Mzazi mmoja anaweza kuwalea watoto kumi lakini watoto kumi hawawezi kumlea mzazi mmoja,,,pumzika kwa amani bibi
@aminamikidadi77543 жыл бұрын
Swadactor ..
@ShSh-my8cw3 жыл бұрын
Kabsa yani💔
@barakatabdul32123 жыл бұрын
Dah! Umeongea maneno mazito wallahi yakuskitisha😭😭😭 Allah atutie imani na wazee wetu wafee tuwazike INSHA-ALLAH 🤲
@estherimbotsi75533 жыл бұрын
true
@فاطمةسعيد-ث2ق3 жыл бұрын
😭😭😭
@neemamgunda70863 жыл бұрын
Wewe Diwani Mungu akubariki sana. Akuongezee umri wa kuishi. Asante sana kwa msaada wako na maamuzi yako mema.
@scholamatogolo34933 жыл бұрын
Amina
@chrisboyfromzenj9593 жыл бұрын
Diwani uje kuwa raisi
@CharlesTarimo-db6li9 ай бұрын
Diwani upo sahihi kabisa na naomba undelee na moyo huo huo wa kuwasaidia watu wenye mahitaji haswa watoto wa mitaani 🙏🙏🙏
@zainabumbondei86353 жыл бұрын
INNALILLAH WAINNA ILAYHU RAJIUN ALLAH AMUWEKE MAHALA PEMA PEPON AMINA sasa hiyo nyumba wajukuu inawahusu nini wajukuu niwatoto wanani Nyumba itolewe wahfu tu iwasaidie mayatima
@nooor11203 жыл бұрын
Wazo zuri lkn kile kiwanja kilicho jengwa ni cha nani?
@estherendless27193 жыл бұрын
@@nooor1120 à
@mamymdogomamy36703 жыл бұрын
Subhunah Allah dada wee ni muislam wapata dhambi kumuomba asie muislam
@madamloveness72743 жыл бұрын
Waheshimu baba na mama yako ili upate heri na miaka mingi duniani . KUMBUKA ;Mungu akitoa neno huwa haliendi bure hao watoto hawana heri ya mama kabisa😭😭😭😭😭 R.I.P BIBI YETU😭😭😭😭😭
@damadama70193 жыл бұрын
00000
@damadama70193 жыл бұрын
00p000
@damadama70193 жыл бұрын
0000p
@damadama70193 жыл бұрын
0 p
@fatumanaliaka22103 жыл бұрын
Poleni Sana nyote Mwenyezi Mungu awasaidie awapikanie awashindie awaweseshe awatale awaongose na kuwadia nguvu katika Jina La YESU KRISTO Aliye Bwana na Mwokozi wetu amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu awabariki jamani,ila hii familia mungu awasamehe naliwe funzo kwetu sote
@marrymenas3 жыл бұрын
Watanzania tuelimike kama unaona mgonjwa anazidiwa hali ni mbaya, usimkatie tamaa ya kwamba haezi pona tena hapana. Fanya haraka mpeleke hospital kule kuna huduma ya kwanza atapewa, ambayo itamsaidia akapata nguvu na kusimama upya na hata kama ni kufa basi kifo chake kitakuwa sio cha maumivu makali. Nimesikitika kusikia kuwa mnasema "hatukumpeleka hospital sababu hali yake ilikuwa sio" che! Pumzika kwa aman Bibi 🙏 Asante kwa wale mliojitolea kumsaidia huyu Bibi. Na uamuzi wa Diwan ni mzuri, nyumba wapewe wajukuu malaika wasiojua jema wala baya.
@boscoafikile47373 жыл бұрын
Mh.Diwani pamoja na wana kata ya mabwepande poleni kwa msiba uliotokea na nawapongeza kwa upendo mkubwa mliouonesha kwa huyu bibi, Mungu awabariki.
