Pole sanaa Bianka kwa yote 😭😭 Mungu ni mwema hii story nzuri sanaa ❤ na nimejifunza 🔥🥰🥰🥰
@MariamNadzua-pe9zb3 ай бұрын
Pole sana bianka kwa uliopitia napia hongera sana kwa ujasiri wako asante kwa simulizi yako nzuri yenye mafunzo
@lonakirao52753 ай бұрын
😢😢😢 D'oen na Felix hamtufanyii haki wasikilizaje wenu😭 nyinyi niwakutufanya tutabike kama wagonjwa wa corona kweli kila dakika nachungulia nahisi eti kwangu ndo kuna shida😢 mshatuzoesha vibaya jamani 🥺🥺 tupeni tiba yetu🙏
@ataamansi89413 ай бұрын
Duu jamani sijui sauti ya Felix Mwenda imeniathiri sana,nikiifungua simulizi yoyote nikakutana na sauti hasa ya mdada ukweli nashindwa kabisa kuisikiliza, nasikia vibaya mno bora, hata oen jamani, au hata irudiwe na mwamba wa sauti Felix Mwenda, niweze kujua huenda ni nzuri au oen, naomba Edgar Mbogo, Hans Masleen story wasisubutu kuwapa wadada kwani kipaji cha kufanya story inoge kwangu hamna, au hata wakiwapa hao wadada ili wasife njaa,basi irudiwe naFelix Mwenda, LAKINI VERONICA FRANK NAFURAHIA SANA KUMSIKILIZA katika ripoti ya leo 💃🕺🤸👏
@sidonienduwimana3 ай бұрын
😊😊
@SoomaAsd-ml1ou3 ай бұрын
Wow simulizi nzuri sana ila Bianka kabitia mengi sana 😢😢
@Rais__772daughters3 ай бұрын
Jamni😢😢😢❤
@lonakirao52753 ай бұрын
Sio siri Bianka alipitia sana 😢 ila hatimaye mapito yake yalimfikisha kwenye mikono salama 🥰
@MwanatumuJumaa-rj4fg3 ай бұрын
Rizki ya mtu ni ya mtu tuu🎉🎉🎉🎉
@christinahaule-p8i3 ай бұрын
pole Bianca kwa matatizo yote yaliyo tokea mbk ukampoteza bibi yako ❤❤❤
@jamilajamal15843 ай бұрын
Dada B oyooooo❤❤❤
@Sss-b9w6f3 ай бұрын
Mashaal asant ❤❤
@THEDONSIMULIZI3 ай бұрын
Leo wakwanza 1 voice by beatrec dada la dada 🔥🔥
@TeklaNdekeja3 ай бұрын
❤❤ umetisha mtu wangu 😂
@THEDONSIMULIZI3 ай бұрын
@@TeklaNdekeja umeona eeh
@THEDONSIMULIZI3 ай бұрын
@@TeklaNdekejaSana zaid ya sana huyu bidada beatrec ni jinias
@neargirl733 ай бұрын
Like kwangu maan mi ndiooo wa mwishooo jamaniii
@RaifaMbarouk3 ай бұрын
Yan wew dada unasaut tam wew
@angeldavid47203 ай бұрын
Simuliz mix kweli cku inaisha mnatupa kidude kimoja aaa mmetuchoka kwakweli 😢 mtu unachungulia mda wote jamn Kwan story zimeisha😮
@ataamansi89413 ай бұрын
@@angeldavid4720 angeldavid kipenzi bora uwe mvumilivu ,tusilazimishe acha hao waandishi wajiandae vizuri,kuliko tulishwe Matango pori, kumbuka hii fani imevamiwa kuna waandishi wa hovywo hawana kipaji kabisa wanaleta story za kusadikika havifundishi, haubrudishi, haifurahishi, havina uhalisia kabisa na maisha ya wanadamu, mfano linganisha story ya Davina,maiti ya mwanangu zipo nyingi mno za hovywo yaani hizo story ni kero hazina utulivu wala uhalisia, sasa sikiliza za Edgar Mbogo zote alizoandika hakika unafurahia sana sana,mfano gobore la urithi,japo inatoka kwa mbinde sana hadi tunahuzunika sana, ingine buku la shemeji, mwalimu naye anataka KIAPO CHA DAMU,yaani zake ZOTE hajawahi kuwa na kazi mbovu, pia hutenda haki kwa wasikilizaji kwa kumpatia mwamba wa sauti Felix Mwenda asimulie, yaani huyu bwana ni mwanzo mwisho kwa usimuliaji, akifuatiwa na Anko Jei,na wa 3 kwangu angalau oen, pia Yupo Hans Masleen story 2 zake Nimesikiliza lakini kawaida yake haziishii anaacha kutuwekea huku Youtobe, eti itamalizika pengine hii kero kweli kweli, story nzuri zinahusu kabisa maisha yaliyopo duniani SIRI ZA FAMILIA NA MAAJABU YA MAPENZI, hakika simulizi hizo ni nzuriiiii,lakini ndio hivyo zina masharti hazimalizikii humu