Nampenda sana mwalimu Ndacha, anajua bibilia sana ila tu yuko kwa ndini wala sio kanisa la Mungu. SDA si kanisa la Mungu bali ni ndini kama singinezo. Hawa ndiyo mafarisayo ambao Kristo alisema juu yao. Wanajua sheria ni ya sabbath na hawaitimishi. Hawa jui ushuunda wa Kristo ni neno lake kutoka Mathayo handi Ufunuo, ndiyo unaona hawatii hata mafundisho ya Paul.
@maxjofrey702 жыл бұрын
Mwalimu ndacha umenifanya niwe proud sana nauwa na tumia mafundisho aya kuwaubiliaga wengine Asante sana mwalimu naomba Kama upo na group lamafundisho zaidi naomba unijumuishe katika mafundisho nami naitaji nihifaham Bible zaidi naomba nisaidie mwalimu .
@biblianabibliapekee81135 жыл бұрын
Roho yule aliyemuongoza mtume paul sasa yupo kwa paster ndachaaaaaa i love that preach
@richardmakweba22925 жыл бұрын
Huyu pastor mungu amuongezee maisha na hekima maana anamtumia kwa kaz yake
@issackabdi70015 жыл бұрын
He is preaching false...
@issackabdi70015 жыл бұрын
First christian to preach jesus mother is not marry ....maajabu duniani
@issackabdi70015 жыл бұрын
Matayo 24.24
@euniceeunice76804 жыл бұрын
@@issackabdi7001 lzm ujue kutofautisha kati ya mwili wa Yesu na roho ya Yesu .....Maria alizaa. Mwili elewa apo lkn Yesu alikuwepo kbl dunia kuumbwa soma yohana 1.....uyo neno alie kua Mungu na akaishi mbinguni na akaja duniani akafanyika mwili na akakaa kwetu .soma ufunuo wa yohana....na Yesu alisemaibrahim ajakuwako yy yuko so soma uelewe maandiko
@amanicarlumehabel75754 жыл бұрын
Hallelujah!!!! This man of God is Elisha of our Time,,,,Peleka injili wote wamjuwe Yesu....God needs men who cannot be bought by silver,,,,Najua waislamu wanang'ang'ana kukununua shikilia Imani Mtumishi
@moseskayan37056 жыл бұрын
Mwalimu kameza bible yote iko kichwani.God bless you mwalimu
@maulidkhamis94466 жыл бұрын
Moses Kayan mwambieni akusomeeni Ezekiel 4:9 kama yeye ni mkweli utajua kama ameshakulisha mavi kwamaana ya ule mkate unaokula kule kanisani(mashonde)
@charoharry70386 жыл бұрын
@@maulidkhamis9446 uwongo
@maulidkhamis94466 жыл бұрын
Charo Harry uongo nini huiamini injili wakati kila neno lenye pumzi ya mungu lafaa kufundisha,aidha waliofaili injili wameongozwa na Roho mtakatifu au sio ,sasa broo ebu soma injili upte kuelewa ,ukristo maana yake ni mpakwa mafuta,au mfalme,hilo ni jina LA kupanga walioitwa na wapagani ,
@maulidkhamis94466 жыл бұрын
Moses Kayan soma injili kwa manufaa yako usije kchomwa Mungu hawezi kuomba wala kuabudu,tumieni akili soma ,Ufunuo 1:1 inasema Ufunuo wa Yesu Christ aliopewa na Mungu ....,utajua kua yupo Yesu na Mungu na huo Ufunuo Yesu alipewa na Mungu kwa hio Yesu sio Mungu
@1bosscow25 жыл бұрын
@@maulidkhamis9446 this is why it is hard to join Islam. Matusi tu. If you'd teach politely, may be you'd have made some cross over to your isle.
@paulothoo5 жыл бұрын
Bro. Ndacha anawasaidia wakristo nawaislamu kuelewa dini kwa njia ya ukweli.Mungu akuzidishie maarifa na nguvu mtumishi.
@furahinimbise18045 жыл бұрын
Naomba umkaribishe Mazinge kwenye mdahalo, na umbatize aje kwa Yesu
@johnkilimo95204 жыл бұрын
Furahini Mbise atakimbia mazinge wao hawa jamaa ni shida asee
@Mazinge-ze8ym4 жыл бұрын
Mazinge hawezi
@amanicarlumehabel75754 жыл бұрын
Ndacha Jembe Lao,,,Elisha of our time....Mazinge,,,,Hapa asithubutu....
