettiemaganza148414 сағат бұрын
Wazee wenye akili timamu hawawezi kuropoka kama wehu wale ni wazee wa hovyo
@AmosKipetaКүн бұрын
Unajuwa mupila kweli
@NeemaDaniel-j3g9 сағат бұрын
Dube jamani Mungu akujalie kama Kuna vitu vibaya wanakufanyia tunavifuta kwa jina la yesu ,
@SefuAbedi-f8q10 сағат бұрын
Yupo saihii ambokile
@perepetuajohnКүн бұрын
😁😁😁😁😂😂😂Thubutu! hawana ubavu huo makolo kuhama ligi😅😅😅😅😅
@GiresseMukwemulereGirelo14 сағат бұрын
Ambokile naku kubali sana mzee
@MikaSimango-oj5rl22 сағат бұрын
Unajua
@SimonMabigiКүн бұрын
Hao sio wazee nimaisha tu pia hata wajinga wanazeeka😂
@yusuphbenjaminkugaiwa7608Күн бұрын
Good uzee siyo busara Hata mlevi ana busara
@EDWADYKAPINGA8 минут бұрын
Ambokile ukovizuli na unaongea ukweli hawa waze wa simba hawana hakili wasome katiba ya ligi kuu inasema nn waeche ujinga watengeneze timu nasio lawama
@alexandernkwamah590515 сағат бұрын
Ambokile, Dube ni chombo ila wewe ndiye pungufu kumuelewa Dube. Kwa hiyo ni sawa ukisema wamepigwa. Uziri wa Dube ndiyo ubora wa sub yake. Sub yake inaona makosa yaliyofanywa na striker Bora. Ana faida kubwa. Ndio maana Yanga inaonekana double team.
@drallan687922 сағат бұрын
Ambokile nyuma mwiko huna point unaongea pumba;hukuona kayoko alivyowanyonga
@fettiemaganza148414 сағат бұрын
Na mtanyongwa hadi mtakapoacha kunyonga wenzenu
@malietamaliet17 сағат бұрын
Apo kwa dube yani 😢😢tulitaka awe top scoler ila mechi 6 ana ata offside anazidiwa na mwalimu wa fountane gate
@controlTheoryChamps8 сағат бұрын
Top scoler ndo nini?
@mejagenerally-zj5uy20 сағат бұрын
Yaani ambokile wewe utabaki kuwa mchambuzi mahiri
@MuhammedAbdallah-h2tКүн бұрын
We we we Laana ya ALLAH Ikushukie kama unadharau wazee maana kwenu huna mzee ukafiri wako huo