Huruma sana,,, YESU KRISTO awasaidie sana,,,na tuzidi kumuombea Mzee WETU azidi kuisimamia kweli,, watu watoke ktk dini,,na waingie Kwa YESU KRISTO
@isayatippe64095 сағат бұрын
Mfumo ni nini? Bila kuangalia kamusi yo yote naweza kusema mfumo ni UTARATIBU Uliowekwa na umma utumike kuwezesha malengo yaliyowekwa ya utendaji kazi. Sasa hapo Kuna ubaya gani? Kama huna utaratibu uliojiwekea kuendesha Mambo ya umma, hivi utaongozaje taasisi yao? Wewe utamhubirije Yesu bila kufuata utaratibu? Hujui kuwa Mtume Paulo aliusifu Utaratibu wakati alopoona Wakorintho wanafanya Mambo bila utaratibu? Namsifu Mch.Moses Magembe kwa sababu anaelewa uzuri wa mfumo! Na ameufuata kwa zaidi ya miaka hamsini! Anaondoka TAG kwa sababu ya kutokukubaliana ktk Mambo fulani. Suala la kutokubaliana katika mitazamo ni jambo la tangu Zamani na wala halijaanzia kwenye madhehebu yetu ya leo. Je, Mtume Paulo na Barnaba walitengana kwa sababu ya mfumo gani? Au walitofautiana tu kimtazamo? Naomba tusiwachanganye watu wa Mungu Kama kwamba kilichotokea kati ya Magembe na TAG ni jambo jipya. Na pale mimi sioni cha ajabu au tatizo la mfumo. TAG wako sahihi na Magembe naye yuko sahihi pia. Ni mitazamo yao tu imetofautiana!!!
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Ameen
@reenesa9 сағат бұрын
Yaani Mchungaji Katunzi,You hit the NAIL ON THE HEAD. Mungu akubariki. We need more Man of God like you.
@Nenolamaarifa9 сағат бұрын
Yes
@rehobothplenitude67856 сағат бұрын
Kabisa kabisa
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Ndioooo
@bennyngereza96193 сағат бұрын
Mungu akubariki sana Mtumishi. Asante kutukumbusha msingi ambao Yesu alituachia, right kila mmoja angeelewa hii, Kanisa lingerudi kwenye Utukufu na kumvunia Kristo maelfu. Barikiwa sana kwa kusimama kwenye Msingi wa Neno
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Mungu atusaidie
@fabianmihale37155 сағат бұрын
Amen,Mtumiishi barikiwa sana kwa ufafanuzi huu,,Niliwahi kusema mahala Fulani, ibaada njema inaanzia nyumbani, kanisa lakweli la Mungu halina usajili wa kidunia Wala mwanadamu Hana mamlaka ya kusajili kanisa la MUNGU ,na ukissjili maana yake umetengeneza Sanamu Ahsante
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Mungu atusaidie
@YusufuMkungu9 сағат бұрын
Ni kweli mimi yamenikuta niliwahi kufungua huduma sehemu frani, zaidi ya miaka 3 hakuna kiongozi aliwahi kufika wala kuulizia, waliposikia tumenunua uwanja, ndipo viongozi walipotokea na kuamuru hati ya uwanja ipelekwe makao makuu. yaani inauma sana...
@laurentraphael54706 сағат бұрын
Dini iko shida
@lilydivine25944 сағат бұрын
Daah
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Pole mtumishi
@LIKIMONMSWIMA-c9o2 сағат бұрын
Ndo hivo,, mtumishi wa MUNGU,,,pole san
@MichaelAbel-m5y5 сағат бұрын
Uko sawa,mtumishi,dhehebbu zetu na dini zetu zina mauti ya kiroho bila kujua,Mungu aturehemu tu.Amen
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Mungu atusaidie
@musashadrack11644 сағат бұрын
Paster unaongea kweli sna Asante sana kwa hekima aliokupa Mungu
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Ameeen
@johansenf.mrengimrengi70504 сағат бұрын
Asante sana Mchungaji! Shida ni watu wasio sahihi kupewa Madaraka Makubwa ya Kimaamuzi. Na Kwa sanabu tunatumia Akili bila Roho Mtakatifu, bac ndiyo hivyo!
