Best Naso - Wanawake (Official Music Video)

  Рет қаралды 1,856,047

Best Naso

Best Naso

Күн бұрын

#BestNaso #Wanawake #SlideDigital
(C) Slide Digital
Best Naso Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
ffm.bio/qwm8md
Written & Performed by Best Naso
For More Info:
+255 758 201 748
directormareys@gmail.com
Follow Best Naso on:
www.facebook.c...
/ bestnasotz
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: / slidedigitaltz

Пікірлер: 2 200
@swamweliteobady4496
@swamweliteobady4496 4 жыл бұрын
Kama na ww unajua kama mm huyu ndo msanii hanaeimb kwa isia lkn nyota ndio ndogo bac njo ugonge like
@Pascal1122
@Pascal1122 4 жыл бұрын
Miye nakubali Best naso kama naww like hapa ngoma mpaka 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@mirajihassani709
@mirajihassani709 4 жыл бұрын
Nimekubar mzee wa kazi
@user-he6sy9ov2f
@user-he6sy9ov2f 3 жыл бұрын
Ila huyu kaka jamn nyimbo zake zinamafunzo sana mpk chozi litakutoka 😭😭gonga like km umeguswa
@alexmzumbwe1328
@alexmzumbwe1328 4 жыл бұрын
Wasanii wote wangekua kama huyu Jamaaaa wangeenda mbinguni tofauti na wengine nyimbo zao ujumbe Hakuna safi best naso
@bigowillythomaskayanda7763
@bigowillythomaskayanda7763 3 жыл бұрын
Hahahaaahaaa. Uumetishaa.
@palukumuhindodieudonne6210
@palukumuhindodieudonne6210 2 жыл бұрын
Eternal best Naso
@deewyzeeofficial3512
@deewyzeeofficial3512 3 жыл бұрын
JAMAN HUYU JAMAA ANAJUA NA KILA NYIMBO YAKE NI KALI NA INAELIMISHA KWA NINI WATANZANIA TUSIMPANDISHE HUYU JAMAA KWA KASI YA 4G KWANINI TUNASAPOT WA2 WASIOELIMISHA JAMII IKIWA WAPO WAELIMISHAJI ZAID MMMH NDUGU ZANGU💪💪💪
@brysonsulle1322
@brysonsulle1322 4 жыл бұрын
Hi ndio kazi ya Sanaa Kuelimisha jamii kamaa umeielewa gonga like
@hassaninkoja284
@hassaninkoja284 4 жыл бұрын
Nasso broo lazima ututolee part 2 haiwezekani hili ni balaaa
@japhalyaunt8378
@japhalyaunt8378 4 жыл бұрын
Nimzur
@brysonsulle1322
@brysonsulle1322 4 жыл бұрын
@@japhalyaunt8378 together
@mbojembojesitta3660
@mbojembojesitta3660 4 жыл бұрын
nimekuelewa xana naso
@frankmtewele658
@frankmtewele658 4 жыл бұрын
Big unajua sana nakukubali. Unaishi maisha yako na watanzania
@yusufumajid8392
@yusufumajid8392 4 жыл бұрын
Kamaa umeielewa hili dude kwa niaba ya #best_naso naomba like zake 🔥🔥🔥
@mostudiourambo3748
@mostudiourambo3748 4 жыл бұрын
Daah Bestnaso akoseagi aisee Big Up bro
@salumusalumuhamisi2902
@salumusalumuhamisi2902 4 жыл бұрын
Kwelii wabaya sanaa
@aminaamin9885
@aminaamin9885 4 жыл бұрын
Jamani.naso.umeliz.wtu
@paulpeter3823
@paulpeter3823 4 жыл бұрын
Saf sana #nasooo
@dicksoncharles2980
@dicksoncharles2980 4 жыл бұрын
Jamaa anajua sana
@wachuboylutumo6498
@wachuboylutumo6498 4 жыл бұрын
Nimeupenda wimbo huu kwasababu umenikubusha bali kama naww umekungusa fanya kama unalike tujuane
@stevrnb19
@stevrnb19 4 жыл бұрын
Kajitaid bn kjana we2 wa mara
@wachuboylutumo6498
@wachuboylutumo6498 4 жыл бұрын
@@stevrnb19 kwel goma kal
@isackdallu9285
@isackdallu9285 4 жыл бұрын
Wachuboy Lutumo nakukubari sana nasso
@shekheabdul312
@shekheabdul312 4 жыл бұрын
Hjjjjkolpphkhxc Lljl
@avelinijoseph8174
@avelinijoseph8174 4 жыл бұрын
🤗
@witnessnsomi3500
@witnessnsomi3500 Жыл бұрын
Wimbo unaelimisha Sana huu wanawake Kuna kitu Cha kujifunza hapa🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@kawambwakawambwa1850
@kawambwakawambwa1850 3 жыл бұрын
Tujuane tunaoendelea kuangalia hili dude 2021
@fredilickifelishiani7512
@fredilickifelishiani7512 Жыл бұрын
tupo
@kelvinlugusi6647
@kelvinlugusi6647 4 жыл бұрын
Kama umesikia baba wa mtoto yupo njiani anakuja wakati umesota sana kumlea gonga like ili maisha ya endelee yani.