@alexsambu2369 Жыл бұрын
Kabisa
@joackimmutulu Жыл бұрын
This man ndacha is very knowledgeable
@youngthug6045 жыл бұрын
Napenda maubili yako nazan niwakat wangu wa kuhokoka
@sarahwanjala66015 жыл бұрын
Hata mimi pia nampenda sana nilikuwa sijui lakini kwa sasa nimejuwa nitafata amuri za Mungu
@donaldmwahalende48415 жыл бұрын
Barikiwa tunza amr ndugu
@euniceeunice76804 жыл бұрын
Ndacha unaokoa wengi mnoo Mungu wa mbinguni akubariki apa ndo naamini bible maana Yesu alisema watatokea manabii wa uongo watadanganya watu na watatokea manabii wa ukweli kuokoa watu ...sasa we ndo yule wa ukweli Yesu akuweke sana baba wamejitaidi kupinga mpaka police waislam walikuletea lkn bado unasonga mbele tembeza injili baba ili neno lake litimie maana alisema injili itaubiriwa ulimwengu kote baba nakupata apa nikiwa UK....
@eliyakyaolang85045 жыл бұрын
asante sana kutupa neno la MUNGU kwakuwajibu wenye mashaka
@benfordnyabuti13184 жыл бұрын
Ndacha waeleze
@mainahuhu90274 жыл бұрын
Mhubiri dacha God bless you.
@frankmgendi89856 жыл бұрын
nampendaa mnoo uyu mwalimu majib akee ikoo stleight of the point kama kuna mwenyee no ake anisaidiee
@johngikiru54002 ай бұрын
Ulipata,?
@isaacnyongesa7586 Жыл бұрын
Ndacha is filled by the spirit of God.......May he reach the whole world.
@erastusmwanyule16564 жыл бұрын
Mungu akubariki sana Ndacha kwa ufunuo ulioko ndani yako,waneno LA Mungu.
@samuelmutava7822 жыл бұрын
Hapa nakataa na hili neno la mtumishi ....pia kabisa izi zingine siku ya sabato zinatimiza ...kwa sababu wanafanyaa kazi siku sita na siku ya Saba wanaenda wanaenda kumwabudu mungu...kwa bibilia akuna pahali pameandikwa siku ya kwanza ilikua jumapili ama jumatatu ....akuna mtu ajuae siku ya kwanza ilikua ni gani ....
@BIBLIANURUYADUNIA2 жыл бұрын
Na ukipata?
@gidombawala31114 жыл бұрын
Nashukuru sana kwa mafunuo hayo. Mungu adhidi kubariki na waislamu karibu katika ufunuo 14:12.
@shafiihssan7383 жыл бұрын
wonderful pastor,the ndacha kiboko ya uislamu
@bakariomari3692 Жыл бұрын
Atapata tabu sana na waislamu huyo ndacha wenu
@bakariomari3692 Жыл бұрын
Hao wafuasi hata hawaulizi maswali ya maana
@godisgreat18454 жыл бұрын
Kristo Mungu halafu mwana wa Mungu naona unajichanganya kujibu maana uongo hakuna kificho Sasa huyu kristo kama yeye ndie Mungu mkuu Nani alimwambia Marian utazaa mwana nae itamwita kristo kwa nini asiwaambie Mariam utanizaa na utaniita kristo
@robenmassawe41253 жыл бұрын
Karibu tanzania
@denisngetich107010 ай бұрын
Asande pastor kwa kazi yako ya kupeana ujumpe wa kweli may God bless you 🙏
@pantaleomchomvu2472 жыл бұрын
Mungu akubaliki ndacha wape mafunzo hao waislaim wamwamin yesu
@dennispangu34772 жыл бұрын
Mmmmh kristo sio mungu bhana hapa tumepigwa
@ngumomessanger57124 жыл бұрын
Badala ya kuhubiri yesu ni mabishano Kati ya makanisa. Kanisa ni mtu mwenyewe na Kristo ni bwana wa sabatto. Everyday is Sabbath.
@ericosoro76174 жыл бұрын
Hiyo ni akili zako toa andiko kila siku ni sabato
@daud87853 жыл бұрын
Waislam hawawezi kukuelewa kwa Bwana Yesu asifiwe hazitawatoa huko waliko waujue ukweli.
