KIPI BORA KATIKA UANZAJI WA BIASHARA YA MTUMBA!

  Рет қаралды 1,611

SLAY WITH LOARA MWANZA

SLAY WITH LOARA MWANZA

Күн бұрын

Bosses Karibuni @slay_with_loara_mwanza Tunauza Mtumba safi Grade A kutoka China,Canada na UK kwa gharama nafuu kabisa Tunazo nguo aina zote za wakaka,wadada pia watoto na masweta pia nguo za masherehe na mashela ya mtumba Tunauza Jumla na rejareja pia Mabalo na nusu balo kwa baadhi ya mizigo Tunapatikana Mwanza 0743133421 Tunatuma Mizigo Mikoa yote kwa uaminifu kabisa 🙏 ❤️

Пікірлер: 24
@JoelMafulahya
@JoelMafulahya 5 ай бұрын
Shukran Sana mrembo nilikuwa nanmaswali kama hayo kwakukufuatilia wewe nimepata majbu Niko na wewe
@loaras96
@loaras96 5 ай бұрын
Shukrani boss
@MariaAloyce-k3i
@MariaAloyce-k3i Ай бұрын
Samahani kujua balo zuri utajuaj
@zenawahindi2425
@zenawahindi2425 19 күн бұрын
mambo dada upo wapi kenya au tanzania
@loaras96
@loaras96 17 күн бұрын
@@zenawahindi2425 poa Mwanza Tanzania
@shadracknoah1140
@shadracknoah1140 2 ай бұрын
Dada naomba namba yako,,, natamani unifundishe zaidi dada yangu
@loaras96
@loaras96 2 ай бұрын
@@shadracknoah1140 karibu 0743133421
@ManswetKimario
@ManswetKimario 4 ай бұрын
Asante umetusanua!
@loaras96
@loaras96 4 ай бұрын
Karibu
@SaidSaid-ns1wo
@SaidSaid-ns1wo 5 ай бұрын
Dada angu nakufatilia sana unamafundisho mazuli sana nakukubali unanifanya niangaikie pesa ya mtaji kwa nguvu zote daaa
@loaras96
@loaras96 5 ай бұрын
Usijali wakati wa Mungu ni wakati sahihi
@SaidSaid-ns1wo
@SaidSaid-ns1wo 5 ай бұрын
Sawa dada Hila wewe ni mwalimu wangu nafurahi sana kuona mafunzo yako nitakufatilia Zaidi
@FebroniaMsilanga
@FebroniaMsilanga 3 ай бұрын
Ubarikiwe dada
@loaras96
@loaras96 3 ай бұрын
Amen 🙏🏾
@BeatriceMassawe-qy6bs
@BeatriceMassawe-qy6bs 3 ай бұрын
Naomba kujua balo la watoto mchanganyiko wakike na wakiume kuanzia miaka 10 mpaka 15 ni shilingi ngapi
@loaras96
@loaras96 3 ай бұрын
Sina balo la miaka Hiyo boss
@DanielJoseph-cy8se
@DanielJoseph-cy8se 5 ай бұрын
❤asante sana dada
@loaras96
@loaras96 5 ай бұрын
Karibu sana
@ginzerakitojo
@ginzerakitojo 3 ай бұрын
Dada uko wapi naomba number mimi niko naitaji mabalo pls
@loaras96
@loaras96 3 ай бұрын
Nyamanoro stand Mwanza 0743133421
@danielchaulema1670
@danielchaulema1670 3 ай бұрын
Bei gani balo?
@loaras96
@loaras96 3 ай бұрын
La Kitu gani
@SaraSereman
@SaraSereman 2 ай бұрын
Balo la watoto shingap
@loaras96
@loaras96 2 ай бұрын
@@SaraSereman kuanzia 480,000 hadi 1,250,000
USHAURI KWA WAUZA MITUMBA WAPYA🥰
18:26
SLAY WITH LOARA MWANZA
Рет қаралды 1,9 М.
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 4,6 МЛН
Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:20
Leisi Crazy
Рет қаралды 79 МЛН
NAMNA YA KUANZA BIASHARA YA MTUMBA
6:55
SLAY WITH LOARA MWANZA
Рет қаралды 2,8 М.
BIASHARA YA MASHUKA YA KIGOMA
10:12
MASTY TV TANZANIA
Рет қаралды 3 М.
BIASHARA ZINAZOTENGENEZA MATAJIRI WENGI
12:39
Kelvin Kibenje
Рет қаралды 62 М.
Toka Uende! Huo Weupe Isikufanye Ujione Mtamu Juu Hujafika Bei
7:19
Ebru TV Kenya
Рет қаралды 343 М.
Jinsi ya kuepuka makosa 15 unapo anzisha biashara ya mitumba
6:58
Tan Business Channel
Рет қаралды 865
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 4,6 МЛН