Great teachers. Super Women. Love kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@mildredsophia71224 жыл бұрын
This lady taught me how to make perfect yoghurt in a very simple way. May God bless the work of your hands. Thanks alot for sharing your journey.
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
🥰🥰
@alimuhamadali21104 жыл бұрын
Wlhi your videos really help me a lot... I own a big restaurant in Somalia... and all this times it has been happening bcz of you.... Asante Sana mum♥️💯
@mercyambuka92144 жыл бұрын
Mziwanda bakers,sio mchoyo.God bless her.
@honerorynickson2334 жыл бұрын
Sister unapatikana wap na unafundisha kwa shi ngap
@saumukisanza91444 жыл бұрын
Yaan wewe dada ninekupenda bure unamoyo wakipekee nandomaana mungu anazidi kukufungili njia
@estherbenard72552 жыл бұрын
Natamani kufanya hiyo biashara laini sijui na yakuanza na kupima
@estherbenard72552 жыл бұрын
Yani sijui nianzie wapi namba ushauri wako daga yangu
@estherbenard72552 жыл бұрын
Samahani nimekosea kuandika hizo meseg ila ninaanisha sijui pakuanzia namba ushauri wako Dada yangu
@siriyangu47244 жыл бұрын
Mashaallah mziwada leo nimekuona vzury nimefurai sna una inspired sna
@dorisrwezaula66818 ай бұрын
Mziwanda is the best! Uzidi kubarikiwa mamy
@theresiaurio91124 жыл бұрын
Asante sana dada kwa mafunzo yko mazuri, naomba nipokee mimi mgeni,napenda kujifunza japo nafahamu kwa kiasi, pia natamani nifike km wewe hapo au zaidi ya hapo naomba mwongozo wako. Pia natamani kufahamu bei ya oven. Mungu Akubariki, kutoka Kibaha.
@khadijaismail59114 жыл бұрын
Dada mziwanda mwenyezi mungu akujaalie umri mrefu zaidi na azaidi kukuongezea maarifa
@anethnico45374 жыл бұрын
Yaani na mm natamani niwe na baker best nielekeze mpz
@aishaaasha16754 жыл бұрын
Ashaa safi sana my nimekukubari sana nami naitaji nijifuze naitaji darasa kwako
@janetbungu52274 жыл бұрын
Duuh, asante Mziwanda upo vzr sana kwenye kuelekeza. Barikiwa mnoo
@nyakengasamwel73904 жыл бұрын
Nimejifunza mengi kutoka kwako dada,hongera sana na Mungu akubariki
@ashajuma3228 Жыл бұрын
Jamanii mwanang pia anaitwa hythamu
@nawalgadaffi78933 жыл бұрын
She is so cute and not selfish. May Allah bless you mziwanda bakers. Lots of love from🇺🇬
@ikamalle3 жыл бұрын
🙏
@hopebaker59284 жыл бұрын
Nakupenda sana dadaangu mungu akupe umri mrefu uzidi kutufundisha nimejifunze mengi kutoka kwako
@gladnessaloyce20864 жыл бұрын
Mungu akubari sana mziwanda bakers...
@miliammateo24172 жыл бұрын
Kwakwel nimeipenda sana nataman kujifunza kwako
@welkasimoni31333 жыл бұрын
Asante sana binafsi nampanda sana huyo dada,
@rajabumuya71132 жыл бұрын
Nafatiliya sana vipindi vyako nimependa sana hongela mimi ni mwanafunzi wako mpy
@maryammaram26124 жыл бұрын
Waooo shukran sana mtu na dadake kwa kushare nasi mambo mazuri nawapenda sana ika na mziwanda bakery sijutii kumifatilia mungu amibariki katika kazi zenuu..
