KAKA YAKE MARTHA MWAIPAJA AFUNGUKA KILA KITU KWA UCHUNGU "SAKATA LA FAMILIA HII"

  Рет қаралды 19,105

S500 TV

S500 TV

Күн бұрын

Пікірлер: 107
@PATIENCEKIRINDIRO
@PATIENCEKIRINDIRO 15 сағат бұрын
Béatrice Mwaipaja haja koseya kitu chochote shida DAWA IME UMA KWENYE KIDONDA mutu aki okoka lazima aweke yote hazarani shetni apate aibu, hongera ana Béatrice Mwaipaja ku shinda shethani ✍️
@Hadia-99
@Hadia-99 14 сағат бұрын
Umeweka yako yote hadharani?
@ErickMakozi
@ErickMakozi 41 минут бұрын
Niko pamoja nawe ndugu. Uwo sio ushuuda, pia aupendezi Mungu. Uyo dadake Ana roho mbaya sana Beatrice. Sio vizuri kumwanika mwenzake vile.
@SophiaPatson
@SophiaPatson 28 минут бұрын
Mungu amwinue mtumishi wa Mungu Matha amebeba Hatima kubwa sana!
@infodigtechforcommunityemp4103
@infodigtechforcommunityemp4103 11 сағат бұрын
Mungu akubariki sana Mchungaji
@LenoxKitsao-z1r
@LenoxKitsao-z1r 13 сағат бұрын
uyu ata sio kakayake martha mwaipaja linajiongelea tu.
@mmangasalum2195
@mmangasalum2195 20 сағат бұрын
Wewe Bado sio mchungaji,na Wala hamjamwelewa vizuri Beatrice Rudi kwenye cripu yake na umsikilize vizuri,tuzidi kuomba neema ya Mungu itusaidie maana watu wamemwelewa vibaya
@juliusakilimali9424
@juliusakilimali9424 20 сағат бұрын
Muelewe mchungaji! Mambo ya familia uwezi kuyaweka kwenye mitandao
@josephlorri431
@josephlorri431 20 сағат бұрын
Kila mtu amwelewe kama wewe... acha upotofu
@gidiongervas2489
@gidiongervas2489 20 сағат бұрын
Shida pia wew uelewa wako mdogo
@OscarFrancis-mx7iy
@OscarFrancis-mx7iy 19 сағат бұрын
Uwo sio ushuhuda ni udaku unasopoti umbea pumbavuuuu
@NeemaMasala-o7c
@NeemaMasala-o7c 18 сағат бұрын
Sijui kwanini beatrice hawatak kumwelewa
@veronicathomas89
@veronicathomas89 17 сағат бұрын
Mchungaji MUNGU akubariki sana🙏
@happyelia-r3w
@happyelia-r3w 17 сағат бұрын
Wewe hujamuelewa Beatrice Rudi kwenye mazungumzo yake vinginevyo unajipendekeza kwa Martha, kwendraaaa...
@BajouNizeye
@BajouNizeye 3 сағат бұрын
Kweri baba, niukweri,Beatrice arifasha makosa sanaaaa,ndugu ni ndugu tu
@RwachiryoraWema
@RwachiryoraWema Сағат бұрын
Mnapenda sana kuficha uchafu. Yesu alishawai ona mtu akifanya makosa akanyamaza
@asteriakayange9556
@asteriakayange9556 8 сағат бұрын
Nimekuelewa Sana mtumishi , maneno yako Yana busara Sana japo baadhi hawataelewa mpaka Yesu ataporudi mara ya pili
@revocatusmihayo3886
@revocatusmihayo3886 18 сағат бұрын
Pastor uko sawa
@BajouNizeye
@BajouNizeye 3 сағат бұрын
Mitandao haiko njo itareta jibu,beatrice na Maman yake juyanini hawakwenda kwa muzazi wa kiloho wa Matha awapatanishe?jibu latatizo sio mitandaoni wa Kriso,munanja myoyo ya watu wengi sanaaa, Mungu amufundishe kweri kunyamanza Matha,kakimya Mungu akuteteye,samahani kwaki swahili,Niko mutu wa buja
@SelinaDevid
@SelinaDevid 16 сағат бұрын
Asante mchungaj
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 17 сағат бұрын
Wanazuzuka baada ya kupata hela😢😢
@lightcelebrationgroup
@lightcelebrationgroup 2 сағат бұрын
Kaka yao anasaidiwa na Martha Mwaipaji kabisa, kwamaana haikukuwa machafuzi bali ilikuwa ushuhuda wakumupatisha shetani haya.
