BIG CHAWA FT NOORAH HUYU HAPA

  Рет қаралды 81,951

BIG CHAWA

BIG CHAWA

Күн бұрын

BIG CHAWA AKIWA SHINYANGA ANAKUTANA NA RAPA WA MUDA MREFU SANA NA STYLES KALI NOORAH BABA STYLES
#BigChawa #Cuuuzin #UshuaniMostWanted

Пікірлер: 171
@omarykitololi447
@omarykitololi447 2 жыл бұрын
Big up noorah brother wengine wakitoka kwenye music wanatumbukia kwenye madawa lakin kaka ujaingia kwenye lile balaa mungu akulinde maisha ndo yale yale tuu
@dramachatta3851
@dramachatta3851 4 жыл бұрын
Ebhana uyu big chawa anafanya kitu tofauti sanaaaaaaaaaaa yani anawafichua watu ambao hata hatujui wako wapi ni kitu bora sanaaaaaaaaaaa na tofauti sanaaaa
@boylondontztz920
@boylondontztz920 4 жыл бұрын
Drama Chatta kabisaaaaaaaaaaaaa
@bigchawa942
@bigchawa942 4 жыл бұрын
Aaaa thanks alot Drama
@RuzoOwzy
@RuzoOwzy 4 жыл бұрын
Hakika
@ferouzmasoud4870
@ferouzmasoud4870 2 жыл бұрын
Legendary Kama legendary kitambo Sanaaa broo noorah 👊🇹🇿
@eventelias3566
@eventelias3566 4 жыл бұрын
Hawa ndo wamehangaikia mziki wa bongo flavour siwezi laumu kwa nini haujawapa mafanikio makubwa maana nyakati zao platforms zilikuwa chache lkn pia technology haikuwa juu kama sasa enzi hizo ilibidi utoe album ili watu wakuelewe maana walitumia cassette(kanda)..sasa hv kuna ma-KZbin na mazaga kibao
@doullateljabii6264
@doullateljabii6264 2 жыл бұрын
Best rap wangu baba star
@kiun08
@kiun08 2 жыл бұрын
Umetuwakilisha vizuri sana SHY TOWN kwenye Music...Much Respect Bro
@benlaizer9936
@benlaizer9936 4 жыл бұрын
Mimi ni miongoni mwa watu walioadhirika kwa kukosa hits zako kwa muda mrefu natamani urudi kwa game kaka!!!
@jacobmasyaga1293
@jacobmasyaga1293 4 жыл бұрын
Noorah True BF Legendary. Although now a Business man. He can still made a dash back some days. Hail Noorah My Son. Happy to know you are alive and well!
@ditrickdamyen4012
@ditrickdamyen4012 4 жыл бұрын
Big Chawa umetisha sana. Asante sana na nimependa maisha ya uhalisia ya Noorah
@toonblastplayer1042
@toonblastplayer1042 3 жыл бұрын
Noorah is my favorite artist of all time from Tanzania. Please, mwambie tunahitaji nyimbo.
@erastosolomon4554
@erastosolomon4554 4 жыл бұрын
Penda sana huyu jamaa ngoma zake zote nitatupa simu,nitauza,itaibiwa, lakini muziki wake haukosi kwa simu yangu. wasanii wote wa enzi nzetu hawanaga mikogo kama yakina naniiii???💪💪🙏🙏
@Remmy_Remmah
@Remmy_Remmah 4 жыл бұрын
Yani sijawahi kuchoka kuskiza nyimbo zako....haswa "ice cream " i still have it in my playlist👌🏾👌🏾big up sana
@sontrillthereal8186
@sontrillthereal8186 4 жыл бұрын
Ukikaa na huyu bro utapata MADINI SANA.💪
@shakilahasani2790
@shakilahasani2790 4 жыл бұрын
Arudi kwenye game bana kumedoda tunataka wasanii wetu wazamani warudi wote
@boylondontztz920
@boylondontztz920 4 жыл бұрын
Shakila Hasani yaan tunawamiss sana maana saiz mzik unamapengo meng xn
@sandeandrea2229
@sandeandrea2229 4 жыл бұрын
Tupo tulio umiss muziki O.G
@sandeandrea2229
@sandeandrea2229 4 жыл бұрын
Tupo wengi tulio umiss muziki O.G
@mayaiddy4688
@mayaiddy4688 4 жыл бұрын
Kweli. Dada
@Kimbururu
@Kimbururu 2 жыл бұрын
"Tikisa tena, katikakatika, maa umeng'aa ulivyo jidabikadabika, na usione soo kuwa nami usiulize wapi wakati uuunavyocheza unanidatisha datishaa." This is THE best part of the whole track
@muhdmimu8857
@muhdmimu8857 4 жыл бұрын
Noorah kitambo sana #One the Incredible
@amosmaiko5523
@amosmaiko5523 4 жыл бұрын
Tulioangalia nywele za noora tujuane😀😀😀😀😀😀😀😀
@chalreschungu5066
@chalreschungu5066 4 жыл бұрын
Anafanana na Mengi was Ipp
@graphixmaster6146
@graphixmaster6146 4 жыл бұрын
Jamaa flow yake ilikuwa special sana, ngoma kali kutoka kwake ni Icecream na Babastyles
@twaibumkoba4315
@twaibumkoba4315 4 жыл бұрын
Big Chawa umetibu kiu yangu,nimekuwa nikitafuta sana interview ya huyu mwamba.