@erastomasaba41543 жыл бұрын
Toa andiko linalosema kila siku ni sabato
@isaiahstadius23834 жыл бұрын
Safi sana ,pastor naona hapo kuna vitabu nawezaje kuvipata vitabu vyako.
@josmovertv48132 жыл бұрын
Hapo ndipo HABARI ndio hiyo👏👏👏👏👏👏
@furahakonde62595 жыл бұрын
Asante iyo injili kweli nakufata sawasawa Niko us
@RAZALOCHUMA4 ай бұрын
Barikiwa pastwr
@danielmahela24364 жыл бұрын
Upendo ndio sheria yote ukimpenda mungu kwako kila siku Ni sabatho sio mpaka ifike siku hiyo.
@erastomasaba41544 жыл бұрын
Toa andiko
@sabbatariantv82344 жыл бұрын
Fungu
@sabbatariantv82344 жыл бұрын
Toa Fungu
@josephkendeiya20106 жыл бұрын
Wooow am at a point of attending the right church that is Sabbath and being baptized
@BIBLIANURUYADUNIA6 жыл бұрын
Welcome brother at our home SDA .
@samuelmussa48096 жыл бұрын
joseph Kendeiya you are welcome brother njoo ujifunze biblia taa ya miguu watu wanapotea wanaimba asubuhu hadi jioni nakukaa gizani karibu sana.
@abdirazaqgedi19126 жыл бұрын
Nikupotea unazidi kupotea
@edwinkiptum52025 жыл бұрын
Aman bro ua eyes will open to see well
@danielfesto99665 жыл бұрын
joseph Kendeiya welcome on the church of god
@godisgreat18454 жыл бұрын
Yessu aluwaambia umsujudie Mungu wako wakristo lini mlimsujudia Mungu
@sabbatariantv82344 жыл бұрын
Tumia mafungu
@aliabdallah84563 жыл бұрын
Hilo la kumsujudia Mungu kama Yesu alivyosema hawalitaki kazi nikuimba tu
@davidwainaina38992 жыл бұрын
Pastor ndacha Asante sana, God bless you brother and your family, I love you very much Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen 🙏❤️
@erickbyamungu973 Жыл бұрын
Ndacha wewe ni mwalimu kbs ❤❤
@kenidaki89424 жыл бұрын
Wonderful.can I have mwalimu wakikristo please
@samuelmuiruri44056 жыл бұрын
Tupe neno kabisa ....napenda kukusikiza sana.
@maulidkhamis94466 жыл бұрын
Samuel Muiruri soma ufunuo 1:1utajua Yesu sio Mungu
@nyatugaokinyi33515 жыл бұрын
Mtakufa katika dhambi zenu kama hamwamini yesu ndiye John 8:24
@mombasa00762 жыл бұрын
YESU SIO MUNGU. WAKRISTO SOMENI MSIKUBALI KUDANGANYWA HAWA AKINA NDACHA WSNATETEA IMANI YAO KUTOKANA NA KUWA HAWANA ELIMU YA KUTOSHA....... NI WATU WA PROPAGANDA TU
@jonahmburu97384 жыл бұрын
Barikiwa dacha
@edwinchweya34365 жыл бұрын
Waislam kweli huyu Kaka anawapea dose ya kutosha.Yale machungu wanaropokwa hapa ni dhihirisho tosha,msichali kaka na dada zangu,ukweli kawaida huuma.
@IdrissaAbd6 ай бұрын
😅😅kwaio yesu mama yake sio mariamu😊😊
@lisagrace43172 жыл бұрын
May Almighty Lord bless you for your good teachings of the true gospel
@mosesmungai39866 жыл бұрын
God bless you mtumishi. Tunakuombea zaidi
@damsonmywanga44055 жыл бұрын
Tangaza tena, Usiogope, sema imeandikwa katika Biblia, injili inaenda popote pale Duniani.
@pantaleomchomvu2472 жыл бұрын
Yesu ndiye njia ya ukweli na uzima
@joshuantongai6418 Жыл бұрын
Mwalimu ndancha karibu Meru bana
@maxwellokeyo98314 жыл бұрын
Very wonderful. I like this discussion so much may God bless you so much pastor Ndacha
@jamarilee51623 жыл бұрын
instablaster...