@hadijamagufuli26613 жыл бұрын
Da kumbe kuzaa kweli sio kupata
@petronillajosephat26553 жыл бұрын
kutoa maradhi tumbon wakat mwingne
@hadijamagufuli26613 жыл бұрын
@@petronillajosephat2655 ndugu we acha yani unaweza usiamini
@peterkabogo49703 жыл бұрын
Nikweli inauma sana lakini labda alikua mchawi
@linahsemindu42613 жыл бұрын
Hata kamahawaja mzika lkn laana ya mungu ni juu yao😭na walitaman kuzika huenda wameogopa wananzengo
@aminasittusaid38303 жыл бұрын
@@peterkabogo4970 mama ni mama kama alikuwa mchawi mbona hajawaroga watoto wake wote wakafa. Hao watoto wamekwepa tu majukumu yao.
@rehematawalani733 Жыл бұрын
INNA lILAHI WAINNA ILAYHI RAJ'UN allah akuhifadhi bibi yetu pumzika kwa amani.
@robinsonhertson87953 жыл бұрын
Hiii dunia watu wanaroho ngumu sana
@sakinaabdallah77133 жыл бұрын
Lakini sasa hawo watoto watarudi kutafuta hicho bibi alichokiwacha
@aminamohammed53733 жыл бұрын
ata ao ndugu wasiipate iyo nyumba ndugu ote walimterekeza
@agnessjohn12223 жыл бұрын
Laana itawatafuna mbona watajuta badae
@عليغالب-ت5ر3 жыл бұрын
Kwa hivo baba Wa diomond pia atakufa hivi kwa uchungu jmn 😭😭😭mungu mlinde mzee Abdul insha Allah
@mohameeddoaan22963 жыл бұрын
Aamin
@agnesskalinga99153 жыл бұрын
Dunia simama nshuke, yaan mtu anaweza kumtelekeza mzazi wake kiasi hicho, subuhanah. Very sad 😭😭😭😭 ni kweli zaeni mkaujaze ulimwengu RIP grand ma.
@lisamango63953 жыл бұрын
Daah aisee kuna watu tulitamani kuendelea kuwa na mama zetu hadi uzeeni wao wanamsusa mzazi aisee sio vzr kabisa 🥺🥺😭😭
@berthamwaitenda72073 жыл бұрын
Yaaan😪😪
@tumaininzunda72063 жыл бұрын
Mungu yupo
@teychriss32483 жыл бұрын
Hao watoto wakiulizwa kisa watakuja na sababu zao za kipuuzi kabisa za kishirikina! Mungu atawalaani!
@ramadhanimtetu72463 жыл бұрын
Jamani daah
@dorahy15793 жыл бұрын
Hamkuwa mmetupatia number ungesaidia na chochote hata kumsikia msaidizi na kumpa pesa ya chakula. Tshs 100000 kwa mwezi ingetosha kabisa. Mungu amuweke mahali pema
@hadijalukas59593 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭 emwenyezi mungu machozi yetu yasiende bule yawe rana kwa hawa watoto nao waje kuvuna walichokipamda
@D.P.O2 жыл бұрын
Watoto watapata laana ya mama yao maisha yote ikiwa amefariki na kinyongo tena kwa kumshitakia Mungu hii ni mbaya sana kwa sababu baraka zote za mtoto zinaanzia kwa mama mzazi.
@shazrichlady55193 жыл бұрын
Sasa huyo dadake fea katoa wapi yakuja mzibani😭😭😭 alishindwa hata kuja kumgeuza dadake jaman na hao watoto wake huyo bibi malipo n hapa dunian yaezekana na nyinyi mpitie hayo na mkose hata msaada kabisa...mzazi n mzazi tu hata kama akikukosea huwezi mlipiza maana niyee alikuzaa huwezi nunua mzazi mwingne sokon.. Tujifunze kuwalea wazazi wetu uzeen maana hao hutulea utoton😭😭😭😭😭
@khdigahk42463 жыл бұрын
Leo umepata nauli kusikia kafariki😭😭😭😭
@praisesteven77743 жыл бұрын
Mim ningemuwasha ata kibaoooooooooooo mbwaaa uyoo
@rahelimuhehe70682 жыл бұрын
Wazazi wangu ndiyo kila kitu kwangu. Nawapenda sana mpaka nao wanajua. Nani kama mzazi jamani? Waheshimu baba na mama upate miaka mingi na heri duniani.