@bigchawa942
@bigchawa942 4 жыл бұрын
Appreciate Twaibu...thanks
@danielsama1576
@danielsama1576 4 жыл бұрын
Kumbe tuko wengi asee nimejikuta nalia maana kipnd hyo nili nunua Kanda ya huyu jamaa
@chrispinelux6765
@chrispinelux6765 9 ай бұрын
Top artist love the song u did with kiba
@milelestudios1050
@milelestudios1050 4 жыл бұрын
Mimi na huyu jamaa ndio wenye pua nzuri za kijanja tz. Gonga like nyingi sasa
@charleskitundu7639
@charleskitundu7639 4 жыл бұрын
hahahaha
@beautyibrahim8428
@beautyibrahim8428 4 жыл бұрын
😂😂😂😂MNatumalizia hewa
@georgengakuka3420
@georgengakuka3420 4 жыл бұрын
Ludi kwenye gem mzee baba wewe unaweza sana
@thebeautycafewithdrnyorita
@thebeautycafewithdrnyorita 3 жыл бұрын
Noorah you were awesome.🤛🏽
@ernestmbwana6282
@ernestmbwana6282 4 жыл бұрын
Nimefurahi kumuona Nura.... Be bless brother
@wolframmwalo2432
@wolframmwalo2432 3 жыл бұрын
Huyu broo fundi sana
@marryemmanuel4254
@marryemmanuel4254 2 жыл бұрын
Dada ake tulikua nae nyamanoro mwanza na tulikua tukimuona Sana tu
@maulidrehani
@maulidrehani 4 жыл бұрын
noorah msanii nliependa flow zake back in the days
@badmanno.1650
@badmanno.1650 4 жыл бұрын
Ice cream bonge la ngoma....noorah mnamwezi enzi hizo...