@ikamalle4 жыл бұрын
Asante dear
@maryammaram26124 жыл бұрын
@@ikamalle pamoja sana
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
🥰🥰🥰
@marijulmalius51564 жыл бұрын
@@mziwandabakers8297 dada mziwanda ulisema unauza oven naitaji naomba na bei yake
@ikamalle4 жыл бұрын
Mtafute insta @mziwanda_bakers
@noevitus41663 жыл бұрын
Nakupenda bure Jamani mziwanda bakers natamani nipate mawasiliano yako unipe darasa zaidi online coz nipo Iringa.😊 Nina spirit ya kutaka kujua zaidi
@yusuphMopharty11 ай бұрын
Yaaan mm huyu dada namuelewa sanaa sauti yake ya upendo mnoo naomba siku utoe somo la pishi la birihan
@annakastory15824 жыл бұрын
Ubarikiwe
@ikamalle4 жыл бұрын
Amen
@Sadanurudin Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤ napenda my dear
@monamzonge13984 жыл бұрын
Mungu azidi kukubariki sana na akuzidishie kheri nyingi maana umenifaa sana na bado unanifaa mm nilikuwa nakutaman nikuone live lkn uko mbali one day ntakuja huko ulipo.ila nahitaji darasa la cake na vifaa vyake nahitaji sana
@MariamMohamed-bw8xf4 жыл бұрын
Kusema kweli mungu abariki kazi yako ameen aku ongezee baraka tele tele kweli nafikiri nita kuiga kisha nita kujulisha maendeleo yangu kutoka kwako
@esteresterjohn54412 жыл бұрын
Mm naitaji kujifunxa nakupataje??
@veronicamgelwa97782 жыл бұрын
Uko vizur dada nahitaji na mm nijue zaidi
@RaniyahAnwar4 жыл бұрын
So inspiring kwa kweli💯💯 Tena youtube sio rahisi if you have someone amabe Yuko guiding you unakua una bahati sana
@lucymuya67884 жыл бұрын
Asante sana dada,naomba kuja kujifunza
@joycetido18962 жыл бұрын
Nimefurahi kumuona mwanamke asiye mchoyo wa ujuzi .ubarikiwe Sana naomba kujua Bei ya stand mixer Lita 8
@mollencharles81004 жыл бұрын
Mungu ambariki Mziwanda
@evalineemmanuel81783 жыл бұрын
barikiwa sana my wqngu mungu akutunze
@ikamalle3 жыл бұрын
Amen 🙏
@aishaabdallah45604 жыл бұрын
MashaaAllah nakupenda dada unafunza vzr m pia naomba mungu niwe km ww
@Glatis05233 жыл бұрын
Thank you for your existance lady umenifundisha mengi mnooo
@amadirispa83824 жыл бұрын
Nawa sukuru sana wakina Dada mungu awa bariki nikiwa Kenya mume ni ssidia sana tuko pamoja
@marianapatrick59934 жыл бұрын
Asante Dada nafuafilia Sana video zako nitakua mrejesho kikipika caka na miss baadhi ya mahitaji tu ila nitapata soon
@marianapatrick59934 жыл бұрын
What I meant is,,, I am always checking ua videos Dada thanks for ua wo derful talent it is helping me a lot,,, I will tray to bake my fist cake soon😘
@vickysunga44294 жыл бұрын
Habari dada mimi nipo mwanza naomba mawasiliano yako ili unifundishe kutengenza ice cream na kupamba cake nimejifunza you tu be kwa kuangalia video zako na za wengine nimejua ila sio sana. Hata kama ni on line nitalipa
@beatricmmpantaleo34204 жыл бұрын
Hongera nyingi kwako Dada mungu akutie nguv
@AnisiaKombe4 жыл бұрын
Napenda sana na mimi nijuwe kutengeneza keki.
@husseinyassin34192 жыл бұрын
b
@sheyzm85614 жыл бұрын
Very inspiring. Keep up the good work dada
@masumbahashimu82914 жыл бұрын
hongera dd mungu azidi kukuongoza
@nolimittvonline68222 жыл бұрын
Hyu dada. Ni mfano wa kuigwa ana moyo sanaaa pia siyo mchoyo kabisa mtu asipo elewa kwako bc haelewi tenaa asntee
@zuhurashafii63054 жыл бұрын
Jazakallah khayr, asante sana mziwanda bakes, Allah akuzishie khyr
@modestakizeli52024 жыл бұрын
Athante Dada ake penda sana Dada mziwanda
@stellarweichoka29204 жыл бұрын
Hongera dada Mungu akubariki
@ikamalle4 жыл бұрын
Amen! Amen
@swabahamohammed75903 жыл бұрын
Big up Sana mungu akubariki
@mercyambuka92144 жыл бұрын
I love mziwanda bakers,watching from Kenya
@abdullmalik78474 жыл бұрын
🍻
@moraakimani9404 жыл бұрын
Me too am watching from Kenya, l love your heart God bless you
@gladnessaloyce20864 жыл бұрын
Najifunza mengii sanaaa kwako😍😘
@sarahkahimba64154 жыл бұрын
Asante kwa upendo
@doricemwanjwango37624 жыл бұрын
Nyie wadada Mungu azidi kuwainua..asanten kwa msaada,ujuzi na maarifa mnayotoa..naomba kujua Mziwanda anaishi mkoa gani?