@gilbertmadeha6512
@gilbertmadeha6512 4 жыл бұрын
Tulio rudia kuangalia mara mbil mbil tujuane apaa Maana c kwa ubora huu wa ngoma^^"
@abrahammtima7925
@abrahammtima7925 3 жыл бұрын
Nakukubali sana kk
@phizmsag7824
@phizmsag7824 3 жыл бұрын
Kaka umejaliwa kipaji
@willsonmadinda6539
@willsonmadinda6539 3 жыл бұрын
Daaaa best huwa nakukubari Sana jembe langu,
@barjonarondachi5391
@barjonarondachi5391 3 жыл бұрын
Mmi nimerudi sana
@mgogokagongo1387
@mgogokagongo1387 2 жыл бұрын
Mpaka leo winbo huu kwangu nibora zaidi
@ehsanlukman7459
@ehsanlukman7459 4 жыл бұрын
Kama umerudia kuisikilza zaid ya mara moja gonga like tujuane wapende mziki mzur
@mahewamabula
@mahewamabula 4 жыл бұрын
Best nasooo plss kaka nisikilize popote ulipo naomba usimamie hivi hivi Ngoma kali aiseee mwamba imenigusa sana knademu alishawahi kuchukua mwanangu nakumpelekea mushikaji
@hamisitz4883
@hamisitz4883 4 жыл бұрын
Duuuh nimependaaa mnooo
@youngkiddy4661
@youngkiddy4661 4 жыл бұрын
Naomba like zang kwa best naso
@youngkiddy4661
@youngkiddy4661 4 жыл бұрын
Yani mim nimerudia more than 100
@lukaskatina5097
@lukaskatina5097 4 жыл бұрын
Makn
@boniphacenyamhanga9395
@boniphacenyamhanga9395 4 жыл бұрын
Hakika bro wangu nimeikubali hii ngoma kwa 100%% maana umeimba kitu ambacho Ni reality, Mungu akubariki kaka
@palukumuhindodieudonne6210
@palukumuhindodieudonne6210 2 жыл бұрын
Barikiwr milele Best Nasso
@chambotz9352
@chambotz9352 3 жыл бұрын
Naso nakubali Sana Endelea na Magoma Kama haya
@abdallahjuma197
@abdallahjuma197 4 жыл бұрын
Nimekuelewa sana nasso mwaka wapili sasa nafua mwenyewe nimeachiwa watoto watatu bila hurumaaa ahsante sana nasso kwa kunifungiamwaka 2019
@juniorcx0114
@juniorcx0114 4 жыл бұрын
Mm Stak Like wala comt Nahitaji kujuatu Tulio uludia huu wimbo zaidi ya mala10
@johnmwita1701
@johnmwita1701 4 жыл бұрын
Vp wadau vp jaman gonga like apo bas
@shabanalliy9687
@shabanalliy9687 4 жыл бұрын
Mm nime usikiliza mala 10
@agathanon9653
@agathanon9653 4 жыл бұрын
Ndio hata mm naludia
@juniorcx0114
@juniorcx0114 4 жыл бұрын
Cv
@hijjajuma9009
@hijjajuma9009 4 жыл бұрын
Binafsi nimeludia zaid ya mara kumi
@djrautz733
@djrautz733 4 жыл бұрын
Yaaaaan bonge moja la ngoma like za nasso👇👇
@MuslimChannelTZ
@MuslimChannelTZ 4 жыл бұрын
Mimi hiki kitu hakijawahi kunitokea lakini nimeiskia hii nyimbo roho imeniuma sanaaa🙄 Kama tupo pamoja acha like hapa
@alexialexaxi725
@alexialexaxi725 4 жыл бұрын
Asate baba🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@barakajohn1441
@barakajohn1441 4 жыл бұрын
Mungu akupe maisha malefu mtto wa mara
@boeihongoa1436
@boeihongoa1436 4 жыл бұрын
Bro Nasso umefanya vizuri kuwa na account yako KZbin. Kazi nzuri mkali. Wakali tunakuelewa sana mdediliii.
