NURIA: SIMULIZI TAMU YA SAUTI

  Рет қаралды 7,599

SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix

SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix

Күн бұрын

Пікірлер: 37
@fetreshazKhamisi
@fetreshazKhamisi 4 күн бұрын
Daah nizuli sana hii simulizi inamafunsisho mengi na matamu ya kusisimua MashaAllah ❤❤, 🇴🇲🇴🇲 kweli nimeamini rafiki ni mama ako mzazi atandugu nae awaminiki
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 4 күн бұрын
Ee Mwenyezi Mungu nipe moyo kama wa Nuria,moyo wa dhahabu wakusamehe🙏
@kibibi7826
@kibibi7826 4 күн бұрын
Muandishi umeongea uhalisia wa Ndugu wakubwa ambao wanajitoa kwa wadogo zao kipindi icho huna kitu yani ukiwa mkubwa alafu uwe hauna pesa dharau,masimango na dharau na kusemwa pia kwa mwanaume au wanaume au wake za wadogo zetu....yani kama ujawai pitia hiyo changamoto ni ngumu kuelewa utaona kama ni simulizi ila wengi wanapitia kilochoandikwa na kusimuliwa😢😢😢tujitoe kwa mipaka ili kueka akiba ya kesho incase lolote litokee😊😊Much love from kenya Mombasa
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 4 күн бұрын
Asante sana Victotia kwa usimuliaji makini wa hadithi yenye mafunzo mengi ♥️♥️♥️🌹🌹🌹🌹🌹👋💃
@MwanatumuJumaa-rj4fg
@MwanatumuJumaa-rj4fg 4 күн бұрын
Hizi ndio simulizi zknazofaa katika .jamii..nimejifunza mengi sana ee mola niajalie moyo wa msamaha kama wa Nuria na .....
@AnnaMelikion
@AnnaMelikion 4 күн бұрын
Simulizi ina funzo kubwa san kuhusu undugu . Asante sana ❤
@ZainabuNasibu-v2k
@ZainabuNasibu-v2k 5 күн бұрын
Jamn nimekuwa wa kumi na Tano like zangu
@zenaathumani8144
@zenaathumani8144 5 күн бұрын
❤❤❤🎉
@MamaSuzi-d3r
@MamaSuzi-d3r 4 күн бұрын
Kweli Nuria angemwacha mdogo wako angekuua wewe
@Babyfaty-m3y
@Babyfaty-m3y 4 күн бұрын
Nuria mjinga sna saw saw na helen tu huruma zke zinampnza ungeuliwa ww ndo ungekuwa kma ndugu yko ndo mbaya jinga sna ww unaacha kumsikiliz mwnmme aliyekupa maisha unaenda kuamin kma mdogo wko ndo kaonew mpka mtt wko anabakwa kwa ujinga wko
@AnnaMelikion
@AnnaMelikion 5 күн бұрын
Subilini niwafungulie mlango kwanza jman mtanikanyaga😂😂😂
@zenaathumani8144
@zenaathumani8144 5 күн бұрын
❤❤❤🎉
@AnnaMelikion
@AnnaMelikion 5 күн бұрын
@@zenaathumani8144 my dear 😘
@MwanatumuJumaa-rj4fg
@MwanatumuJumaa-rj4fg 4 күн бұрын
Yaani siku hizi hakuna cha damu nzito kuliko maji juu wasiohusiana nask kwa damu ndio wanaotustiri kuliko ndugu wa damu
@Aishwaraimasiennah
@Aishwaraimasiennah 4 күн бұрын
@@MwanatumuJumaa-rj4fg damu sikuhizi si nzito nikama ilitiwa maji🤣🤣
@MwanatumuJumaa-rj4fg
@MwanatumuJumaa-rj4fg 3 күн бұрын
@@Aishwaraimasiennah yalianza zamani juu Nabii yusuf kauzwa na nduguze wa damu katiwa kisimani na nduguze wa damu sasa letu nikiishi kwa tahadhari juu jamii inatuzunguka haitutakii wala kufurahia mema na neema zetu
@Aishwaraimasiennah
@Aishwaraimasiennah 3 күн бұрын
@@MwanatumuJumaa-rj4fg kweli kabisaa
@ZainabuNasibu-v2k
@ZainabuNasibu-v2k 5 күн бұрын
Wa tatu
@zenaathumani8144
@zenaathumani8144 5 күн бұрын
❤❤❤🎉
@christinahaule-p8i
@christinahaule-p8i 4 күн бұрын
❤❤❤
@Aishamzamilu
@Aishamzamilu 4 күн бұрын
@GraceBakari-wo8ly
@GraceBakari-wo8ly 5 күн бұрын
❤❤❤🎉🎉
@SallyJemutai-w5r
@SallyJemutai-w5r 4 күн бұрын
Simulizi tabu nimejifunza kitu
@ManisaboSifa
@ManisaboSifa 4 күн бұрын
Wao❤❤❤
@zenaathumani8144
@zenaathumani8144 5 күн бұрын
🙏🙏🙏♥️♥️♥️♥️♥️🎉🎉🎉
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 4 күн бұрын
Jamani kila jambo linakuwa na sababu ktk maisha yajayo,tusiwe na kazi yakulaumu tu sisi binadamu,😂😂😂 ubaya ubwela na udugu umala 😂😂😂
@Aishwaraimasiennah
@Aishwaraimasiennah 4 күн бұрын
😂😂
@Pedeshee01
@Pedeshee01 9 сағат бұрын
Dada penda penda huyu.japo ni utunzi ila mdada noma anapenda mboo
@hawasaid5286
@hawasaid5286 4 күн бұрын
usiwaonee huruma wanaume...watakuliza. wengi waliohurumia wanaume na kuwasaidia huishia kulizwa tuuu.
@NiyoBuja
@NiyoBuja 5 күн бұрын
Wapili jamani
@khizirially7601
@khizirially7601 Күн бұрын
Nuria ana roho nzur San daaah❤❤
@MamaSuzi-d3r
@MamaSuzi-d3r 4 күн бұрын
Sasa Nuria utaambulia ukimwi tulia fala wewe
@janethdaud201
@janethdaud201 4 күн бұрын
Pamoja
@JawahirMadar
@JawahirMadar 4 күн бұрын
Kweli wajinga sana mtu kampa sumu huku shitaki hata polisi ushahidi tosha unge mpata tu
@gagabossladygaga-ko2mv
@gagabossladygaga-ko2mv 4 күн бұрын
❤❤❤❤
@racheluwda6552
@racheluwda6552 4 күн бұрын
❤❤❤❤❤🎉🎉
@FatumaJumanne-p4d
@FatumaJumanne-p4d 2 күн бұрын
❤❤❤
simulizi fupi: SABRINA
1:57:30
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 59 М.
إخفاء الطعام سرًا تحت الطاولة للتناول لاحقًا 😏🍽️
00:28
حرف إبداعية للمنزل في 5 دقائق
Рет қаралды 48 МЛН
Life hack 😂 Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:17
Leisi Crazy
Рет қаралды 45 МЛН
#52 - #MLAFI - #MAU MPEMBA - #FUMBUA MACHO
13:20
Mau Mpemba
Рет қаралды 42 М.
PART 1: JAYA SIMULIZI YA SAUTI.
3:19:31
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 9 М.
BINTI ZAWADI PART 01, SIMULIZI TAMU YA SAUTI.
3:38:04
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 4,7 М.