@chachamwita83506 жыл бұрын
Mwalimu Mungu azidi kukulinda na kuokoa wengi na kujua iliyo kweli
@minaminaa16696 жыл бұрын
mwalimu mrongo uyo 😕
@thetruewordt.v65253 жыл бұрын
Hapo mwalimu Ndacha kwa sabato umendanganya kabisaa!!
@peternduati8877 Жыл бұрын
Anafaa aseme aje nisaidie juu naona kama anasema ukweli?
@abcdg19954 жыл бұрын
Please Teacher Francis Ndasha pray for me to follow your path. .. kindly am lost guys
@amanicarlumehabel75754 жыл бұрын
Why lost?
@emjey2842 жыл бұрын
Wewe dacha Sina doubt naww.uko straight sana mungu amekupea ufunuo mkubwa sana
@gilbertkakokyogilbert15177 ай бұрын
Sama hani mina uliza chee mkutano ile ya kenya yawa islam wa tanzania vipi, Mimi nimu congomani🇨🇩
@BabaAzariYah11 ай бұрын
I love the knowledge of Dacha ..my only problem with him is following Ellen G the white colonizer's religions..we were in slavery when SDA was made..
@mosesmwasanga46976 жыл бұрын
Aisee!! Safi Sana, Tena Sana!!
@mombasa00762 жыл бұрын
Watu kama ndacha walikuwepo tangu enzi za mitume wakipinga UKWELI. Si ajabu wakati wa sasa kutokea hayo. HATA YESU WALIMPINGA NA KUMTESA. SI AJABU NDACHA NA WENGINE KUSIMAMA KUTETEA HOJA ZISIZO NA MSINGI BALI NI UPOTOSHAJI. KILA MTU AMEPEWA AKILI APIME MWENYEWE UKWELI UPO WAPI. DINI YA HAKI NI UISLAM
@benardmbaga5193 Жыл бұрын
Mengi ya mafundisho yako ni mazuri Lakini kwa habari za sheria Havana Sheria imekuja na musa Kabla musa Hapana sheria Na Ujion wa kristo ni utimilifu wa sheria Na hatuko tena Chini ya sharia
@sabbatariantv82344 жыл бұрын
Wakolosai 2:16 ningependa kuongezea yakuwa hilo fungu watu wanalitafsiri vibaya kabisa lakini lilikuwa na maana yakuwa Mungu alipola mamlaka ya wanadamu kuhukumu wanadamu wenzao juu ya vyakula, sabato na kadharika kwa sababu kabla yakuja yesu wanadamu kwa wanadamu walikuwa wakihukumiana pale mtu anapo vunja sheria za MUNGU wakati mwanadamu yoyote ni dhaifu ko mamlaka yalichukuliwa na Mungu mwenyewe na yeye ndiye mhukumu na sio mwanadamu tena
@reaganbaba4vees5524 жыл бұрын
kama matendo yote aliyoyafanya au maneno yote aliyoyasema Yesu yangaliandikwa katika Bibilia hata ulimwengu haungetoshea, ila haya yameandikwa ili mpate kusadiki.
@oscaromolo63882 жыл бұрын
All sabaths belongs to the lord.
@godfreyfrancis84794 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi
@godfreymsuyawaukweli46476 жыл бұрын
nakuelewa sana mwalimu
@abcdg19954 жыл бұрын
Iam a new subscribe here. .This guy has talked so much But I feel like we need to have so much of him. He so humbly and understand what he does in life What a lovely Teacher Francis Ndasha MAY GOD Almighty CONTINUE to cover you under his umbrella You never know who you are inspiring Nothing comes easy in life guys NO success without hardworking No human ix limited Greetings from Santa Monica California American people never learn till they drop dead No gains without pain. .. A candle can not lose it's light by lightening other candles if you are born with a silver spoon it's so easy to judge
@godisgreat18454 жыл бұрын
Toa ndiko Yessu amejenga kanisa
@mombasa00762 жыл бұрын
Kwani mtu anaposema EWE BABA MUNGU WANGU NISAMEHE DHAMBI ZANGU. ndio ataitwa mtoto wa mungu ? MAMBO MENGINE NI UJINGA TU. MUNGU HANA MTOTO. BINAADAMU WOTE WAMEUMBWA NA MUNGU LAKINI SI WATOTO WA MUNGU. MUNGU NI MMOJA TU. HANA MTOTO HAKUZAA HAKUZALIWA. HANA MFANO WA KITU CHOCHOTE Wanao sema mungu ana mtoto adhabu inawasubiri
@wycliffea.okwaro83523 жыл бұрын
mafundisho mazuri sana
@aidarusabubakar57766 жыл бұрын
Mara yesu nabii mara ni mungu aki ww wadanganya watu na unajijua
@maulidkhamis94466 жыл бұрын
Aidarus Abubakar broo wasomee ufunuo 1-1inasema ufunuo wa Yesu Christ aliopewa na Mungu awasomee aya zake..... sasa kama Yesu Mungu huo ufunuo amepewa na Mungu gani?