@jayelias1654
@jayelias1654 4 жыл бұрын
BESTNASSO NATAMN SANA HE NGOMA IFIKE MBAL ILA BAS TU # HE KUBWA SANA #FUNGA #MWAKA
@francisngwale2773
@francisngwale2773 4 жыл бұрын
Ngoma kali nawe unajua c kdg ila ulimtus twenty nimeumia bado like zenu kama ngoma imekugusa
@abdullyjoginda2832
@abdullyjoginda2832 4 жыл бұрын
Daaah broo song zako kwangu hazijawai kuchuja hakika nazikubalii mpaka kesho gonga like kama nawewe unakubalii
@bitunisebarua3884
@bitunisebarua3884 3 жыл бұрын
Namuelewa sana nyimbo za kubembeleza kulalamika dah naikumbuka mamu wa dar khadija na nyinginezo nyingi naso we ninoma kaza but sapot ipo bado
@Directorjax55
@Directorjax55 3 жыл бұрын
Siwez kuskliza mala 1 nymbo Kali Kama hiii afu inafundsha lazma nirudie ma mbali mbli basata wap jaman au tuzo Tanzania zimeisha
@paulmushi6320
@paulmushi6320 4 жыл бұрын
Alichokiimba ni like tosha kwangu maana kimenitokea bro u know my feelings I like u
@fredykifunge9265
@fredykifunge9265 4 жыл бұрын
Kak nisimulie kdogo maana ninahofu sana
@happyeliya2981
@happyeliya2981 4 жыл бұрын
Pole Sana ndugu
@godfreysangu8954
@godfreysangu8954 4 жыл бұрын
hii ata mimi imenitokea
@claudtemu4861
@claudtemu4861 4 жыл бұрын
zuu
@mathiasmasalu3983
@mathiasmasalu3983 4 жыл бұрын
pole jamaa yangu unawezakula mavi
@nelsonmwofuga6080
@nelsonmwofuga6080 4 жыл бұрын
kama unamkubal best nasso kwamba alimba wimbo unaoelimisha jamii like twende sawa.
@omarsaidemuamede7369
@omarsaidemuamede7369 4 жыл бұрын
Aisee hi gomma moja kari sana kama na ww umeguswa Like basi
@ahunguahungu887
@ahunguahungu887 4 жыл бұрын
Iko poa sana im ver
@rahimchambele2034
@rahimchambele2034 3 жыл бұрын
Brother ngoma tam kinyama
@revelationtz7842
@revelationtz7842 4 жыл бұрын
Kwanii haina viewers wengi wabongo mnapenda v2 visivoeleweka,, uyu jama wimbo aloimba ni mkali Alf unafundisho kubwa sana
@boeihongoa1436
@boeihongoa1436 4 жыл бұрын
Nagurahi sana kuona hakuna kwenye comment anayeponda nyimbo. Huwa unaimba uhalisia wa maisha bro Nasso. Tunakupenda.
@Taifadigital
@Taifadigital 4 жыл бұрын
Ningelikuwa na Tuzo akiamungu ningekupa nyimbo zako hizi zinagusa
@efrahimmahenge9135
@efrahimmahenge9135 4 жыл бұрын
KINGCHARZ TV bac mpe subscribe yko
@Taifadigital
@Taifadigital 4 жыл бұрын
@@efrahimmahenge9135 Tayari wew ndio baado
@efrahimmahenge9135
@efrahimmahenge9135 4 жыл бұрын
KINGCHARZ TV Hahahahaha tayar kak ata haijaniuma kumpa subscribe yangu
@babaiqraam5589
@babaiqraam5589 3 жыл бұрын
Nakubali kak
@evanstoo7411
@evanstoo7411 3 жыл бұрын
The song is so emotional 😢
@muuhhb4787
@muuhhb4787 4 жыл бұрын
Daah...huyu jamaa bn...song iko inanipa hisia za maumivu aiseee.....naombeni ata like 5 tu friend...its hurts ...oooh...comeone....plz ach like yako plz..
