🔴BILA UOGA MBOWE AMCHANA RAIS SAMIA ACHA KUTUMIA USALAMA WA TAIFA KUTEKA WATU ,"HIZI SIO DRAMA MADAM

  Рет қаралды 164,579

Chief Marcel TV

Chief Marcel TV

Күн бұрын

#CTM24tv #CTM24NEWSHUB #SIASA #news
#urronaldo
Endelea kusubscribe🔔
⚫▶️ Kwa Taarifa nyingi zaidi MICHEZO BURUDANI habari na madrama kibao
For any copyright issue contact us ✉️ SUPPORT (chiefmarcel1@gmail.com
▶️⚫ #CHIEFMARCELTV / @ctm.24updates
#CTM24Updates
• WATU 11 WALIVYOFARIKI ...
#rema
#Fireboy
#wizikid
#burnboy
#Ayrastarr
#jux
#caf
#TFF
#mpejatv
#Abbasitarimba
#Chama
#feitoto
#AzamTv
#millardayo
#millardayoupdates
#chiefmarceltv
#middlesimba
#Seeyouatthetop
#bbc #richsports
#mpenjatv #yangatv
#kenyagossip
#sns
#simulizinasauti
#bongo5
#bongotouch
#carrymastory
#betltv #M15TV
#pyramids
#Azizki
#salimkikeke #Bbc
#Alijazeeraupdets
#eastafrictrends
#westtrends
#southafrica
#kizdaniel
#calmdownchallenge
#Diamondplutnumz
#kondeboy
#harmonize
#wasafimedia
#clouds
#Datazone #pacome
#mamelodsundownVsYanga
#Fifa
#engheris
#Yangsc
#Azizki
#manara
#hajimara
#manara
#manaratv
#caf
#mamelodsundown
#feitoto
#mayele
#Yangasc
#Sportpesa
#Mbet
#Azamfc
#Alikamwe
#Hajimanara
#LingiyamabingwaAfrica
#Tff
#CafChampionship
#Yangatv
#Leshatv
#Africa
#Africa
#Alikamwe
#Yangatv
#Tff
#YangaSc
#Yanga
#bbcswahilileo
#middlesimba
#ligikuu
#SimbaSc
#SimbasportsClub
#tetesizausajiri
#kibudenice
#bm3
#shomalikapombe
#boko
#usajili
#kochagamondi
#yangatv
#YangaSc
#simulizinasauti
#Yanga
#Gharibumzinga
#Azamtv
#matukiolive
#michezoupdates
#goviralvideo
#popuralviedo
#simba
#simbatv
#Eastafricaradio
#Tanzaniagossips
#millardayo
#Ayotv
#shetaniwayanga
#juuakalileo
#feitoto
#Afizikonkoni
#kibudenice
#Asas
#sns
#simulizinasauti
#stevemweusi
#tiktokchallenge
#LeshaTv
#pacome
#hafzikonkon
#skudu
#Yangaday
#Azizk
#godyanga
#Azamfc
#mashujaa
#ligiyamabingwa
#ligikuu
#burudani
#crownfm
#Leshtv
#crownmedia
#cloudsmediagroup
#wasafitv
#Wcb
#Kingmusic
#bongo5
#richmedia
#kochagamondi
#Yanga
#Simba
#Simbsc
#AhmedyAlly
#Alikamwe
#gorgeambangile
#bongoplanet
#Eastafricaredio
#mwijaku
#babalevo
#liliomytv
#Crownmediasports
#crownmedia
#Cloudstv
#Globaltv
#Samisagotv
#bongotouch
#Zamaraditv
#Hajismanara
#manara
#manaratv
#Leshatv
#simonmsuva
#mavalatv
#richsports
#msuva
#feitoto
#kibu
#msonda
#usajili
#mzeewajambia
#Enghersi
#mzeewautopolo
#gsm
#mayele
#Mzinze
#michezo
#kipengaextra
#enghersi
#mayele
#yangatv
#mayele
#Enghers
#Djuma
#bangala
#aishmanula
#digjdiara
#Simbasports
#simbaTv
#AhmedyAlly
#Alikamwe
#sajiliSimbanaYanga
#maxnzegeli
#Alikamwe
#Yanga
#TetesiZaUsajili
⚫▶️ Endelea kusubscribe🔔☑️ Kwa Taarifa nyingi zaidi MICHEZO BURUDANI habari na madrama kibao
For any copyright issue contact us ✉️ SUPPORT (leshaonlinetv@gmail.com)
#CHIEFMARCELTV / @ctm.24updates
#CTM24Updates
• WATU 11 WALIVYOFARIKI ...