@MsBupe4 жыл бұрын
Video nzuri sana jamani👌👌👌
@bijumakassim36974 жыл бұрын
Mashaallah allah akuzidishie inshaallah
@monicafrank66184 жыл бұрын
Nawapenda woteee,,
@cecilliasenya45884 жыл бұрын
Asante sana, nimependa sana
@stellahmaimu55184 жыл бұрын
Nakupenda sana nami nipo mbion kuanza kujifunza
@preciousempresskenya19094 жыл бұрын
Asante sana kwa kutupea motivation. Mimi niko Kenya Na naweza penda kufungua duka langu huku Kenya niweze kujitegemea.
@rebeccawairimu1834 жыл бұрын
preciousempresskenya me also this woman inspired me
@veronicaemmanuel33314 жыл бұрын
Nakupenda sana my dada nataman sana nifikie upo nataman sana pya napenda niingie dara San kwako plz
@harrietprince10744 жыл бұрын
Hellow dear big up may GOD bless you grow up more success to you I love you
@neema5462 жыл бұрын
I appreciate your ❤
@avillajoseph74993 жыл бұрын
Nakupenda na wivu na wewe nataman uwe ata dada yangu nakuombea jmni . Naomba basi kama una group uniunge niweze kujifunza
@amadirispa83824 жыл бұрын
Waw asante ni sana
@Aliy6443 Жыл бұрын
Muko Zanzibar , au Dar esa lm. 🎂🍰
@sarahkahimba64154 жыл бұрын
Hongera Sana
@annakastory15824 жыл бұрын
Oven nzuri kwa keki ni ipi dada samahani
@joycemwasote2959 Жыл бұрын
Nimependa historia yako, hongera sana mziwanda darasa liko wapi hapa Dar nataka nipate darasa live na ushauri zaidi
@estherjohn13714 жыл бұрын
Hongera sana dada mziwanda ila natamani uniunganishe na mwl wako nitampataje yeye yuko wapi mimi niko dar es salaam
@bintirichard49294 жыл бұрын
mziwanda una roho nzuri sana I love u sooo much
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
😘
@mwanaishaabdullah21944 жыл бұрын
Mziwanda bekary nakuomba mpendwa wangu,nipate mawasiliano naitaji kujiendeleza niwe Kama ww, please my mungu atakubaliki
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
@@mwanaishaabdullah2194 0768859358
@juliethurio68404 жыл бұрын
Nawapenda sana sana warembo. Nakubali kazi zenu mno
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
😘
@habibamohamed7394 жыл бұрын
@@mziwandabakers8297 nawapenda sana kaz nzur pia napenda kujifunza kupitia wew naomba unambie ulipo au nitumie no zako ni na nia kwel yakuwa kama wew plz
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
@@habibamohamed739 karibu nipo Tabora
@habibamohamed7394 жыл бұрын
@@mziwandabakers8297 jaman utanisaidiaje sasa? Hata namba ya cm unifundishe online
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
@@habibamohamed739 0768859358
@charitynyaga46094 жыл бұрын
Mziwanda Baker's you are my inspiration , God bless your work
@najmasaidy88264 жыл бұрын
Dada Napenda Sana kazizako
@happinessjameskiwone55804 жыл бұрын
Nakupenda bure Dada mziwanda umeni inspire Sana 😘😘
@rosejoseph93784 жыл бұрын
Nawapenda sanaaaa
@anethnico45374 жыл бұрын
Big up sana
@nyanzarasabi34854 жыл бұрын
Mungu akubariki ubaki na moyo huo
@princeshadrak23104 жыл бұрын
Ma sh Allh,May Allah bless the work of your hands
@ellysilwani92874 жыл бұрын
Nimewapenda sana!hongereni.