@maulidkhamis94466 жыл бұрын
Aidarus Abubakar broo aidarus wasomee Ezekiel 4-9 waambie waache kulishwa mavi ya wazungu yaani wanakula mavi wanaambiwa mkate kutoka ktk mashonde yatokayo ktk mwili wa mwanadamu .mashonde ni mavi soma maneno magumu ya bibilia ,na hio pia hawaoniiii ,na ndio maana hawa Mara Yesu MTU Mara Mungu Mara mwana Mara kondoo wawe na msimamo
@maulidkhamis94466 жыл бұрын
Aidarus Abubakar broo bibilia ni uongo kibao ebu kama kuna mkristo anamjua baba yake Mariam mama yake Yesu yaani babu yake Yesu bibilia haijui na makafiri hawajui lakini cc waislamu tunajua kila kitu
@aidarusabubakar57766 жыл бұрын
Nakufahamu Broo..Huyu ndacha mwanzo mrongo mrongo
@danielfesto99665 жыл бұрын
Aidarus Abubakar mnachanganyikiwa nyie msiotaka kuijua kweli maana hamkuitaka ile kweli bali uongo ili mpate kujifurahisha kwa udhalimu sasa kuwa tayari kuutafuta ukweli bila kutanguliza dini yako
@dannyosolo27524 жыл бұрын
Barikiwa sana
@wycliffea.okwaro83523 жыл бұрын
nduku ako sawa lakini alijanginyikiwa kwa kukosa kujua maneno ya Mungu vizuri
@Jkipsa3 жыл бұрын
This man of God Francis Ndacha is a blessed man.
@estonmnthali37196 жыл бұрын
yes i like Bible king James version
@jumajaffary96984 жыл бұрын
Yohana 2 4 Yesu akamwambia mama, tuna nini mimi nawe? Saa yangu haijawadia. .. Yesu kamwita Maryam mama... Ndacha wacha uongo
@ramzanqarim49774 жыл бұрын
Ndacha anapoteza watu wake kwa tasfiri za kijanja na wanacheka tu.maana amekimbia Ile ya kiswahili akafuata ya kiingereza
@kiokomercie42394 жыл бұрын
Read both English and Swahili version and relate them
@daud87853 жыл бұрын
Lazima usome biblia zote , sio unakomaa na bibili moja.
@sabbatariantv82344 жыл бұрын
Ndugu kila siku kunamtu ananisumbua kuhusu wagalatia 4:10 mnashika siku ,miezi na miaka
@sabbatariantv82344 жыл бұрын
Naomba unisaidie kulifafanua hili fungu maana biblia huwa inajitafsiri yenyewe sasa kunawatu wanaforce itafsiri wanavyo taka
@Maya_arsenal2 жыл бұрын
Injili iendelee
@Alichadeh5 жыл бұрын
Bwana Ndacha, Hii Video ina mafundisho mazuri sana ila tu haikuweza kumalizika. Kuna uwezekano unaweza ku upload video mzima ili iweze kuwa barak kwetu? Asant
@BensonKarimi-h6i Жыл бұрын
GOD bless you ndacha
@abcdg19954 жыл бұрын
Praise God Brethrens Greetings Teacher Francis Ndasha keep grinding brother worth it
@markmwau83875 жыл бұрын
Quoting from "Genesis 3:19">>> death means separation of body and spirit. when Adam sinned he separated from God's presence and providence.
@izoomwenyewe15473 жыл бұрын
Almighty God is so clear in His word. May God bless you Ndasha and your team.
@samminyori78146 жыл бұрын
Wonderful pastor. Where can I get those full teachings online??
