Kama upo single kama mimi gonga like uku tukijipongeza na goma la jux ft diamond nainjoy
@salisali37387 ай бұрын
😅😅😅
@AliamryBakar7 ай бұрын
Skuping
@AgnessJohn-cw9bs7 ай бұрын
❤❤
@AliamryBakar7 ай бұрын
@@AgnessJohn-cw9bs 😍😍😍
@MadenaIphone7 ай бұрын
Naule. Mziki wa aslay naenjoy mzurisaana❤❤❤
@edgercyprian9647 ай бұрын
Daaaah huyu dada anaupendo wa dhati sana kwa huyu jamaa ila nayependwa hajui kam napendwa sijui kwa nini wadada kama hawa huwa hawapati watu sahihi au wanaume huwa hawapati watu sahihi yaani hii ipo kote kote yaani sijui huwa ni kwa nini dada muache utapata akupendae hiyo anaonekana anakupotezea muda tu mdogo angu utapata chaguo lako achana na huyo mbana Nywele kama mwanamke amenikwaza sana😢😢
@magrethmartin16687 ай бұрын
We dada ni mzuri sanaa you don’t deserve this man 😊
@derevamsomi7 ай бұрын
unajuaje hadiserve...unajua anapewaga nn😂😂
@Abgaelizah24 күн бұрын
Pole kipenz wanaumehawa baba yao nimmoja
@TreasureMagumba7 ай бұрын
Sema dada cute alafu mstaarabu sana anapaswa kuwa na mwanaume anayejitabua
@abubakaliyahaya29687 ай бұрын
Kweli kk Dem anajielewa
@JosephEpimack-y4l7 ай бұрын
Hawezi kua mstaarabu na hiyo blich kwa kichwa
@AmourSultan7 ай бұрын
Bleach na Ustarabu Ni moto na Maji
@EmileLugendo7 ай бұрын
Mungu amsaidie, tatizo wanaume wanachanganya wife material na Slay queens
@judithsijaona98757 ай бұрын
Yes
@hadijamandanje61897 ай бұрын
Mwenyezi Mungu naomba uniongozee vyema bint yangu kuuma mwili haki ya Mungu
@LizaLiza-v2m6 ай бұрын
AMBAO TUNAPAMBANIA GULF 🇴🇲 HATULILII MPZ TIM FULUS GONGA LIKE HAPA👇👇👇😂
@ElizabethMichael-vv1ve6 ай бұрын
Unajua Kupenda Mapenz Ni Upofu Jamn 🎉😢😮
@ElizabethMichael-vv1ve6 ай бұрын
Unajua Kupenda Mapenz Ni Upofu Jamn 🎉😢😮
@fatimawazeer7016 ай бұрын
Kabisaa pesa pesa
@JenniferTaitus6 ай бұрын
sasa nawewe dada unalialia Nini mtu hakutaki acha kutuaibisha bahna
@esterjohn107319 күн бұрын
Kwenye sekta ya kula kiredio uko vizuri😂😂😂😂😂😂
@dorcaskidoti2497 ай бұрын
Kiredio mwenyewe alishasemaga anafurahia watu wakiachana😂😂😂😂😂 hayo machozi ya dadaa Kiredio roho yake nyeupeeeee😂😂😂😂😂
@Lovekidoti327 ай бұрын
😂😂 ila kama kweli bwan
@HawaAlly-l8r7 ай бұрын
😂😂😂🙌
@ShamiAl-ww6gp7 ай бұрын
😂😂😂😂
@witneyjerry25877 ай бұрын
😂😂😂
@MonnaPonda6 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@RizikiMakayaShabani6 ай бұрын
Mimi naipend kazi zaredio zinatuweka wazi mungu akubariki sana
@afterfull-time13487 ай бұрын
Ila mwanamke akikupenda na akakuamini ukimvunja moyo analia sana
@JacklineShirima-hn1yt7 ай бұрын
si moyo tuu ata kichwa😂😂😂😂
@sneckyBoe7 ай бұрын
Kwan jamaa kamvunja moyo wap mbn dem ndo kazngua anamprank vp bhana ata ungekuwa lazma ujue n kwel utapanick tu
@hadijahalifa-s4z7 ай бұрын
Fcss_@@JacklineShirima-hn1yt
@AmaniOmari-ev2gu7 ай бұрын