#rema
#Fireboy
#wizikid
#burnboy
#Ayrastarr
#jux
#caf
#TFF
#mpejatv
#Abbasitarimba
#Chama
#feitoto
#AzamTv
#millardayo
#millardayoupdates
#chiefmarceltv
#middlesimba
#Seeyouatthetop
#bbc
#kenyagossip
#sns
#simulizinasauti
#bongo5
#bongotouch
#carrymastory
#betltv
#M15TV
#pyramids
#Azizki
#salimkikeke
#Bbc
#Alijazeeraupdets
#eastafrictrends
#westtrends
#southafrica
#kizdaniel
#calmdownchallenge
#Diamondplutnumz
#kondeboy
#harmonize
#wasafimedia
#clouds
#Datazone #pacome
#mamelodsundownVsYanga
#Fifa
#engheris
#Yangsc
#Azizki
#manara
#hajimara
#manara
#manaratv
#caf
#mamelodsundown
#feitoto
#mayele
#Yangasc
#Sportpesa
#Mbet
#Azamfc
#Alikamwe
#Hajimanara
#LingiyamabingwaAfrica
#Tff
#CafChampionship
#Yangatv
#Leshatv
#Africa
#Africa
#Alikamwe
#Yangatv
#Tff
#YangaSc
#Yanga
#bbcswahilileo
#ligikuu
#SimbaSc
#SimbasportsClub
#tetesizausajiri
#kibudenice
#bm3
#shomarikapombe
#boko
#usajili
#kochagamondi
#yangatv
#YangaSc
#makabililepo
#Leshatv
#Yanga
#Gharibumzinga
#Azamtv
#matukiolive
#michezoupdates
#goviralvideo
#popuralviedo
#simba
#simbatv
#Eastafricastories
#kenyagossips
#Tanzaniagossips
#millardayo
#Ayotv
#Feitoto
#mzeewautopolo
#feitoto
#Afizikonkoni
#kibudenice
#Asas
#sNs
#simulizinasauti
#stevemweusi
#cramvevo
#tiktokchallenge
#LeshaTv
#pacome
#hafzikonkon
#skudu
#Yanga
#Azizk
#godyanga
#Azamfc
#mashujaa
#ligiyamabingwa
#ligikui
#burudani
#crownfm
#Leshtv
#crownmedia
#cloudsmediagroup
#wasafitv
#Wcb
#Kingmusic
#bongo5
#richmedia
#kochagamondi
#Yanga
#Simba
#Simbsc
#AhmedyAlly
#Alikamwe
#gorgeambangile
#bongoplanet
#Eastafricaredio
#mwijaku
#babalevo
#liliomytv
#Efm
#Globaltv
#Samisagotv
#bongotouch
#Zamaraditv
#Hajismanara
#manara
#manaratv
#Leshatv
#simonmsuva
#mavalatv
#richsports
#msuva
#feitoto
#kibu
#msonda
#usajili
#mzeewajambia
#Enghersi
#mzeewautopolo
#gsm
#comedy
#mbowekesi
#mbowe
#chademamedia
#upinzaniccm
#ccm

Пікірлер: 376
@ConnieJohn-ts9rp
@ConnieJohn-ts9rp 15 күн бұрын
Jamani wenzangu tuungane kwa pamoja hao tuwape hukumu yao kubwa 2025 tumlilie Mungu atusaidie Mpendwa Mbowe mungu akulinde kusema ukweli baba.
