Asante baba askofu shoo endelea kupigania taifa letu
@odoieriasmonga659110 ай бұрын
Baba Askofu umeongea vizuri sana
@evancemosha786210 ай бұрын
Safi sana askofu
@LucianSanga-q8j10 ай бұрын
Viongoziwa Dini ndio Taa ya UliMwengu Kama mki nyamaza tuka ingia Gizani Magumu yetu yata kua juuyenu naWatoto wenu Amina
@abdalahgunda131910 ай бұрын
Will continue voice as the Tanzania citizens because we safer in Africa sametime corse by system of rooling national by family abd freind family cares on they national not use costuetion only pokice force this it creat drive Africa economy backwards
@ramadhanmahongole929310 ай бұрын
Hao ni wabunge ambao ni wawakilishi wa ccm na serikali wala hawawkilishi wananchi
@rebekakulwa615910 ай бұрын
Mbwa Mmoja anakashifu tunaomba likakojoe lilale limelewa gongo la mavi
@hajihassan543310 ай бұрын
Mimi nashauri tutafute nchi ambayo Katiba yao ipo vizuri tuchukuwe kopi tutowe yasiyotuhusu na tuweke yetu tupate Katiba nzuri. Maoni na mijadala haitaisha kwa sababu hata hayo yaliyopo na kuendelea ni maoni ya wengine. Shida ya Tanzania hatutaki kufuata na kuheshimu Katiba, hivyo tunashida ya UKATIBA na sio tu Katiba.
@ezekielrutendeli132510 ай бұрын
Mimi bado nina wasiwasi kama maoni hayo yatazingatiwa.
Kwani wachaga sio wananchi, nilijua ccm hamtaipenda hii
@Kwelihukuwekahuru10 ай бұрын
emanuel unatafuta laana una uhakika kuwa kila aitwaye askofu anaunga mkono ushoga tumia busara itakusaidia tumia ujinga uangamie usipotubu yatakukuta magumu
@emmanuelmlowe-ew7gx10 ай бұрын
@@Kwelihukuwekahuru ingia Google andika kesi za viongozi wa dini kuhusu ubakaji na ulawiti ushamgae sy kwamba tunaongea tuu,
@mwl.frankmadembo747210 ай бұрын
Askofu hajibiwi hivyo. Usijitafutie laana gharama yke ni kubwa kuliko haya unayoandika hapa
@emmanuelmlowe-ew7gx10 ай бұрын
@@mwl.frankmadembo7472 INGIA GOOGLE ANDIKA KESI za viongozi wa dini kuhusu ubakaji na ulawiti ushangae
@emmanuelmlowe-ew7gx10 ай бұрын
Ulawiti wawatoto na ubakaji mnaoufanya viongozi wa kanisa katoliki hamuongei mnaongea siasa
@gabrielmahala984810 ай бұрын
Kwani huyo ni wa kanisa katoliki au imekuuma kwa kuwa ameongea ukweli
@emmanuelmlowe-ew7gx10 ай бұрын
@@gabrielmahala9848 huwezi kunyesha kweli wakati wanatuficha ukweli wa makanisani .mafirahuni hao.wanapandishana vyeo kwa kuwakusanya nawakubwa.hzjiuliti kuisimamisha Uume ndounaweza somea upadre kwann usimamishe.wanalawit watoto makanisani harafu wanajifanya wakweli wakweli gani mashoga hao?
@ErnestMshana-q6x10 ай бұрын
Ongea kitu ambacho unauhakika wewe hukumuyako nihapahapa
@emmanuelmlowe-ew7gx10 ай бұрын
@@ErnestMshana-q6x hujawahi kusikia tuhuma za ulawiti au kubaka viongozi wa dini? Kulawiti nikufiraIngia gugo andika kesi za viongozi wa dini kubaka na kulawiti utaona ushangae
@bwanaemmanuel182110 ай бұрын
why always you??? unawataftia wachaga Urais??? Jitahidi kuhubiri watu waache dhambi,,,, acha siasa kwa wanasiasa