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Mungu atusaidie
@yusuphchankwa475911 сағат бұрын
Mungu Akubariki sana, T.A.G Mungu awasaidi wasipotubu watapotea kabisa
@joashandhoga40199 сағат бұрын
Mungu akuongoze hatua zako
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Tutubu
@eliasamsonofficialtz66008 сағат бұрын
Pacta twaomba no yako maana niwachache wenye maono kama wewe👏👏🤝🤝
@geitandelwa2996 сағат бұрын
Yes it's true
@priscadaud74587 сағат бұрын
Umenena vyema pastor. Mungu akutunze na akupiganie na kukulinda kwa Jina la Yesu , maana umempiga shetani penyewe kabisa. Mungu atusaidie kanisa katika nyakagi hizi mbaya!! Ubarikiwe sana
@geitandelwa2996 сағат бұрын
Yes it's true
@geitandelwa2996 сағат бұрын
Yes kanisa tuache dhambi kujichubua kuvaa mawigi na midhambi ya ajabu xipo kanisani tusijufaliji na modhambi
@Nenolamaarifa3 сағат бұрын
Alindwe na BWANA YESU
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Ameeeeeeen
@AjabuMwailima7 сағат бұрын
True man of God .Nitasimama kwa zamu yangu niichuchumalie taji niliyowekewe na Baba Mbinguni
@Nenolamaarifa3 сағат бұрын
Amen mtumishi
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Ameeen
@zakayomoleli10 сағат бұрын
Ni kweli TAG kiroho imekufa kabisa,ila kimwili liko vzr sana,na huo mtazamo wa askofu mtokambali yeye ni mtu wa starehe juujuu,TAG ni kanisa lenye ufadhili mkubwa sana nje ya nchi na nazani hapo hapo kwenye pesa hizo za nje ndipo shetani amepenyesha pesa zake na kuliteka kanisa
@Nenolamaarifa9 сағат бұрын
Kweli
@zakayomoleli9 сағат бұрын
Alafu Sasa washirika wa TAG wanavyozarau dini zingine na wao wenyewe wamekufa wamebaki TU na dini,sijui wanazani YESU ni wa TAG acheni ushamba YESU ni wakila aliyemwamini na kumcha
@laurentraphael54706 сағат бұрын
Umesema kweli kabisa.
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Mungu atusaidie
@ThomasIkerrs8 сағат бұрын
Mchungaji Obedi hongera sana,you have it all.Sasa tufanye nini Mungu katika 2Wakorintho 6:17-18 na Ufunuo wa Yohana na Ufunuo wa Yohana 18:4-5 ametuamuru tutoke katika mifumo ya dini na madhehebu.Ni ukweli usiopingika kwamba mteule hawezi kukaa kwenye mifumo ya dini.
@Nenolamaarifa3 сағат бұрын
Barikiwa mtumishi
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Truue
@obedlange53758 сағат бұрын
Ni kweli KANISA limeoza kwani uongo! Tatizo pesa na ushetan upo makanisan! Viongozi wanapenda pesa hawana lolote! ASKOFU Magembe yupo sahihi KANISA LIMEOZA SANA
Nahivyo ndio kweli ya Mungu ubalikiwe sana niwatumishi wachache sana wanakemea uovu ni kweli kanisa la sasa limeoza sitaki kufuata Dini salimia mama katuzi mnaibariki sana kwa mafundisho yenu Amen
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Mungu atusaidie
@obedraphael42513 сағат бұрын
Mchungaji Obed Asante kwa kumaliza utata maana wengine walikuwa wana mchukia bure mzee magembe bila kujuwa ukweli
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Mungu atukuzwe
@Eliud-i4s4 сағат бұрын
Wakuu wa dini ndiyo waliomuua hata Yesu
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Yaaani Mungu atusaidie
@furahachuma90398 сағат бұрын
Haya sasa, wengine wanapata vyeo kwa kuwaroga wengine😂😂
@Nenolamaarifa3 сағат бұрын
Mungu atuokoe kanisa lake
@pastorpetermageta68334 сағат бұрын
Barikiwa sana pastor nawapendaga watu kama nyie
@paulrwechungura428438 минут бұрын
Warudi kanisa moja katoliki
@LameckmajuraСағат бұрын
MUNGU AKUBARIKI SANA MTUMISHI
@bennyngereza96193 сағат бұрын
