😂😂😂walivyogoma kufanya challenge nmecheka sana walah
@EmileLugendo8 ай бұрын
Kiredio unazingua, unaachisha mahusiano ya watu this is bad and the guy is very royal😂😂😂😂anaitikia tyu mmmmh😂😂😂😂
@yohanandila83865 ай бұрын
Dear Kiredio, najua una hustle, lakini.. Kuna magonjwa ya moyo mengi tu siku hizi..mtu anaweza kudondoka ghafla na kupoteza maisha kabisa kutokana na taarifa anyoipokea.. ni suala la maisha hili.. Don't say you weren't warned.👐
@ROSEMARYLIHAWA8 ай бұрын
Kaaah mtu anaweza kuja kufa Yani daah 😅😢😂😂😂😂
@sarahmasuba8 ай бұрын
Mwanaume nimempenda n mstaarabu sana hatoi taarfa za mkewe kuna mikaka inalopoka kwa hasira
@vickytango55917 ай бұрын
Umeonaee
@SesiliaMorice3 ай бұрын
Wangu Mimi alitekenywa kidogo tu jaman alishukaaaaa verse izo sikutegemea,😅😅😅😂alivyomaliza nikashika simu nikamwambia asnte nimekuelewa! Jmn alijiombesha MSAMAHA mnooooo😂😂😂😂
@zenapius37968 ай бұрын
Mwanamke anayejitambua awezi kukubari kumjaribu mmewe mtarajiwa Kwa huu upumbavu kamweeee
@joycehaule97178 ай бұрын
Aisee
@JANETHFRENK-n3c2 ай бұрын
Mi cwezi kwakwel
@davidmniko309927 күн бұрын
Anata mapemz ya kweli
@neemajohnson65718 ай бұрын
Yule babe angu pangechimbikaaa,Wallah nikikuonaa nitakimbia mbio za paka chongo
@GRACEJOHN-c3m8 ай бұрын
Mmmh labda cyo fulani wangu, jembe lingelima lami😂😂😂
@HappinessSawe8 ай бұрын
Mwanamke mjinga ataibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe
@rahmarashid99048 ай бұрын
Eeehh huuu ujinga sitokaa niufanyeee dah hujui anayeongea sijui ana hali gan.mara paap mahusiano yameharibika kwel utani mbayaaaa😢😢
@catherineelias51088 ай бұрын
Ata kuchukua mamuzi ya kujiua mtu uwezi jua mtu anakupenda kiasi gani mtu anatoka apo anajinyonga bule unaitwa mfiwa
@sarafinalaxford75096 ай бұрын
Ndo zilivyo ngumu kizipata aweeee me sifanyi chalange kama hii😂😂🙌🙌🙌
@ediythermihanga49948 ай бұрын
Hahahah waoooh mambo matamu hayaa 😅😅😅 mpenzi wanguu juu ya vipenzi vyanguu 😂😂 nmeipenda sana hii Bebi boi wanguuu njoo uone mambo yalivyonoga🎉😂
@lucydaniel83046 ай бұрын
Hivi huyu dada akili zinamtosha kwelii challenge ganii hii lakin duhh
@lainaligeni-od1xc6 ай бұрын
Huu dada atakindoa
@paskaziasholla74716 ай бұрын
Kiredio utaua mwanaume mwenzio mbwa wewe 😅😅😅
@yohanaj48 ай бұрын
Shenzi kabisaaa😂😂😂😂😂
@nahumnkwama2398 ай бұрын
,Koredio soma huu ujumbe, Ukiwa kama mwanume tumia hakili, Mtu unajua yuko kazini, wanaume tuna hustle usiku na mchana, we unaleta ujinga, hujui mtu anaumiza hakili kiasi gani na maisha we hutaki kuwazaa hilo mzee.... unayumbaaa Sanaaaa
@fiakizi8 ай бұрын
Hata hivyo kuna wengine wana tatizo la presha akumbuke na hilo.
