Mama safi kanisa unahakili mungu akubaliki haifai kuanika toto mtandaoni
@AtuMetus4 күн бұрын
First comment please like zangu❤
@noelkabaila32844 күн бұрын
God Bless You Bi Chaka🙏
@NyotaJuma-f5k3 күн бұрын
safi sana mama yetu
@RoseKillian-b8k2 күн бұрын
Wa 2000 huyu binti mrembo 😂😂😂
@mercykariithi79194 күн бұрын
Nyie watu mbona munateseka mioyoni mwenyu Martha sio mtoto ni mtu mzima amezaliwa 1989 ana miaka 30+ Martha ana shingo ngumu ana kafara na mizimu ko sio rahisi Martha KUVUNJA maagano hayo kama aliambiwa asiwasaidie wa kwao pengine akubali dhambi na atubu kwa Mungu na mama yake na hata mtoto wake wakuzaa acheni kumlaimu Joan pekee yake Joan na Martha wanaukaribu wa ndani Sana Tena Sana ukatibu usio mzuri mti unajilikana kwa matunda yake
@faigel3 күн бұрын
Martha sio wa 1989 sababu wanasema mdogo wake Beatrice Ako na thirty five years, that means beat ndio wa 1989
@RoseKillian-b8k2 күн бұрын
Limbwata😂😂😂😂
@FaustinaBoniface2 күн бұрын
Bi Chaka hajaelewa chochote kuhusu hili jambo la Martha....
@hamidaalhabsi85684 күн бұрын
Kweli kabisa bin chaka
@judithtitomalyeta40004 күн бұрын
Mathar snalaana ndio maana ana kiburi haiwezekani hataki kusikia ushauri
@lucymatiga18383 күн бұрын
Fanyeni mambo yenu Sasa yametoshs
@lucymatiga18383 күн бұрын
Ndicho mnavyotaka mama matha.nimbaya sana unamwanika wanao kwenye mitandao nanianafaya hivyo kwamtoto wake mama huyo matha siyo mtoto wako
@Osm90-m3jКүн бұрын
Kichwa kikubwa uwelewa mdogo we ulimuona mama Martha ndo kaongea yye si alikuwa anathibitisha ukiwa maarufu lazima hivi vitu vitokee angetaka yasisemwe si angeamalizana na familia yake kayataka huyo Martha mbaya amuine Leo baada yakuanza kunyolea panga wewe na Martha hamuna utofauti😏😏😏