Ni kweli kabisa, watu wa dunia wanapaswa kuja kanisani kupata hekima na kutanzua mashauri. Ni kosa kubwa kanisa kwenda kuamuliwa Mahakamani tena ni fedheha kubwa sana na kuharibu ushuhuda wa Kristo. Mungu atusaidie na kuturehemu
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Mungu atusaidie
@fidemikaeli81457 сағат бұрын
Baba yetu , anatufundisha neno halisi la Yesu na tunaelewa sanaaaaaa
@Nenolamaarifa3 сағат бұрын
Kwelii
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Aminaaa
@YeremiaKuyangwa14 сағат бұрын
Amina pst mungu atupe watu kama wewe tz hakika tutasonga mbele
@Nenolamaarifa9 сағат бұрын
AmeN amen
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Ndioooo
@Elias-Levelian-Rubanza5 сағат бұрын
Mungu anatenga ngano na magugu kwajiri yaunyakuo ubarikiwe sana Katunzi
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Aminaaa
@dadamuebrania15399 сағат бұрын
Dini ndizo zimefanya hakuna UMOJA wa KANISA. 😢 Mungu mmoja, Bwana mmoja Imani moja, Ubatizo mmoja Roho mmoja. Mashindano yametoka wapi??? KANISA LIMEKUFA 😢😢😢 Mungu mtie nguvu Mzee Magembe
@Nenolamaarifa9 сағат бұрын
Aminaaa
@OdiloMwemezi7 сағат бұрын
Haiwezi kuwa hivyo maana wengine mara waamini mafuta,maepo,chumvi,maji,Sasa atakuwaje Mungu mmoja?
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Mungu atusaidie
@Suzanpaul-j9k4 сағат бұрын
Barikiwa sana neema ya Mungu ni kubwa na Mungu atafanya jambo palipo na ukweli pana mungu
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Mungu atusaidie
@dokasa91763 сағат бұрын
Mungu atusaidie sana kwa kweli tumefika nyakati ngumu,walikosea sana kumkataza Mtumishi wa Mungu kutokusema ukweli wa Neno la Yesu Kristo,watalaaniwa na kupigwa wasipo rudi ktk njia za Mungu hiyo TAG
@wilfredlukowo947610 сағат бұрын
Magembe ni kulola wa leo
@Nenolamaarifa9 сағат бұрын
True
@fidemikaeli81458 сағат бұрын
Kabisa, ni kulola wa kanisa la sasa
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Kwelii
@MathewLazaro3 сағат бұрын
Hakika
@LIKIMONMSWIMA-c9o2 сағат бұрын
Amen,,,
@Jesus-Christ396511 сағат бұрын
Huruma sana wamefungwa Yesu Kristo awabariki wote wanao simama na kweli katika Siku za mwisho
@Nenolamaarifa9 сағат бұрын
Aminaaa
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Ameeen
@valelianonyato-gx5bq10 сағат бұрын
Muda umekwisha Yesu analudi muda wowote ndiyo maana haya mambo yamekuwa makubwa sasa hivi nayanakuja kwa kasi sana watu hawa mtaki Mungu wanatskakuishi kwa matakwa yao nakuwa huru kwa kuikumbatia dhambi kwamba mlokole analuhusiwa kujiita ameokoka na analuhusiwa kuishi na dhambi naviduku mavazi yakihuni mapambo
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Mungu atusaidie
@mossyfimbo35779 сағат бұрын
Nimekuelewa mchungaji kweli kabisa kwanza neno Dini si letu sisi ni wafuasi wa Kristo Mungu hakuleta Dini Mungu Neno na Neno Ni Kristo Yesu
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Kweliii
@rejinomusa4 сағат бұрын
TAG wanajiona wapo hai koliko wengine wanazarau mno ni kweli kiburi kimewaharibu
@OsbMwenda10 сағат бұрын
Piga nyundo pastor! Ni wakati wa kubomoa ngome za dini
@Nenolamaarifa9 сағат бұрын
Kweli kabisa
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Ndiooo
@cosmasmarinagha85662 сағат бұрын
Haleluya wana wa mungu neno dini nineno kiarabu kiswahili ni njia yesu njia mtu akisema dini mungu hajui sikweli
@obedmasaki3565Сағат бұрын
Njia ni njia tu, ipo ya kwenda porini na ya kwenda mjini kama si ya kwenda pia chooni.
