Abiudi Misholi asema AMANI YA TANZANIA INAENDA KUTOWEKA. Lissu atangaza maamuzi magumu

  Рет қаралды 43,866

Kikosi kazi cha injili🎖

Kikosi kazi cha injili🎖

Күн бұрын

Пікірлер: 77
@JosefuSwai
@JosefuSwai 3 ай бұрын
Barikiwa sana baba utumishi ndio huo tuambie ukweli tusiwe watekaji
@AnnaFelix-p1z
@AnnaFelix-p1z 3 ай бұрын
Wanajiita wawo ni Dola na akuna wakuwatowa madalakani na wanasema ushindi wawo awamtegemei mungu Sasa watumishi tumulilie mungu kwakuwa sisi tunamtegemea yeye mungu wetu
@foibennjeje7730
@foibennjeje7730 3 ай бұрын
Mungu alimtumia Lema kuwakumbusha viongozi wa dini Asante Mungu wameanza kutumikaq
@michaelsamson9663
@michaelsamson9663 3 ай бұрын
ii tabia iliyo Anza nchii inakwaza sana Kama sio mwana CCM ukiongea ukweli unauwawa😢😢
@washoka-tz
@washoka-tz 3 ай бұрын
Mungu aendele kuwapa nguvu watumishi wa MUNGU kukemea dhambi na maovu ya serikali... Mubarikiwe sana
@fredyleonardmaths2546
@fredyleonardmaths2546 3 ай бұрын
Naona Nuru katika nchi ya Tanzania sasa.Naona Nuru kwenye Giza.God hear our cries.
@ismailsanga9190
@ismailsanga9190 3 ай бұрын
Mungu akulinde mtumishi nakuelewa vema
@ukumbushoadam5691
@ukumbushoadam5691 3 ай бұрын
Inaumizaaaa sana😭😭😭😭
@yosephatMasanyiwa-oh1rl
@yosephatMasanyiwa-oh1rl 3 ай бұрын
Safi sana viongozi wa dini mna utajiro wa watu na watu lazima tuwasikilize nyie, nachowaomba kaeni vikao vya viongozi wa dini mhimizane mahibiri yenu makanisani yawe juu ya huu utekaji unaofanywa na watu Kwa maagizo ya viongozi wa serikali.
@PaskaliCharles-pz8ds
@PaskaliCharles-pz8ds 3 ай бұрын
Amen Baba mtumishi mungu akulinde kuukemea ubaya juu ya nchi yetu
@AdamJulius-z5i
@AdamJulius-z5i 3 ай бұрын
Hongera abiud kwa kuamka 🙏🏼
@danielvengei6065
@danielvengei6065 3 ай бұрын
Damu inanena ni wakati tu bado . Tutubu tumrudie Mungu sote .
@emanuelkitiku690
@emanuelkitiku690 3 ай бұрын
Amina mtumishi
@JuliasMwita-c2l
@JuliasMwita-c2l 3 ай бұрын
Polisi nao ni watoto wawatu Wana baba zao Wana mama zao na nibinadamu, musifanye mabaya.
@LuganoAmwamsojo
@LuganoAmwamsojo 3 ай бұрын
❤❤❤❤kweli kabixa
@PaulMrimi
@PaulMrimi 3 ай бұрын
Tanzania Tanzania Mungu akusaidie
@AnnaFelix-p1z
@AnnaFelix-p1z 3 ай бұрын
Nikweli watumishi wa mungu tumulilie mungu Kwa hii Tanzania yetu imemwanga dam nyingi inaliya dam ya wenzetu
@nyamsabhimagesa
@nyamsabhimagesa 3 ай бұрын
Siasa bwana ni mchezo mvhafu. Na huu ni ukweli mchungu sana kuukubali.
@thomasbrotherscotractorslt1299
@thomasbrotherscotractorslt1299 3 ай бұрын
Mungu atusaidie
@edwardKissiky
@edwardKissiky 3 ай бұрын
Asante MUNGU kwa kumfunulia mtumishi wako kwa neno hili
@KevinOlela
@KevinOlela 3 ай бұрын
Aminaaa baba
@WAIMANIKAMWELA-lq4pm
@WAIMANIKAMWELA-lq4pm 3 ай бұрын
Hakika baba hii dhambi kubwa kwa taifa
@AnnaFelix-p1z
@AnnaFelix-p1z 3 ай бұрын
Amina sana baba ameni
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 3 ай бұрын
❤❤❤❤🎉🎉🎉 Amïna
@miltonmolel9690
@miltonmolel9690 3 ай бұрын
Abiud Misholi jikite kwenye maombi achana na hayo. Mwenzio Kenya kaua raia zaidi ya 50 mbona hulaani hayo
