No video

BIG CHAWA FT KING CRAZY GK

  Рет қаралды 48,310

BIG CHAWA

BIG CHAWA

5 жыл бұрын

GK AMEKUWA HAONEKANI KWENYE MEDIA KWA MUDA MREFU LEO HII AMEKUTANA NA BIG CHAWA.

Пікірлер: 116
@amonamiri4487
@amonamiri4487 3 жыл бұрын
Katika artist wangu wa mda wote nampenda sana gwamaka kahiula...respect bro...sina nyimbo zingine ninazoskiliza Jana na Leo kama za gk na east coast team...much love kwako mzee mbaba
@daudfatak4818
@daudfatak4818 2 жыл бұрын
Mwamba king king msela nakuelewa tokamdogo mwamba wa Est cost tim
@abdallahamad4682
@abdallahamad4682 4 жыл бұрын
Ni sauti ya MANKA GK nnayoisikia...!!! Big up broo
@dennischeyo1302
@dennischeyo1302 4 жыл бұрын
Mwamba wetu wa Mbeya City kizaz sana
@singelimorogoro
@singelimorogoro 4 жыл бұрын
KAZA BABA MASWALI HAYOYO STAILI YA PEKEAKO USIFUATE WAKINA MILARD KILA MTU NA TAALUMA YAKE WENGNE TUNAPENDA MASIHARA KIIVO
@richardmasenga2737
@richardmasenga2737 4 жыл бұрын
baba tumekumisi rudi ktk game ile kitu sauti ya manka uliua sana
@eliahjackson8887
@eliahjackson8887 4 жыл бұрын
Yaa Mkali wao sauti ya manka
@fiziparadise7808
@fiziparadise7808 5 жыл бұрын
The best Tanzanian rapper of all time. Respect✊🏾
@ismailmashimba3470
@ismailmashimba3470 4 жыл бұрын
Yani GK ungelipapatua kuomba jwt maana unapenda sana kuvaa mavazi ya jeshi
@fadhilplatnumz6209
@fadhilplatnumz6209 4 жыл бұрын
Huyu Jamaa bado tunamhitaji ktk Gem kunapengo kubwa ktk HIP HAP- sanaa
@fubanjenjele521
@fubanjenjele521 4 жыл бұрын
Daaaaa, mziki ulikua noumer enzi hizo
@getrudascustom8928
@getrudascustom8928 3 жыл бұрын
Nakumiss bro
@dictorrupil8951
@dictorrupil8951 4 жыл бұрын
Msodokiiii naiona hiyo.....mwanza mwanza Rock City niggaz wakanda give me likes kamkubali mtu wetu
@davidmangwea5173
@davidmangwea5173 4 жыл бұрын
Miiko 10 ya rap
@minjacsd1874
@minjacsd1874 4 жыл бұрын
East coast kiraka 531 army ilikuwa noma sana kwenye game
@babzlove2267
@babzlove2267 4 жыл бұрын
Kaka siyo lijend ni Legend
@frozen4rozen475
@frozen4rozen475 4 жыл бұрын
Beef la tmk na east coast ilikua sio La mtandao lilikua la mapanga
@robertndumbaro2249
@robertndumbaro2249 4 жыл бұрын
kila unamuuliza maswli hayohayo kweli we ni chawa.
@gadyjohn3815
@gadyjohn3815 4 жыл бұрын
Aisee east coast team lilikuwa chama langu miaka buku..japo tmk nao nilikuwa nawakubali ila kiteam nilikuwa ect blood yaani..na ngoma yako nayoikubali sana na haiko maarufu sana...tuko pamoja na bidada pauline zongo...oyaa chawa tutafutie na hawa wadada walikuwa chorus killer pauline zongo..na winnie wa nishike mkono ya darasa
@miltonmugisha1805
@miltonmugisha1805 4 жыл бұрын
Dah! Nilikua MuEAST COAST cousin, ilikua noma kipindi hicho
@mataamiry6720
@mataamiry6720 4 жыл бұрын
Gigy stand up umekubaliwa chiz moja wa upanga
@mohamedimustafa6326
@mohamedimustafa6326 4 жыл бұрын
Naikubali sana ile ngoma yako takufaje miaka mia mkuu
@goodlucktemu3149
@goodlucktemu3149 4 жыл бұрын
big chawa unafukua makaburi we ni mtu noma
@kingrasdee445
@kingrasdee445 4 жыл бұрын
Nakkubal san GK huw naipend ngoma ya sster sister.