@ezekielmwakajila3790
@ezekielmwakajila3790 8 күн бұрын
Amen
@maryamsuleiman6340
@maryamsuleiman6340 2 күн бұрын
Dah kama sipati picha ,wala kuamini kinachotokea ,ila nasimamisha Duaa Allah atende haki yakile kinachotokea ,Amiin
@RashidJonas
@RashidJonas 14 күн бұрын
Wameanza nao wanapeana sumu lakin wanakmbilia south aflika kutafta tiba watanzania wanyonge wanauawa kama mbwa ee mungu tusaidie
@sportsnewjs4330
@sportsnewjs4330 16 күн бұрын
Mbowe asante kwakuongea ukweli Huu niukweli asilimia 100%
@joslinchuwa1298
@joslinchuwa1298 2 күн бұрын
Mungu wetu wa mbinguni wewe ndiye mtenda haki wa kweli tunaomba utulinde sisi wengine ni wanyonge hatuna namna ya kujitetea tunaomba ulinzi wako Mungu wetu. 😢😢😢😢😢😢
@daviesibrahim9587
@daviesibrahim9587 15 күн бұрын
Katiba mpaya ni sasa watanzania amkeni
@Dr_nanjase
@Dr_nanjase Күн бұрын
🫴
@user-wy4su3oc6r
@user-wy4su3oc6r 15 күн бұрын
Like the bit behind the camera it flows with the temper of the speaker,Ina neutralize ukalii kwa mbalii..fact mbowe big up sana nafkiri ujumbe umefika kikubwa utekelezaji
@AgnessJohn-v8p
@AgnessJohn-v8p 2 күн бұрын
Mbowe nakuunga mkono aise na mungu akulinde sana mbowe
@scolasticasimon-je6cy
@scolasticasimon-je6cy Күн бұрын
Drama nawatu wanauliwa hivi mungu atusaidie kwakweli yaan mauaji yamezidi mungu awahukumu .
@user-of4gj2xb6j
@user-of4gj2xb6j Күн бұрын
Da inauma sana 😢 😢😢 Tanzania 🇹🇿 nchi yangu mambo gani mnayo ya fanya viongozi da 😢😢😢
@user-jt4lo1og8w
@user-jt4lo1og8w 19 күн бұрын
Inauma sana,nchi tunayojua ni nchi ya aman tunafanyiwa hivyo,kwenye nchi yetu,mungu yupo❤❤❤
@SalumJuma-r8p
@SalumJuma-r8p 19 күн бұрын
Da inauma unajuwa
@LinuslusianLinuslusian
@LinuslusianLinuslusian 3 күн бұрын
Siyo jeshi la polis Rais tuliye kuwa naye siyo kiongozi bora analazimisha uchaguzi usiwe mgumu mwakani tuliangalie ilo.
@KevinOlela
@KevinOlela 4 күн бұрын
Hii nchi unaisemea sanaa baba yetu mungu akupe nguvu ilaa tumechokaa na ccm
@PaulWilliam-w1o
@PaulWilliam-w1o 2 күн бұрын
Kweli baba sema
@julianamwamgogwa
@julianamwamgogwa 14 күн бұрын
Ana loho mbaya huyu mama mungu jukum kati yake naloho anazopoteza
@user-lb1nb2ls9g
@user-lb1nb2ls9g 2 күн бұрын
Wakati wa utawala Idi Amin, hawakuitwa usalama wa taifa,waliitwa kikosi cha mauwaji cha Ndulii
@MsafiriSambogo-n9g
@MsafiriSambogo-n9g Күн бұрын
Nakukubari baba ongea baba nihaki yako
@user-do1ug7de3g
@user-do1ug7de3g Күн бұрын
Hivi kwanini wanatekwa jamani rais apungeze speed na chama chake ili watu wasalimike
@jumaraimundi7540
@jumaraimundi7540 15 күн бұрын
Kuna maisha baada ya apa duniani, mim niko na mbowe sio na madudu hayo
@EzraKawogoPujongtown
@EzraKawogoPujongtown Күн бұрын
Daah Mungu atusaidie😢😢
@JohnLwanzali-b9l
@JohnLwanzali-b9l 12 күн бұрын
Duhh hatari sana kinachosikitisha zaidi ni kwanini wanatekwa watu wa upinzani tu? Kuna nn Tz
@user-hi1hi6ib4u
@user-hi1hi6ib4u 2 күн бұрын
Hata mmi jamani inaniuma sana kwanini ni waupinzani tuu...na wakati kuna watu wanafanya ualifu tena wakikatili lakini wako huru.
@pascalfransic4173
@pascalfransic4173 2 күн бұрын
Uoga we2 naupumbavu wawatanzania hakinasisi tumebeba vichwa2 maskin waakir sis
@paulojohn9608
@paulojohn9608 15 күн бұрын
huu mfumo wa jeshi la polisi lifumuliwe lipangwe upya hii ni hatari alafu tunajidanganya eti inchi iko salama hawa wanaye potea ni kuku?