Haaaaahaaaa @@JacklineShirima-hn1yt
@Oman-h8r7 ай бұрын
Basi ndo mtuonee huruma tunapo wapenda mtutendee hakika jamn 😅🙌
@AkxaEdwin5 ай бұрын
Machozi na mapenzi ni pete na kidole, Wanaume 🙌🙌
@SiloohMilosevic7 ай бұрын
Dah! Demu anampenda mkali hadi rahaaa ❤❤🎉🎉 eeh MUNGU nipe nipe mtoto mwenye UPENDO Kama huyuuu😮
@SweetnessEMbise6 ай бұрын
😂😂
@vailethhossen81716 ай бұрын
Singo singuleshen amen
@ChristopherShedrack-sl6kq5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@vailethhossen81715 ай бұрын
😂😂@@ChristopherShedrack-sl6kq
@AsnathMtamila7 ай бұрын
Jaman hyu msichana kaniliza sana.
@aggychinnay73447 ай бұрын
Ni huzuni kwakweli
@VivianSamwel7 ай бұрын
Kazii kulilia mapenzii kufanyaaa kazii aaaaah😅
@maryjosephat28857 ай бұрын
Analia hovyo
@iranangole70072 ай бұрын
Uyu mshenz analia sababu Aendelee kuzin sio Mlilie Alie kuoa sio mnamkosea mungu
@_kijanampole7 ай бұрын
Wazazi wapo zao nyumbani gafla mtu anaona mtoto wake analilia mapenzi 😂😂
@aminamahamudumtumba58977 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🥺
@Luscious68267 ай бұрын
🤣🤣🤣
@MkakileRamadhan7 ай бұрын
Bwana weee, yaan wanamuona kbsa halafu usikute wanamlipia ada
@annadiada28227 ай бұрын
😂😂😂😂ila weee
@maezadam54927 ай бұрын
,,,😂😂😂
@essyrugomora45616 ай бұрын
Aisee namshukuru mungu mpka nimekuwa bibi sikupitia hii yesuuu wanangu Ole wenu
@MsKalie-097 ай бұрын
Uyu dada mstaharabu sana jmn nimependa buree❤
@CarineWay5 ай бұрын
Jameni murudiane muna pendeza kwa kweli ❤❤❤❤
@loycejackson76847 ай бұрын
Dada angu wewe ni mzuri sana tena sanaaaaaaa nakuombea kwa Mungu umpata mwanaume utakayeendana naye ila hapo hapana mshikaji hakupendi😢daaaah huyo dada Mungu akupe wa kufanana na wewe
@khamisomar56597 ай бұрын
We kiredio utavunja zinaa za watu kibao,, hongera sana ila unawajengea kanisa lao
@yollandamushi6777 ай бұрын
Ambao hatujui kulilia mapenzi gonga likes
@adrianomaulaga15997 ай бұрын
Hawa ni waongo wanazitengeneza hizi 100%
@MoreInfomationTz6 ай бұрын
Wakwanza mm😂jamani
@jacquelinerutaya22047 ай бұрын
Daah😢 nmelia sana, mapenzi mapenzi mapenzi 🙌🙌🙌🙌
@saddamikoi377 ай бұрын
Nilisha mliza dem kama hvyo kilichonitokea mungu mwenyewe ndo anajua
@debbiecharlie95327 ай бұрын
Share us a story please
@MarthaAsajile-og7kl7 ай бұрын
😅
@saddamikoi377 ай бұрын
@@debbiecharlie9532 npe contact yako nikusimulie
@MonicaMsoka7 ай бұрын
😂😂😂
@BackBeauty-n9w7 ай бұрын
😂😂😂
@Fayson-u9r6 ай бұрын
Huyu dada anajua kuvaaa❤❤
@AgripinaMasinde7 ай бұрын
Yaan wew mwanamke pumbavu sanaaaaa kujibembeleza kwa mwanaume unaboa sana
@veronicangwale715923 күн бұрын
😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃unalilia mapenziiii hapanaaaaa
@AnnaBukuku7 ай бұрын
Ushaambiwa nilikuwa namtafutia sababu sa ya nini kumng'ang'ania. Mtoto mjinga sana.