@graceamadi21413 жыл бұрын
Wale wote waliomsaidia bibi, hongera sana na Mungu awabariki sana tena sana
@mugemainyas52413 жыл бұрын
Asanteni kwa wema wenu.
@hamisidale27043 жыл бұрын
Asiefunzwa na Mamae ufunzwa na ulimwenngu,pumzika kwa Amani mama,sasa uko kwenye mikono salama,isipokuwa watoto uliowatoa tumboni waliokutupa na kukudharau,Dunia itawafunza wamelaanika leo mpaka kiama"majitu ya ajabu kabisa "Hamisi Dale Boston USA
@jenyyusuph49733 жыл бұрын
Ila ina Uma Dunia mbaya mbaya sana watoto umewazaa mwenyewe lkn hawakusadii 😭😭😭😭😭
@sashawande76543 жыл бұрын
Hao watt wanalana kubwa ktk maisha yao laha ya mzazi akufie mkononi sio ktk mikono ya watu bak inauma Sana pumzika kwa amani bibi mbele yako nyuma yetu
@fatmamuhammed971310 ай бұрын
Yaaraby khusni likhatima wazazi tunaona tunazaa watoto kumbe ni wanyama kiroho pia na ndugu pia Allahu Akbaar
@shebaminde13883 жыл бұрын
Ole wenu mliotoka tumboni mwa bibi huyu na kunyonya ziwa lake hakika hasira ya Mungu itawaka juu yenu ulale salama bibi Roho yako ikapate kibali mbele ya Mwenyez Mungu
@fatmamansour64483 жыл бұрын
Huyu ndugu nae mnafki tu sahv ndo anajitetea wote walimtelekeza
@mundhiraliy13073 жыл бұрын
Wanalia kwamajuto
@فاطمةسعيد-ث2ق3 жыл бұрын
Kabisaa yn
@فاطمةسعيد-ث2ق3 жыл бұрын
😭😭😭😭😭
@salmaalimusa68093 жыл бұрын
Wangempiga nakumfukuza
@habibamahamed55873 жыл бұрын
poleni jamani mama ni mama.mungu awabariki daah
@hepiambrosio74642 жыл бұрын
Paz a sua alma avó 😭😭
@moonaamli68353 жыл бұрын
Yani dadaako wakati anaumwa hukuweza kuja kumuona sababu nauli huna Leo amefaliki fasta nauli umeipata Pumbavu kabisa
@nkeshigomegwa16863 жыл бұрын
Hapa nishapata hasira nauri ameipataje mshenzi tu
@moonaamli68353 жыл бұрын
@@nkeshigomegwa1686 Ndio hapo sasa ilikuaje dadaake kaumwa kashindwa kuja kisa nauli Sasa leo amafaliki Amekuja fasta pumbavu kabisa
@heridadia96343 жыл бұрын
Mungu yupo Maneno ya bibi
@ashuramhando52853 жыл бұрын
Wewe Mama Mungu anakuona Leo umewezaje kufika msibani na hali nauli shida mnakata undugu wakati ni haramu Mungu atawaadhibu mtadhalilika🙏🙏🙏
@kerubofancy16313 жыл бұрын
Ni vizuri wauze hiyo sehemu isaidie wachane na mayatima
@mdzainb37223 жыл бұрын
Mmmmmmh jmani mungu tusamehe tu maana kuzaa si kupata hapo pangeuzwa tu maana baadae wataleta shida kwani hawa ndugu walikuwapi😭😭😭😭😭
@المهلهلالحراصي3 жыл бұрын
Hao wajukuu wanaweza kweli kukaa peke yao bila mtu mkubwa watakuja kuuana bure hiyo nyumba ni bora kiwe kituo cha watoto yatima tu Habar imeisha laa hivyo watachomana visu hapo hatar
@aminakasim11983 жыл бұрын
Mmmmmmmh ndugu Ni Mtihani Sanaa Yaan Hataa mmmmmmhT tujifunzee Tu Jaman mungu atujalie Mwisho Mwema Inatupaswa Tuishi Kwa Upendo Huwezi kataliwaa na Watoto Bila sababuu Mungu Ndomjuzi Wa Wote
@Awatee3 жыл бұрын
Dada angu mama ni mama ata awe mbaya ni wako Allah atufihadh na wazazi wetu pamoja na vizazi vyet
@aminakasim11983 жыл бұрын
Ni kweli kabisa Ulisemalo Ndugu tatizo kumbwaa Ni Hofu Ya Mungu Watu Hawanaa Mungu Atunusuru
@wllsonniyonkuru89683 жыл бұрын
Pumzika kwa amani bibi yangu. Nilitamani kuendelea kukuona, hata katika shida na udhaifu ulio kuwa nao. Mungu amechukua kilicho chake.