@malkavoice2570
@malkavoice2570 16 күн бұрын
Inaumiza vibaya mno sema tu lakufanya limefichika,ee mungu tunusuru sisi wanao dhidi ya hawa maharamia,hii ni zaidi ya dhuluma ya wazi kabisa!
@zakariamombey9024
@zakariamombey9024 2 күн бұрын
Mda mwingine umakini unahitajika sana kwakweli 😢
@user-ki2ww5lg2j
@user-ki2ww5lg2j 2 күн бұрын
Sema sema mzeee
@Sultani-f7u
@Sultani-f7u 18 күн бұрын
Amna kiongozi
@wilsonyeza8202
@wilsonyeza8202 12 күн бұрын
Jaman mbowe sio kichaa kuyasema haya inauma sana tunapoona watanzania wezetu atuwaoni
@prospermushi1562
@prospermushi1562 11 сағат бұрын
Kesho mbowe atakuwa ndani kwa uchochezi ee Tanzania nchi yangu Yesu njooo mapema ukichelewa zaidi utakuta tumeisha kwa mateso makubwa
@evelynmwaimu-vd9jo
@evelynmwaimu-vd9jo 17 күн бұрын
Bunge tunawachagua kisha mnatugeuka mnakwenda kuinda sheria kandamizi namna hii looo!!!
@mohamedkashindi7689
@mohamedkashindi7689 8 күн бұрын
Kusema ukweli hakuna bunge hapo ni bunge la mchongo
@AbrahBuraheze
@AbrahBuraheze 8 күн бұрын
na mwaka hu bungeni siwafichi tuwajaze chademaaa
@AbrahBuraheze
@AbrahBuraheze 8 күн бұрын
bungeni tukiwajaza chadema patachamgamka bunge litakuwa la moto sasa tuamasishache mbunge wa cc asikanyage bungeni mwaka unaokuja
@user-yr4pv2vj7m
@user-yr4pv2vj7m 17 күн бұрын
Uyu pia Samia afai.kuongoza Tanzania yetu
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 11 күн бұрын
Unafaa wewe
@KhamisAli-r1w
@KhamisAli-r1w 3 күн бұрын
Magufuli pia ulisema hafai, au umesahau!!????.
@AbdallaJuma-tx5ck
@AbdallaJuma-tx5ck 3 күн бұрын
Wewe mjinga ongoza wewe.chogo.
@remidusmwanandenje-yy5gs
@remidusmwanandenje-yy5gs 3 күн бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 Wambie ukweli na msema ukweli mpenzi wa mungu na kila nafusi itaonja mauti niwakati 2 😢😢😢
@Magombamsote-oy3ex
@Magombamsote-oy3ex Күн бұрын
Amina
@nsajigwasilisye4416
@nsajigwasilisye4416 11 күн бұрын
Enough is enough......
@piusbille3905
@piusbille3905 4 күн бұрын
Haya Maisha kama tupo Congo Vitani Usi Jione Upo Salama haujui kesho yako
@ElishaElias-p2d
@ElishaElias-p2d 8 сағат бұрын
❤ahsante baba ukweli kabisa
@EliaHiluka
@EliaHiluka 17 күн бұрын
Woga sio mpango wa Mungu
@user-hi1hi6ib4u
@user-hi1hi6ib4u 2 күн бұрын
Tena Mungu hapendezwi na waoga tuamke jamani kumlilia Mungu.
@ashuramuhammed3257
@ashuramuhammed3257 7 күн бұрын
Samia hateki mtu yoyote ila vikosi vya ulinz ndo vinateka watu na kuwaumiza watu bila ya kutumwa na rais mbona Zanzibar hajatekwa mtu
@joslinchuwa1298
@joslinchuwa1298 2 күн бұрын
Tunaishi kwa hofu kubwa sana Hata tukiwa majumbani kwetu hatuna Amani tunahofia usalama wetu. Je vipi kuhusu usalama wa watoto wetu wakiwa mashuleni Mungu tunaomba ulinzi kwa ajili watoto wetu na wapendwa wetu.