@benedictorjoseph8240
@benedictorjoseph8240 4 жыл бұрын
ngoma Kali mwana . nakukubali SNA naso hutuangushagi mashabiki zako
@muuhhb4787
@muuhhb4787 4 жыл бұрын
Huyu jamaa anawez xn
@stephensikazwe7805
@stephensikazwe7805 4 жыл бұрын
Jamani naomba like zenu from Zambia, we love you brother
@advicekitule4037
@advicekitule4037 4 жыл бұрын
Napend zambie san
@evamarijo6556
@evamarijo6556 3 жыл бұрын
Usijali
@fredrickwillson6822
@fredrickwillson6822 2 жыл бұрын
Pamoja
@fredrickwillson6822
@fredrickwillson6822 2 жыл бұрын
Ukijiamini unaimba sio kusifia kila kitu
@jeremiahsanare8754
@jeremiahsanare8754 2 жыл бұрын
Visit Tanzania 🇹🇿
@neemaelia100
@neemaelia100 2 жыл бұрын
Waoooh 💃🔥 Yani nyimbo zake bila kurudia kusikiliza sitoki umu ❤️❤️🥰🥰
@benjamindenice53
@benjamindenice53 4 жыл бұрын
Cna like jaman from Norway
@emmanuelkalabo5578
@emmanuelkalabo5578 4 жыл бұрын
Hiz ndo nyimbo Bro #bestnasso Achana na kuchamba watu #insta mashabik wako tuko nyuma yako bro. Gonga like kama tuko pamoja.
@aginessjacksoni8115
@aginessjacksoni8115 4 жыл бұрын
Moja safisana br tarab hatutaki sie q jaama una akirisana mungu akupe maisha maref br
@wakali_wa_masauti1884
@wakali_wa_masauti1884 4 жыл бұрын
Ngoma hiii jamani kama huja 😭😭 wewe ni.....
@fatmahchambo2037
@fatmahchambo2037 4 жыл бұрын
Mchawi
@wybzokizzy4416
@wybzokizzy4416 4 жыл бұрын
This guy never disappoints,,wapi likes za #bestnasso
@willsonmadinda6539
@willsonmadinda6539 3 жыл бұрын
Hakika Kila ngoma ukitoa huwa zinanigusa, tolu shy town
@deboraezekiel784
@deboraezekiel784 2 жыл бұрын
Kipaji. Hiki
@celinenando1233
@celinenando1233 2 жыл бұрын
Dah siku yako yakumeremeta IPO KARBU
@mussachamwenyewe3620
@mussachamwenyewe3620 4 жыл бұрын
Kama unakubali kwamba best naso hana mpinzani Tanzania weka like yako hapa
@samwelboxing3400
@samwelboxing3400 4 жыл бұрын
Best nasso Kaz nzur kaza mwendo mungu hatakubariki 🙏🙏🙏
@callisahalkadtv4932
@callisahalkadtv4932 4 жыл бұрын
Mwamba kwa 100% umeniimbia Mim booe Allways ur best Best Naso god bless U
@walivyojuma7095
@walivyojuma7095 4 жыл бұрын
🤩😂😂pole kaka
@irakozeemelyne1809
@irakozeemelyne1809 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ilikuwaaje
@georgengakuka3420
@georgengakuka3420 4 жыл бұрын
Bonge la ngoma aisee
@novathimahinini1902
@novathimahinini1902 4 жыл бұрын
Kama unaamin wanawake wabaya shusha like
@halifabarnaba5584
@halifabarnaba5584 4 жыл бұрын
Yani Best naso hizo ndio ngoma zinazotakiwa na unazoziweza napenda sana nyimbo zako kama hizi duh inasikitisha sana
@najmajoneke7413
@najmajoneke7413 4 жыл бұрын
Novathi sio wate 😅😅😅
@novathimahinini1902
@novathimahinini1902 4 жыл бұрын
@@najmajoneke7413 yeeeeees naamin. Sio wotee Ila mabaya yaooo yanatishaaa piga mahesab kutoa mimba kisaa ujanaaa au kutupa watoto kisa ujanaaa is that make senseeee
@najmajoneke7413
@najmajoneke7413 4 жыл бұрын
@@novathimahinini1902 mnao sanabisha ni nyinyi wanaume kukataa mimba ndio maana na wao wanatupa watoto wanatoa mimba
@novathimahinini1902
@novathimahinini1902 4 жыл бұрын
@@najmajoneke7413 hapana sabab nying n kupoteza ujana mmaogopa saaanaa mnapenda kwendelea kuwa kijana kitu ambacho nikinyume na mapenz ya mungu hata Kama ataikataaa unafikili utakufa ikivumilia nayoooo Ile n nafsi na Mungu akileta mtoto analeta na sahan yakeee
