ALLAHU AKBAR ♥️ ♥️ ♥️ Jazakumullah kheyral jazaa mashekhe wetu waisilamu kwa mafundisho mema. Ndacha na mwenzake Onyango ni makelele tu wanayo, hawana elimu juu ya itikadi yao. Yesu ni mwisilamu, Muhammad ni mwisilamu, Musa, Ibrahim, Nuhu, na watume wengine wote ni waisilamu. Alhamdulillah for Islam ❤❤🙏🙏🎉
Kweli kabisa, hawaelewi. Sijui uwaambie namna gani!
@wakeshojana2 күн бұрын
KATI YA YESU NA MOHAMAD NANI ATAPELEKA WATU MBINGUNI?? Chagua Koran 46:9 au Yohana 14:6 Kila la kheri!!
@petermgonja85472 күн бұрын
hizo ndo injini .barikiwa onyango
@MosesMwiti-q2r2 күн бұрын
Napenda upole wa Onyango akihubiri.walimu waige
@MosesMwiti-q2r2 күн бұрын
Hapa Onyango ni mwalimu kabisa.Waislamu hawana hoja kabisa
@henryosoro7696Күн бұрын
Onyango umefunza vizuri sana🎉
@shepherd1x842 күн бұрын
Ndacha Pambana na hawa wachawi na waambudu majinni kabisa...
@mosesjillo1729Күн бұрын
Nmechunguza hata wasikilizaji Wa kiislamu wanagungundua Sheikh anadanganya kimatamshi hoja zake za kitoto😂😂
@basilejumaКүн бұрын
Uislam bado Iko duniani ama ilikufa, Moha kwanza ni shida
@mosesjillo1729Күн бұрын
Nmeshangaa Sheikh anamuingiza yesu kwenye kitabu cha Ezekiel 😂😂😂😂 Ezekiel Na yesu ni wapi Na wapi? Ama hajui Ezekiel alikuwako Karne kadhaa kabda yesu kuzaliwa! Waisilamu amkeni acheni kudanganywa hadharani
@t-shinenewboys401619 сағат бұрын
Waislamu ni mawe hayaskii maji ya mvua
@SirikwaMollel-y3k2 күн бұрын
Huyu Anwar ni ubishi tu kubadili maandiko Na Kiswahili hayu dalili Na alama anafananisha Hana hoja