sizani kama nitaacha kuusikiliza huu wimbo maishani mwaka.kama nawewe umo gonga like.
@dianapatrick8534 Жыл бұрын
Tujuane ambo bad tuna sikiliz had hii 2023 hii ngoma 📌📌
@ahmedisuleimani819710 ай бұрын
Tupo hapa mwamb
@ChingaBoy568 ай бұрын
❤❤
@ObedStanley6 ай бұрын
❤❤
@HabibaSadi-sc2zl4 ай бұрын
Tunaotazama 2024 tujuane Kwa lake
@jaffariomar4250Ай бұрын
Tarehe 17-5-2024 Naitizama hapa nikiwa zenji hebu like zangu kakazangu na madadaz wooote
@magangakabuga52142 жыл бұрын
Tujuane mapemaa ambao bado tunaotizama hii ngoma 2022💥💥💥
@jeskalumato23642 жыл бұрын
Pamoja Sanaa
@mariammosha88702 жыл бұрын
Tupooo
@saidhamis46622 жыл бұрын
unyama sana
@saidhamis46622 жыл бұрын
Walitisha sana
@amosntabo76712 жыл бұрын
Hi
@joycesinkala2252 жыл бұрын
Kipindi umetoka hu wimbo nilikuwa nasoma lapili Leo Nina miaka 22 nanimekuwa mdada mkubwa nampenda bestinaso toka nikiwa na miaka 7 hadi leo ninae nilipanga kabisa nikiwa nasm kubwa hi nyimbo lazima nije niikomenti atimaye sasa mungu si asumani nakomenti nazingine nazijazo nanisha sabuscrab kila wimbo unao ingia wa bestinaso ninao
@Football-cl2hj Жыл бұрын
Mm nilikuwa na miaka 2
@BarakaJumanne-fx9ny4 ай бұрын
Mi nilikuwa 13 ila alitisha sana pamoja na rafk yak chief maker
@revocatusnorbert65474 ай бұрын
Hongera sana
@user-yc9qj6pg6h3 ай бұрын
Vipi
@user-yc9qj6pg6h3 ай бұрын
Sawa
@fettymshana74143 жыл бұрын
Anaetazam 2021 tujuane like zenu
@maingufamily30923 жыл бұрын
2021
@ligeriusathanase7022 жыл бұрын
2021
@PamelaJonas-dh6lg10 ай бұрын
Jamani tunao mpenda best naso ❤ tujuane jamani❤❤❤❤ 💥💥💥💥
@TabiaMwaisumo-ss7pz2 ай бұрын
Bado tuko nayo hii ngoma mbaka kieleweke❤❤❤🎉🎉🎉
@YasiniRahma2 ай бұрын
Tupo😅
@faridayusuph55364 ай бұрын
Tujuane tunayoitizama hii ngoma feb 2024
@sabrinayusuph79214 ай бұрын
Mimi hapa ☝ 😊 29/2/2024
@husnabakari48403 жыл бұрын
Bonge la wimbo. Nashauri uutoe latest version, na waliozaliwa ss wausikie. Niliupenda sana 2007 nlipousikia kwa mara ya kwanza, mpaka ss una hit kwangu. Bgup best nasso
@moseskayange106 Жыл бұрын
Daaa ngum kuisahau nilikuwa na pisi anaitwa 2Tuma hukoo masokooo. Daaa now miaka 12....nyuma duuuu
@brotheronetheunique46609 ай бұрын
❤❤❤
@AlicekasKas11 ай бұрын
Kama una ipenda mupaka Leo 2023 nipe like zangu 😊
@ANNADENYA7 ай бұрын
❤❤❤❤
@maryonyango5 ай бұрын
It's 2024 but still listening to this song 🥰🥰
@user-fg2tz6cz2i5 ай бұрын
Tupo wote kumbe2024
@jeniphaaloyce27164 ай бұрын
Me too 😅
@selungojunior84404 ай бұрын
2024 tuma tunda
@martinabayyo99823 ай бұрын
Tupo naikubali sana hi ngoma
@stanslausmteme84553 жыл бұрын
Miongoni mwa artist wasio na bahati km bell9 na best naso bt wanajua sana
@user-xh9ow7jl4m4 ай бұрын
2024 gonga like
@mariammbaga83153 жыл бұрын
Jmn huu wimboo c wamdaa cnaa au me ndo xielew mbn km nikiwa masoma nlikuwa naupendaa cn
@user-mj6lb6mr5s2 ай бұрын
Tunasikiliza ngoma hii 2024 tujuane
@Sophiamoseschiwango6 күн бұрын
Ni nyimbo kali na haichoshi kuisikiliza 8/7/2024 naisikiliza nikiwa masasi.best naso ulitisha kaka.