@Rashidi-vi7hh
@Rashidi-vi7hh 9 ай бұрын
Walio angalia mwaka elufumbili na ishirini na tatu tujuane🎉2023
@abdulwahidmsellem1998
@abdulwahidmsellem1998 4 жыл бұрын
Sante mwenye nyimbo za huzuni😢😢👏👏🇹🇿
@linahnicodemus3169
@linahnicodemus3169 4 жыл бұрын
Nimeangalia Mara tatu tatu xjaamini best 😎😎lkn xo wote jamn
@saimondavid3710
@saimondavid3710 4 жыл бұрын
Linah sio ote ndio ila wengiwenu
@abdullyjoginda2832
@abdullyjoginda2832 4 жыл бұрын
Kama me
@samohboy9937
@samohboy9937 4 жыл бұрын
😁😁😁 Nilijua tu utasema sio wote
@abdullyjoginda2832
@abdullyjoginda2832 4 жыл бұрын
Nibora ukosee njia porinii kuliko ukosee kuoa
@linahnicodemus3169
@linahnicodemus3169 4 жыл бұрын
@@samohboy9937 kwani uongo
@ramadhanipachella2430
@ramadhanipachella2430 4 жыл бұрын
Jamani naombeni lake Zenu
@tsumasokoa8556
@tsumasokoa8556 4 жыл бұрын
Nenda lake Victoria ukaibebe
@bachirncadebachir7099
@bachirncadebachir7099 4 жыл бұрын
kkkkkkkkk
@Ibrah1993
@Ibrah1993 4 жыл бұрын
Chukua Lake Tanganyika
@juniorbaiano8539
@juniorbaiano8539 4 жыл бұрын
Hahahhhh,anajifunza kingereza
@felixbosco9683
@felixbosco9683 4 жыл бұрын
Umetisha sana mwana true story yashanikuta kaka yaani nahisi umeniimbia mimi
@jennybrighton7488
@jennybrighton7488 4 жыл бұрын
Pole sana kaka dah kila nickiapo huu wimbo baumia dah
@rehemasalum6876
@rehemasalum6876 4 жыл бұрын
Pole
@norbethmkalawa2792
@norbethmkalawa2792 4 жыл бұрын
Pole br
@revelationtz7842
@revelationtz7842 4 жыл бұрын
Pole brother
@imanuelsimon2117
@imanuelsimon2117 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@emmanuelmerara8500
@emmanuelmerara8500 4 жыл бұрын
Leo nimeelewa maana ya sanaa na sanaa yenyewe jins ilivyo ... big up.
@kevinamos753
@kevinamos753 2 жыл бұрын
Kwet
@enjomaturo349
@enjomaturo349 4 жыл бұрын
Media weken nyimb km hz sio nyimb ukiwa upon na wazazi unazim redio kwanzaaa dahaaaaaa mwimb mzurii had machoz
@mustafajaphal5948
@mustafajaphal5948 4 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥 nimerudia mara 5 hii nyimbo tam zaid ya asalii👏👏👏🔥🔥🔥
@isacksamwel8770
@isacksamwel8770 4 жыл бұрын
Kwel wala hat huja kosea
@yustozachalia243
@yustozachalia243 4 жыл бұрын
We uko Kama mm!!!!
@shahamtindo
@shahamtindo 4 жыл бұрын
Huyu jamaa ni 🔥🔥🔥🔥
@aginessjacksoni8115
@aginessjacksoni8115 4 жыл бұрын
Jaman ngoma kama hiz ndo Zina takiwa mh sema watu ndo shida wana taka wasikie nyimbo za kina diamond tema mate niterze jaman tujuane kwa like za uyu jamaa
@ayubuakyoo6956
@ayubuakyoo6956 3 жыл бұрын
Jamaa ni konki namkubali analenga yanayo fanyika ktk jamii,cyo wajinga wanaimba nyimbo za kupotosha jamii
@shaioneshakirukareem3059
@shaioneshakirukareem3059 3 жыл бұрын
Ukimtaja mond naona Kama utaja kiyoo kibovu chakuharb nasio kujeng
@cosmathias3575
@cosmathias3575 4 жыл бұрын
Jamaa unajua adi unaudhi
@irenemrisho7513
@irenemrisho7513 3 жыл бұрын
Nice
@annieutenga7664
@annieutenga7664 4 жыл бұрын
Nasso umejua kunifurahsha kuhusu hii nyimboo tamuuu
@Smartofficial96
@Smartofficial96 4 жыл бұрын
Hii ndiyo nyimbo yangu ya mwaka 2019 Hakika unajua nakukubali tokea mwanzo wa mziki wako gonga Like Kama unampenda best naso tumsapot kijana mwenzetu azidi kutuburudisha
@saidikaondo7999
@saidikaondo7999 4 жыл бұрын
Sherby huyu jamaa nami namuelewa sana.