@emmanuelnjelekela6299
@emmanuelnjelekela6299 4 жыл бұрын
Namkubar Gk big up !!!
@katanicarter0568
@katanicarter0568 4 жыл бұрын
King Crazy Gwamaka Kaiyula G.K Daaaaah Bado nina t-shirt la EAST COAST KIRAKA
@albertbarongo4906
@albertbarongo4906 4 жыл бұрын
Bado nina tape ile ya Sauti ya Manka Album
@miltonmugisha1805
@miltonmugisha1805 4 жыл бұрын
Tuko maofisini sure
@saidabeid1921
@saidabeid1921 4 жыл бұрын
watanzania munafeli upande wa English na munalazimisha sasa kutamka tu legend huwezi kutamka amazing pia ni shida 😥😥😆
@nasoscar1425
@nasoscar1425 4 жыл бұрын
Hahahaha😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 amazing
@meddyhazali1470
@meddyhazali1470 4 жыл бұрын
Most wanted rapper of all time.... sijajua kilicho mpoteza huyu nguli wa ku flow na kigugumizi halafu anaweza kuki control...
@nelsonnmwaipaja6980
@nelsonnmwaipaja6980 4 жыл бұрын
tutakukumbuka daima milele ##daah gk wapi ww
@GeorgeMichael13
@GeorgeMichael13 4 жыл бұрын
Avue kofia
@saidmagubiko9570
@saidmagubiko9570 4 жыл бұрын
Ktambo sn Gk rapa Tz muacc Zen killer atareee
@e.b.m.y.c.b4848
@e.b.m.y.c.b4848 5 жыл бұрын
Mfalume wa weuuuuu respect kwako
@Fredlongan
@Fredlongan 4 жыл бұрын
Jamaa amekaa kiafande kinoma!! Yani nikikutananae usiku akisema kaa chini aaah mbona ubishi 😅😅😅😅
@richardmanjira6800
@richardmanjira6800 4 жыл бұрын
Kijana makini kwa watu makini
@AlexKifanga
@AlexKifanga 3 ай бұрын
Kaka yake na dizasta vina huyuu🎉
@emilytv9526
@emilytv9526 4 жыл бұрын
Hivi Diva anataka million miatano Mbona Crazy GK alimugonga na Hajamuoa hahaaaa.
@mussaharun7257
@mussaharun7257 4 жыл бұрын
Legend
@winterkasela9033
@winterkasela9033 4 жыл бұрын
Gk andaa shoo kubwa ya marapa mashabiki wako tutakuja wengi sana
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 4 жыл бұрын
Wazo zuri .
@nassorsuleiman5427
@nassorsuleiman5427 4 жыл бұрын
5 GK
@sundayjohn1285
@sundayjohn1285 4 жыл бұрын
hivi wee jamaa interview zako zote unawataja kina amber rutty kwani huna wasanii wengine wa mifano
@MatimbeJr
@MatimbeJr 4 жыл бұрын
Chief king master crazy Gk
@geofreyjohn1039
@geofreyjohn1039 4 жыл бұрын
Gwamakaa 👑 king
@jojinamatiku4108
@jojinamatiku4108 4 жыл бұрын
Gwamaka rudi kwenye gemu tunakumisu sana
@mwajejasson6995
@mwajejasson6995 4 жыл бұрын
Gwamaka kyusa Boy
@sjaykigomatz
@sjaykigomatz 4 жыл бұрын
Big chawa unazingua kwenye maswali
@giftkelvin7
@giftkelvin7 4 жыл бұрын
Big chawa jifunze vizuri maswali mazuri ya kumuuliza MTU!, jifunze Kwa DJ Ommy!, siyo kama yeye ila ujue tu yeye anafanyaje!.