@apostelgodwin3 сағат бұрын
MTUMISHI POKEA HESHIMA YAKO..HONGERA UNAMJUA MUNGU NA SIO VIWANGO VIDOGO ...HATA BABA YAKO HAONI NDANI KAMA UNAYO HUDUMA NADHANI INA MOTO SANA WA KIROHO NA IMEBARIKIWA MAANA MUNGU UNAMJUA NA WANADAMU WALIVYO WA MWILINI UNAWAJUA NA YOTE YANAYOENDELEA UNAYAJUA SANA SANA ...BE BLESSED
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Amen Apostle
@mtotojoshuaeliya5 сағат бұрын
Mungu akubariki mtumishi,wengine wanaogopa kusema,wewe ni shujaa!umesema haya.
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Mungu atusaidie
@JosephNgwesa-v1o7 сағат бұрын
Mimi kwangu Mchungaji Magembe yuko sahihi kulionya kanisa
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Kweliii
@AgnesKalinga-if3uf9 сағат бұрын
Mwenye masikio asikie. TAG inapendwa na Bwana ndio maana onyo hili limekuja juu yake
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Mungu atusaidie
@MathewTemba9 сағат бұрын
Acheni malumbano ya kishamba Yale ya kolola na Lazaro Wa TAG tuna tatizo tujiombee tumeiacha Imani tume ifanya TAG dini maarufu
@comradeandrewsaul54595 сағат бұрын
Watu ni wa Mungu sio wa dini,wanauhuru wa kuchangia kazi ya Mungu popote alipoongozwa na Mungu.
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Ndiooooo
@AmenMushi-j2j3 сағат бұрын
Sawa Pastor mm shemeji yangu mch amekufa mapema kwa ajili ya kanisa kiongozi wa juu anamwondoa maana lilikuwa mjini
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Poleni sana
@AlisenTunda3 сағат бұрын
Mtumishi ni kweli dini ni adui mkubwa wa kanisa na watumishi walio na Roho mtakatifu ndio wanaogundua Hilo nelo kanisa ni kusanyiko la watakatifu je Leo tuone makanisani ni kweli ni makusanyiko ya watakatifu?ama watakafujo kanisa limepoteza muelekeo ni kweli limeoza wanaobisha Roho mtakatifu hayupo kanisa limemezwa na dini na sio yesu Mungu alikumbuke kanisa lake katika neno lake yesu alisema nitalijenga kanisa langu katika mwamba na milango ya kuzimu haitalishinda amen
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Ndioooo
@LucyKapinga-fg4dk14 сағат бұрын
Mungu Atusaidie Sanaaa ,Kanisa Lake Alitetee
@Nenolamaarifa9 сағат бұрын
Amen
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Aminaaa
@SaraMartin-po2we10 сағат бұрын
Mch katunzi yaani ubarikiwe sana kwa maneno mazuri sana kwa ajili ya Baba yetu Magembe tuko pamoja Yesu anarudi lazima injili ya kweli ihubiriwe na kweli ya Neno la Mungu isemwe Amen.
@Nenolamaarifa9 сағат бұрын
Yani azidi kubarikiwa
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Aminaaaa
@MCNgakungaJunior4 сағат бұрын
BARIKIWA SANA!NAJUA UMEJIFUNZA VEMA KUTOKA KWA BABA YAKO KAMA ULIVYOSEMA.
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Ameeen
@obbynomwa71438 сағат бұрын
Mungu akubariki sana Pastor
@JeanNimbona6 сағат бұрын
😊
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Ameeen
@DeusdeditMichael4 сағат бұрын
NI SAHIHI KABISA KUWA, WAKUU WA DINI WAMEKAA PALE JUU ,WENGI WAO KWA NGUVU ZA GIZA NA RUSHWA.
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Mungu atusaidie
@BrDavidMasao16 сағат бұрын
Mtu aliye kwenye dini hawezi kupita bila kudhihaki ila aliye ndani ya Yesu ataamua kuutafuta msaada wa MUNGU, umesema vyema mtumishi wa MUNGU. Ee Yesu nijalie mwisho mwema
@Nenolamaarifa9 сағат бұрын
Kwelii
@jeamwenda73948 сағат бұрын
Be blessed man of God dawa imewaingia!!