@hellenngwilla550
@hellenngwilla550 3 ай бұрын
Ameeen Mchungaji 😢
@dennycassian4819
@dennycassian4819 3 ай бұрын
Tanzania nchi iliyobarikiwa na Mungu ni nani huyo anataka kuvuruga aman🥲
@isayamwashibanda5819
@isayamwashibanda5819 3 ай бұрын
💪💪💪
@CretusMwalongo
@CretusMwalongo 3 ай бұрын
Aminaa
@EmmanuelIsack-g5o
@EmmanuelIsack-g5o 3 ай бұрын
Amina amina
@michaelsamson9663
@michaelsamson9663 3 ай бұрын
Hakika Kama mungu wa mbingu na ardhi upo basi azibu viongizi wabaya wa ccm
@sashawambura
@sashawambura 3 ай бұрын
Eeeh Mungu baba sikia maumivu na sauti za wanyonge hawa
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 3 ай бұрын
Hivi zile sauti za mashehe wa zamani ktk kukemea uovu zimepotelea wapi? natamani kuwasikia wakitoa matamko ya kulaani ama kusifia yanayoendelea. MUNGU ATUPONYE.
@DonMooFILMES_Express
@DonMooFILMES_Express 3 ай бұрын
Kipindi masheikh wameamka nyie mlikuwa mmelala, walipoishiwa nguvu nyie ndipo mnaamka. Umewasahau wale masheikh walioitwa wa uamsho wakafungwa jela miaka mingi wakaja kutoka kipindi cha Raisi Samia kwa msamaha wa raisi Samia!?. Kuna mchungaji alisema?, kuna mchungaji alijiingiza kwenye mambo yale?. Tujitahidi kukumbuka kama ulikuwa haujazaliwa basi kafatilie utaelewa nani aliyepambana kati ya Masheikh na Wachungaji
@McT-m1m
@McT-m1m 3 ай бұрын
Mashehe wetu wameleta dining kwa rais ni muislam
@rithaurassa
@rithaurassa 3 ай бұрын
AaaaaaaaMeeeeeeeeeeeeNiii.Mungu BARIKI Maandamano hayo yalete majibu. mazuri Kwa Watanzania WENGI walioumizwa moyo.Mungu BARIKI viongozi wote na jeshi Ili wawe na hofu ya MUNGU.
@GiftBatista-p2e
@GiftBatista-p2e 3 ай бұрын
Kiburi!
@MohammediRwambo
@MohammediRwambo 3 ай бұрын
Namshauri tundulisu na familia yake wasikimbie nch tuwe wote enzi ya magi alikimbia
@frankbutati8343
@frankbutati8343 3 ай бұрын
Huu ndio UTUMISHI wa MUNGU, sio watu wanadhurumiwa tunakaa kimya
@isaackmwakapala8663
@isaackmwakapala8663 3 ай бұрын
Amina.
@malackedson7706
@malackedson7706 3 ай бұрын
Safiii
@crisantisindani3830
@crisantisindani3830 3 ай бұрын
Gombeeni!! Msituchanganye waachieni wenye wito 😅😅
@joshualezile5099
@joshualezile5099 3 ай бұрын
Unasemaje?
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 ай бұрын
Polisi watailinda amani😂
@mwambakibucheche1119
@mwambakibucheche1119 3 ай бұрын
Hakika Mungu atajibu kwa maana damu inayomwagika inamlilia kutoka aridhini.
@lukelombembe
@lukelombembe 3 ай бұрын
Mbarikiwa sii mchezo maneno hayo mazito
@tumainiellyimo4657
@tumainiellyimo4657 3 ай бұрын
Eh!Mungu Tanzania yangu inapoelekea naomba baraka zako na uwepo wako maana naona giza mbele na ni giza nene sana
@rahmaabdallah4514
@rahmaabdallah4514 3 ай бұрын
Tukumbuke kenya juzi tu tuliyaona
@fuhanansiankini853
@fuhanansiankini853 3 ай бұрын
Niwakati wakujufunza kwana waistaeli walilipataje taifalao nikwakupigana,balisisi tumejaliwa kwakupazasauti zetu kwapamoja wakati nisasa tuungane mungu yupamoja sani amen
@MchungajiNzelani
@MchungajiNzelani 3 ай бұрын
Waandishi wa habari wa tz mmmhh
@RaphaelMbughi-n1g