@samumuriani7608
@samumuriani7608 4 жыл бұрын
Nmekubal boy Ata mm
@charitelwanzokambale2867
@charitelwanzokambale2867 3 жыл бұрын
Naso wewe fire goma zako zina ujumbe maalumu
@georgeomondiobare9227
@georgeomondiobare9227 4 жыл бұрын
Sema mwanamke si wanawake.
@puttenyanthony9284
@puttenyanthony9284 4 жыл бұрын
Nyimbo haki mungu imelizaaa walahiiiii daaah
@shabanikamsawa181
@shabanikamsawa181 3 жыл бұрын
Walio kuja kusikiliza huu wimbo baada ya mzee abduli kuzulumiwa mtoto na mama diamond gonga like tujuane
@jofreyntanila
@jofreyntanila Жыл бұрын
Wimbo mzuri kweli bado unafundisha sana
@NikoAmosi
@NikoAmosi Ай бұрын
Xaf❤
@NikoAmosi
@NikoAmosi Ай бұрын
Wimb mzul unafundixh 😅
@livingstonelameck7501
@livingstonelameck7501 4 жыл бұрын
Sasa best naso hivi ndo vitu vyako acha maneno meng kusema watu na kuimba mamiziki mengine izi ndo zako big up mi shabiki ako toka tuma nipe nafac paka leo
@gabrielmushi2813
@gabrielmushi2813 4 жыл бұрын
konk gas... tupo pamoja...
@alhadadrashid1716
@alhadadrashid1716 4 жыл бұрын
kwelii hizii ndio tungozakee tunazozikubalii
@OverdozClassic
@OverdozClassic 4 жыл бұрын
LIVINGSTONE LAMECK muambie kabisa... hapa ndio kwake
@livingstonelameck7501
@livingstonelameck7501 4 жыл бұрын
Sana yaaan
@pendomasawe4207
@pendomasawe4207 4 жыл бұрын
Daaaah inaumaga hiyo!!! Nampenda Best naso sana jaman hata Mungu analijua hilo
@kjosephgamba2616
@kjosephgamba2616 2 жыл бұрын
Vp mda sana dd ulipotea sana
@miriamally9528
@miriamally9528 2 жыл бұрын
Mungu akubarik bro nyimbo zko znafundishaa sana
@fungafungatv448
@fungafungatv448 4 жыл бұрын
Yan hii nyimbo ukisikiliza unataman ieendelee isiishe
@davidoking4401
@davidoking4401 4 жыл бұрын
Daaaah inauma sana Kama naisi chozi daah
@stanslausmajalla1186
@stanslausmajalla1186 Жыл бұрын
Wombs Maurice sana,nimeupenda nami kuna Jamal yangs alienda miaka 30;kisa alisingiziwa amempa mimba kumbe mimba ilikua ya mtu mwingine,Ngonga like like kama yalishawahi kuwakuta na huko
@sadicksamuel2005
@sadicksamuel2005 4 жыл бұрын
Alikekuita Best Nasso sijui alijuaje tu, hushikiki baba, bonge la ngoma 😭😭😭
@mashakahakidu1678
@mashakahakidu1678 4 жыл бұрын
best unatisha bro
@damianrevocatus6997
@damianrevocatus6997 3 жыл бұрын
Mi nawambiaga watu duniani hakuna msanii ninaemkubali zaidi ya WAMASASIPENDA a. k. a BEST_NASSO
@alexnymhngmarwa7085
@alexnymhngmarwa7085 4 жыл бұрын
Hahahahha nakupenda saaana best Nasso hujawahi KUKOSEA nakubali saaana 🙏🙏🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿⏩💻💻💻💻
@neemaoiso2343
@neemaoiso2343 4 жыл бұрын
Wanawake wabaya kweli umenikumbusha imewahi tokea kwa ndg yangu, hii nyimbo imechukua uhalisia wa familia zetu
@williammsangi1138
@williammsangi1138 4 жыл бұрын
Daaha blooo yaaani weee nibonge lamsanii sema wakubwa bd hawajakusikiliza daaaah resp
@yolandambise194
@yolandambise194 4 жыл бұрын
Maskin alivyo skia hellow my dear akajibu ndiyo alijua ataambiwa turudiane mi ni mwanamke ila sa ingine sisi ni wanyama
@rajabuwajuma6418
@rajabuwajuma6418 4 жыл бұрын
Pamoj sn kwa kuwa na naso karibu msumbiji
@jamesshaha5755
@jamesshaha5755 4 жыл бұрын
Dah, inasikitisha sana wanawake.wengine sio wazury
@dannydame849
@dannydame849 4 жыл бұрын
Ndiyo ,
@ramashuzajr1271
@ramashuzajr1271 4 жыл бұрын
Wewe ndo mwanamke Bora japo sikufahamu kwaulichokindika
@lucianamduda1922
@lucianamduda1922 4 жыл бұрын
Ahaahaa 😅
@yohanarobert2484
@yohanarobert2484 4 жыл бұрын
Hakika Best naso umerudi staili ya nyimbo za nyuma Kongole sana
@adamtanakhel8185
@adamtanakhel8185 4 жыл бұрын
This guy is very professional and sings the realities of life he goes through Mimi kwangu ndo singer nae mwelewa
@rukororolouis9990
@rukororolouis9990 9 ай бұрын
Unaweza
@erick8092
@erick8092 7 ай бұрын
​@@rukororolouis99905k and you and and whole world to 5.0 your time
@mnomahboybright4743
@mnomahboybright4743 3 жыл бұрын
Oh,oh,oh, mama dangote mbayaa dunia hii
@zanterlyimo8287
@zanterlyimo8287 4 жыл бұрын
Ubaya wa mwanamke unategemea na shida au dhiki alizo nazo kutokana na maisha aliyo pitia!!
