Congrats for uh Mr and Mrs Nenga 🌷 ur funs we a very happy with that daughter ❤️☺️
@aishaamwalimu28872 жыл бұрын
Hongereni Sana, Mungu amkuze ktk maadiri mema awemtoto mwema , Ahsante sana kwa pongezi tumepokea, na mzidi kutuheshimu wanawake wote, hayo uliyo Yashuhudia ndiyo tunayo ya pitia, achilia mbali tabu zaujauzito, kuanzia Sasa baadhi ya wanaume mnao tunyanyasa na kutu Zarau wanawake muache hiyo tabia.
@lightnesserasto679 Жыл бұрын
Pole dada nandy na mungu akutangulie
@rosematafu53012 жыл бұрын
Ukiwa na upendo na familia yako utapata raha sana hongera sana kwa upendo
@rossarutasha93912 жыл бұрын
Hongera sana Billinasi na Nand kupata mtoto🙏🙏
@HusseinSeleman-ri4fh Жыл бұрын
Big boss 8
@hawajohn7492 жыл бұрын
Tunashukuru wamama tumezipokea,labour kazi ipo,hongereeni kwa kupata mtoto mungu awalindie
@rehemahigilo9432 жыл бұрын
Jasiri sana billnas hongereni
@rizikiadventine4392 жыл бұрын
Ongera Mr and Mrs Mungu awalindie mtoto wenu
@richardlaulian90612 жыл бұрын
Hongereni sanaa jamn.
@judytrophine9992 Жыл бұрын
Hongera sana nandy na pole pia mungu akukuzie
@rosejoely45182 жыл бұрын
Hongela nandi mugu awawekee 🙏🙏🙏
@madammesatalks69132 жыл бұрын
Jamani Nandy hongera kwa kujifungua salama mwanangu Alphina na Hefsba wamefurahi sana kusikia umejifungua salama hivyo wanakupa Hongera sana na wanakupenda sana.👩❤️👨
@sarahwenceslaus2024 Жыл бұрын
Nawapenda❤❤❤❤❤❤
@fallymetoo1912 жыл бұрын
Nice one!🙏🏻
@mkibandulo12312 жыл бұрын
Mashaallah 🇴🇲
@fatumajumanne59612 жыл бұрын
Hongeren Maana ce wengne hata walpotokomea😂😂😂
@winfridagama58322 жыл бұрын
Hongera Nandy
@winfridagama58322 жыл бұрын
@@storyzabongoonline Billanas ajajifungua bwana Yale maumivu achaa kabisa
@vokethecomedian Жыл бұрын
Hey 👋👋👋👋👋😊👋😊👋
@elizabethpeter52512 жыл бұрын
kuzaa sio mchezo na labor room si ya wanaume ni ya wamama na madaktari, mwanaume akiona jinsi mwanamke akizaa huteseka, hawezi tena kumtia mimba. Mungu alinde mwanenu. inshallah....
@pengefeza25638 ай бұрын
Ni ya wazazi wote
@zawaditamari97522 жыл бұрын
Eshima kwa wa mama
@aishaamwalimu28872 жыл бұрын
Kabisa mwanamke nikiumbe muhimu Sana ktk hii dunia, tunayoyapitia wange pewa wao wasingeweza hata kidogo.
@rehemadaudi7422 жыл бұрын
Wewe mi mwenyewe nilichanganyikiwa kwa mda, kuzaa kusikie tu
@heriethvenance30122 жыл бұрын
Gingers sana Dada nandi hio ndio heshima ya mwanamke