@annenganga69633 жыл бұрын
May you rest in peace grandma
@gracekaniki7893 жыл бұрын
Hawatasamehewa duniani mpk akhera mama yako kweli? Ulinyonya Titi lako aisee. RIP bibi
@sabrinasab29103 жыл бұрын
Wee acha tu nakwambia mtihani mama ndo kila kitu
@highvoltages41693 жыл бұрын
*Grace Kaniki we ni mngoni?*
@mariamfaki11663 жыл бұрын
Innalillah wainnaillah rajiun hao watoto wapo katika hasara hapa duniani mpaka kesho mbele ya mungu
@heyumi23403 жыл бұрын
kuzaa sio kupata
@mariamufungo96193 жыл бұрын
Wajina wngu umesema kweli,kuwa hao watoto wamepata hasara
@hantrehidrynegnery91243 жыл бұрын
Pole sana bibi
@munaahmed84993 жыл бұрын
Subhannallah watoto wote hawa wameachiwa laan na mama yao kwakweli mnawez kumdhara mzazi kweli hapan mm dina mama namuombea dua kila ninaposwali Lkn wenzangu wenye mama hawawajali subhannallah mtihan mkubwa huu kwa wanae
@zainakuzenza7593 жыл бұрын
Mungu akutangulie pumzika kwa amani
@bitumujuma53833 жыл бұрын
Jmn kuzaa sana sio kupata yaani mamako mzazi umtelekeze ..Kuna watu wanatamani kama mama zao wapo duniani wawafanyie wema wallahi wateseka hapa duniani na kesho akhera.hiyo midomo ya watu ni laana tosha
@magrethmbuma30453 жыл бұрын
Watoto wa huyu bibi mungu atawapa stahiki yao hapahapa duniani na kauli ya mama yao ya kwamba mungu yupo haitawaacha salama....Roho imeniuma saaanaa jaaamaani huyuu bibii jaamaaniii
@hopechidera3 жыл бұрын
Bibi alitelekezwa kwa sababu gani jaman?hao watoto wana laana sana,pumzika salama bibi🙏🏽
@aishajuma2603 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭
@aishajuma2603 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭🤲🤲🤲🤲🤲🤲😭😭😭😭😭😭
@pesangwasalim52583 жыл бұрын
Kweli kuzaa sio kupata
@ednajeremiah86713 жыл бұрын
Jamani bibi Mungu akupe pumziko la amani
@salumkaisi49073 жыл бұрын
Alah amsamehe madhambi yake
@yasodishonest97923 жыл бұрын
Tusiojaliwa watoto tujitafute kwanza maana unaweza ukose vyote kuzaa sikupata tuombe shani ya Mungu
@francisjoseph12923 жыл бұрын
God is a judge of everything,mungu anawaona hao wanawe
@linahsemindu42613 жыл бұрын
Kafa na fundo Bibi wa watu kafa na fundo kubwa Sana 😭🙏na hao ndugu wa mbali walikuwa wap' wakat anaumwa huyu Bibi? Wote hao wanamakosa wanataka urithi tu
@abdul-rahmanfakijuma18793 жыл бұрын
Aisee mtihani kwa kweli
@minabuelysee83 жыл бұрын
Allah atatulipa kwam mazuri na mabaya tutrndayo. Amin
@zaneenbeauty3 жыл бұрын
😢😢😢😢Nimeumia
@coolwaveac76593 жыл бұрын
Pumzika Kwa Amani Bibi yetu kipenzi 😭😭
@aishajuma2603 жыл бұрын
🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲😭😭😭
@aminamikidadi77543 жыл бұрын
Ameen ..
