Mungu akubariki mutumishi wa Mungu,namie Pia ni barikiwe Na maneno Yako aksante,
@MsumariMarianaАй бұрын
Muhubiri Mungu aitunze sauti Yako na koo lako liwe laini siku zako zote. Ili uendelee kutufunulia maajabu haya, ambayo Yako lakini hatufumbui, hatuelewi. Mungu akutunze katika Jina la Yesu.
@emmanuelshaban48344 ай бұрын
Mtumishi wa Mungu, Bwana Yesu aendelee kukutumia tu kwani umenisaidia mengi mno, hata hivo naomba tafsiri ya Danieli 12:11--12. Ndimi Ignatius Nzigo nipo Kibondo mjini, Amen.
@JOESE-n1n3 ай бұрын
Inasikitisha sana kama wakirsto hatutatambua nyakati hizi za mwisho ktk unyakuo wa kanisa la Mungu
@LydiaNasimiyu-h1n5 ай бұрын
Mungu tuhurumihe tupe nguvu za ushindi hizi nyakati za mwinzo Mungu tushidanie Yesu Kristo wanasareti
@JOESE-n1n3 ай бұрын
Mwenye kusikia na asikie maneno haya ambayo Roho Mtakatifu anasema na kanisa
@joycenjana73317 ай бұрын
Amen amen mtumishi nabarikiwa sana kwa neno, umebarikiwa
@DAVIDMAGHANGA4 ай бұрын
AMEN MTU wa MUNGU alie juu saana
@lukafbbwebelof38744 ай бұрын
Hapana kila kitu Mungu akubariki mtumishi. Mimi ni mkristo Ila sitokuwa na kubaliana na wahubiri hata kama yeye ni mwisrael, mwisrael sio Malaika wala rohomtakatifu bali ni mtu kama sisi na kunamara hajaongozwa na Roho wa Mungu kwenye kila kitu wanacho sema. Muwe makini sana watu wataenda kushangaa huko Mbinguni.
@UkundiMlelwa7 ай бұрын
Amen rabbi kwa mafundisho ya wakati huu hasa. Nilikuwa natamani sana kupata mafundisho ya kipindi hiki cha mwisho, Mungu amenionyesha hii channel nabarikiwa sana.
@LydiaNasimiyu-h1n5 ай бұрын
Tubinganiye Yesu peke yetu hatuwesi Vita ni vyako si vyeyu Yesu tusaindiye
@emilykangaty12626 ай бұрын
Nifanye KAZI ya kumtumikia Mungu kwa ngu u na juhudi zote
@JustineMuhindo-tb6en7 ай бұрын
Yesu akubariki sana nakuzidishiye nguvu
@ALEXLESERE7 ай бұрын
Amen 🙏, mtumishi nabarikiwa sana na mahubiri Yako ya siku za mwisho,
@sarahnjowela5547 ай бұрын
Amina mtumishi nabarikiwa sana ubarikiwe
@NoraKombaАй бұрын
Nami namshukuru mungu akupe moyo
@deboramwizarubi5 ай бұрын
Baba Bwana aendelee kukutumia tunajifunza mnooo
@byusaajumapili67507 ай бұрын
Mungu akubariki mchungaji ninaposikiya mahubiri Yako yananijega sana maana mahubiri kama hayo hayasikiki tena ina kuwa tutabarikiwatu . Baba utakuja Burundi Siku gani ? Tunatamani uje nakwetu
@esthersamuel24596 ай бұрын
Mungu akumariki mtumishi
@AlphaBalezi3 ай бұрын
Nina haja ya nambar mutumishi anaye hubiri
@LydiaNasimiyu-h1n5 ай бұрын
Mungu tuhurumihe huu wakati wa mwinzo hatujui kutaendaje
@oliverbernad55707 ай бұрын
Nakupata VZR MTUMISHI Absharom ,Iringa MJINI
@AlphaBalezi3 ай бұрын
Aksate sana kwa ma hubiri . Alpha DRC Congo
@emmanuelshaban48347 ай бұрын
Ninakufuatilia Sana mtumishi wa Mungu na kupitia mahubiri yako kuna vitu vingi ninaendelea kuviongeza ktk Imani yangu, Bwana Yesu akulinde na kuzidi kukubariki zaidi, Karibu kwetu Kigoma.
@joellumala32067 ай бұрын
Ni wakati wa mwisho., Tujiweke tayari, muda sio rafiki
@AgnessHezron7 ай бұрын
Mungu. akubariki.mtumishi. wa Mungu
@LydiaNasimiyu-h1n5 ай бұрын
Ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen pstr barikiwa sanaaaana mutumishi wa mungu
@afredfodogo78576 ай бұрын
Asante YESU KWA kujizihilishwa kupitia TAIFA TEULE LA EZIRAEL TUNAIPENDA EZIRAELI LINDA KWA DAMU YAKO MILELE,
@BarakaKamara3 ай бұрын
Mahubiri haya ñi hadimu sana katika kipindi hiki cha mwisho. Sijui watumishi wa Mungu walio wengi wamerogwa na nani?
@japhetmasai99547 ай бұрын
Mungu akubariki mtumishi wa bwana kwakweli yote unayoyasema ni ukweli kabisa manake kiroho kweli yesu yu karibu sana
@blondyd42567 ай бұрын
Haleluya, nabarikiwa kutoka Geita
@MchungajiNzelani4 ай бұрын
Mahubiri haya nilikuwa nayasikia kwa mzee kulola sasa kwa mzee magembe wengine wamekalia kupaka watu mafuta ndo watu wamejaa iliwaje kufagiliwa vizuri
@emilykangaty12626 ай бұрын
Mafndisho haya yananiongezea kiwango changu Cha kumpenda Mungu
@MchungajiNzelani4 ай бұрын
Ni wakati wa wanawali 10 watano wenye busara na 5 wapumbavu Mungu tutie nguvu tuwe na mafuta
@JustinLushaku2 ай бұрын
Ninakufuata cent pourcent mon pasteur,
@happynescostat74202 ай бұрын
AMEN
@LinaLema-c1m3 ай бұрын
Ameen amen
@MethodAlphan7 ай бұрын
Amen mwana wa mungu 🙏🇮🇱 mafundisho mema
@japhetmasai99547 ай бұрын
51:23
@DieudonneMAHANGO-ws3do7 ай бұрын
Amen 🙌
@eliyamakanika72827 ай бұрын
Amen ❤❤
@rosemarymwanitega79267 ай бұрын
Ameni Hallelujah
@loisruhembe16877 ай бұрын
Amina
@ClotildaMbumeo5 ай бұрын
L Q~ee10
@JustineMuhindo-tb6en7 ай бұрын
Ninaswali pasta je wewe nimuyahudi wakuzalikiwa
@masindemagee96037 ай бұрын
amn
@LydiaNasimiyu-h1n5 ай бұрын
Mungu tuhurumihe tupe nguvu za ushindi hizi nyakati za mwinzo Mungu tushidanie Yesu Kristo wanasareti