@RaphaelMbughi-n1g 3 ай бұрын
Asant Wenye Kupaza Sauti watangazie Watu Wa Maifa!!
@hamismabula9934
@hamismabula9934 3 ай бұрын
Hii nchi hii duh! Ila chawa cku zote hawana akili kama ya binadamu mwenye utimamu! Mtu unayejitambua huwezi ukakubal kuitwa chawa hata kidogo!
@RahimaMwita
@RahimaMwita 3 ай бұрын
Mchungaji lolinga baba wambingu. Akulinde
@KarebuKaminyoge-d2l
@KarebuKaminyoge-d2l 3 ай бұрын
0:46
@awezayekyando2203
@awezayekyando2203 3 ай бұрын
Sio inaenda kutoweka imeshatoweka
@MjuniLaulian
@MjuniLaulian 3 ай бұрын
Amina
@msafirimfyagichi5942
@msafirimfyagichi5942 3 ай бұрын
@AweMagdalena
@AweMagdalena 2 ай бұрын
Wanaitwa wasiojulikana
@FollowGospelSingers
@FollowGospelSingers 3 ай бұрын
Nisawa kabisa
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 ай бұрын
Huyo aliesoma mwanzo 9:6 sauti yake
@AliciaNdyamukama
@AliciaNdyamukama 3 ай бұрын
Jitie nguvu askar wa yesu matund yapo usivinjike moyo taji lako lakungojea
@DiwaniMwafongo
@DiwaniMwafongo 3 ай бұрын
Mauaji ya kimbali Rwanda, mnayakumbuka? Vyombo vya dini na redio vilichangia mlipuko wake. Ni mmuda sasa wa taasisiri zetu za fini kuacha uchawa na kihubiri ukweli na haki!!!
@GeofreyMwandanji-ot2lf
@GeofreyMwandanji-ot2lf 3 ай бұрын
Naiwe ivyo iviwatanzania ss Nima mbumbumbu au nimanyumbu
@knight6757
@knight6757 3 ай бұрын
🇹🇿😭
@MbokaRechadi
@MbokaRechadi 3 ай бұрын
G
@akimAkimuWA-m3t
@akimAkimuWA-m3t 3 ай бұрын
Nyievichungaj niviongo
@JosefuSwai
@JosefuSwai 3 ай бұрын
Umelaniwa wewe
@Mrhouseplan
@Mrhouseplan 3 ай бұрын
Usitukane watumishi wa Mungu ogopa
@akimAkimuWA-m3t
@akimAkimuWA-m3t 3 ай бұрын
Vinaangalipesa tu. Utafikili saliyao vinaelekea duniani
@akimAkimuWA-m3t
@akimAkimuWA-m3t 3 ай бұрын
Vimeweka biblia nishambalao kujipatia kipato
@michaelsamson9663
@michaelsamson9663 3 ай бұрын
Mpuzi
@DaudiMakaza
@DaudiMakaza 3 ай бұрын
Amina
@KhatwibuJafari
@KhatwibuJafari 3 ай бұрын
@MohammediRwambo
@MohammediRwambo 3 ай бұрын
Namshauri tundulisu na familia yake wasikimbie nch tuwe wote enzi ya magi alikimbia
@ellykibale190
@ellykibale190 3 ай бұрын
Alimiminiwa risasi za kutosha, mwili wake sidhani kama utarejea kama awali,nadhani issue ya Lisu kukimbia, inakosa mashiko.
SOMO: NINI MAANA YA UNYAKUO BY MCH ABIUD MISHOLI
1:10:41
Mch. Abiud Misholi
Рет қаралды 18 М.
To Brawl AND BEYOND!
00:51
Brawl Stars
Рет қаралды 17 МЛН
So Cute 🥰 who is better?
00:15
dednahype
Рет қаралды 19 МЛН
Dhambi mpya  Hiihapa :  Mch Abiud Misholi
34:25
Mch. Abiud Misholi
Рет қаралды 111 М.
KONGAMANO LA MAOMBI TARIME MJINI SIKU YA 6 MWALIM MCH. ABIUD MISHOLI
2:04:44
Mch. Abiud Misholi
Рет қаралды 1,4 М.
Mch Moses Magembe -  | IBADA YA JUMAPILI MCHANA
Rev Moses MagembeTv
Рет қаралды 567
PART 1 MCH.OBED KATUNZI AMJIBU MCH MOSES MAGEMBE
56:21
SHUHUDA ZA KWELI
Рет қаралды 51 М.
SOMO: HESHIMA YA MUNGU IPO WAPI .  MCH. ABIUD MISHOLI
1:29:19
Mch. Abiud Misholi
Рет қаралды 8 М.
DU!!TUNDU LISU NA LEMA PAMOJA NA MAASKOFU TUKATWE MIKIA? HIVI HAWA WASIOJULIKANA WANATUONAJE?
24:30
To Brawl AND BEYOND!
00:51
Brawl Stars
Рет қаралды 17 МЛН