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Kweliii
@BishopMabumba8 сағат бұрын
Ujumbe mzuri. Mungu akubariki sana.
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Amina bishop
@obedraphael42515 сағат бұрын
Ongera sana kwa ujumbe mzuri sana akika magembe ame onewa sana ila mungu ata jibu tu
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Mungu atamsaidia
@NyerereTimotheo25 минут бұрын
mifumo inamgeuza mtu kuwa mtumishi wa dini na sio mtumishi wa Yesu, Mungu awape ufaham wa kuelewa na macho ya kuona na maskio ya kusikia walejee kwa Bwana
@luismaloleСағат бұрын
dah,,,Mungu atusaidie sana
@MeshackSanga-e7b10 сағат бұрын
Nimeumia sana kwa Magembe kuondoka TAG,,pia nimelia kwa kanisa kufa alitaki kuambiwa ukweli..tunapotea sana...Moto wa Mungu kwa Magembe utaliunguza kanisa la TAG litapotea sana sana
@olsolasindila6942 сағат бұрын
Magembe yupo sawa. Anakemea dhambi kisawasawa , TAG kwasasa kuna dhambi kumeoza kwelikweli. Uzinzi, uasherati nknkbk vimejaa TAG.
@dr.thomasalonsaida7 сағат бұрын
Nakubali dini inalitafuna kanisa la leo
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Kweliii
@peterjohn88028 сағат бұрын
Asante katunzi uko muwazi nivema wajue
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Wajue
@LorineOgola-ro7jd57 минут бұрын
Amina muchungaji ubarikiwe sana.
@MaryNiima6 сағат бұрын
Amina Mtumishi wa Mungu ubarikiweh kwa kufunua ukweli huu
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Aminaaaa
@AnnaBituro3 сағат бұрын
Ndiyo ni kweli tatizo liko kwa baadhi ya viongozi tag ni wababe amefanya tag ni ya kwao Mungu awasamehe tena watubu ila siyo wote baadhi wamevamia tu.
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Mungu awahurumie
@MpokiMwakaje11 сағат бұрын
Magembe Mungu amtie nguvu, washilika wake kama kweli wameokoka wote wangemfwata mchungaji magembe , wangewachia jengo tu sasa waumini wengi niwanadini ni mali ya Dini waumini wangekuwa mali ya Kristo wangetoka wote na mchungaji magembe
@dadamuebrania15399 сағат бұрын
Kuna kuokoka na ikaishia hapo,. Kuna kuokoka na kuutaka uzima wa milele hapo Mungu atusaidie
@Nenolamaarifa9 сағат бұрын
Amina
@sautikuu2127 сағат бұрын
Hakuna washirika wa mtu, washirika wanabaki ni wa Yesu Kristo.
@emmanuelrweikiza61176 сағат бұрын
Na kwakweli wengi wameondoka naye
@wilsonkalamban89586 сағат бұрын
Watu ni Mali ya Mungu sio ya mtu mtu aweza kufa Bali kirsto aishi milele!!!!
@Visionofeagle968916 сағат бұрын
Ukweli mtupu pastor🙏👏
@Nenolamaarifa9 сағат бұрын
Yes
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Truuuue
@AnnaBituro3 сағат бұрын
Ni kweli ! Hawataki watu wapone rohona mwili Wamesahau Yesu alikuja kufanya nini?.
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Mungu atusaidie
@JacklineRubenge4 сағат бұрын
Mungu akubariki
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Aminaaa
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Aminaaa
@godfreysanziki14616 сағат бұрын
Ameen ameeen nakubaliana na wewe Ameeen 🙏🙏🙏
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Aminaa
@AshaJuma-s7l8 сағат бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu 🙏
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Azid kubarikiwa
@EmanuelJoseph-n8t4 сағат бұрын
uongozi ukiharibika kanisa linaharibika😭😭😭😭
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Mungu atusaidie
@davidshedrack60389 сағат бұрын
Umeongea ukweli mtupu
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Ukweli wote
@wilfredlukowo947610 сағат бұрын
Umenibariki sana
@Nenolamaarifa9 сағат бұрын
Ndioo
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Sanaaa
@AmenMushi-j2j2 сағат бұрын
Ubarikuwe pastor Obed
@majaliwamsigwa62068 сағат бұрын
Kweli Mtumishi hizi njululu zitatufanya kuukosa ufalme wa Mungu,Mungu atutetee
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Mungu atusaidie
@pastormichaelkayombopendec24973 сағат бұрын
Uko sahihi kbsa
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Ndiooo
@aminielnanyaro97277 сағат бұрын
Mchungaji tumhubiri Kristo. Tunatakiwa tuwaombee watumishi. Vita vya kiroho ni vikali na hakuna aliye salama. "Katika wingi wa maneno hapakosi kuwa na maovu. Bali yeye azuiaye midomo yake hufanya akili" Mithali 10:19.
