JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
@merrynancesimon1562Ай бұрын
Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzio😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢duuuh pole Belinda binadamu kazi sana
@HassanNdaramaАй бұрын
Jamani mbona hivi 😢 inauma Sana !!!!!! Dada wewe kama ni muislam jikaze amka usiku Sali rakaaaa mbili tu mlilie mungu kwa lugha yako. 😢😢😢 uyo mjumbe anaroho mbaya na wewe kama nihaki yako utaipata
@liliansahan5770Ай бұрын
Haki gani apate wakati kaka yake kakopea mkopo🤷
@SGIT-jd6fgАй бұрын
Kosa kubwa lipo kwa kaka yao maana ndio chanzo cha hiyo nyumba kuuzwa
@elizabethmalongo6113Ай бұрын
Belinda achana mjumbe mbaya ni kaka yk miaka miwili ulitakiwa kumkoromea kaka yk usimlaumu mjumbe tafuta msaada WA Sheria Tamwa
@prisikachandeАй бұрын
uyu mama mjumbe kashakula ela ndomana kauli zake sio nzur nandomana tunambiwa tukapige kula kwasabu tunamchagua tunomtaka mwenye uadilifu ndokama aya sasa
@RehemaDogolyАй бұрын
Jaman huyo mjumbe nae si mwanamke lakin na amezaa watoto kama hao bas mwaachien mungu malipo hapahapa dunian pole mtoto kwa kufiwa na mama yako kipenzi mungu yupo atakulipia
@edithaeugeni9695Ай бұрын
Huyu Mjumbe nikama Zinaingya nakutoka kama hukumbuki miaka unabuni vya nini Kazi kula rushwa tu 😏😏😏😏😏😏
@MisMona-oo6zkАй бұрын
Huyo mjumbe ana makosa alitakiwa ashirikiane na mwenyekiti
@aaminaasljbgbvf745Ай бұрын
Daaaa mpaka naishiwa nguvu mimi 😭😭😭😭😭
@kilogreek4050Ай бұрын
MJUMBE KAFANYA MAKOSA MAKUBWA SANA MADAM UNAYO AKI YA KUMSHITAKI MJUMBE
@AminaMsimbeАй бұрын
Pole sana nyumba yako mwenyewe uliyorithishwa na mama yako aje mtu kuichukua hivihivi
@khadijathani9064Ай бұрын
Uyo balozi mshezi tena kahusika na kafurahia
@FatumaKishasha-ph6iiАй бұрын
Mjumbe limemshuka 😢😢😢
@RoseMzirayАй бұрын
Mzee kaongea point uyo kaka afungwe
@naomirahmah5507Ай бұрын
justice kwa juu dada😢
@kilogreek4050Ай бұрын
TALIFA WANAZO WEWE MJUMBE ISIKUFIKIE VIPI MJUMBE JINA UJUI KAZI YAKO USHAPOKEA PESA UNAJISHAULISHA😂😂😂
@fatmamansour2764Ай бұрын
Pole dada mtihani M mungu atakupeni subra
@DomyMbuyaАй бұрын
Mjumbe mwongo kuna bank inatangaza bila kubandika bango? Naua mtu mimi maisha yenyewe magumu kufa unakufa kabla ya muda
@nicolauselias9084Ай бұрын
Huyo mjumbe ni mjinga na yawezekana kahusika jura hela .tabia mbaya sana
@rehemaissa9438Ай бұрын
Mjumbe amekosea sana hata angekuja nan kuna taratibu na sheria lazima vingetumika wengine wanagombea2 ujumbe pasipo kujuwa maana yake nn anatakiwa awajibike
@HappynessAthumanАй бұрын
Pole sana dada inauma sana
@NemaAli-zh6hrАй бұрын
Yn mtakuja kuuwa w2 kwa presha, Ebu fateni sheria! Ila huyo david ni shetwan
@clauschaula2050Ай бұрын
Kama si tatizo la kielimu huyo mjumbe amekula pesa chafu.