@biblianabibliapekee81135 жыл бұрын
AMen pasta ndacho
@peterdaiman58133 жыл бұрын
Madhehebu mawili sio kanisa mbili the church of Christ is invisible
@junicnamuwenge69572 жыл бұрын
Amina Amina 👏🙌🙌👏👏😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣💃💃💃🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦
@chancelinechuchu73335 жыл бұрын
neno ndio uzima wamilele barikiw mcungaji mungu atakulipo
@jamilshisia59295 жыл бұрын
Yesu siku atarudi atamutoa mbiyo kwa hizo makanisa zenu zenye hazina mwelekeo, example upande gari alafu uone dere anaendesha gari pia akimwangalia, hiyo gari iyaelekea wapi? Hivo ndio mnafanya
@johnsonoyugi17735 жыл бұрын
God bless you brother Ndacha
@alexzandaevaristi58426 жыл бұрын
Wape upon vzr
@janenjenga56395 жыл бұрын
Kwa mungu kuna raha
@timamomuileva107 Жыл бұрын
I lov mazingue
@abcdg19954 жыл бұрын
I feel blessed beyond human understanding to be a part of this channel Teacher Francis Ndasha. .Thanks for uploading this Episode Iam also following from Diaspora
@makenzigarage25573 жыл бұрын
Hello
@abcdg19953 жыл бұрын
@@makenzigarage2557 Yes my sweetheart Welcome again Mr handsome soul TnQ buddy for your speed feed back reply
@peternduati8877 Жыл бұрын
Wonderful teachings be blessed man of God 🙏
@bigmanfish6346 Жыл бұрын
Jiongo kweli
@CharlesOgendo5 ай бұрын
Je Michael Ni maraika ama Ni yesu
@emyemy22293 жыл бұрын
Ndacha be bless you my pastor
@moseskayan37056 жыл бұрын
Kuna raha kuijua bibilia
@maulidkhamis94466 жыл бұрын
Moses Kayan ni kweli ungelijua bibilia usingelikua kafiri Yuda 4-1 soma hio utajua kua kafiri ni nani
@moseskayan37056 жыл бұрын
Maulid Khamis sasa were mcristo ama muhislamu? Coz kama were muisilamu kaa mbali nami kaabudu majini huko
@maulidkhamis94466 жыл бұрын
Moses Kayan Mimi ni muislamu ila nakusihi soma bibilia uifahamu sio kubishana
@maulidkhamis94466 жыл бұрын
ndio nimetumwa kazi asubuhi inatakiwa
@lucymwega7846 жыл бұрын
@@maulidkhamis9446 Yesu ndiye uzima wa milele
@issackabdi70013 жыл бұрын
Mwanamke nabii😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@lilianakombe99073 жыл бұрын
Unacheka kwa nini
@mfaumemfaume12466 жыл бұрын
Bibilia ziko tofauti duh
@priscafuime40315 жыл бұрын
Mfaume Mfaume utajueje akati upo kwa jabari Na mhamadi
@amadeuskimey55216 жыл бұрын
yani wakristo motoni hamuezi kwenda daah hadi rahaaa
@choba71016 жыл бұрын
Amadeus kimey Soma kwanza ndugu
@geoffreyoridhi873 жыл бұрын
Ndacha nakuheshimu sana lakini jua san a kwamba uwezi simama na Owuor hata dakika moja distance btwn you and him ni kubwa sana cheza na harika yako wesilamu
@sabbatariantv82344 жыл бұрын
Amina
@nyatugaokinyi33515 жыл бұрын
This is the gospel let people choose hell or salvation
@faithfultoyeshua45762 жыл бұрын
Wenye walikuwa wanawahukumu ni Corinthians greek people na walikuwa na sheria zao na dini zao ..romans ruled kuangalia map inasidia pamoja na historia Na kutahiri haikutoka kwa musa .ilitoka kwa Abraham
@godisgreat18454 жыл бұрын
Huyo kijana anakusabanisha ukatae biblia
@davisrotich1166 жыл бұрын
Amen
@man.uarsenalmanchestercity65634 жыл бұрын
I never knew mary is not the mother of jesus 🤔
@thegospelmessage50394 жыл бұрын
mary was the mother of jesus in humanity.but divinity has no beginning
@gordfreysangawe75354 жыл бұрын
Nipo Tz napataje kitabu cha maubiri yako Mchungaj???