@BiteqeuSteven2023 күн бұрын
Sema nini best naso alikua anajua sana management bora ndo hakupata ila kipaji kipo
@issaadinaniissa64873 жыл бұрын
hamjziliwaenz hizo moyo wangu nakukabidhi maneno haya kwny barua za mapnzi mmhhhhhh
@nyahiriphilip23652 жыл бұрын
I loved this song enzi zangu na dijaro warungu Tbc fm.(baba mzazi baba)
@neemachombo11842 жыл бұрын
Dj wa rungu baba piga fimbo baba😂
@kagirasta14762 жыл бұрын
Kwel kabisa dijalo
@EmmanuelBrighton-rw3ltАй бұрын
Kabisa baba mzazi alituibulia pure artist
@zebedayoheron3647Ай бұрын
nakumbuka mwaka 2009 december kjjn Bulendabufwe bunda mara kulikuwa na harusi ya dada mmoja alikua anaolewa sasa kulikua na disco vumbi usiku nilikua naipenda sana kucheza ngoma hii.
@jacobkilagalila-gu2mh3 күн бұрын
Mpeni maua 🎉🎉🎉🎉🎉 yake nyimbo tamuu huwa haboi miaka nenda rudi
@magrethgeorge92533 жыл бұрын
Jamanii naso mbona waga uchukuliwi kwenye fiesta,wasafi,kwaniniiii!?
@selemansteven100310 ай бұрын
Ilikuwa balaa sana. Enzi hizo musoma ilikuwa moja ya kitovu cha burudani, ile musoma hotel na peninsula hotel mambo yalikuwa❤hakuna tamasha kubwa la mziki wa bongofleva lilifanyika pasipo kufika musoma😊Those days @songe secondary
@kuluthumathuman75812 жыл бұрын
Acha tu nyimbo hii, Kali Sana hakika iligusa watu wengi sana
@vayfabian4674 ай бұрын
Hii nyimbo huwa inanikumbusha mbali sana
@user-xd6dm3mj7z4 ай бұрын
Hadi 2024 tupo nayo hii ngoma inanikumbusha nikiwa kidat cha 1 2009
@tulinavehussein57333 ай бұрын
Kwa mapenzi wengi wanajua ila kwako mwisho no 1;chukua ❤
@phrases_lyrics2 жыл бұрын
Hivi huyo dada si atakuwa umri umekimbia sana mpka leo😊😊 nasso mwenyewe hukuwa na rasta
@selemansteven1003 Жыл бұрын
Ndo naitazama tena hapa. Nmeimiss sana musoma👌. Wimbo bomba balaa
@sir_lex69812 жыл бұрын
Buda hii ngoma na nipe nafasi ni kali sana....zifanye remix utoe na quality 👌 safi.....thank me later... 🇰🇪 an fan
@augustinojonas26433 жыл бұрын
Huyu mwamba nmkbl sana nasso
@isayamasanja73192 ай бұрын
Aisee nakumbuka mbali sana, kipindi ndo nakuakua, hahhah it was a hit song back then, hata sasa naifeel sana. 2010 noma sana
@zuhurahmohammed60333 жыл бұрын
Nakubali nyimbo zako kaka aki tafta support ufike mbali
@FrankmunishiMunishi3 ай бұрын
Yaaan hii ngoma inanikumbusha mbali na imenipa mke
@MarryPeterson2 ай бұрын
Nakubali sana best nasso the best
@asinatimlapon9379 Жыл бұрын
Naipenda sana hinyimbo nakumbuka mbali sana