@SuzanMoshi-m1sАй бұрын
Kala pesa sio tatizo la elimu siunaMuona anajingatangata
@JulianaNakwawiАй бұрын
Walaiii tna anaboa sana anahuruma na mtoto wa mwenzio
@mauasylla5024Ай бұрын
Huyo kaka ana makosa ila najiuliza, wamezaliwa watatu ( 3 ) na yeye ni wa mwisho kuzaliwa. Sasa inakuwaje awe anasema nyumba yangu imeachwa na mama yangu. Je, hao ndugu zake ni baba mmoja? Na je, hata kama yeye ni msimamizi wa mirathi, bado si mmiliki wa nyumba. Hapo kuna mgawo umetembea kuanzia kwa mjumbe na serikali za mtaa. Unatowaje vitu nje bila Eviction notice na mwenye nyumba hayupo? Hata simu hawakumpigia? Walijuwa hayupo ndipo walifanya uvunjaji. Dhulma si njema. Mali tunaziacha hapa duniani.
@danieljoseph1610Ай бұрын
Ungekuwa sasa we ndo umeuziwa kihalali afu watu wanakataa kuhama, umeenda mahakamani kesi imeisha umepewa haki yako! Usingewatoa? Jibu kama mwenye nyumba!
@lailafakhihajiАй бұрын
Huyu kapewa pesa ndio wajumbe mnaowachagua hao
@Leylah-pz5scАй бұрын
Mjumbe kapewa makavu live😂😂😂😂😂
@MwajumaHassan-d5lАй бұрын
Na ujirani imeisha 😂😂
@NuruMustafa-mm6tfАй бұрын
Dah,haya mambo tuone tu kwenye mitandao...yanaumiza sanaa..jamani kalala nje ghafla inasikitisha sanaa jamani..Ila kama haki yake ataipata tu
@JulianaNakwawiАй бұрын
Dah!!!ndio maana nilinunua plot yangu na kujenga nyumba yangu kuepuka mambo kama haya ....huyu mjumbe ameongwa hela ana atahuruma shenzi kweli
@magrethmbuma3045Ай бұрын
Mjumbe alikuwa anaona wivu kuona wenzake wananyumba na huqenda ye kwao hawajawahi kumiliki nyumba kama hiyo😢😢😢😢ulaaniwe mbwa wewe
@BahatiMlawa-tr3lkАй бұрын
Haka kamjumbe kanaonekana kamepewa rushwa
@magrethmbuma3045Ай бұрын
Napambana kujenga nyumba jamanii kwa mateso makali😢watoto.wangu wazuri msigombane maana mtakosa woteee
dah ardhi inaua nakushauri brenda mwachie Mungu atamlipa huyo kakao
@bakariomari24omar21Ай бұрын
Mjumbe kala hongo.unamwambia mwenye nyumba eti asije atapigwa.hapo kisawa fukuza hao walinzi kufa gari kufa abiria kufa dereva
@FaustinapreАй бұрын
Mjumbe anapata lawama😢
@mariamkibindo1741Ай бұрын
Ila mali za urithi ni mtihani kwakweli, pole sana dada, ila mimi katka haya maisha kitu sitaki ni urithi naomba Sana MUNGU,anipe changu miliki sio vyakugombea
@bakariomari24omar21Ай бұрын
Wakaka tefuteni hela zenu sio kutegemea mali za wazazi Kisha munadhulumu ndugu zenu
@BernardKimoso-w8vАй бұрын
Ndugu wa kiume wa miaka hii siyo kabisa yaani anaona dada yake anadhalilika wala hajali😢
@danieljoseph1610Ай бұрын
We dada hata ukiongea sana, ugombane vip! We ni muvamizi tu! Hakuna wakukutoa kwenye nyumba yako kwa nguvu! Hi nchi ina sheria na watu woote tunaogopa sheria, Ishi kwenye nyumba hata kama umepanga ukiwa kifua mbele! Ujanja ujanja dada utalia sana kwenye maisha!