@aminaamina95682 жыл бұрын
Subhanna Allah innalilah wainnalilah rajiun
@namirihamisi38993 жыл бұрын
Lakini kufa hawafi cha moto watakiona.
@ednamwangonda56513 жыл бұрын
Mzazi hata akukosee vipi hupaswi kumuhukumu Mungu awarehem Sana hao watoto wake
@emanuelmichael97843 жыл бұрын
Dunia imefika mwisho, tunakoelekea ni Mungu pekee ajuayeeee😭😭😭😭😭 nan kama wazaz jamn tuwapende wazazi wetu kwa hali yeyote ileeee, sio kwa namna hi ni laana kubwa😢😢😢😢
@kabonakabona81213 жыл бұрын
😭😭😭 Daaaah kweli mzazi mmoja anaweza kulea watoto kumi Ila watoto kumi hawez kumlea mzazi mmoja r.i.p Bibi
@tatumhogo57423 жыл бұрын
Tafadhari Diwani hiyo ardhi hapana kumpa mtu yoyote iuzwe pesa zipelekwe msiktini na kanisani na kuwapa mayatima ili Mungu amjalie pepo yake kuliko kuwapa wajukuu bado itarudi palepale kwa watoto pia wataleta fujo wao walimkataa mama yao je?wajukuu walikuwa wana msaada wowote? Kama hawakuwa na msaada hakuna kuwapa hiyo ardhi Namuunga mkono mia kwa mia. Huyo jirani aliye ongea mwisho
@sakinaabdallah77133 жыл бұрын
Inalilahi waina ilayhi radjioun . Mungu akupokee kwa Salama, watoto wako waachie . Mungu atawajulia shauri yao la Salama mama adhabu ndio uliyoiona dunia lakini akhera utapumzika kwenye pepo
@omarnzaro313 жыл бұрын
Kweli Mtu hujui atakae kuzika Familia yako tu inakutelekeza Mungu atujalie mwisho mwema
@sifajacky77793 жыл бұрын
Inalillah wainailllah rajiun. Allah amurehemu bibi wetu huyo. jameni mama ni mama tuwapende wazazi wetu wawili na tuwaheshi.
@sifajacky77793 жыл бұрын
Sasa dada, nauli umeipata leo sababu amefariki? Allah awalipe heir wale ote ambao wamemusaidia kwa hali na mali
@DoA-q1b10 ай бұрын
Duu inauma sana kwakweli bibi pumzika kwa amani
@scolasamuel80923 жыл бұрын
Mungu akulanze mahala pema bibi
@zaydelabay97763 жыл бұрын
Athubutuuu! Nyumba iwe ya serikali
@zaydelabay97763 жыл бұрын
Kiwe kituo cha watoto yatima, hao wajukuu inawahusu nini?
@neemamayco32383 жыл бұрын
Au ofc ya serikali
@mariamgodfrey533 жыл бұрын
Kweli kabisa
@sanyajuutv26793 жыл бұрын
Mungu ailase roho yake mahali pema peponi
@lyidia29013 жыл бұрын
Jamani peleni Sana, bibu apumzike kwa amani
@achouraachoura57633 жыл бұрын
Mamako hata akiambiwa na watu NI mchawi huwezi kimchukia bado ana nafasi ya Kua NI mamako..