@emmanuelrweikiza61174 сағат бұрын
@@aminielnanyaro9727 sasa biblia ndio imeagiza kuhubiri neno ,karipia,kemea onya linapoonekana baya tusijifiche majani hayasaidii dawa ni kugundua kosa na kutubu na kukubali maonyo
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Injili ndo hii sasa,watu waonywe au wewe unadhani kuhubir injili ni kuwafata walevi bar..hata waliokonmakanisani wanahitaji injili..wote tunatakiwa tutubu tumgoje BWANA harusi
@emmanuelrweikiza61172 сағат бұрын
Ni kweli kuna hali ya kudhani ukiwa ndani ya kanisa hutakiwi kuonywa na kukemewa kumbe ndio tunatakiwa tuonywe zaidi na kunyenyekea tuonywapo
@nangongolukundula936715 сағат бұрын
Kweli kabisa baba viongozi wa madini nishida Magembe amesemakweli tunajuwa wenye moyo safindio watamwona MUNGU,Asante mtumishi
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Ndiooo
@healingclinic69810 сағат бұрын
Ila wewe Baba umeokoka kweli kweli ubarikiwe
@Nenolamaarifa9 сағат бұрын
Abarikiwe sana
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Aminaaa
@ThadeuosMsambwa4 сағат бұрын
Kanisa likiingia uchafu lisafishwe tu pasipo kutetea tetea tutaingia mgogoro na Mungu bure,ndo maana ya miaka 13 ya moto wa uamsho!
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Ndiiiooo
@richardhosea88276 сағат бұрын
Katunzi kunaanguko la kanisa kuanguka lipo moja kunakizazi kimeingia makasani ni wasomi ni watafiti sana kunambo pia watataka uwazi zaidi muda ukifika utasema
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Ndioo
@faustindismas4 сағат бұрын
Yesu alileta ufalme
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Ameen
@Uranga91287 сағат бұрын
Wamuache mzee hana mdaa nao. Adui ni shetani sio mwana matengezo. Ila kwa upendo punguza ndevu pastor
@faustindismas4 сағат бұрын
Yanu madhehebu yanamiliki waumin wasichangie huduma kwa ajili ya ufalme!!!! Sisi nimwili wa kristo T A G mjitathimin
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Mungu atusaidie
@kedricksiame61675 сағат бұрын
Kumbe ndivyo ilivyo dini na kuwa mwana dini nikuwa mchoyo kumsaidia mtoto haitakiwi no dhambi alafu mkiludi kwa washilika mna tuaminisha kutoa kazikweli
@Baraka-b7u13 сағат бұрын
Sema baba tuponeee
@Nenolamaarifa9 сағат бұрын
Ndiooo
@NoelChambo9 сағат бұрын
Maaskofu wengi ndiyo wanaharibu makanisa
@Nenolamaarifa9 сағат бұрын
Kweli
@HappyFlowers-ee8ru12 сағат бұрын
Ni kweli kabisaaa pastor naungana na wewe watu wanapaswa kufahamu kuwa dini na wokovu ni viti viwili tofauti,tena wenye dini wote hawataingia mbinguni si mara moja au mbili MUNGU ananiambia jambo hilo kuwa watu kwa sasa wamebaki na dini na sio wokovu BWANA YESU KRISTO anataka wokovu wa kweli ,ndio unaweza kuingia mbinguni na sio kuwa mwenda kanisani au kuwa na dini ya ukoo au ya jamii haitakusaidia kitu ndugu mkristo, fanya himantoka katk dini upate wokovu wa kweli na uwe mtakatifu ili uweze kuingia mbinguni
@OscarKasalile10 сағат бұрын
Niambie yesu alikuwa dini gani ukinijibu hapo ndipo nitapata pakuanzia
@HappyFlowers-ee8ru7 сағат бұрын
@OscarKasalile BWANA YESU KRISTO hakuwa na dini
@LIKIMONMSWIMA-c9oСағат бұрын
Amen,,, 🙏🙏🙏🙏,
@YakoboDeku8 сағат бұрын
Kweli mtumishi wa Mungu dini inauwa simama Mungu akulide
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Aminaa
@damiankilyenyi53677 сағат бұрын
Kanisa lako linaitwaje na lipo wapi?