@MwanamkasiBakari-pb2gw7 ай бұрын
Umesahau huu ndio ule mwaka😂 mapenzi shikamoo🙌
@elinapetro71367 ай бұрын
Hajamga'nga'ania ila Ali ndio anamvuta angalia video yote ndio ucoment
@OLEDAUDI23 күн бұрын
kiledio unahalibu sana mahusiano yawatu kwajili ya maslahi yako binafsi hivi unavyoona watu wanavyoumia huwa unajiskiaje😢😢
@user-xy8kl9wd2i7 ай бұрын
Single tunaejoy sana kuona mambo kama haya😂😂😂
@elidadi13517 ай бұрын
😂😂😂😂 tunaona kama ukatumia vileeeeee😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@abubakaliyahaya29687 ай бұрын
Achane kujidanganya hakuna raha yakua singo
@sidebalenciaga69077 ай бұрын
Noma sana
@khadijasarya7 ай бұрын
Hakuna raha ya kuwa singoo kwendraaa 😅
@jamilamanariyojamila14877 ай бұрын
😂😂
@hadija_makange7 ай бұрын
Pole dd inauma sana namm ishanitokea ilinipa tabu kuzoea ila nilivyojikuta nitaweza weeeeee ni nilishukuru mungu na niliweza mpaka ss nimecmama na nimepata zaidia ya yule Shwain
Duuh 😂😂 bola mie ninavyopenda wali mahalage kama mtukufu kuliko mapenz tangu nipigwe na kitu kizito sinahamu. Na mapenz kabisa kuusu kupenda nampenda baba yangu na mama yangu 😂😂
@anniemagayane29847 ай бұрын
Maharage yana nazi ?? 🤣🤣🤣
@SalmaAlly-it8iv7 ай бұрын
@@anniemagayane2984 😂😂😂😂
@kuruthumsaid97197 ай бұрын
Mtukufu atamuuwa mume wa Kim kwa njaa 😂😂😂😂😂
@anniemagayane29847 ай бұрын
@@kuruthumsaid9719 🤣🤣🤣 kwamba dk sifuri tuu mme ashakula🙌
@rowland_skipper2 ай бұрын
Jamaa mwishoni kamuuliza kiredio swali zuri sana aise kuwa wao wafanya challenge hizo sitution zinazotokea baadae wanavifurahia
@KevinPhilberth7 ай бұрын
Mm nimefurahia sauti
@prismilammbando37617 ай бұрын
Mkaka anampendaaa sanaaa jamaniii!!! The guy anakupenda sis😘😘
@justinemico18717 ай бұрын
Demu anazidiwa uzuri na mchizi ilo Ni tatizo....demu mwenyewe pacome zouzou
@AnethKayombo7 ай бұрын
Hahaha eti pacome
@Bennie777 ай бұрын
Daaah! Mbingu utaisikia tu mwanangu😂😂😂😂
@youdya7 ай бұрын
pacome au yao yao huyu dem😂😂😂
@salmamlokela19877 ай бұрын
😂😂😂😂 jamani tofauti mavazi
@Craypotter7 ай бұрын
😅😅😅
@clementineselemani66997 ай бұрын
Shukuru Mungu kakupatanisha na kiredio na akavunja mausiano,kuna vitu tunapitia kwenye dunia ili tupate watu saihi we sema asante Mungu akuletee saihi .apo kwa kumpigia nimeumia 😫
@clementineselemani66997 ай бұрын
Wanaume wengi wembamba awana mapenzi 🤣kujumlisha na izo nywele
@ShukuruSemwenda7 ай бұрын
@clementhaineselemani6699 haaaa
@ICEELECTRICCOMPANY7 ай бұрын
Single guys gonga like tuki jipongeza
@DevothaBonophace7 ай бұрын
😂😂❤
@asmakhalfan7 ай бұрын
Kam Masai mwanaume anasuka mwanamke ananyoa
@ICEELECTRICCOMPANY6 ай бұрын
😂😂😅@@asmakhalfan
@NasrahMarco16 күн бұрын
Oooh johari unajuwa matatizo yako toka shuleni angalia yasitibuke huko😂😂😂😂
@HafsaAbdullah-zm4qo6 ай бұрын
Sipat picha leo wakipata yaan kitanda kitajuta kuwafahamu dah!!