@yohanadeusi5660
@yohanadeusi5660 4 жыл бұрын
Gk.5 mwanangu wa upanga leo 23.7.2020 corona virusi
@semenitheclassic
@semenitheclassic 4 жыл бұрын
Eee GK yupo kweli
@dgt6303
@dgt6303 4 жыл бұрын
Daaah manka hakuwahi kufua, manka hakuwah......
@ntawurusigajaphet8813
@ntawurusigajaphet8813 4 жыл бұрын
dgt kupiga deki alikusikia
@dgt6303
@dgt6303 4 жыл бұрын
@@ntawurusigajaphet8813 hahahaha manka alikuwa wa kishua
@reginawitacha7921
@reginawitacha7921 4 жыл бұрын
Dah Gk tumekumis
@wakaticadeau3600
@wakaticadeau3600 4 жыл бұрын
Miss you bro king crazy Gk
@graceissa273
@graceissa273 4 жыл бұрын
Genius
@nyamkamawanjara29
@nyamkamawanjara29 4 жыл бұрын
Hivi we bichawa mbona mi sijawahi kukuona
@mosestemigunga121
@mosestemigunga121 4 жыл бұрын
Nitakuje
@edwardloppa5487
@edwardloppa5487 4 жыл бұрын
gk brother kaka
@EdwardMajor08
@EdwardMajor08 4 жыл бұрын
Kaka una i dea nzur sana ya kipindi na watu unao waleta kwenye kipindi chako ni watu ambao wengi tungependa kuwasikia . Makosa /Matatizo 1.quality ya kamera ni mbovu its like una tumia kamera ya simu 2.sound ipo chini hasa kwa unae mu interview 3.kwenye intervie una kuwa una uliza maswali kisela sana not seriouse, unakuwa maranyingi una interupt kat kat 4.kamera haija tulia Mabadiliko Uwe na mpiga picha . Uwe na mpangilio mzur wa maswali .na uwe umesha jiandaa nn unaenda ku muliza msani husika . Location nazo ziwe zimetulia na msanii nae ametulia isiwe kama una mkurupua mtu uwani.
@bigchawa942
@bigchawa942 4 жыл бұрын
Appriciate this! Content ya BigChawa ni Miyeyusho a bit informal kwa watu ambao hutegemei. Siyo serious stuff kwa kifupi ni Formal people VS informal content
@EdwardMajor08
@EdwardMajor08 4 жыл бұрын
@@bigchawa942 yap nime elewaa ila naombaa utambuee una bongee la wazo na kipindi kina weza kuwa ki kubwa sana kama utafanyia mabadiliko .kitu uki kichukulia poa poa nacho kina kuwa poa poa but kama ukichukulia serouse nacho kina kuwa seriouse . Fanyia mabadiliko kwenye camera uwe na mpiga picha au director pia ni muhimu ,hata kama utakuwa nyuma ya camera, sound iwe nzuri, mpangilio mzuri wa maswali hata kama ni machache, edit nzuri ,picha au video za nyuma ili ambao hawajawai kumuona muhusika wapate kwenda kumfuatilia ,kumsoma ,kumsikiliza,huyo msanii au muhusika mwingine,, kipeleke kipind next level kwenye tv show ,.. NB. Ulichobeba ni ki kubwa kuliko unavyo dhaniaaa . Zingatia tafadhali Una hiyo nafasi na hupo EATV kwahiyo mna weza tengeneza kitu ki kubwa na chenye Quality Na wadhamini waka jitokeza na kuweka pesa zao kwenye kipindi chako Una watu wanao weza kuku saidia ku ki kuza kipindi chako watumie tafadhali Mfano wa kuiga .Millard Ayo
@linusrohomoja8856
@linusrohomoja8856 4 жыл бұрын
nimesoma nae tumain university dar es slaam college(TUDARCO)
@jumahaji2938
@jumahaji2938 2 жыл бұрын
Mwaka gani ?