@RamsoHk-s4pАй бұрын
Hawa wajumbe wa ccm shida wana tamaa sana ndo maana hatuwataki
@kanankirannko6174Ай бұрын
Mama Samia pole manake duh
@AllyMadenge-u6oАй бұрын
Pole Berinda nimekuhurumia mpaka nimelia
@glorymungure7740Ай бұрын
Mjumbe 😂😂😂😂
@joycemkeka3769Ай бұрын
Yani wajumbe na wenyekiti wa serikali za mtaa wengi wao wanaendekeza njaa sana rushwa mimi kwakweli sijawai kuwategemea nawaogopa sana wamejaa zulma kuuza viwanja vya watu mara mbili mbili kwao sio shida
@clemencelisonga8261Ай бұрын
Hao ndo ccm hawajui bwana
@EstherElias-u8oАй бұрын
Nimependa mahali tu hapo huyo dada belinda alivyomchana peupeee mjumbe nimependa sanaa umempa makavu kabisa mjumbe Fala kabisa weupe kama papai mjumbe nyokooooooo
@abishaikibona-dk4rgАй бұрын
Apo ni kwako dada,Kwasababu kila mkopo uwa Unamashahidi na wewe ni mmoja wa Mwanafamilia,Uyo kaka kama aliwashilikisha kwenye uo mkopo wake na sahini zenu zipo Sawa, kwaiyo uyo kaka akamatwe na Awajibishwe,Ila selikali ipo nayo ni skivu Naamini Mtasaidiwa nauhakika Uo,
@abishaikibona-dk4rgАй бұрын
Sasa iweje awachezee dada zake wakati wazazi wao awapo'Inamaana siku uo mkopo uyo anauchukuwa Ao walithi Walisaini"Mkopo achukue mwingine' Alafu wasumbuliwe wengine'Akamatwe aliechukuwa Mkopo,WATOTO waachwe,
@magrethmbuma3045Ай бұрын
Mjumbe ulaaniweee na uzao wako utalipa tena utalipa siku ukiwa haupo na msaada watakosa
@AshaMwamba-m5xАй бұрын
Watoto wakiume wa bongo fanyeni kaziii acheni nyumba za urithii ndo shid
@hizamawa6046Ай бұрын
Nchi imekuwa ya hovyo sana
@josephinejohn2752Ай бұрын
Mjumbe auwawiiii
@nicolauselias9084Ай бұрын
Hapo mjumbe ni mbaya
@Ajijji12Ай бұрын
Buruza mahakamani huyo mjumbe kahongwa
@bettymbatta9626Ай бұрын
Mjumbe gani Hana data, hajui ni miaka mingapi tokea Sakata limeanza! HAFAI
@AminaLibisaАй бұрын
Kuna watu wavumilivu na wamejaghaliwa subra yani uyo mjumbe ningekua mimi sizani kama angekua salama wallah 😅😅
@AshuuuBakariАй бұрын
Si mpaka uwe na nguvu
@EstherElias-u8oАй бұрын
Kabisaa yani mimi ningekuwa namwambia huku na dela nishalichana na nishamtia kucha usoni angeenda kujuana na mume wake kucha za nini usoni
@AminaLibisaАй бұрын
Nguvu zingekuja tu mbele za hasira
@DianaMacha-jf8gwАй бұрын
Tatizo la mjumbe ni njaa
@AminaLibisaАй бұрын
Ujumbe wa kulisishana hawana wanalo kijua njaa tupu mtumbo kama pipa
@Dtv732-vc4zwАй бұрын
Ccm mbele kwa mbele,hawajaisoma namba eeh ccm mbele kwa mbele.Haya ndio matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa.
@AminaLibisaАй бұрын
Angekula mangumi lazima angetoka na ngeu fa masihala nini
@Hamy1109Ай бұрын
Dada amepaniki kumshambulia mjumbe bila sababu za msingi wakati viongozi wakubwa wa huyo mjumbe pia walikuwepo kwenye tukio. Utaratibu wa kufanya “eviction” upo kisheria na hakuna mahali popote mjumbe anatajwa. Sasa huyo dada ashughulike na kwanza kaka yake aliyeuza nyumba na sio kushambulia viongozi wa mtaani ambao kimsingi hawana mamlaka yoyote kwenye sheria za Ardhi.
@HabibaBb-d3sАй бұрын
Ao wezi wapelek makaman uyo mjumbe kapewa pesa sasa yeye ndo ataanza ukuwapa ushirikino poris
@fatumamisinga6211Ай бұрын
Huyo mjumbe mbaya sana alipe vitu vyote
@maswamills3161Ай бұрын
Kama una ndugu basi hiyo nyumba ni ya familia ,kaeni mgawane mshiko.