@meddyzotv9087
@meddyzotv9087 4 жыл бұрын
Daaah wimbo una hisia sana na story umejua kuipangilia, huu wimbo mkubwa sana kama watu wengi wakipewa nafasi ya kuusikiliza.. Kazi nzuri #Best Nasso
@kibokongurai4488
@kibokongurai4488 4 жыл бұрын
WANYUMBANI HUYU DAH ANATOAGA UJUMBE SANA
@heartchangara1704
@heartchangara1704 4 жыл бұрын
dhaaa best Mungu akujalie
@igomedia1011
@igomedia1011 4 жыл бұрын
Kama ngona hii imekugusa gonga hapa wanawake wabaya
@winnienelima837
@winnienelima837 4 жыл бұрын
Sio wote
@paulmayunga3927
@paulmayunga3927 4 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@albartkisusi7226
@albartkisusi7226 4 жыл бұрын
Mungu akujalie best naso tungo zako ni noma
@abbymsafi5626
@abbymsafi5626 4 жыл бұрын
@@winnienelima837 ni wote
@winnienelima837
@winnienelima837 4 жыл бұрын
@@abbymsafi5626 apna sio wote hatuja lelewa pamoja we a dffrent pple
@officalmagoogemagooge5554
@officalmagoogemagooge5554 4 жыл бұрын
oooooo oooooo ooooo ooooo wanawake wabayaaa tena wanauwa oooooooo oooooo nampenda sana huyu mwamba we2
@user-gx1xj6dz4n
@user-gx1xj6dz4n Ай бұрын
Best naso unajua km ww nyimbo zako zinanikoaha
@hamismoviemachine0015
@hamismoviemachine0015 4 жыл бұрын
100%zangu chukua hizi ndo tulizokuwa tumemisi mashabiki
@anwaryliwowa6958
@anwaryliwowa6958 4 жыл бұрын
Huyu ndio best naso ninae mjua Mimi nilivimisi hivi vitu sema music wa tz unabagua ila kwa mwaka huu ndio wimbo bora
@deomichael3081
@deomichael3081 4 жыл бұрын
Bro Kuna part 2?. This is nat an End, bado Kuna mengi nataka kuyasikia. Then nini kilitokea?
@efrahimmahenge9135
@efrahimmahenge9135 4 жыл бұрын
Deo Michael live tunaomba para 2 plz
@robertsololo7962
@robertsololo7962 4 жыл бұрын
Naso toa party 2 yake hii ni kali mno
@adriankomba1881
@adriankomba1881 4 жыл бұрын
Nasso tunaomba part 2, maana malipo hapa hapa
@user-vf5kr6mn2s
@user-vf5kr6mn2s 4 ай бұрын
Nikweli wanawake wabaya Tena inauma . wanawake mbona ivyo muache ubishi
@yustozachalia243
@yustozachalia243 4 жыл бұрын
Sijawahi kusikiliza mziki wowote Zaid ya mara5 lakn huu umenikosha duuuu!!!!! Like kea best naso anawe hi ndo kazi ya Sanaa.....