@sikudhanishembilu2690
@sikudhanishembilu2690 Күн бұрын
Ta nzania rais wetu alikua jembe wetu magufuri, ila kwa sasa Bado hatujaona
@OmegaNgondo
@OmegaNgondo 16 сағат бұрын
Kiukweli inauma sana kama mtu anakwambia wewe usiue, harafu unamuona yeye anaua, duuuuu, inaumiza sana sana,
@Ibrahimmeshilieki
@Ibrahimmeshilieki 5 сағат бұрын
Dhuu! tanzania sio tanzania tena ile misemo ya kusema mama hawez endesha nchi ndio inatimia
@user-mc6um1it1r
@user-mc6um1it1r Күн бұрын
Naomba Samia jiuzuru hatukutaki jaman maana ukizidi kuwa madarak
@athanasmasmami5389
@athanasmasmami5389 3 күн бұрын
Nashangaa ata watu wanaopenda ccm yan😢
@cassianmbangwa5473
@cassianmbangwa5473 17 сағат бұрын
Mh, amkeni watanzania kwanini kipindi cha uchaguzi. Hawa wana siasa tuwapuuze na niwapuuzi mbowe hiyo kazi ifanye kwa umakini. Mara makufuli anateka watu na kuwaua leo nani tena acheni mchezo mchafu Mungu anawaona mnacho kifanya
@tabuanthony7450
@tabuanthony7450 10 сағат бұрын
Uko sawa kabisa akina mbowe ni mchezo wao huu kuelekea uchaguzi kumuharibia mama tu.
@alphoncejackson9300
@alphoncejackson9300 17 сағат бұрын
Kiukweli kusema drama wakati watu wana tekwa na kuuawa alikosea xana japo ccm wana jiona hawaja wai kukosea
@cassianmbangwa5473
@cassianmbangwa5473 17 сағат бұрын
Viongozi wetu msitumie busala ktk hili mjawe na hekima ya Mungu kwani wanatenda wao kisha serikali ina fanya, kwani chama kitu gani mpaka msigwa na mbowe waingie bifu kueni makini wanajua atalopoka uchafu wote
@RESTITUTAMOLLED-mp3pp
@RESTITUTAMOLLED-mp3pp 8 күн бұрын
kwa yeyote ambaye ana utimamu wa akili ifikapo 2025 kwa pamoja tukawatoe madarakani hawa watu.watu wanapoteatu utafikiri vifaranga wanao achiwa kiholela hata wasio mama yao hatimae kubebwa na mwewe.hatari sana
@MugundaKamilo
@MugundaKamilo 12 күн бұрын
Anasema ni drama kweli si mnatekwa na kuuawa na watanganyika wenzenu yeye mzanzibara asemeje wakt Zanzibar iko salama
@AnociathaChuwa-cb5nk
@AnociathaChuwa-cb5nk 17 күн бұрын
Kweli hatari Sheria nyingine zinazopitishwa na bunge la ccm ni za hatari sana EE MUNGU TUSAIDIE
@AliKutenga
@AliKutenga Күн бұрын
naomba nifahamu huo mziki ni wa wimbo gani...
@Fatma-up9qs
@Fatma-up9qs 2 күн бұрын
Watu wabaya wanataka kumharibia jina Mama Samia..... ( hayati Magu alikuwa akisema anateswa sana na kitengo cha Polisi na kitengo cha Ardhi)
@user-ki2ww5lg2j
@user-ki2ww5lg2j 2 күн бұрын
Nakukubali mzee tufingue masikio ss wannunge
@KilimbikeHaji-iy2fm
@KilimbikeHaji-iy2fm 15 күн бұрын
Mwenyezi mungu ipo siku atawazalilisha tu kwani yeye ndie mtendaji mkuu kwetu
@RedSun-ms2zq
@RedSun-ms2zq 2 күн бұрын
Ipo siku mungu atachoshwa na vitendo vya taifa hili hakika anatuvumilia Sana lakini watanzania hatubadiliki
@Leopard-vg3jk
@Leopard-vg3jk Күн бұрын
Uko sahihi mzee wang tumechoka kupelekwa kupelekwa na huyu mama
@AliyJumaIbrahim
@AliyJumaIbrahim Күн бұрын
MBOWE UNATAFUTA KIKI KWA WASIOTAMBUA CHOCHOOTE BORA UHAMIYE KWENYE JANI LA MUEMBE UWE PAMOJA NA WAUNGWANA ,
@Saidesaideinacio
@Saidesaideinacio 4 күн бұрын
Mtakumbuka sana magufuli sana ni Kwa sababu mlikataa corona na sasa munalipa fidia form Mozambique 🇲🇿
@HamadFakh
@HamadFakh Күн бұрын
Huo utekeji kipindi cha Magufuli ndo ulishamiri zaidi kuliko sasahivi,nahili jambo la utekaji halihusiani kabisa na kukataa Corona
@Gaynor1234
@Gaynor1234 17 күн бұрын
Wa kwanza kukamatwa ni huyo huyo mama samia.