@fatemaakeda8179
@fatemaakeda8179 4 жыл бұрын
Ilo. Puwa. Duuu
@toonblastplayer1042
@toonblastplayer1042 3 жыл бұрын
Noorah is my brother from another mother. Please, game inamuhitaji
@josephmwafumu7701
@josephmwafumu7701 3 жыл бұрын
Waasisi wa bongo music much respect all legends
@legawayz6093
@legawayz6093 4 жыл бұрын
Nimependa interview zako big chawa maana unawafata walipo
@danielsama1576
@danielsama1576 4 жыл бұрын
Bro @bigchawa salute mingi Sana asee nimejikuta nafrai mpaka machozi asee maana Street wananiitaga baba style ety tumefanana Sana hata hvyo 2008 pale monduli teachers college/vipaimara Kule moshi niliperfom ngoma zake.....bro nafkr ulipatwa na stress ming uki compare baadhi ya Wana chamber wako mbele ya haki.... Mungu awalaze Mahalo Pema pepon Albert|Mezb......game bado inakudai #noorah nafkr kwa sasa inalipa Zaid maana malipo mengi ya takuja straight to ur hands..... #weloveibro #shytownbaby #zai #nani #vijimambo #hanitaki #mapenzisinema #ukurasawapili #tulianzishe #icecream #kaziraha #imbanami #hustler #tumefika #chambervernment
@bigchawa942
@bigchawa942 4 жыл бұрын
Aaa get blessed Daniel...life
@danielsama1576
@danielsama1576 4 жыл бұрын
@@bigchawa942 japo kitaa kinabana yeeaah kaza buti Wajinga kila siku wa naongea ongea uzushi Aaagh Chana nao ukiona uongo bora ushoot (ngwair) Ucjali bado nipo mbali nao hawanikuti hawajui tulipotoka wanatuskia tu kwa radio Hits baada hits japo tunaandikia studio Kwenye beat kama hili la Pancho (R.I.P) uuuuhhaaa ndo Playlist napita nayo kwa sasa Noorah ft Mangwair prod by Pancho Latino
@tumainifuraha199
@tumainifuraha199 4 жыл бұрын
Baba staz yooh daah bro mmoja hiv ambaye alkuwa mbele ya muda sana #G.O.A.T
@muniraahmed624
@muniraahmed624 4 жыл бұрын
SO SERIOUZ KWAKWEL I LVE IT
@atikombogolo2356
@atikombogolo2356 4 жыл бұрын
Msaanii msanii tuu dah..yaani hapo umeshachanganya mambo tayari
@fubanjenjele521
@fubanjenjele521 4 жыл бұрын
Ulikomtoa noora daaa mungu anakuona, Unanitega
@NelisonHenry
@NelisonHenry 11 ай бұрын
iko pw iyooo
@fatmafetty4117
@fatmafetty4117 4 жыл бұрын
Duh nimeshangaa San kumbe yupo dah hongera sna
@mohamedhamisi9766
@mohamedhamisi9766 2 жыл бұрын
Daah mwana chemba
@malakimoses6115
@malakimoses6115 4 жыл бұрын
smart and wise nigga nakukubali sana respect bro
@husseinomary4466
@husseinomary4466 4 жыл бұрын
Kweli chawa nimekukubar umenitafutia huyu mtu dah nilikua napenda Aina yamziki wake
@bigchawa942
@bigchawa942 4 жыл бұрын
✋ thanks
@jenipherkamugisha3706
@jenipherkamugisha3706 4 жыл бұрын
Daaa nilipenda miziki yake hatari
@tonyi6807
@tonyi6807 4 жыл бұрын
Nimeiona This is simba kwa mbaaliii
@Basagamp4
@Basagamp4 4 жыл бұрын
Nimependa hii
@deepconcept2020
@deepconcept2020 4 жыл бұрын
Original Talent. Much lov from alcapaino
@jamesmodesty2851
@jamesmodesty2851 4 жыл бұрын
Big chawa leo ndio nime sab scrib sababu unajali sana god bless you
@bigchawa942
@bigchawa942 4 жыл бұрын
AMEN
@tolekabungi3168
@tolekabungi3168 4 жыл бұрын
Huyu mchizi namkubali sana kitambo hiko hapa gwea huku Juma mchopang a.k.a J mo ilikua shida wakikutana jukwaa moja wapi Mchizi mox
@queenandchill91
@queenandchill91 4 жыл бұрын
Noorah umekuwa mdingi kinoma yaani...sema nyie ndo malegend wa Bongo flava mliipaisha sana...Nice to see you again bro✌🏽
@Uncle_Poul
@Uncle_Poul 3 жыл бұрын
jiran yangu
@TALLUBOY
@TALLUBOY 3 жыл бұрын
Umefanana na mzee Mengi
@barick
@barick 4 жыл бұрын
Napenda sana noorah aka baba!?OK napenda
@mongelimahene5384
@mongelimahene5384 4 жыл бұрын
Mkali Noorah, safi sana complex product
@nelsonnmwaipaja6980
@nelsonnmwaipaja6980 4 жыл бұрын
Baba styles be blessed bro ##
@officialt-starboy9343
@officialt-starboy9343 4 жыл бұрын
We jamaa unajua sana Nuraa rudi kwa game broo
@ubuntubantu2404
@ubuntubantu2404 Жыл бұрын
Kila lakheri Noorah, akili nyingi
@barnabasanga7552
@barnabasanga7552 3 жыл бұрын
Noorah kumbe umri umeenda
@jumabukko7283
@jumabukko7283 4 жыл бұрын
A very sincere interview.
