KARIBUNI TUSHEHEREKEE KUZALIWA KWA MKOMBOZI WETU KULE BETHLEHEM PANGONI. SUBSCRIBE, LIKE AND SHARE
@charlesmgute5712 жыл бұрын
Hongereni kwa wimbo mzuri
@costamahuwi80803 жыл бұрын
Hongereni kaz nzuri sana
@msokasgallery83233 жыл бұрын
Hongereni sana kwa kazi nzuri. Keep it up
@costamahuwi80803 жыл бұрын
Mungu azid kuwabariki
@hezronndakama52273 жыл бұрын
Merr , na wengine umependeza sana
@marynessmelchiory34332 жыл бұрын
Tunashukuru sana 🙏🙏🙏😃😃
@kanikisimon74953 жыл бұрын
Myonga unatisha🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@KalltuniClassics3 жыл бұрын
KaI nzury sanaaa
@iqramdilunga88103 жыл бұрын
Wow kazi nzuri, Mungu awaongoze na awaeke sawa mbaki kuwa ktk mshikamano wenu pamoja na umoja
@marynessmelchiory34332 жыл бұрын
Woow😍Amina sana, Mungu akubariki sana 🙏
@shepherdhermas67633 жыл бұрын
Hongera 😘🎶🎶
@sebastiankabuga60063 жыл бұрын
Hongeren kw kaz nzur Mwenyezi Mungu azidi kuwabariki katika utume wenu..🙏🙏🙏
@stephensanga3 жыл бұрын
Amazing work, asante Mwalimu Myonga kwa utunzi bora👋👋👋👋👋👋👋👋
@breezonlinetv3 жыл бұрын
Kazi nzuri Sana Mt secilia
@KwayaYaMtSeciliaMakuburi3 жыл бұрын
Asante sana
@josephsabuni7953 жыл бұрын
Nyimbo nzuri Sana... Hongereni kwa utume.
@KwayaYaMtSeciliaMakuburi3 жыл бұрын
Asante sabuni
@FRANKREME Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
@nicedaniel84813 жыл бұрын
Hongereni kwa kazi nzurii
@KwayaYaMtSeciliaMakuburi3 жыл бұрын
🙏
@amundalakolomoni3 жыл бұрын
Muzuri sana wimbo uyu wa kuzaliwa kwake Bwana wetu Kristu Mfalme. Hongeri na mubarikiwe na Baba Mungu. Ashanti sana. Alphonse Marie.
@stevenmnyonge58243 жыл бұрын
Kazi nzuri yenye uhalisia wa asilii. Nawamis Sana kwaya yangu. May God bless all of us. Sarute kwa Kamanda angu Myonga.
@livinusgrenus27593 жыл бұрын
Ama kweli hii ni funga kazi ya mwaka, Mungu awazidishie baraka katika uinjilishaji
@brianrutta43153 жыл бұрын
Hongereni wapendwa
@agatonngailo66322 жыл бұрын
Mt sesilia makubur hongeren kwa nyimb nzur
@norbertnturama47262 жыл бұрын
Hongereni sana wanakwaya wenzangu Nimeipenda sanaaaa
@jerrykivinge16773 жыл бұрын
Wimbo mzuri, idea ya video nzuri sana, costumes, location, zinavutia sana na zinaendana ..... Ila ubora wa video sio HD...mjitaidi kupost video zenye quality ya picha Bora.
@ayubj.myonga46943 жыл бұрын
Shukrani sana kwa maoni yako.. Kuhusu quality ya picha nenda pale mkono wa kulia juu kabisa at the corner,bofya apo then chagua quality walau 720 au 1080 ile ya mwisho itakung'arishia picha yako..Heri ya Krismas na tunakutakia mema katika kuuaga na kuukaribisha mwaka
@kihiyoemmanuelpianist3 жыл бұрын
Mwamba ni Mwamba 🔥🔥🔥
@KwayaYaMtSeciliaMakuburi3 жыл бұрын
Asante kwa comments
@maliaannann15723 жыл бұрын
Myonga shikamoo..... I salute.... Be blessed St Cecilia
@luciafelix59353 жыл бұрын
Hongereni Sana wanakwayamt.csecilia ....kwa uinjilishajii mzuriii.....
@mawazochafumbwe57883 жыл бұрын
Hongereni sana my lovely kwaya; Mungu aendelee kuwainua na kuwakirimia Neema na Baraka tele ili muendelee kumtangaza Mungu ulimwenguni kote!!