@IreneWilliam-ur9ws
@IreneWilliam-ur9ws 4 күн бұрын
Rais wetu mama samia utuhulumie jaman taifa litakuwa palesina na Israel jaman Tanzania matukio yamezidi jamani mpaka malekani wanaingilia Kati
@MageKisuda
@MageKisuda 21 сағат бұрын
Inauma sana,tz co nchi ya amani tena
@RamadhanSeleman-he3ss
@RamadhanSeleman-he3ss 3 күн бұрын
Ee mungu 2saidie wote 2ishi kama mungu anavotaka
@amanmalima940
@amanmalima940 4 күн бұрын
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu MWAMINI Yesu na UOKOKE na ulithi uzima WA MILELE na uende mbinguni.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
@rahmahabibu1432
@rahmahabibu1432 2 күн бұрын
Na wahalifu pia watateka watu kwaajili ya kumchafua rais wetu ila Allah atabainisha haki
@ernestsinje9700
@ernestsinje9700 4 күн бұрын
Kwa hili tu linasononesha sana mngewasomea mashitaka basi muwafunge lakini hivi italeta shida Haya machozi haya.....mmmh
@japharisongoni7277
@japharisongoni7277 Күн бұрын
Ushauri wangu naomba kuwekwe Kamara kila pande za vituo vya mabas
@sabrinaandrew4245
@sabrinaandrew4245 11 сағат бұрын
Wala haiumi kwani inauma unajua?mimi nasema siyo kweli nyoosha ruler na siyo kupotosha Watanzania
@EdgarLema-g6f
@EdgarLema-g6f 11 күн бұрын
Tazama walivo kimya ata raisi samia ajibu chochote amealalisha unyama uendelee.
@AziziMapunda-vt4nv
@AziziMapunda-vt4nv 2 күн бұрын
Iyoimeniogopesha kituo chamateso wanateswa😢😢😢😢
@bwagizoselemani8434
@bwagizoselemani8434 15 сағат бұрын
Mama Samia Wala hanatatizo ila hao watu anao waongoza ndio tatizo
@SafihunaSingo
@SafihunaSingo Күн бұрын
Acha kupotosha watu wee Mbowe Acha kabisa.
@YasiniShabani-xd4ei
@YasiniShabani-xd4ei 2 күн бұрын
😢Tanzania inaeenda wap ee mungu isijeikawa kama kenya tuna rais gani wa aina hii mbona anatutia mashakan
@MageAwe-hl5zb
@MageAwe-hl5zb 8 күн бұрын
Mheshimumiwa mungu akutunze
@samwelnevele7796
@samwelnevele7796 8 сағат бұрын
Sasa yeye mama yetu anahusikaje mbowe kuwa na fadhira bila samia wewe ungekuwa kabatini hadi leo
@marcmathewmuyala1937
@marcmathewmuyala1937 Күн бұрын
Dhambi ya UBAGUZI ishaanza kuwatafuna hao CCM hadi wameanza kutiliana sumu
@fatumasalehe-ch9jf
@fatumasalehe-ch9jf 21 сағат бұрын
Waambieee mbona ccm awatekwi semanaoo baba wasengee sana tatizo ukwel unawauma wamezoeya kuficha mambo mikundu yao ccm wote wasenge
@ErastoSimba-Tz
@ErastoSimba-Tz Күн бұрын
Dah inauma sana dah
@KevinOlela
@KevinOlela 4 күн бұрын
Nikwl mh mbowee tumechoka na tumeshaogopaa sanaaa hatujui itakuaje huyu mama mzazibarii ni mchawii sanaa ana roho ya mbwaa tumechoka tanzania tumechokaa huuuwiii tumechoka huyu mama hafai hata bureeee
@ShankukuMakyani
@ShankukuMakyani 22 сағат бұрын
Sema kweli waaçhe utekaji
@Marieth-oi8gc
@Marieth-oi8gc 2 күн бұрын
Mbona Zanzibar hawapotei watu hakutekwi Tanzania bara wanauwawa
@CharlesMarigory
@CharlesMarigory 18 сағат бұрын
Ee Mwokozi wetu Mwenyezi Mungu utuokoe na umbwa mwitu sisi tulio wanyonge tusio kua na haki katika nchi yetu. Wengine wanajuta kuzaliwa Tz na ni nchi yetu lakini kama wakimbizi wa kutoka Somalia
@prophetsamawiparapanda1856
@prophetsamawiparapanda1856 14 күн бұрын
Dahh hatari Sana tutapona kwa namna hii ndugu zetu wakipotea tutawapata?