@pendooscar93223 жыл бұрын
Hiyo nyumba ipangishwe maana hata so ndugu wanapatolea macho jaman unaweza kandwa maji ya bule
@rayjuma18983 жыл бұрын
Poya wewe unalia nini sasa
@sahidahamad393 жыл бұрын
Mimi ningekua ndo diwani, hio nyumba ningeikodisha,zile pesa tukaziweka na kusaidia wazee wengine wenye matatizo kama yeye katika mtaa wangu
@highvoltages41693 жыл бұрын
Tatizo hicho kiwanja sio cha serikali, ni cha bibi (marehem)
@rahimaan64813 жыл бұрын
Hao watoto wapo kwenye hasara kubwaa mpka mama yao anafariki hawajaenda 😭😭nawaonea huruma wamepata hasara duniani na akhera
@sabrinasab29103 жыл бұрын
Kweli kabisa
@aminatumbo74103 жыл бұрын
Leo nauli umepata..duh watu bana mtu akifa mtamu
@fantamohamedi85643 жыл бұрын
Hao watoto mungu atawalaani na kila mlichonacho kitapuputika km upupu kwanza watoto mpo kwa nini atunzwe na watu baki? Wallah watoto wote mlozaliwa nahuyu bb mtalaaniwa na mtakufa mkose wa kuwazika. Wallah. Hakuna km mama hata haya hamna kweli wasirithi.
@salwasuleiman89433 жыл бұрын
Hao watoto watahangaika na dunia na laana ya mama yao na amekufa hajawaridhia watahangaika na watakufa vibaya na mungu atawalipa hapahpa duniani na wao watatelekezwa na watoto wao kama tadinu tudaani
@neemarenaida66673 жыл бұрын
Jueni kuwa kwa mzazi kuna baraka au laana,mzazi anashiriki kazi ya uumbaji.Kueni waangalifu kwa wazazi jamani
@linahsemindu42613 жыл бұрын
Jmn Bibi wa watu 😭😭 nimefatilia sanastory zake jmn
@habbyhalawa52663 жыл бұрын
😭😭😭😭
@selemanimasatu24213 жыл бұрын
Hata weww mtodogo wake ni mpuuzi tu miaka miwili unasema hauna nauli leo umeipata wap sasa. Dunia mapito ila mtakiona cha moto, tena mama labda hamjakaa kwenye tumbo lake.
@devothacremence32353 жыл бұрын
Apo sasa kapata wapi nauli ya kuja msibani??
@dottopasikari29603 жыл бұрын
Inaumiza Sana
@zainabtanzanian71413 жыл бұрын
Allah Kareem mungu ampe kauli njema
@emmanuelhemedy25643 жыл бұрын
Mungu anakuona mamaangu
@faudhiaamerii66923 жыл бұрын
Mungu asiwasamehe mpk wafe 😢😢
@jamilasalimvilog67523 жыл бұрын
Poleni sana
@emmamombo71493 жыл бұрын
Nimesikitika sana hao watoto wako na hasara kubwa mama yenu is too pain Lakini malipo ni hapahapa uchukie mamako hivyo hii dunia hakuna mzazi anastahili kutendewa huwo unyama tena mama hata kama alikuwa sijui ni nani ama alifanya nn mpe haki zake alikulea alikusomesha basi mpe haki zake. Diwani hawa watoto niwapelekwe mbele ya sheria haiwezekani watu kama hao wanyama wako hiyo tz
@leaderdanojoro.19253 жыл бұрын
Ulevi ni mbaya sana. Hao Watoto wasemehewe Tu. Uwezi jua nini kinachowasibu! Hii Dunia unamambo mengi sana! Unaweza kuona mtu ni mlevi kumbe ni Mambo ya Kiswahili!! Mungu atusaidie Tu.