@tezrantangeki5845
@tezrantangeki5845 16 сағат бұрын
Hamjamuelewa Bite! Mchgj rudi kwny clip usikilize vzr na hasa lile suala la yule mama Nabii wa uongo!
@AkwiliniQawoga
@AkwiliniQawoga Сағат бұрын
Hakuna cha siri.Hii ni njia ya Mungu kuwaaibisha wanafiki ili wapate kumrudia Mungu
@marthaayuma7065
@marthaayuma7065 4 сағат бұрын
Ndoa haikuandikiwa wakristo tu.yeyote Yule ameandikiwa ndoa.awe mkristo.asiwe mkristo.ndoa kwakila mtu.pili ndoa sio rahisi .nineema ya mungu Tu inatusaidia.
@BajouNizeye
@BajouNizeye 3 сағат бұрын
Iko kweri baba, shetani arimutega nyala beatrice,na Maman hangefanya hangesema ivo mitandaoni,angemufichiya basi Matha,yarikuwa Hayako mambo yakusemeya kumitandao,munamushusha urimwengu muzima sanaaa mumekoseya,wahenga wanakata Hadisi mtoto anauwa ,lakini Mama Huawi,
@RemyEmily-l4i
@RemyEmily-l4i 16 сағат бұрын
Mtaongea sana ila mwisho wa yote Yesu atadhihirisha ukweli ulipo tuache kutetea utumbo hata huyu mtumishi km kweli ni mtumishi wa Mungu bado ajitafakari amejibu kwa kukurupuka achieni Mungu kazi yake
@BajouNizeye
@BajouNizeye 3 сағат бұрын
Irikuwa mambo ya familiya,Matha anyamanze tu
@SemeniModo
@SemeniModo 9 сағат бұрын
Wewe ni mbwa tu kama wangeuwana bila kuyasema haya ungesemaje
@JacqlineMmanyi
@JacqlineMmanyi 10 сағат бұрын
Mm nakuunga mkono kbsa kama kwel huyo bitres ameokoka asingemuanika dada ake hata kama amefany kwel wangeitan familia wayajenge na huo ndio ukristo dada martha MUNGU aendelee kukupigania achana nahao wanatafuta kiki songa mbele dada nakupenda bure
@MagrethFrancis-uq4eg
@MagrethFrancis-uq4eg 11 сағат бұрын
Huyu Mchungaji anatetea Martha mwaipaje, Atambue Mambo ya roho mtakatifu hayaangalii nyumbn wala chumbani wala kijijini, na akusema kwenye mtandao ni ushuuda kanisani, Ushuuda ni ushuuda tu, Mchungaji a naamini kupitiwa na shetani, pia zingatia ameongelea malango pia.
@irenenjeri6609
@irenenjeri6609 13 сағат бұрын
My question is martha anaishi na huyo joan kama nani kwake? I hope it's not what am thinking, there's a very BIG RED FLAG THERE YOOO, and there's is something so fishy going on with those 2, but our GOD JEHOVAH can never be moked everything will come to light, because JEHOVAH HIMSELF created The Light.
@YusterUliza
@YusterUliza 12 сағат бұрын
Exactly
@felistermsigala-ew5jy
@felistermsigala-ew5jy 11 сағат бұрын
Eeee Mungu atuaaidke sisi ni barua Sasa ni barua ya aina Gani hii jamani inawezekana Mungu aliamua kuweka baadhi ya vitu hadhalani
@ScolaMussa-il4fs
@ScolaMussa-il4fs 2 сағат бұрын
Betric Yuko sahihi pengine limeshindika ndy maana ameleta pabric ko yupo saw anahitaj kusaidiwa
@PATIENCEKIRINDIRO
@PATIENCEKIRINDIRO 10 сағат бұрын
Martha Mwaipaja asione umaarufu wake Ila ajuwe kama mama ndiye Mungu wake chochote ana choweza kusema kita mukuta maana ni Mungu ame mupa mamlaka muzazi, uki ona mamake Martha Na Martha kiukweli âme fungwa Hana roho ya kiutu, mupaka ame mukana mama ni laana, INAFAA NINI KUPATA DUNIYA UKOSE MBINGU? Ukweli una uma Ila Martha atafute mama ukiona mama ya Martha UTA towa machozi
@baghabaghaingwengwe1750
@baghabaghaingwengwe1750 17 сағат бұрын
Yaani mdogo mtu anaomba mbele ya madhabahu ili dadake afunguliwe aungane na familia wewe c kitu kizuri wewe ni ibilisi tu
@AntonySimoni-b2h
@AntonySimoni-b2h Сағат бұрын
😮
@carolinecaroline-rs7pr
@carolinecaroline-rs7pr 17 сағат бұрын
Asante kwa hushauri
@RestutaNicolaus
@RestutaNicolaus 11 сағат бұрын
Imeadikwa azifichae zambizake hatapata lehema aziugamae za mbizake atapata lehema
@AnnaliceKokuKayungi
@AnnaliceKokuKayungi 13 сағат бұрын
Kuhudumia wazazi ni lazima na muhimu kibiblia. Lakini bado Beatrice amekosea sana, kumtuhumu dadake, na hicho alichokielezea sio ushuhuda wa kujenga, alikuwa amejaa uchungu tu moyoni akaongea kwa uchungu lakini sio ushuhuda wa kujenga. Alitakiwa aelezee level ya elimu aliyoifikia na namna Mungu alivyomvusha kufika hapo. Kuna mapungufu mengi katika hii story yake. Joan naye kaharibu, hatakiwi kuingilia. Mungu ataitolea jawabu hii issue!!