@benpius3076
@benpius3076 4 жыл бұрын
Unajua kuchagua watu wa kuwahoji Ila bro maswali unayoyauliza duu u don't touch the peak budda halafu masihara mengi mwamba
@elishakilasi8714
@elishakilasi8714 4 жыл бұрын
Long time
@nipolive..2745
@nipolive..2745 4 жыл бұрын
Gk teja ama nyie mnamuona je
@hadija846
@hadija846 2 жыл бұрын
Mie nimesema kuwa ni teja wajinga wengi wamenifokea ni teja kabisa
@doi255
@doi255 4 жыл бұрын
Nanikasikia amaziii😆?
@salmaomary2100
@salmaomary2100 4 жыл бұрын
Haha big chawa anaongea sn mpk kero
@salmaomary2100
@salmaomary2100 4 жыл бұрын
😀😀😀😀
@yohanapetro4937
@yohanapetro4937 4 жыл бұрын
Maswali yk ovyo
@taufikmoe6390
@taufikmoe6390 3 жыл бұрын
DMX wa Tz
@humphreymwamasage9805
@humphreymwamasage9805 4 жыл бұрын
Almasi Mchangani
@fredypastoryutd4864
@fredypastoryutd4864 4 жыл бұрын
NI KIPINDI KIZURI NA UNA IDEA NZURI ILA MASWALI YAKO MENGINE YANACHOSHA, UNAWEZA KUACHA KUANGALIA. MASWALA YA AMBR RUTH SIJUI NANI EMBU JIONGEZE KIDOGO USIBOE WATU. KUNA VITU VINGI SAANA TUNAPENDA KUVISIKIATOKAKWA HAWA WAKONGWE ILA PUNGUZA SAANA MASWALI YA KIUDAKU UDAKU
@trendings1293
@trendings1293 4 жыл бұрын
But mbona huwaulizi wanafanya nn Kwa sasa
@barikiarastus8770
@barikiarastus8770 4 жыл бұрын
Dmx wa bongo
@josephkakokere229
@josephkakokere229 2 жыл бұрын
Kabisa
@jamiestan7280
@jamiestan7280 4 жыл бұрын
Una hoji wa2 makini lakini mzeee maswali yako ni miyeyusho xana naweza sema your not serious
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 4 жыл бұрын
Ndio style yake ya kuhoji , hayo ni mawazo yake , kaamua kuwa tofauti , kama haikupendezi nenda kwa wale wanaokupendeza .
@bigchawa942
@bigchawa942 4 жыл бұрын
Thanks, at least umenisaidia im sure taratibu wataelewa kuwa BigChawa is about Formal Source VS Informal Content i do almost miyeyusho stuff
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 4 жыл бұрын
@@bigchawa942 Tupo tunaokuelewa , endelea na idea yako hata kama tupo wachache kwa sasa taratiibu tutaongezeka , napenda unachofanya , tunapata ujumbe kwa njia ya utani na mashara , sio kila mtu ahoji in a serious way studioni . Big up , umeamua kuja kivingine .. Do what you believe , people will follow you .
@captenndunga6199
@captenndunga6199 4 жыл бұрын
Ndo tafsir ys BIG CHAW
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 4 жыл бұрын
@@captenndunga6199 💪👊👍
@jobbup0lly700
@jobbup0lly700 4 жыл бұрын
Jk punguza mjani boy
@fahadfahmy
@fahadfahmy 4 жыл бұрын
watu wanasali nyinyi hamsali?
@kingfrenk5230
@kingfrenk5230 4 жыл бұрын
Umezeeka bro
@godrickngoda9843
@godrickngoda9843 4 жыл бұрын
Sisi wazee tunaomkubali
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 4 жыл бұрын
@@godrickngoda9843 Jibu zuri .
@joetchatv1453
@joetchatv1453 4 жыл бұрын
Ww king frank au frenk ushamba unakusumbua
@hadija846
@hadija846 4 жыл бұрын
Unga mbaya Yaani umemmaliza kabisa maisha haya jamani7😭🙏🏼
@mkonosimion1157
@mkonosimion1157 4 жыл бұрын
Unga gani we taila achana na maisha ya watu
@testarguy8609
@testarguy8609 4 жыл бұрын
Ungaro mbona hata mmeo anakulaga,acha undez we duanz
@childrengospelmissiontanza1474
@childrengospelmissiontanza1474 4 жыл бұрын
Msomi huyo ana kazi zk za maana,mama ake tu msomi na mwalimu mzuri sana,mstaafu alishakuwa Mbunge pia.Familia ya wasomi na kishua pia,wapo bize na maisha mengine..