@esterlyatuu92634 жыл бұрын
I lyk t ntapataje darasa my dada
@mohamedbakari10044 жыл бұрын
Nawapenda natamani niwe km nyinyi ila huku kwetu korogwe kunachangamoto sana ya biashara. Mwenyezimuku azidi kuwatendea mema
@maryammaram26124 жыл бұрын
Mi nipo tanga mohamed kange kama hutojali niwachie namba zako nikitafute tukae chini tupange kuhusu biashara sababu mim pia lengo langu ni kufungua bakeshop ndio mana nafatilia kila somo likiwekwa.. na korogwe pia kubwa kaka upo ipi hapo mi napajua manundu na pale mamba clup.. Karibu kama hutojali
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
Shukran sana,jitahidi kuthubutu naamini utaweza
@leonilamhumbila29414 жыл бұрын
Asante sana mziwanda natamani kujua upo wapi maana napenda kazi zako
@florentinakiyeyeu58763 жыл бұрын
Nakupenda Sana hii biashara Ila sijui nianzie wapi
@sadasaleh83594 жыл бұрын
Da mziwanda mzur mashallah
@magrethkapanda28073 жыл бұрын
Naomba niunge kwenye group lako la darasa
@tatulutambi13614 жыл бұрын
mungu akubariki nataman na mimi nijue kupitia wewe
@pauchonko75384 жыл бұрын
My dada Irene,ur the best
@omegakilinzi4 жыл бұрын
Hongera ccy
@milkaprotas23834 жыл бұрын
Nimependa sana i wish tu be like u
@gracecharles12444 жыл бұрын
Nawapendaaaa😍😍😍
@ikamalle4 жыл бұрын
🥰🥰🥰🥰🥰
@MwanamiruruRamadhaniabda-xt4sv Жыл бұрын
Mashaallah
@abdulcake_catering99814 жыл бұрын
Napenda sana mwanzo wako na juhud zakoo 🙏🙏
@yesnomads4 жыл бұрын
Very interesting video hun.
@successr16174 жыл бұрын
Waaaooow this is soo inspiring
@upro91824 жыл бұрын
I love u my kind hearted lady God bless u ....how much is the big oven in Kenyan money please
@sackinakilangi79754 жыл бұрын
Asante kpenz
@StezieRl4 жыл бұрын
Nakupenda Leo nimekuona kweli wee mzurii km Roho yako jmnii
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
🥰🥰🙏
@elizabethgasper29094 жыл бұрын
Video nzur
@leonialymo82864 жыл бұрын
Nafurahi kukuona KZbin .sijui niseme nini kwa furaha niliyokuwa nayo. Mungu akubariki akujalie afya njema tuzidi kuwa nawe
@sarahwilson5864 жыл бұрын
Hongereni sana.. Proud of u all. Keep up the good work my loves.
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
Love you dear Sarah
@ikamalle4 жыл бұрын
We love tooo much 🥰🥰
@shanijuma65254 жыл бұрын
@@ikamalle mungu akubark sanaa
@kibouttv71484 жыл бұрын
This is so inspiring Ika Malle mpe hongera Sana Mziwanda Bakery nimependa ulivyominterview tumeweza kumfahamu vizuri zaidi mana naonaga unammention Sana, jamani na mimi nafikiria kuanza kujifunza kupika keki kupitia channel yake Tena ngoja nikasubscribe kabisa
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
😘😘
@miriamwanjiru93744 жыл бұрын
Nakupenda Sanaa wewe dada natamani siku moja tukutane
@rosejonas79284 жыл бұрын
I lk it naomb nifundishe na mm pls
@kulthumsalim70704 жыл бұрын
Allah akuongezee Dada na asante sanaa binafsi mafunzo yako ndio nimeanza nayo biashara Alhamdulillah ubarikiwa dear,nahitaji ice cream machine na culture ila natokea Kenya.navipataje ummy au una njia gani niweze kuvipata please?