@YusterUliza
@YusterUliza 12 сағат бұрын
Beatrice hana kosa jmn ule ni ushuhuda anachopigania yeye ni ukomboz ktka familia yake iliyoingiwa na giza na ili ukomboke au upone ni lazma ugonjwa uwekwe peupe ndio tiba ipatikane eleweni bite yupo rohon zaidi akin watu mnatafsiri kimwili et kamzalilisha dadaake kivip
@TYN-o1r
@TYN-o1r 11 сағат бұрын
Kweli, ni kujiosha yeye na kumpaka dadake uchafu , kila mchungaji angeandika mambo ya waumini on Internet mhhh
@charlesbabag1424
@charlesbabag1424 11 сағат бұрын
Huyu jamaa si ndio anahubiri pale mbezi mwisho😄😄😄
@infodigtechforcommunityemp4103
@infodigtechforcommunityemp4103 11 сағат бұрын
Safi mchungaji
@felistermsigala-ew5jy
@felistermsigala-ew5jy 11 сағат бұрын
Mtumishi nahsi hamkumuelewa Betris ule ilikuwa ni ushuhuda hebu jalibuni kusikiliza
@baghabaghaingwengwe1750
@baghabaghaingwengwe1750 17 сағат бұрын
Madhabahuni kila kitu kinapelekwa mbele za Mungu
@DesireBigirimana-n4o
@DesireBigirimana-n4o Сағат бұрын
Sija sikia yote , ila bibilia inazungumza vizuri kuhusu ndoa ( divorce) siyo akili yako
@felistermsigala-ew5jy
@felistermsigala-ew5jy 11 сағат бұрын
Tumishi kumbuka kuwa asiyewajali wa nyumbani mwake ni
@jovithageorge8220
@jovithageorge8220 Сағат бұрын
Huyu siyo mchungaji
@ROBYMTARATIBU
@ROBYMTARATIBU 12 сағат бұрын
Mbona anazunguka atoe jibu. Hawa waimbaji ni Malaya kama sio Malaya wanamalizia wapi nyege zao? Au hisia hawana
@samuelpaschalofficial5557
@samuelpaschalofficial5557 12 сағат бұрын
Umenimalizia mb tu
@erastomwambeje9920
@erastomwambeje9920 12 сағат бұрын
Hujui maana ya ndoa
@ChikondiMadaliso
@ChikondiMadaliso 19 сағат бұрын
Nishetani amewavamia arafu wako kiveze zaidi. Kingine hajampokea mbwana yesu hawajiwi utam wa yesu piriwako kifeza siyo kumpenda mungu huwezi kufanya kazi ya mungu bira mume ni uwongo arafu bado ni vijana
@infodigtechforcommunityemp4103
@infodigtechforcommunityemp4103 11 сағат бұрын
❤❤❤❤
@SaimoAbusei
@SaimoAbusei 3 сағат бұрын
Mchungaji wa hofyo uyo
@edwardleonard5793
@edwardleonard5793 12 сағат бұрын
Akili ndogo mpaka.kwa wqchungaji eti mambo ya nyumbani yaani ukiwa mtumishi uwe na mambo ya nyuma ya pazia ambayo ni maovu alafu useme akayaongelee nyumbani au nyuma ya pa,ia hukohiko ili ibilisi apate kuinuliwa pumbafuuuu kbsa
@MagrethFrancis-uq4eg
@MagrethFrancis-uq4eg 11 сағат бұрын
Wakati wa Mungu ni sahihi, Bitris ametoa ya moyoni na yeye ajesema amtunze ye ye amtunze mama Yao km hamtunzi amtunze
@isaacmwaseba9972
@isaacmwaseba9972 2 сағат бұрын
Yeye Beatrice anamtunza au ni haki ya mtoto mmoja tu kumtunza wale wamekataliwa toka 1995 na ndugu zao. Warudi nyuma kwanza kwenye familia zao. Sababu hata Beatrice ni muimbaji pia asaidie mama yake kwa mfano Martha aone aibu sasa wote hamumsadii alafu unalaumu dada.