@bakariomari24omar21Ай бұрын
Mbona haya mambo ni mengi tz .Kwann inakua hivi
@allymoshi2053Ай бұрын
Hapa kk kwa ushauri wangu kuondokana na haya matatizo hati ziwe kwenye database kama zilivyo kadi za gari na ziwe na serial no special ambayo mtu akigushi inajulikana kama zilivyo kadi za gari na ikitokea mtu kauza nyumba anaenda mamlaka ya ardhi wanahakiki hati kama n halali au feki ndipo mauziano yafanyike na jina kubadilishwa kutoka kwa muuzaji kwenda kwa mnunuzi lasivyo migogoro kama hii katika nchi yetu haitakwisha
@SwahiliSister-o5vАй бұрын
Kwa nini? Asikamatwe aliyeuza wakamshika kwa kweli sivyo
@GenoMrossoАй бұрын
Huyu mjumbe achunguzwe amehusika kikubwa kwanza unaingiaje ndan kwa mtu bila ridhaa yake
@omanoman2044Ай бұрын
Nyumba tunazijenga kwa shida alfu mtuy aje auze w hatuwez kuelewan wallah alfu arusha kumekaa kam kenya ndo kuko na mashetan watiy kam haw
@JoyceMwita-e3wАй бұрын
Kwan uyo peter ndo bwana ako mbona kila kitu unamuuliza yeye et peter et peter nyoko nakuchukia wewe mjumbe Mungu anisamehe tu
@ariphkimani3790Ай бұрын
Siku hizi rais anatajwa tu
@chalemofaraji8797Ай бұрын
Mjomba kayanyaga tena vibaya sana
@HassanAbdallah-f6oАй бұрын
Kwa nn huyo mama berinda anamlaumu sana mjumbe na sio kaka yake aliyeuza nyumba
@paulabelleghe451Ай бұрын
kosa nilkaka yke
@liliansahan5770Ай бұрын
Wamesahau kama kaka yao amekula hela za benki😂😂😂
@mariumseif6751Ай бұрын
Hata kama kaka kala Hela kwani nyumba ni ya kaka hiyo. Wakauze nyumba ya kaka sio ya mama. @@liliansahan5770
@namsifumihungo8504Ай бұрын
Mzazi wa pili wa mwananchi ni kiongozi wa Mtaa,kwa sabb wanajua maisha ya wananchi wao..So mdada huyo Mjumbe anamuona Kama mama yake,hata Kama hayuko sawa,Mjumbe hatakiwi kushiriki kummaliza mwananchi anaejua historia yake@@liliansahan5770
@namsifumihungo8504Ай бұрын
Pole mwanangu,utapata haki yako,Nakuombea
@MariamNehemiah-ts9ulАй бұрын
Kwa nini msijilidhishe kama serekar za mitaa mnaambiwa tuu kuwa taarifa anayo kaz yenu ipi 😢
@EvaFurahaАй бұрын
Jamani mwogopeni MUNGU.
@Mimi-wf7mbАй бұрын
Huyo mjumbe ni wa ccm. Viongozi wa ccm ndo hao. Bado tumewang'ang'ania. Hawa ni mafia! Hawana aibu wala utu
@issataslima9846Ай бұрын
CCM OYEEE, tutaanza kuelewa Sasa
@happykazikuboma2427Ай бұрын
Mjumbe hufai hataaa
@ProsperKilengaАй бұрын
Huyo mjumbe niwakushikwa shikwa kidogo
@ZUWENADELLOWАй бұрын
😂🤣😂
@joycemkeka3769Ай бұрын
😂😂😂
@JoyceMwita-e3wАй бұрын
We mjumbe mbwa sana unapenda rushwa muone macho yalivo kushuka kama umekunywa dawa ya usingizi vitakutokea puani
@yukundapeter8200Ай бұрын
Mama wa watu anaaibishwa jamani.
@OfficialA83640Ай бұрын
Ila alichomfanyia huyo bint unaona sawa maana kawaruhusu watu waingie chumbani kwa mtoto wa kike je km aliacha chumba bila kutandika au kuweka hifadhi za kike huoni km kamfedhehesha
@fidelitekarigirwamuyangwa973Ай бұрын
Polesaana dada serikari ikusimamie
@khadijathani9064Ай бұрын
Tutafikia wapi jamani
@mariamcrispo8296Ай бұрын
Mtoto wa kiume hafanyi kazi anataka kuharibu Mali ya mzazi alotangulia
@asinahussein2176Ай бұрын
Hata wanaoninua Mali za urithi ni laana tuu.