@Jayninetythree6 ай бұрын
😂
@AngelAloyce-v6e5 ай бұрын
😅😅😅😅😅
@AvuraKashindy5 ай бұрын
Oya acha useng dem anakupenda
@Denatha_507 ай бұрын
Mwanaume mweupe mlambalamba lipsi.. mbeba kikoba like cha ally afu mfuga nywele raniiiii mai frendiiiiiiiiiii😂😂😂
@mejgodsgal13407 ай бұрын
runnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnn🤣🤣🤣🤣
@esterrupia84707 ай бұрын
Ni hatali Kwa huyu mwanaume ovyoo
@rahmarashid99047 ай бұрын
Run away😅😅😅
@Privia-s8s7 ай бұрын
Running 🏃🏃🏃🏃
@JamillahEliya7 ай бұрын
Hahahah dada anataka kubembelezwa km mm ndo jamaa naghair naondoka zangu spend ujinga
TABIA ZA WANAUME AU WANAWAKE WAPUUZI WANAPOPENDWA KWELI NDIPO WANAPOLIDHARAU HESHIMA WALIOPEWA KISHA WANAENDA KUTOKOMEA KULE KUSIKOKUSUDIWA
@WinnieKeita7 ай бұрын
Umetumia na herufi kubwa kuonesha msisitizo😂💔
@fatumasophu58556 ай бұрын
Kwakweli@@WinnieKeita
@NewNew-ep5dq5 ай бұрын
Tena uyo kak alivyo sikia wakale chakula cha bule akatoa meno
@nicodemshello1636 ай бұрын
Binti Yuko vzr
@WinnieKeita7 ай бұрын
Huyo sio binadamu ..Hilo ni pepo dada ,achana nae asikuumize kichwa😂
@WinnieKeita7 ай бұрын
Nusu nijiue, na nikiwaambia fala mwenyewe ni huyu hamtoaminii😂💔,mapenzi upuuzi tu
@WinnieKeita7 ай бұрын
Kiredio mi nakubali , umemuumbua huyo msenge kumanina zake , Kwanza demu hashtuki hadi jina kadanganywa 😂, mfatilie vizuri ally sio jina lake 🤣fala kweliii huyo 🤣
@PerpetuaJackob-sg5yq7 ай бұрын
Wenyew wamependana co waacheni jmn co vizuri
@WinnieKeita7 ай бұрын
@@PerpetuaJackob-sg5yqmh ,wapi buanaa, ila wanaume mh😂
@fidonsostenes7 ай бұрын
Kubabake 😢😢😢
@EmileLugendo7 ай бұрын
Ila huyu kaka Mungu anamuona, ani mkavu ht kujutia kw alichokifanya....dada continue ktft pesa plzzz maisha ya kulilia wanaume sahv yamepitwa na wkt kpnz😢
@WinnieKeita7 ай бұрын
Pepo hiloo😂
@EmileLugendo7 ай бұрын
@@WinnieKeita tn kemea kbs😂😂
@IkramBaby-i2j6 ай бұрын
Dada kampenda sana mkaka ndomsana ina muumawa anufunze kukubali tu naku.uacha uyo siwahatiyake mambomenhi
@samiakikwete17627 ай бұрын
Yaani huyy dada nawaza Analia nn yaani siamuachee aendeee kshasema alikuwa anatafutiwa sababu sasa aendeee na maishaa
@abbtsa30606 ай бұрын
Wewe naye unaroho mbaya tu
@samiakikwete17626 ай бұрын
@@abbtsa3060 rohombaya yann sasa
@KhalidNa-bn4gp6 ай бұрын
Huy kaka mwongo khaaaa😂 mmbabaifusna 😂😂
@WINNIFRIDAVALENTINE7 ай бұрын