@titolucas-wb4uj
@titolucas-wb4uj 10 сағат бұрын
Huyo msanii wala hana undungu na family ya matha nilikua naye kwenye kijiwe cha bajaji africana mbezi beach nyie wandishi wahabari mnaungaunga ilimradi mabando yetu atumiwe jamani duuu
@NeemaSamweli-t4c
@NeemaSamweli-t4c 17 сағат бұрын
KWAMZA KUMBE HATA UJUI KAMA HUWA ANAMSAIDIA MAMA YAKE AU LA MAANA YAKE WEWE NI MTU WA MBALI NA HIYO FAMILIA.
@songolomgallah4017
@songolomgallah4017 20 сағат бұрын
Sio kweli kwamba wanawake wengi waimbaji wanaachika ila kwasababu wao wanafahamika lakini ukiangalia uharisia ni huo
@Isack-b9k
@Isack-b9k 14 сағат бұрын
Mchungaji wa mchongo et kwao wachaw au hawamtaki wakat anaolewa hakujua katika maono ambayo mnatuambia Mungu kaonesha niolewe na mume flan ,tupe neno acha porojo
@law93king
@law93king 20 сағат бұрын
mchungaji kanjanja anahojiwa na mtangazaji kanjanja
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 19 сағат бұрын
Kweli hiki kichanel ni chamchongo namtangazaji wa mchongo pia huwa mchonganishi namuonaga kila wakati anamhoji magoma upuuzi mtupu
@MalwaSamike-hh7py
@MalwaSamike-hh7py 21 сағат бұрын
Good
@Gwandumi-r2v
@Gwandumi-r2v 14 сағат бұрын
Yawezekana kifamily imekaliwa na imeshindikana na ndio maana kwa uchungu mdogo mtu yamemsibu yale yote family yake inayopitia, haya wewe unasema kakosea na je huyo mtoto WA matha kumjibu mama yake mdogo na kumkashifu je huyo kafanya vizuri? Mimi naona Kwa maono hajakosea na imekuwa ni funzo Kwa wacha MUNGU, na kama ni kweli kwanini iwe sili? Kaka kama chini ufikiri vizuri sasa naona ni wakati mzuri WA kuiweka Sawa hiyo family yao, MUNGU awasaidie,
@MamaMayai
@MamaMayai Сағат бұрын
Wewe Bado siyo mchungaji ka ujaona kama math ametekwa ma nguvu za giza
@Hanifa4-d4q
@Hanifa4-d4q 3 сағат бұрын
Ww mchugaji nimsengeeeee unafulwa
@AnethJoseph-wj4bo
@AnethJoseph-wj4bo 12 сағат бұрын
Martha alikua na kaka kuanzia lini? Au ni kaka wa ukooo?
@clemencelisonga8261
@clemencelisonga8261 13 сағат бұрын
Waimbaji wakike wengi ni makahaba
@HappyNass-mu3lu
@HappyNass-mu3lu 15 сағат бұрын
Mchungaji wa hoyo sana
@ellyelly9069
@ellyelly9069 18 сағат бұрын
Imeandikwa mtakayo yasikia kwenye uvungu wa vitanda tokeni mkayatangaze juu ya mapaa ya nyumba
@neleanyanguye-ej1hh
@neleanyanguye-ej1hh 13 сағат бұрын
Si vema chakula cha watoto kumpa mbwa. Masuala ya familia kurusha kwenye mitandao binafsi siungi mkono
@YusterUliza
@YusterUliza 12 сағат бұрын
Masuala ya familia kivip familia inateketea na mambo ya giza na uongo bite anakaaje kimya kwa mfano
@Farajahelene23031
@Farajahelene23031 17 сағат бұрын
Good pastor love you sir
@rebekamwimi1394
@rebekamwimi1394 20 сағат бұрын
Niulize labda kwa nini hakusema siku zote yetu macho na masikio
@NEEMANICHOLAUS-qw1ne
@NEEMANICHOLAUS-qw1ne 15 сағат бұрын
Mtu wa hovyo eti mchungaji
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Сағат бұрын
Matha hana kaka wako 2
@faithmusyoka6439
@faithmusyoka6439 16 сағат бұрын
Bt kwa akina martha ni 3 sisters na mmoja alikufa kitambo
@suhaylaabdullah4261
@suhaylaabdullah4261 21 сағат бұрын
Huyu mtangazaji akajifunze kuhoji watu yupo 0
@husseinmbonyi8347
@husseinmbonyi8347 16 сағат бұрын
Pastor unajipendekeza wewe msaidie mamayako
@ministerHappyAllan
@ministerHappyAllan 17 сағат бұрын
Kwanini na wewe usinyamaze kama hujui kitu😂..