@joycewijsman1014
@joycewijsman1014 4 жыл бұрын
Baba styles da jamaa mkali sana
@fredricjames774
@fredricjames774 4 жыл бұрын
Plz plz plz noorah mbn bado uko vzur kwenye game? Unakwama wapi brooooo????
@goodlucktemu3149
@goodlucktemu3149 4 жыл бұрын
team kaziii gusa like apa...
@nyamkamawanjara29
@nyamkamawanjara29 4 жыл бұрын
Dah,kakua noora jamani daa
@jobbup0lly700
@jobbup0lly700 4 жыл бұрын
Hoya Nurah ludi kwenye game groh
@mohamedimustafa6326
@mohamedimustafa6326 4 жыл бұрын
Miaka mia noorah
@mtembezikipara8623
@mtembezikipara8623 4 жыл бұрын
Mwana umepotea sana
@dach_addiction9557
@dach_addiction9557 4 жыл бұрын
Baba styles respect bro
@aminmohammed4249
@aminmohammed4249 4 жыл бұрын
Man! I like this😊
@mapoghamapogha4100
@mapoghamapogha4100 4 жыл бұрын
Jamaa amechana kinoma
@mussajacob8346
@mussajacob8346 4 жыл бұрын
Bg chawa mtafte kali p tujue yuko wapi
@newtonelly6019
@newtonelly6019 4 жыл бұрын
Alishafariki
@dennismrutu7824
@dennismrutu7824 3 жыл бұрын
@@newtonelly6019 😂😂😂
@mufasa2079
@mufasa2079 4 жыл бұрын
Heshima tu Noorah the King
@jasminetesha8225
@jasminetesha8225 4 жыл бұрын
Ice cream mbari sana broo
@elbarrey3305
@elbarrey3305 4 жыл бұрын
Nilimpenda sana adi watu waliniitaga noorah 🤔🤔🤔 Nnachompongeza na maaamuz yake ya kuacha kumuimbia sheitwan na kurud ktk ibad kwa ajil ya maisha yake ya baadae 😢😢
@fredypastoryutd4864
@fredypastoryutd4864 4 жыл бұрын
Ulisemaga hautakuja kunenepa wewe na mwanafa ila saiv mmh kweli usimtukane mamba. Hakuna mwembamba duniani. Umejengeka utadhan umekula ciment
@zindunadeson1675
@zindunadeson1675 4 жыл бұрын
Homeboi baba stars
@Ibramoref
@Ibramoref 4 жыл бұрын
Sema unapua kubwa bro.
@mtedewede22
@mtedewede22 4 жыл бұрын
Poor management hahahahaha hahahahaha kama rungu la kipepe
@madaisaide6971
@madaisaide6971 4 жыл бұрын
Noorah na kumbuka vujimambu
@khadjasalum8610
@khadjasalum8610 4 жыл бұрын
Jamani natamani zamani ijirenew tena
@joeboythefuture8135
@joeboythefuture8135 4 жыл бұрын
Nakubal
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema 4 жыл бұрын
Baba styleee
@mchovu4761
@mchovu4761 4 жыл бұрын
Nliskitika kuskia mez b alkufa yani waltoa dude kali
@richardmasenga2737
@richardmasenga2737 4 жыл бұрын
uyo mnyamwezi arudi ktk game uku wanazingua
@legawayz6093
@legawayz6093 4 жыл бұрын
Mzee wa vijimambo
@islamkarata9655
@islamkarata9655 4 жыл бұрын
Lugha gongana..