@KwayaYaMtSeciliaMakuburi3 жыл бұрын
Asante sana
@despinae.mdende3 жыл бұрын
Barikiwa sana
@samwelmitao99463 жыл бұрын
💥blessed xan.....
@KwayaYaMtSeciliaMakuburi3 жыл бұрын
Karibu kaka
@emilshayo44033 жыл бұрын
TANGAZO TANGAZO.... NAWAPENDAAAA
@KwayaYaMtSeciliaMakuburi3 жыл бұрын
Tunakupenda pia
@mitaocamilliusthegreatest90683 жыл бұрын
Safi Sana Mt. secilia Makuburi huwa mnanipa Raha sana
@KwayaYaMtSeciliaMakuburi3 жыл бұрын
Asante sana
@evakiswaga32052 жыл бұрын
Amakweli cesilia mnanikosha saaaana big up kwa mtunzi wa wimbo huu nikiusikiliza huwa nabakiwa sana mungu aendelee kuwapa vipawa zaidi
@m.mmarckus62983 жыл бұрын
Waooooo,asanteni kwakuzidi kutuinjirisha kupitia uwimbaji wenu. Samahani lkn dada zangu upande wa vazi la kanga kuacha mabega wazi hapana
@mariatairo95623 жыл бұрын
Wowooooo mmetishaa saana🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@KwayaYaMtSeciliaMakuburi3 жыл бұрын
Asante sana
@ericktemba1923 жыл бұрын
SIFA NA UTUKUFU NI KWA MUNGU. ONGERA NYINGI KWA KWAYA YANGU PENDWA SANA. PONGEZI ZIWANDEE WALIMU WOTE WA KWAYA KWA KAZI KUBWA SANA ILIYO FANYIKA MUNGU AWABARIKI MNOO
@KwayaYaMtSeciliaMakuburi3 жыл бұрын
Asante sana
@theodoraprosper32623 жыл бұрын
Hongera kwenu hakika mmeimba vyema
@deboramwadangalasoundoflov59533 жыл бұрын
Kwaya ninayo ipenda mnoo mnazidi kukiwasha hakika namuona Mungu kupitia nyie
@esthercharles78673 жыл бұрын
Weraweraaaaa💃💃💃💃hatupoi mzeeee Aseeee mnanipa Raha Sana nyie watu😘😘 Mzidi kubarikiwa Sana my family Zaidi ya yote sifa na utukufu Ni kwa Mungu Aliewapa vipawa hivi
@KwayaYaMtSeciliaMakuburi3 жыл бұрын
Asante
@evakiswaga32052 жыл бұрын
Kwa kweli mungu anawabaki sana kwa kazi mnayoifanya .mubarikiwe saaaaana.
@evakiswaga32052 жыл бұрын
Kwa kweli mungu anawabaki sana kwa kazi mnayoifanya .mubarikiwe saaaaana.
@justinamos91373 жыл бұрын
Hongeren sana mungu awalinde muendelee kufanya vizuri
@tarcisiusapolinary59573 жыл бұрын
Hongera kwenu kwaya ya Mt. Secillia nyimbo ni nzuri mnoo
@EvaKiswaga-j2o Жыл бұрын
Hongereni saaana. Mwaka huu nasali makuburi kwa ajiri ya wimbo huu ❤❤❤❤
@EvaKiswaga-j2o Жыл бұрын
Kiukweli cesilia mko juu saaana mungu wabariki . nasali kupitia nyimbo zenu. 👏👏👏👏
@levinasoka16853 жыл бұрын
Hongereni Sana kwa wimbo mzuri na video nzuri pia. Mmecheza uhalisia Japo nimewakumbuka Sana ❤️
@DavidGafo.3 жыл бұрын
Kazi nzuri 🔥
@tedrinaevaristo22893 жыл бұрын
Ningekua Dar basi ningekua muimbaji wa hii kwaya love ya'll ❣❣❣❣❣merry Christmas Mt.cesilia
@ayubj.myonga46943 жыл бұрын
Itatimia one day
@KwayaYaMtSeciliaMakuburi3 жыл бұрын
Karibu sana
@elvanusndyamukama41223 жыл бұрын
Mbarikiwe Sana kwa uinjilishaji wenu mungu awatie ngumu mdumishe umoja wenu hakika mtafanya makubwa na ya ajabu
@theresiajoseph19433 жыл бұрын