@NeemaSamweli-t4c
@NeemaSamweli-t4c 17 сағат бұрын
Hakuna mtumishi wa Mungu hapo ni mjingajinga tu wa mtaani maana hata unavyoongea ni kijana cha mtaani tu. Nikajua utazungumza kwa hekima juu ya kujali wazazi kama Biblia inavyosema.
@NeemaSamweli-t4c
@NeemaSamweli-t4c 17 сағат бұрын
Hakuna kaka hapo.....mama yenu anateseka na wewe kama kaka huna msaada wowote juu ya mateso yake. Pumbavu zako.
@happyelia-r3w
@happyelia-r3w 17 сағат бұрын
Hajampiga amesema kwamba shetani ananguvu sana ndio akawekea mfano kwa dada yake sijaona km amekosea
@MalwaSamike-hh7py
@MalwaSamike-hh7py 21 сағат бұрын
Sijapenda aliyofanya Beatrice, unafiki huo
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 17 сағат бұрын
Limbukeni tu😢😢
@SaidiNzoa-m2q
@SaidiNzoa-m2q 19 сағат бұрын
Unachunga mbuzi
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 19 сағат бұрын
Na makondoo pia😂😂
@EmmilianaDeodath
@EmmilianaDeodath 17 сағат бұрын
Wewe ulisha wahi kuona wapi mtu anauchungu wakweli kabsa anajifanya analia huku anaongea sjawah kuona ukiwa na uchungu wa kweli huwez kuelezea ase kama kuna mtu alshawah kua na uchungu aje aelezee eti mwenzetu analia huku anaongea ulishaona unafk mkubwa kama huu anajiliza ili watu wamchukie dada yake ashushe followers za, dada yake mara wafute kla ktu kweny account atalipa atalipa tu
@NyerereMadole
@NyerereMadole 14 сағат бұрын
Mchungaji acha uchawa wewe
@infodigtechforcommunityemp4103
@infodigtechforcommunityemp4103 11 сағат бұрын
Hiii ni chuki kweli umesema
@Eric_Hackz
@Eric_Hackz 12 сағат бұрын
Kumbe anazungumziwa mama wa kambo anayepeleka mtoto wake na asiye wake kwa Madhabahu za giza.AIBU.
@AlesiaKayoka
@AlesiaKayoka 19 сағат бұрын
Joan kapagawa na Crip ya Beatrice,Amejibu bila kumfikiria mama yake, Joan kuwa mpole,na Beatrice nawe mambo ya family kuleta hadhalani huko ni kujichafua punguza hasira
@deomwesa_JitumeTZOnline
@deomwesa_JitumeTZOnline 16 сағат бұрын
Haya wanaomuunga mkono Beatrice watuambie wao wamewasaidia Nini wazazi wao chenye thamani ya 100milioni
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 16 МЛН
Арыстанның айқасы, Тәуіржанның шайқасы!
25:51
QosLike / ҚосЛайк / Косылайық
Рет қаралды 699 М.
Quando eu quero Sushi (sem desperdiçar) 🍣
00:26
Los Wagners
Рет қаралды 15 МЛН
mbombo harmonize yanga umeiyonaje
3:33
kazikazi company
Рет қаралды 21 М.
MISSION IMPOSSIBLE [23] SEASON 2
21:36
CHADO MASTA FILMS
Рет қаралды 10 М.
5 Ways to Handle People Who  Don't Respect You | STOIC PHILOSOPHY
29:24
James The Stoic
Рет қаралды 792 М.
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 16 МЛН