@khalifajuma5569
@khalifajuma5569 4 жыл бұрын
Nomaaaaaaa
@msafiribakari5941
@msafiribakari5941 4 жыл бұрын
Lugha gongana
@barakalunyungu8454
@barakalunyungu8454 4 жыл бұрын
Huyuu jamaa anajua kinoouma yn
@DonKhalifah
@DonKhalifah 4 жыл бұрын
Nakumbuka Lugha gongana
@ponsiankahesi3458
@ponsiankahesi3458 4 жыл бұрын
Norah amechangamuka sana
@directorjp5783
@directorjp5783 4 жыл бұрын
Mtangazaji unazingua!! Sijui una haraka za nini kweny kuuliza mtu hajamaliza swali umemkatisha !! Au memory ya camera ilikua inajaa!???? 🤣🤣😬😬😬
@geeva99
@geeva99 4 жыл бұрын
Mtangazaji anawenge Norah anajielewa sana ila credit kwa mtangazaji idea nzuri kufanya interview yakihenga
@lakimdiu2547
@lakimdiu2547 4 жыл бұрын
Uishi miaka mingi yeye baraka tele
@famitonawanda4831
@famitonawanda4831 4 жыл бұрын
Mbona pana kelele sana na hapanyeshi mvua
@asma2464
@asma2464 4 жыл бұрын
Mvua inanyesha hapo
@bahatidaddy1
@bahatidaddy1 4 жыл бұрын
Aisee, tupa hicho kimeo unachotumia kuangalizia
@asma2464
@asma2464 4 жыл бұрын
@@bahatidaddy1 hahahahaa. Anasema mvua hainyeshi? Hajasikia mpaka mwisho mazungumzo yao wanzungumzia mvua. Na ukitizama kabisa mvua inanyesha. Huyu jamaa vipi
@wazirisukari5178
@wazirisukari5178 4 жыл бұрын
Hahahaaa mvua inanyesha mzee
@Mamsocom
@Mamsocom 4 жыл бұрын
Namkubali sana
@richardkazungu9462
@richardkazungu9462 4 жыл бұрын
Misss u noooh
@batulemwamwaja6524
@batulemwamwaja6524 4 жыл бұрын
Big up Noorah
@abdillahkhalfan8186
@abdillahkhalfan8186 4 жыл бұрын
Hiiiiiiiiiiiiiiii ndie huyu🤣😂
@amosmaiko5523
@amosmaiko5523 4 жыл бұрын
Haaaaaa
@mrcaroucyempendaatashikaje4875
@mrcaroucyempendaatashikaje4875 4 жыл бұрын
Noma
@ngwaleseif8586
@ngwaleseif8586 4 жыл бұрын
Hii pua imekuaje😂
@salummohamed3199
@salummohamed3199 4 жыл бұрын
Jamaa hivi ule ugonjwa wa kusahau umemuisha
@allysaidi7761
@allysaidi7761 4 жыл бұрын
Mbn kama kafanana na Mzee mengi hyu jamaa vp ni Mzee wake ama?
@famitonawanda4831
@famitonawanda4831 4 жыл бұрын
Nakuunga mkono ni kweli kabisa ilikua nafikiria huyu kafanana nanani ila ndo umenistua, ni kweli na hiyo pua ndo balaa tupu
@H2025-y8g
@H2025-y8g 4 жыл бұрын
duu noma
@reginawitacha7921
@reginawitacha7921 4 жыл бұрын
Kabisa
@hancebookingpoint1875
@hancebookingpoint1875 4 жыл бұрын
Mzee wake anaitwa Ngarama aisee
@ramadhanikiwave5279
@ramadhanikiwave5279 3 жыл бұрын
mjomba ake
@francisnyaji5000
@francisnyaji5000 4 жыл бұрын
Dah kitambo
BIG CHAWA FT KALI P MAISHA YAKE MAPYA, HATAKI TENA MUZIKI
11:57
Who’s the Real Dad Doll Squid? Can You Guess in 60 Seconds? | Roblox 3D
00:34
Elza love to eat chiken🍗⚡ #dog #pets
00:17
ElzaDog
Рет қаралды 9 МЛН
龟兔赛跑:好可爱的小乌龟#short #angel #clown
01:00
Super Beauty team
Рет қаралды 76 МЛН
BIG CHAWA FT JENERALI ULIMWENGU
23:34
BIG CHAWA
Рет қаралды 17 М.
BIG CHAWA FT KING CRAZY GK
12:07
BIG CHAWA
Рет қаралды 49 М.
"UJUE UKWELI" WA NCHI. ANGALIA MPAKA MWISHO James 6
1:41
James Sitta
Рет қаралды 10 М.
BIG CHAWA FT SINTA, JUMA NATURE HUYU HAPA
6:05
BIG CHAWA
Рет қаралды 77 М.
Who’s the Real Dad Doll Squid? Can You Guess in 60 Seconds? | Roblox 3D
00:34