@flaviangervas9058 ай бұрын
Huoni pia kiredio yupo kazini na pia na yeye ni mwanaume anae umiza kichwa kama kufanya hicho anachofanya 😁 tuache ushamba bhana kila mtu apambane na kazi yake 🙌 keep going bro 💪❤️
@Naw898 ай бұрын
Haya ni maigizo mtu mzima na akili zake si dhani kama anaweza kubali kuharibu ndoa yeke
@NuratyBahati8 ай бұрын
😂😂😂😂Nimekuja yutb kwakukimbia mpk nimejikwaa🤣🤣🤣🙌🙌
@LindaSalumu-yw9hq7 ай бұрын
Jamani mimi sifany abadani eti nijue napendwa au sipendwi 😂😂😂
@amedeusfredrick16145 ай бұрын
Kiredio wewe ni fala 😂😂😂
@jumapiliissa48356 ай бұрын
Duuu kiredio mmbea sana ndomana anaiweza hii kazi
@lydiamakange6 ай бұрын
Ninavyoteseka na mahusiano alafu kuna watu wanayachezea😂😂
@Grace-p9e6 ай бұрын
Umenifanyaa nichekee kama mwehuu make kama umenisema mimi😂😂😂😂😂❤❤❤❤
@Goldenbutterfly-hk1hp8 ай бұрын
Una balaa wewe dadaa😂😂
@AnithaStiven8 ай бұрын
Jamani kumbe uwa unakuja mwanza natamani nikutane na wewe 😂😂
@afterfull-time13488 ай бұрын
Naona unatafuta vidonda vya tumbo..ogopa sana ivo vtu
@nancyg86646 ай бұрын
😂😂😂et unaeza ukaenda dukani uchi😂😂
@CephlenRobert8 ай бұрын
Mpaka hapo ushavunja mahusiano mengi sana we kiredio wewe kah 😂😂😂😂ila mimi huu ujinga sifanyi 😜😜
@ConsolataJohn-n7m6 ай бұрын
Mmmh si kwa akili ya mme Wang Yan anakuja kuelewa sijui anaelezwa kwa rugha gan😅
@IzkiOamn6 ай бұрын
Hadi mwanza umetisha kiredio 😂😂
@MarryPatrick-kl2vk8 ай бұрын
Kiredio njooo mwanza chap kwa ajili ya mahusiano yangu yavunjike yasivunjike fresh tu
@DorcasMudy8 ай бұрын
Akija uni dm
@PrincessHellen-pg1oy6 ай бұрын
Kiredio ase 😂😂😂 utaua watu
@malietamaliet8 ай бұрын
😂😂😂😂kiredio jmn lbd Kam ni tangazo sawa ila kama uko serious umuoe tu na vee ue na wake wawili cjapenda
@ModestherDaniel8 ай бұрын
hahahahahhhhhh nakupenda bure wemkaka jamani hiyo ni challenge plus tangazo so acheni makasiriko
@iranangole7007Ай бұрын
Challenge ya wazinifu Alafu wanachika Ni vzr lakn uyu Anaenda kwenye ndoa Alafu wakaachika sio sawa
Yaan huyu bi harus anachekelea kabisa heee mi siwezi haya mambo utaachika hvi hvi na usiamini
@MwizaRuvams8 ай бұрын
same here🤣
@ManenoGongo-fx8vq8 ай бұрын
Suzie kipnz za siku afu kiredio huyo hahaha angalia usiachike
@ediythermihanga49948 ай бұрын
😅😅
@OliverKassim8 ай бұрын
HUU NI UJINGAAAA WE MDADA..., Mfyuuuuuuuuuu😮
@OmanState-e6p8 ай бұрын
Ww kiredio ww utakua uvunje ndoa za watu😂😂😂😂😂 wanaume wengine machozi ujuwe
@lucas-n6l3g6 ай бұрын
Mpk kwa maharusi jmn so vizuri
@Thebossmama2546 ай бұрын
Aki hii hatari😂 wee sitaki kabisa hizi challege
@LazandaSweety8 ай бұрын
Na watu wako na masiala na shela jamani😂😂😂
@anilindagodwin70338 ай бұрын
Huyu mdada kama ni kwl Ako na ufala sana na anastaili kuachwa 😅😅😅😅😅
@hamzabathromeoh55608 ай бұрын
acting
@neemasovela50378 ай бұрын
Maisha sio kuwa serious kaka refresh ur mind
@francismngumi51258 ай бұрын
@@neemasovela5037 Kabisa yani ..
@zuwenasalim27948 ай бұрын
Kwaiyo kiredio tuje uchi shenzi kabisa😂😂😂
@SteveJuma-j6w7 ай бұрын
We jamaa huna akili kabisa IPO siku utakuja kufanywa kitu mbaya hutakaa usahau nakuambia
@KhadijamussaMachapat6 ай бұрын
Anaka kuwachika huyo😂
@hashimkajara50156 ай бұрын
kiredio hilo neno sio "umehaidiwa" ni "umeahidiwa" all in all nakukubali
@elizamasangula29354 ай бұрын
Ktk ujinga kwenye maisha yng siutaki ni kama huu,nikija kutana na nyie watu,nitawatemea mate,huyu dada naye ni mjinga kama kiredio wake
@alexmuli16818 ай бұрын
Mtakuja fanya watu waachike wallahi 😂😂😂
@ZaytoonaKarama8 ай бұрын
Aah kw kweli hii yavunja mahusiano kabisa
@elizabethmwanjala6173 ай бұрын
Huna akili Tena huna akili kabisa. Chaumbea wewe. Hayo mambo ya watu yanakusaidia nn.