@ashurakodd1589Ай бұрын
Viwanja vimejaa na ninyi wanu nuzi vingaghanizi kununua nyumba za machozi ndio maana watu wengine laana zinawapata
@asinahussein2176Ай бұрын
Yani hata bank inampa mkopo mtu nyumba ya urithi daar mungu atawalaani wote walohusika kudhulumu.
@BahatiMlawa-tr3lkАй бұрын
Kuwa makini bina damu sio watu wa kuwaamini wanaweza wakakuroga kwaajiri ya mali yako
@RoseMichael-oz7cyАй бұрын
Hivi kuna tofaut gani kati ya binadamu na watu
@UmumaherBakarАй бұрын
Kwanini mjumbe wakati wanatoa vitu usiviandike vyote halafu ukavihivazi nyumbani kwako
@twahahamidu6246Ай бұрын
Kaka ako NDO HANA AKILI
@bintmrisho3526Ай бұрын
Uyu dada akiamua kustak hata kaibiwa mibilion ya pesa zake ndan
@OctavinaelisaАй бұрын
Wewe mjumbe kweri akili umetoa wapi hiyo yakunyanyasa mayatima
@AminaMsimbeАй бұрын
Wewe mama mjumbe una roho mbaya utalipa hii kwa uo vu wako
@MagehemaGodfreyАй бұрын
Wajumbe mnavuka mipaka hatakiwa kuruhusu kitu chochote hapo
@magrethmbuma3045Ай бұрын
Kimdomo cha mjumbe kinaonesha anaroho mbaya na ngumu😒
@AminaMsimbeАй бұрын
Huyo mjumbe ni mjinga tena ni adui
@ndimimaskati3641Ай бұрын
Serikali za mitaa wa Ccm hawafai waliwekwa na magufuli.
@SharifaOmary-ui8vsАй бұрын
Koma ww muache maguful apumzike
@maryaugustino8716Ай бұрын
Vitu vya urithi shida yake ndio hiyo, ingekuwa mimi ndio belibda hati za nyumba nisingeziweka peupe yaani hata chini ya ardhi unazifukia, bila ndugu yoyote kujua? Ona sasa kaka amemzunguka na kuchukua hati kwenda kukopea pesa. Mie nauliza je belinda alimpaje kaka yake hati kwenda kukopea bank? Maana bank hawawezi kutoa mkopo bila kuwa na hati original japo belinda ndio amekosea sana. Namuonea huruma sana huyu binti anaenda wapi sasa na hali ya uchumi ilivyo kuwa ngumu daaaah
@lunangabenjamin3121Ай бұрын
Mambo ya urithi ni balaa mchonganishi ni david.
@stephanokanyika6321Ай бұрын
Mimi naona hapo uyo mama mjumbe Hana kosa kama mtendaji alikuwepo na polisi pia Hana mamulaka
@UmumaherBakarАй бұрын
Anamskosa Mali ya mwananchi wake imewekwa nje na yeye yupo angevichukua akivipelika kwake
@EvankaMwajilaАй бұрын
Mjumbe hana haya anaongea kama so mzazi
@josephancety1019Ай бұрын
Huyu mama (mjumbe) mstaarabu sanaa huyu ni kiongozi kabisa
@sleeprelaxation8431Ай бұрын
kiongozi kiazi, kazi yake kubalance story, angesikiliza pande zote, eti polici polisi si wamefika kwake ili wapate ruhusu ya kuendelea na kazi yao, yeye ndo mwenye mamlaka wa mtaa, na hajui anasema yeye mtu mdogo, kapewa hela huyo.
@EstherElias-u8oАй бұрын
Mjumbe mavi yake hakuna cha upole wala uongozi usenge tu wajumbe acheni viherehere huku kwetu kuna mjumbe alipigwa akafa kwa sababu ya kiherehere
@PendoMatembaАй бұрын
Mjumbe, mjumbe, mjumbe
@Mimi-wf7mbАй бұрын
Hizi mali za machozi mnazonunua zitapukutisha kizazi chenu
@paulabelleghe451Ай бұрын
huyo kakayako davi anaujua mchezo
@HassanAbdallah-f6oАй бұрын
Huyo mjumbe anapewa lawama ya bure , tatizo ni lenu na kaka yenu .