Kiredio ungemshitua uyo dada na kibao kashaambiwa alikua anataftiwa sababu Aachwe badala aendelee na maisha mengine analia apokelewi simu😂😂😂😂😂 ifike mahali wanawake tujue thamani yetu
@agnestemu83827 ай бұрын
😂😂😂😂😂yaani apigwe ht na bomba kichwani
@magangamwidaghat43247 ай бұрын
Ally anajiona hand Sam ndio maàna ana mliza mrembo wa watu ally shame on you
@jumanyassy80627 ай бұрын
Mapenzi hayajatibiwi huo ni Ujinga ...@@magangamwidaghat4324
@makatamauwa19966 ай бұрын
Hahahahahahahahhah!!!! Kashasahau uyo.... wanawake bana akili zetu dhu
@ShishackgaudensiLuhwago-br2nl6 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@YovinaSanga-pb7yq7 ай бұрын
Jaman dada Pole sana msamehe tuu hajui atendalo. Duuu ila madada ni mpole
@cliniusdawson80467 ай бұрын
An mdada anabembelezwa ila ndo anazd kuwakaaaa🔥🔥🔥😅😅😅🙌
@TedyCharls7 ай бұрын
😂😂 ruuuun🏃🏃🏃🏃
@ShekhaSalum-y9e7 ай бұрын
Kiredio nakupenda sna kutoka leo jamn umefanya kt kzr sna❤
@eddazakariasulusi28846 ай бұрын
Kirediao wangu mnafiki sana
@beatricesway57827 ай бұрын
Huyu kaka hakupendi dada😢😢😢😢😢😢kimbia uvunjike yaniii hakupendii i swear 😢😢😢😢 nakuonea huruma dada hiki kikaka kinaoneksna ndo kinakua pole bby
@suzanbegas41397 ай бұрын
DadaHakupend Huyo🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️
@AnnaSevelini6 ай бұрын
Mwanaume mwenyewe si amempata Mr right uyu
@ABELUrioG7 ай бұрын
Njoo zanzibar kiredio😁😆😁
@emanyordickson89617 ай бұрын
Hana passport
@rajabrwambow96607 ай бұрын
Unataka akafirwe sasa😅😅😅
@janethndunguru35387 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 we rajab wewe😂😂😂@@rajabrwambow9660
@amdee997 ай бұрын
Heri ning'ang'anie wababa wababa wababa bila kujali jambo lolote😂😂
@Sweetnaah7 ай бұрын
Nilivyo kisirani huo muda wa kujielezea hivo natoa wapi 😂😂😂
@SaidChilaza7 ай бұрын
Ningekuwa nishamchamba na mitusi juu
@nifasiha79187 ай бұрын
Mnajilahisisha sana
@pillyramadhani37267 ай бұрын
Aloooh nani mwenye no za huyu kaka Kuna ten linazagazaga😂
@BrendaJimmie-hj1lf7 ай бұрын
😂😂
@ShukuruSemwenda7 ай бұрын
Ninazo mm
@pillyramadhani37267 ай бұрын
Nipe
@ShukuruSemwenda7 ай бұрын
@@pillyramadhani3726 lete ilo teni kwanza nikutumie
@lizzyBeb-f6o7 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢ady nimelia aki
@khadidjaabdi-hd8py7 ай бұрын
Mapenzi yanaumaaa asikwambie mtuu shid nikwamba kwanin simu haupokei majibu ni kwamba wamekuchok na anamwamnkee mwinginee anajifany tuu😅
@aaaaaah2907 ай бұрын
Usha wahi jigonga kidole kwenye kucha, kama hujawahi, POA