Únete a este canal para acceder a sus beneficios: / @biblianuruyadunia
Пікірлер
@loisendungu53533 жыл бұрын
Following from day 1.this is the present truth.I will always be grateful to God because he removed me from slavery.I was in the ministry of repentance and holiness for like 8 years but the Lord had mercy on me and allowed me to see this light.thanks Jesus
@rosemutinda30763 жыл бұрын
Be blessed for accepting the last messange. It's not easy to accept it but it's by Grace of God. I too was in the dark darkness but God gave me light through these ministries.
@KambaleKavalamiElize3 ай бұрын
Qmen
@judithmoturi34023 жыл бұрын
Amen Mungu awabariki sana🙏
@mwanashagladys4581 Жыл бұрын
Paulo kwani ulipotea wapi 😊twakumiss😍🙄
@henryosoro76963 жыл бұрын
Amen.. Mafudisho mazuri sana
@alexnshimiyimana55263 жыл бұрын
Amen mwalimu ubalikiwe
@rosemutinda30763 жыл бұрын
Be blessed mwalimu
@henrygitaungigi77933 жыл бұрын
Ukweli huuma
@Lightministry453 жыл бұрын
Mwalimu huwe ukiandika title za video
@taifaletutanzanialisingeku81233 жыл бұрын
Dasha, wewe hunatofauti na waislamu, kwama maneno yako haya, umempa shetani nguvu ya kukuangusha, umesahautu kwamba Bwana asema hivi( asiye kinyume chetu yupo upande wetu). Nikuambie tu kwamba kuwasema vibaya watu ambao wanamuabudu mungu kupitia Kristo nisawa na zambi ya kuua kwa maana nisawa na kuhukumu. Sasa ikiwa unawahukumu watu wenye imani katika Kristo. Umeenda kinyume na Keristo, mwenyewe aliesema kwamba asie kinyume chetu yupo upande wetu.
@moshantoj3 жыл бұрын
Ni maandiko imehukumu ama Dasha?
@taifaletutanzanialisingeku81233 жыл бұрын
@@moshantojMaandiko hayajamhukumu mtu mwenye zamba. wala Dasha hajahukumu, ila maneno yamtokayo mtu yanaweza kuwa hukumu pia ikiwa hayampendezi mungu. Namaanisha hivi kwamba kabla hujasema jambo, lazima uchunguze imani yako vyema. Ikiwa imani yako inaamini kuwa Kriso Yesu ni Mungu, halafu una waamvia waloma, waliopewa fahamu na kuwafafanulia watu kwamba Mungu ni mmoja katika utatu takatifu eti kuwa wamekosea!!!,. Hebu tafakali upya maneno yako. Kisha uje na somo ambalo lita kanusha kuwa Yesu hana sifa ya Mung . Nakwamba, Mungu si Roha. . Lakini ikiwa Mungu ni Roho, Na kwamba Yesu Kristo ni Mungu?. unayo nafasi ya kutafuta jina lolote linaloweza kuunga nisha Mungu aliechukua sula ya mwanadamu, yaani Yesu Kristo, Na Roho, na Mungu baba kutafsilika kuwa jina moja. Kama Yesu mwenyewe aliposema kuwa mimi na baba tu umoja. Kwakuwa Ikiwa Yesu Kristo alisema kuwa Yeye na baba yake ni umoja, Kisha akzihilisha na unoja huu ukendelea kukaanasi kupitia Roho mtakatifu. Kanakosagani katika kuamini Utatu ?.
@moshantoj3 жыл бұрын
@@taifaletutanzanialisingeku8123 Wewe umeutazama huu video mpaka mwisho? Kwa hivyo wewe unakubali mapokeo?
@saitotisapiyo59973 жыл бұрын
@@moshantoj usimlaumu juu hasomi vitabu
@moshantoj3 жыл бұрын
@@saitotisapiyo5997 nashangaa
@mwesi527 Жыл бұрын
Nisaidie pasta ndacha usifanye kitu kwa mfano wangu umetolea mfano mtoto mwishon mwa mahubiri yako yuko na njaa pemben yuko mzungu ukizungumzia kuruudi kwa yesu vinausianaje?nipo tz sante
@nikitumarthinne89093 жыл бұрын
hivyo vitabu vinauzwa siku ya sabato
@lewiskimathichabari72983 жыл бұрын
Alafu....
@peternduati8877 Жыл бұрын
Eee sabbbu hao watu wakizipata ni faida zaidi,,acha wabebe godoro zao waede