@lucianachappa1213
@lucianachappa1213 4 жыл бұрын
Ni kwamba hujawahigi niangusha🤗🤗
@aishacudbury9356
@aishacudbury9356 4 жыл бұрын
Your my beuriful,nakukumbuka bado,ka ikiisha umeuhrumia eka like twende sawa
@mrsnoelkahise1958
@mrsnoelkahise1958 4 жыл бұрын
Gonga like jmni japooo Sisi wanawake tuna rohooo nzuliii sanaa sema mkitukwazaaa ndio tu nafanyaaaaaa ivyooooo
@seifzongo320
@seifzongo320 4 жыл бұрын
Wasanii wakuandika mashairi ya elimu kama haya Tanzania kabaki nasso tu 😊😊😊
@msigwatz.5664
@msigwatz.5664 4 жыл бұрын
best naso. wewe ni mwandishi mzuri pia muimbaji safi.. pambana
@magwamasunga7635
@magwamasunga7635 4 жыл бұрын
Naso umecoga moyo wang kaz zur mwang musoma 2nawakirsha vipaji viko musoma sitori zuli
@bedakwambara5039
@bedakwambara5039 4 жыл бұрын
Big up bro uko vizuri sana wanawake wabaya sana tuishi nao kwa akili sana
@annnyoks7008
@annnyoks7008 4 жыл бұрын
My all time favorite Best nasso pia hii nakubali wapi likes za Best nasso
@EliseeJoseph-sr5pi
@EliseeJoseph-sr5pi 7 ай бұрын
Leo juma pili n'a relax zangu ghetto nasikiliza nyimbo za best naso zote yani eti bora nirudi zangu kijijini nika chômé mkaaa
@davivancee9991
@davivancee9991 4 жыл бұрын
Best naso wee mkali Sana,, nakukubali Sana,, huwa naenjoy Sana miziki yako ya aina hii.
@vanbizopaul
@vanbizopaul 4 жыл бұрын
Hands up 🙌 for Nasso's best song ever,ila pia a moment of silence kwa wale wote ambao huu wimbo unawahusu.
@godfreyalfonce5057
@godfreyalfonce5057 4 жыл бұрын
Ngoma kali sna hihi kama umeikubali dondosha like apo
@sistaarita
@sistaarita 3 жыл бұрын
I dont understand suaheli but I love to hear best naso's songs 🥺
@elizabethvictor3057
@elizabethvictor3057 4 жыл бұрын
Sio wote naso wapo na wanawake wenye hekima na busara zao wanahofu ya mungu
@barakajohnh.b8580
@barakajohnh.b8580 2 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 kaka Kila nikiangalia nyimbo hiii najikuta nalia tu Asante sana Best naso msanii ambaye tunajivunia kutoka Mara
@omaniallybakari2372
@omaniallybakari2372 4 жыл бұрын
wasanii wanao Imba ujumbe mzuri wanapotezwa kisa wanamiliki radio station wanaimba mipasho ila inapendwa kwel vinega sio mchezo 😂 😂
@frankmiraco9844
@frankmiraco9844 4 жыл бұрын
Jifunze kuandika
@omaniallybakari2372
@omaniallybakari2372 4 жыл бұрын
Na wewe jifunze kusoma kiswahili, usiniletee mipasho tafuta mademu wenzio mbishane,
@damianlucas5345
@damianlucas5345 4 жыл бұрын
Omani ally Bakari na ndio maana nitaendelea kumpenda Dudu baya kwa ukwel wake
Best Naso - Narudi Kijijini (Official Video)
5:24
Best Naso
Рет қаралды 1 МЛН
Best Naso - Usitoe (Official Music Video)
3:14
Best Naso
Рет қаралды 754 М.
Пришёл к другу на ночёвку 😂
01:00
Cadrol&Fatich
Рет қаралды 3,9 МЛН
He bought this so I can drive too🥹😭 #tiktok #elsarca
00:22
Elsa Arca
Рет қаралды 46 МЛН
Tanzania All Stars - Lala Salama (Magufuli) Official Video
11:01
Wasafi Media
Рет қаралды 12 МЛН
Bright Ft Best Naso -Umasikini Mbaya (official Music video)
4:26
BEST NASSO -=- TUMA RINGA VIDEO
4:58
TUNG'ENDE 77
Рет қаралды 519 М.
Brayban - tuliza boli (official music video)
3:51
Brayban
Рет қаралды 1,1 МЛН
Best Naso Ft Nay Wa Mitego - Hellena (Official Video)
3:23
Mr Nay
Рет қаралды 1,9 МЛН
Best Naso - Sarafina (Official Music Video)
3:39
Best Naso
Рет қаралды 260 М.
Best Naso - Mrudishe Dada (Official Music video)
3:30
Best Naso
Рет қаралды 983 М.
Best Naso FT Gigy Money  -  UTABAMBA
2:52
Mr Nay
Рет қаралды 2,1 МЛН
Founder TZ - Niepushie (Official Music Video)
3:10
Founder TZ
Рет қаралды 1,6 МЛН