@shadaphnalinga9991
@shadaphnalinga9991 2 жыл бұрын
uliza kwanza chizi ww!! huyu hatumii unga na ana elimu yake na kaz ya maana na familia yao hatar sana na hawana njaa hao
@hadija846
@hadija846 2 жыл бұрын
@@mkonosimion1157 We mjinga sana ujamuona huko Arusha alivyokakamatwa na unga? Pumbavu zako
@ramadhanmasiku4105
@ramadhanmasiku4105 4 жыл бұрын
Kwisha kupo
@mussaagrey5679
@mussaagrey5679 4 жыл бұрын
hiyo kofia aitokagi
@joetchatv1453
@joetchatv1453 4 жыл бұрын
Upara huo
@yusuphkayoka5452
@yusuphkayoka5452 4 жыл бұрын
Mzee Baba nakumbuka nilikutanishwa na wewe King Crazy GK na mdogo wa Iringa marehemu Gee Mabovu, tukaongea mengi ili tutoe wimbo pamoja instead nikajiingiza kwenye kufanya kazi ya malori na kuachana na musiki.
@hamidumsofe4458
@hamidumsofe4458 3 жыл бұрын
Huyu jamàa alikuwa mkali xana na kundi zima,big up kwao,isipokuwa kuna yule dada yao kachoka vibaya(Pauline zongo)nawaomba wamfatilie na wamsaidie
@hamidumsofe4458
@hamidumsofe4458 3 жыл бұрын
Nadhani alipata ajali mbaya sana ya kupinduka na gari,alitoka hadharani anahitaji msaada,wao east coast team wengi wao walifanikiwa xana kimaisha wamcheki sister wao yule,
@hadija846
@hadija846 4 жыл бұрын
huyu si aliekuwa bwana wa Ray C?
@yakobosengasu8073
@yakobosengasu8073 4 жыл бұрын
Hapan huyu alikuwa bwana wa DIVI wa malove love
@hadija846
@hadija846 2 жыл бұрын
@@yakobosengasu8073 Nae huyu walikuwa wapenzi walipokuwa mateja
@madeestar5228
@madeestar5228 4 жыл бұрын
GK ANAM'BONGE WA MCHOGO KUMBE
@bukheribukheri798
@bukheribukheri798 4 жыл бұрын
Wewe una Nini?
@nelsonnmwaipaja6980
@nelsonnmwaipaja6980 4 жыл бұрын
tutakukumbuka daima milele ##daah gk wapi ww
BIG CHAWA FT KALI P MAISHA YAKE MAPYA, HATAKI TENA MUZIKI
11:57
Mkasi S11E05 With GK
29:53
MkasiTV
Рет қаралды 40 М.
I'm Excited To see If Kelly Can Meet This Challenge!
00:16
Mini Katana
Рет қаралды 35 МЛН
Пройди игру и получи 5 чупа-чупсов (2024)
00:49
Екатерина Ковалева
Рет қаралды 2,3 МЛН
7 Days Stranded In A Cave
17:59
MrBeast
Рет қаралды 52 МЛН
Juma Nature na King Crazy Gk Haijawhi Kiutokea
3:22
MAELEZO TV
Рет қаралды 24 М.
BIG CHAWA FT NOORAH HUYU HAPA
10:05
BIG CHAWA
Рет қаралды 81 М.
BIG CHAWA FT MKOJANI TUPO LOCATION YOMBO
13:16
BIG CHAWA
Рет қаралды 820
BIG CHAWA FT MCH RICHARD HANANJA #2023NjiaInatoa
13:26
BIG CHAWA
Рет қаралды 37 М.
BIG CHAWA FT MAISHA YA CHIKUMBALAGA TUNDUMA
13:35
BIG CHAWA
Рет қаралды 20 М.
I'm Excited To see If Kelly Can Meet This Challenge!
00:16
Mini Katana
Рет қаралды 35 МЛН