Bado mbinu za Gamondi na wasipotumia mbinu walizozoea wanafungwa ,high press kutokea juu ,wakipiteza mpira wanautafuta Kwa haraka ,na wakielekea lango la mpinzani spidi kama zote
@audaxkarurama9052Күн бұрын
Mpira ni uleule. Mbinu tofauti na uendeshaji tofauti. Kila siku na matokeo yake. Tuache kulinganisha ya zamani vile kila siku ni tofauti. Falsafa za kila mwalimu au kocha ni kama wahubiri wa dini. Biblia moja maelezzo tofauti.
@songombingo108Күн бұрын
Umenena kweli100&
@musamagulu2023Күн бұрын
Waulize Man City mbinu inayotumika ni ya Pep Guardiola au Nani? Maan hawa wachakondoo wanajiita wachambuzi ila sio
@robertzamani5612Күн бұрын
Wachambuzi wenyewe Hawa hata mpira hawajacheza
@hamisikapute598Күн бұрын
Niwakumbushe tu kabla Mshery hajaumia ndio alikuwa chaguo la pili. Manta alirudishwa Yanga baada ya Mshery kuumia
@musamagulu2023Күн бұрын
Wanataka kila kitu kulinganisha na kubalamce vitu vya hovyo tu