@mgenibakari5013 жыл бұрын
Aki umeongea kwel mtu haez Susa mamake mzazi Kuna kitu Cha siri sana Mungu atuongoze 🙏
@leaderdanojoro.19253 жыл бұрын
@@mgenibakari501 Brother hii Dunia inamambo Sana! Binafsi sijawahi kutumia kilevi chochote toka kuzaliwa kwangu. But kuna kipindi nilishawahi kutamani kila arufu ya pombe ninayoisikia inaninukia vizuri!! Nikawa naota nakunywa bia mara Kwa mara!! Hadi ikafika wakati nikawa nahisi kama vile Mimi ni mtumiaji!! One day nikaingia bar nikaagiza castle baridi 2!! Mpaka nilipokuwa naagiza nikama nilikuwa ninajiona ni tabia yangu ya kila siku!! Muhudumu alipofungua pap! nikashtuka!! Nakuuliza Nani ameagiza pombe?!! But ilinibidi nilipe then nikamwaga!! Nikamuomba Mungu aniponye. Na hiyo Hali ikapotea sasa ni mwaka wa3. Which means kuna mtu alinitupia pepo la ulevi. Ila ponapona yangu sikuwa natumia. But ningekuwa natumia toka hawali ndio ningepitilizia huko. Hii Dunia tumuombe Mungu atusaidie kwakila Jambo.🙏
Hiv watoto wanapataje ujasir wa kutelekeza wazaz? Mtoto mmoja tutasema kalogwa anashindwa kumjal. Mzaz wake ila wote duuuu
@lovenessrobert98153 жыл бұрын
Ukizaa shida usipozaaa mtihani yan bibi kama hajazaaa loooooh mama angekuwa mchawi angeshindwa kuwaua na anawajua in and ouf
@bebebebe56773 жыл бұрын
Iyo nyumba akuna kuwapa wajukuu mana ata hao wajukuu watadhulumiwa na hao watt wa uyo bibi ushauri wangu nyumba iyuzwe wasaidiwe mayatima bac
@leokamil62843 жыл бұрын
Kweli hilo hilo naliwazia huyo Diwani hapo kachemka
@irenemsumba67763 жыл бұрын
Nikweli
@joanithamwaudama99283 жыл бұрын
Kabisa
@habbyhalawa52663 жыл бұрын
Nyie watoto mliozaliwa na uyu bibi mkae mkijua hii dunia sio yetu kiukweli nimeumia san wengine tunatamani hata tungekuw n mama zetu wengine wametutoka tukiwa wadogo sana MAMA neno tamu sana jamani uwiiiii 😭😭😭😭😭😭😭😭 😭😭😭😭😭😭😭😭
@sophiadiris95673 жыл бұрын
Aki mungu awasamehe nyie watoto wa huyu bibi hiyo sio poa
@marymasuka34193 жыл бұрын
Kwanini hawakumpeleka hospitali jamani,hakuna ugonjwa ambao hauwezekaniki kumpelekwa hospital. Mmemuua bibi jamani. Na kati yenu hakuna ambae aliemfanyia vipimo na kujua alikuwa anasumbuliwa na nini..labda kama mlimchoka na mkataka afe.😭💔
@monicamwanjisi6933 жыл бұрын
Chunga ulimi wako wangetaka kumuua wsngefanya hivyo zamani.wamemsaidia sana bila hao asingeweza ishi mpaka Leo,badala yakuwalaumu tuwape pole na kuwapa moyo
@rayaali75513 жыл бұрын
Daah sasaa hao wajukuu wazazi waoo si ndio hao haoo walio mtupa huyo bibii? Na huyo ndugu wa huyo marehemm miaka yoote hakupata nauli ya kuja hata kumuona atii sasa kashakufaa ndio kasaidiwa nauli ? Sasa kaja kumuona dadayakee auu kaja kukusanya urithiii? Daaah dunia haina huruma aatii ndugu hakuja kumuona dadayake wakati wa uzima walaa kwa ugonjwa anakuja wakati kashakufa na kujiliza uongo na kuji act daah hapoo sio kilio ni kelele za furahaa anaona kijumba hichoooo 🙆♀️🙆♀️🙆♀️