@naimakhalid77988 ай бұрын
🤣🤣kiredio nikikuona popote ni mbio kuliko kibaka aiseee
@Ndungurusedrick8 ай бұрын
We mbwa unakula Mbs zangu sana. Notification ipo on. Asee ni bless ata Mb za buku tano. Kuna li levi limoja lina piga sana mke wake. Uje uli challenge na husiliambie kama ni challenge naamini lita acha pombe tu.
@umfahad26098 ай бұрын
Mimi moyo ulikua unanidunda. Mpaka walivyo maliza kuongea. Ufiiii…❤
@maryammohd59946 ай бұрын
nikimuona uyu jamaaa nakimbia marathon za kutoshaaaa😢😢😢😢😢
@shamilashabani42886 ай бұрын
😂😂😂😂
@martinamuryang1538 ай бұрын
Keredio bhna ety ongea ongea😅😅😅😅
@estermwakatundu30286 ай бұрын
Wee bi harus unalifind wew😂😂😂😂
@fhugghi41098 ай бұрын
😂😂😂😂Kiredio utauwa watu Na hizo challenge zako ety 😂😂😂😂
@ahmedNassra-e8i6 ай бұрын
Jmn sjawah kukoment ila wacha nikoment challenge ya dizaini hii siikubali kabisaa kwasabqbu kila mwanaume na moyo wake ndoa zilivokuwa ngumu alafu ukaiharibu kwa upumbavu huu hpn hp kiredio hujafanya sahihi challenge km hizi usifanye
@WinnerNgowi-qi4wr8 ай бұрын
Watu mnapenda kwl Uwiii i can't kufanya hv😅
@JaneSwetala6 ай бұрын
Mwanamke mjinga sana wewe, unarusu ujinga huo, na kanisan ujaingia 😢
@Sam_me018 ай бұрын
Kiredio aisee utakuja vunja ndoa za watu siku moja seriously eti😂😅
@imaxshine22107 ай бұрын
wameshaanza kwenda uchi😂
@SabrahamiduNassoro7 ай бұрын
Looooh zaliliko ili 😅😅
@HimaHimaya7 ай бұрын
Hivo unavyofanya sio waharibu nyumba za watu
@JamilaMbago-w4j8 ай бұрын
Kiredio 😂😂😂😂😂 kiredio 😢😢 kiredio 😅😅😅😅😅
@petermuhoja11098 ай бұрын
Anatangaza biashara ya mashela hapo
@ZulumanSulesh6 ай бұрын
Izi challenges amziwezi waafrika mtauwana b4fore its too late
@Lizzyktd6 ай бұрын
Matangazo tu hayo 😂😂😂😂
@CharifaImurane7 ай бұрын
Uhuu ujinga siwezi jaribu ata kidogo
@OmanOman-ru4eu8 ай бұрын
Tuliokuja fast KZbin tujuane ila huu ujinga sifanyi haki wallah
@IRENEKOMANYA8 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅bwana angu mimi angenikataa kbsaa
@AnthonyAnatory8 ай бұрын
Ujue hawa wanaaminika watu mahusiano yao hakuna mwanaume ambaye anamwanamke mmoja iyo haipo sasa utu mwenye harusi anakuli wakati anaenda kwenye ndoa ajui kama wapo wanawake wanao tafuta ata iyo ndoa haipo
@preciousmarya64238 ай бұрын
Kwakweli nimekuja chap
@RajabuHayyan8 ай бұрын
@@AnthonyAnatorynashanga
@JacklineBarthazary8 ай бұрын
🤣🤣🤣
@ayubunelson1307 ай бұрын
Huu ujinga akinifanyia mpenz wang tunachana staki discussion
@rehemaanyisile62058 ай бұрын
Content zingine sio kabisa haifai
@kizitokasulamo91678 ай бұрын
Dah bora jamaaa kakufahamu aseee😂😂😂😂 nimekilia utube fasta kama radi
@joycemachibya43808 ай бұрын
Siwezi fanya ivo kabisaa sitakìiiiiiii😂😂
@najmasalim-rg6ow8 ай бұрын
Hyo biharus anakilanga mwee eti anapiga kabisaaa nyie mwendekezeni tu kiredio
@irenembise5418 ай бұрын
😃😃😃
@LuciaCelu7 ай бұрын
😂😂😂kwakweli Acha wamuendekeze tu
@AgnessWlk8 ай бұрын
Hi harusi hajielewi kabisaaaaaaaa
@aminaomary55676 ай бұрын
Kiredio kiredio kiredio yatakuta mambo❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@hasanimohamedi2798 ай бұрын
😂😂😂 mungu wang kiredio unadhambi ww
@alexsamwel30338 ай бұрын
we jamaa fala sanaa😅😅😅😅🙌🙌
@Esther-cn7ng6 ай бұрын
Huyu mwanamke ni mjinga sana😢😢
@teddyurio25828 ай бұрын
Siwezi kufanya huu upuuzi hata kwa dk 1 labda sio mimi