Eeee bhn weeee mambow si ndo haupo yaa sesilia ,,mzidi kubarikiwaa jmn daaa I love you
@KwayaYaMtSeciliaMakuburi3 жыл бұрын
We love you too
@theresiajoseph19433 жыл бұрын
@@KwayaYaMtSeciliaMakuburi ❤️
@KwayaYaMtSeciliaMakuburi3 жыл бұрын
Kmsm Ni nyumbani kwako. ukuje haraka. Majuku yapo na hayaishi maana nisehemu ya maisha
@theresiajoseph19433 жыл бұрын
Kabisaaa an I wish siku Moja tuwe pamoja ❤️
@anethmassawe26353 жыл бұрын
Wooow... Kazi njema sana😇🥰 Hongereni Sana, Mungu azidi kuwakweza ,🙏
@elizabethmwanakatwe60333 жыл бұрын
woooh 💥💥💥 lovely family 😍😍
@KwayaYaMtSeciliaMakuburi3 жыл бұрын
Asante sana
@KwayaYaMtSeciliaMakuburi3 жыл бұрын
Barikiwa mwanakatwe karibu Makuburi mt.secilia
@paulonkunga2713 жыл бұрын
Ongereniii sanaa 👏👏👏🤝
@KwayaYaMtSeciliaMakuburi3 жыл бұрын
Asante sana
@prosperndesamba74089 күн бұрын
Congratulations to makuburi choir for a very great Noel Song, Mungu awabariki sana, muendelee kumtumikia Mungu kwa njia ya kuimba.
@adventinangumba8333 жыл бұрын
Waoooo! Congre sana my choirs mmeupiga mwingi
@KwayaYaMtSeciliaMakuburi3 жыл бұрын
Asante sana
@leonciagitonga64693 жыл бұрын
Naupenda huu Wimbo 👍👍👍👍👏👏😁 very well done 👍 I love you guys. Really beautiful😍😍😍👍
@KwayaYaMtSeciliaMakuburi3 жыл бұрын
We love you too
@KwayaYaMtSeciliaMakuburi3 жыл бұрын
Secilia tunakupenda zaidi na tumekuletea ukipendacho. Hebu wape link jamaa zako nao waonye utamu wa muziki mtakatifu
@mcindaibrahim6137 күн бұрын
Nyimbo nzuri ya Noeli. Hongera Ibrahim tokeya DR Congo (Bukavu)
@stevenmwacha7617 Жыл бұрын
Hatariii❤❤❤ napenda sana hii kwaya
@marynessmelchiory34333 жыл бұрын
Wow🥰
@despinae.mdende Жыл бұрын
Hongeren Sana Kwa wimbo Mzuri hakika Amezaliwa🔥🔥🔥
@faidaemmanuel603 жыл бұрын
Hongera sana kwaya ya taifa mt. Cesilia kwa nyimbo nzuri zinazobarki 🙏🙏🙏
@KwayaYaMtSeciliaMakuburi3 жыл бұрын
Asante sana
@kanikisimon74953 жыл бұрын
Hongereni sana👏👏👏👏👏 uyu Majige kama myahudi😂😂😂
@voiceofmiss.katarina63623 жыл бұрын
🔥🔥🔥inabariki
@patriciaburure28513 жыл бұрын
Just beautiful. Ngoja tusambaze upendo huko duniani.
@KwayaYaMtSeciliaMakuburi3 жыл бұрын
Asante sana
@hezronndakama52273 жыл бұрын
Great songiii
@alexnkayamba81939 күн бұрын
Hongereni saaaaaaaaana kwa kazi nzuri
@felicianmgaya48783 жыл бұрын
Hongereni sana mt Cecilia kwa uimbaji mzuri, hongera kwa walim wa kwaya hii especially binam yangu A.J Myonga
@edwardlucas58873 жыл бұрын
Nice
@BenedictorShimeАй бұрын
Naomba nota za huu mziki mtakatifu ❤️
@johnmbarukumatuta20023 жыл бұрын
very nice
@uwembatvonline3 жыл бұрын
Ayeee!!! 🌲🌲
@KwayaYaMtSeciliaMakuburi3 жыл бұрын
Asante sana
@bestbeatstoreacid3 жыл бұрын
AMAZING Track 📀 FIRE TRACK 🔥VIBE COOL!❤
@eliasmalima34103 жыл бұрын
Good Melody Good Vocalist Good Music am be happy to lisen This Song 💃💃💃💃