@AkramIbrahim-m6x
@AkramIbrahim-m6x 2 күн бұрын
Kwa Hapo Sio Kweli Mama Mnamuonea Nyie Mnaosema Hovyo Wengine Watoto Wenu Wezi Mashoga Kama Ni WA Kike Wadanganyi Swali Na Nyie Wazazi Mnausika Na Hayo
@matridawilium9945
@matridawilium9945 14 күн бұрын
Mungu atasimama
@swalehaltooq5233
@swalehaltooq5233 15 сағат бұрын
Unaongea ukweli mtupu mtu nakamatwa kama kuku mauaji yamezidi Tanzania inatisha sifa mbaya zinafika duniani nchi inakuwa na dosari Tanzania iataogopwa kimataifa nchi isiyokuwa na usalama
@AgreyAmon
@AgreyAmon 15 күн бұрын
True
@harithrashid5314
@harithrashid5314 9 күн бұрын
Ongeza hio nyimbo tusimskie zaidi
@PrinceByarugaba
@PrinceByarugaba 19 сағат бұрын
Inaskitisha sana 😢😢😢
@user-wg2gd2nl6c
@user-wg2gd2nl6c 9 сағат бұрын
Kwanza huyo siyo rais. Aondoke. Tumechoka. Watu wakisema ukweli wanawaua. Hawajui nawao pia zimeangaria chini. Aondoke. Aende kwao zanzibar
@tabuanthony7450
@tabuanthony7450 10 сағат бұрын
Tapeli ww mbowe unawateka hafu unaisingizia serikali
@AmadeMuarabo-m7f
@AmadeMuarabo-m7f 13 сағат бұрын
🇲🇿mzee umesema ukweli
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 Күн бұрын
Hizi sound zinazidi zinaharibu usikivu jamanii! Haya mambo ni muhimu sio story
@ramadhanhassan5285
@ramadhanhassan5285 2 күн бұрын
Arabda wanadhani wao hawatokufa ila watambue akuna atakae ishi milele na ukimuua mwenzako naweawe utakuja kuwauwa na unaenda kujibu mbele ya mungu kila kitu
@user-rj8zh8ok7q
@user-rj8zh8ok7q Күн бұрын
🙏🙏🙏
@KuluthumuMsuwakollo
@KuluthumuMsuwakollo Күн бұрын
Kwa yanayoendelea sasa nchini kwetu ccm itapita kwakua na nguvu ya kiutawala ila kiuchaguzi ni mtihan kwakwel wanyonge ndio wapiga kura na wanalia kila kukicha yarab lilinde taifa letu tuondoshee kila lililobaya tuepushe na shari zote zinazoendelea kuchafua serikal mungu wape hekma viongozi wetu amiin amiin
@salmoncelestine6840
@salmoncelestine6840 2 күн бұрын
Kauli nzito Mbowe,,,na ss siyo malaika.Tukamateni - Ila serikali isiyolinda watu wake ni serikali ya hovyo saana
@BegumisaFiribetr
@BegumisaFiribetr 10 күн бұрын
Poleni ndugu zang
@patriciamseya3396
@patriciamseya3396 12 сағат бұрын
Nasema sitokaa nipoteze muda wangu kwenda kupiga kura
@EzekiaYamawasa
@EzekiaYamawasa 2 күн бұрын
Wanatekana wenyewe chadema ili kuichafua serikali
Apple peeling hack
00:37
_vector_
Рет қаралды 123 МЛН
Touching Act of Kindness Brings Hope to the Homeless #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 18 МЛН
小丑妹妹插队被妈妈教训!#小丑#路飞#家庭#搞笑
00:12
家庭搞笑日记
Рет қаралды 29 МЛН
Abiudi Misholi asema AMANI YA TANZANIA INAENDA KUTOWEKA. Lissu atangaza maamuzi magumu
14:21
White House holds news conference
1:19:31
Washington Post
Рет қаралды 6 М.
Apple peeling hack
00:37
_vector_
Рет қаралды 123 МЛН