@godfreyisaac16656 сағат бұрын
Hiv kwanini TAG, mnapenda marumbano, afu mitandao ya kijamii inawasaidia nini Kwa marumbano yenu. Hamuoni kama mnadhofisha mwili wa YESU?
@ruthmuja77925 сағат бұрын
👏👏👏💯
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Ndioo
@AmenMushi-j2j3 сағат бұрын
Yetu macho cjui hiyo shule itaendelea mwenye maono alikuwa mch Magembe
@vaxminja90539 сағат бұрын
Ni kweli dini ni mpango wa mwanadamu kumtafuta Mungu, ila mpango wa Mungu kumtafuta mwanadamu ni wokovu. Ila mfumo ni lazima, Hata mitume walikuwa na mifumo. Hata wakati wa Musa kulikuwa na mifumo, ya kuendesha Hema ya kukutania, na hata lilipojengwa hekalu bado ilikuwepo mifumo.
@Nenolamaarifa9 сағат бұрын
Ameeeen
@amaningalla94208 сағат бұрын
Hapana mchg unakosea,hapo!!! Dini siyo tatizo tatizo ni wewe unavyotasiri vibaya Dini!
@nasrahaidary2124 сағат бұрын
Musa mwenyewe alipata mwongozo kutoka kwa mungu kumbuka wakina kola walitaka kutumia akili zao kuongoza watu wa mungu Nini kiliwakuta hatukatai mifumo je mifumo ni kwa roho wa mungu au mwili kama ni hekima ya kimungu wasingechukua chochote kutoka kwa mch. Magambe lakini kwa kuwa ni ya kimwili na uroho wa mahali bx ndio imefika huko
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Shida sio mifumo bali Watu wanaabudu mifumo badala ya kumwabudu Mungu
@MosesMwaibabile-y1u5 сағат бұрын
Kumbe kanisa la tag ni sawa na ccm du mimi nilikuwa sijui
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Mungu atusaidie
@leahenockmrina53814 сағат бұрын
Ni kweli mtunishi wa BWANA
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Kweli kabisa
@GevansMwandola3 сағат бұрын
Sijui wamealikwa nanani kuliongelea kanisa jambo ambalo haliwahusu yeye hajafukuzwa amejiondoa mungu amtangulie tukae kimya kubishana mnabishana na nani wewe kama mtumishi wa kweli ombea kanisa acha unafki
@LIKIMONMSWIMA-c9o2 сағат бұрын
Kwa hiyo ashindwe kuongea UKWELI
@healingclinic69810 сағат бұрын
Wewe ni mtoto wa kutunzi wa Bukoba yaaani Florian Joseph Katunzi
@Nenolamaarifa9 сағат бұрын
Hapanaa sio
@FaithMwango-k9g5 сағат бұрын
Very true pastor
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Ndiooo
@DanielAbass-po3vl5 сағат бұрын
Ubalikiwe kwa ujumbe mzuli
@JohanesJester6 сағат бұрын
Nawaomba wachungaji tuweni wapore kwanza kwajiri tumshirikishe mungu atusaidie tustukanane mama tukitukanana hatapatikana mtu wakuiamini Tena injiri ira tukituria mngu ataenderea kuokoa kupitia sisi watumishi wake
@lusianbenedict61668 сағат бұрын
Kukubali kuhama ni utii ikiwa Wana nia njema
@Baraka-b7u3 сағат бұрын
Nia njema wanayo
@georgemisafi17056 сағат бұрын
Baba wewe ni Mchungaji wa kweli kabisa naomba namba yako