@RidhiwaneRajab Жыл бұрын
Rizi apa Mtanga naikubal nyimbo sana
@anniebarikiwadadanimeupend32453 жыл бұрын
Naupenda sana wimbo huu
@user-rf4oe9hn5y3 ай бұрын
tbc enzi hizo DJ wa rungu hataree sana
@user-pk7ru7dc4u6 ай бұрын
Bigap Sana mzee baba
@angelinajames33212 жыл бұрын
Bro katika nyimbo hii n best dunia nzima
@zennamdachi43877 ай бұрын
❤❤❤❤daa nakumbuka mbali sana enzi hizo kuna baa fulani kule kwetu arusha mtafulani hivi eeeee kwa cheusi basi kila nikifika lazima niukute hu wimbo halooo😊❤❤ leo niko zangu oman najikumbusha 2023 ,27 j3❤❤❤❤
@gfshbxbbx76403 жыл бұрын
Daa aka kanyimbo kanikumbusha mbali
@cavindavid261414 күн бұрын
Nyimbo inaishi mpaka Leo 30 June 2024 na bado inaonekana kama imetoka jana
@majaliwaadammnaga32235 ай бұрын
Tunaotizama2024 tujuane hapa
@allychaye29253 жыл бұрын
Nyimbo yake ya kwanza kitambo sanaa love sanaa
@chicobebzglado72782 жыл бұрын
Naupenda huu wimbo👌🥰
@husnabakari48403 жыл бұрын
Pamoja na kuusikia kwa waliozaliwa ss, uendane na mazingra ya ss
@yohanamayanga9274 Жыл бұрын
Thito ezekiery mia sana pamoja.
@annahjoseph50593 жыл бұрын
Yaahabibi moyo wangu nakukabizi ila ucjenitoa machozi, wimbo huu haijawah kuchuja kwang
@maxmilliankwangu59202 ай бұрын
Enzi hizo ni mwendo wa kuchukua mistari na kuitumia😊
@isaackdeo19 күн бұрын
Mim huyo
@rukiakishar115511 ай бұрын
Naipenda sana nyimbo hii inanikumbusha kipindi Niko f 3❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@mwanahamisidama-ns1rz5 ай бұрын
Hapo ndo nko na nimependa nyimbo zake sna
@josephmichael56632 жыл бұрын
Hongera sana kaka napenda Sana nyimbo zako zote ziko vizuli san
@lukashio18255 ай бұрын
Napenda sana hii nyimbo Ulituliza sana akili dogo, Big up
@joycesinkala2252 жыл бұрын
Wimbo mzuli Sana anae uona hadi leo 2021 gonga like jamani
@kevinnjeru538522 күн бұрын
ngoma nilikua naikibali sana hiyu jamaa ninoma sana
@moodykillenja3673 Жыл бұрын
Inanikumbusha 2008 niko zangu NJOMBE Boys kiskuliskuli.... Acha kabisa hii kitu... Kama vipi fanyeni remix na mrudie video
@rogathemassong17883 ай бұрын
2024 my favourite song my favourite artist Nasso
@joshuahassan16053 ай бұрын
Hii ngoma namkumbuka Dj wa Rungu, big up sana Best Nasoro
@user-rg5sg1xz8p11 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 daaaaaaa anajua
@mwajumahassan5271 Жыл бұрын
Naukubali sana wimbo uu kipindi Niko darasa la sita niliupenda Hadi nikaandika kwenye daftari majita bulinga shule kurugongo