Nawapenda Sana napenda niwaone mkiwa hivyo mnapendeza Sana mungu awabariki mfike mbali
@mwanaidsalehe11093 жыл бұрын
Mmejua kunifurahisha sana Nandy na mangi Mungua awatangulie mfunge ndoa.
@leaherasto9292 жыл бұрын
Baada yandoa Niko hapa nawakubali sana Nenga n Bill
@angelmutua95753 жыл бұрын
Nandy loves this guy truly sio yakufake hataaa
@njoroboihustla1253 жыл бұрын
Neenga!!!! mwanang sanaaa🔥🔥🔥
@JaylesGeorge11 ай бұрын
I really apreaciate dis couple❤❤❤❤💯💯
@sophiamfikwa73403 жыл бұрын
I love both of them 🥰🥰
@hassanford71483 жыл бұрын
Nawapenda sana hawa jamaa coz wanapendana sana mpaka najiskia raha sana nawaombea kwa mungu awape upendo wa dhat na baraka tele Inshaallah.
@mutisyatv3 жыл бұрын
Nandy anampenda billnass sana...
@erastojackson84323 жыл бұрын
Dah penzi lenu linsnikosha sanaaaa Nandy Big up💪❣️
@wapakaya_family3 жыл бұрын
Waandishi mnaharibu muziki, mnakamia mahusiano akati kilichowaleta ni muziki🙌🙌
@BacktoPhiladelphiaministry3 жыл бұрын
Yaani kuonekana pamoja tuh ni biashara.... hearth is hard
@lynnkyra41013 жыл бұрын
Nafurahi sana kuwaona tena❤️
@leahfanuel2543 жыл бұрын
What a love 💕
@khadijamasoudmikidady17263 жыл бұрын
Nand anampenda sana mpaka namuonea uluma
@najuf80213 жыл бұрын
Nandy ndio anaependa sana nenga hamna kitu
@kimah98553 жыл бұрын
Nandy nakuona vile tu unaiangalia sema you guys are inlove😁😂
@fatmayassin16683 жыл бұрын
Jamn me naipenda hii couple more than love all
@SabrinaAlly-ri7ql3 ай бұрын
True definition of he fell first but she fell harder😆
@thefarahatlifestyle3 жыл бұрын
Mnao juwa kumsoma mtu macho NANDY aisee inaonesha anavyo Mapenzi makubwa kwa BILLNASS.
@abdulsinga24643 жыл бұрын
Hahaaaa kwa luge alifta nini..😂...kama bado anapenda?
@christamazara12663 жыл бұрын
Umeona eee!nawapenda sn sn jmn waoane 2 jmn.
@constanciashangali75233 жыл бұрын
Billnas, unajina kubwa sana.. una jina la Nyota.. yaan mida hii ulitakiwa uwe juu sanaaa
@jastinmkandala56203 жыл бұрын
Nawapenda jamn
@isaya.senior3 жыл бұрын
OMB. 3:22 Ni huruma za BWANA kwamba hatuangamii, Kwa kuwa rehema zake hazikomi.
@projazzpromoter75033 жыл бұрын
Mapenzi Adimu. From MuseziTv 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@lydiaakimana79883 жыл бұрын
Ila Nandy anampenda saana billnass yaani anavomuangalia tu unaona mtoto kafa kaoza Mungu aendelee kuwasimamia
@zachariaamos55853 жыл бұрын
Mnaendana sana🔥
@kaymsafi3 жыл бұрын
WANAKAA VZURI SANA👏👏👏👏👏
@tehamarobema94033 жыл бұрын
Hakuna mapenzi hapo
@yvesmasirika38393 жыл бұрын
The lady loves the man more than the man does
@alicekisanga80043 жыл бұрын
Yes but i think her parents are too negative towards their relationship, which is very discouraging for a man.
@fadhiliyusuph51953 жыл бұрын
@@alicekisanga8004 yeah that's
@evenabwire18603 жыл бұрын
So what!!!
@marykaingu48883 жыл бұрын
Yes true nandy amependa sana
@sylviah96663 жыл бұрын
Nandys parents are negative towards bilnass kisa na maana kipato cha Nandy kipo juu
@dyzerjoshuah54753 жыл бұрын
best couple in town
@williamloserian59993 жыл бұрын
Nice🙏🙏🙏✍️✍️
@zabibuamissi11413 жыл бұрын
Nawapendaga 🥰🥰
@naimamunishi12413 жыл бұрын
hii story isijekuw kama jux na vee😂😂
@donathalaizera65612 жыл бұрын
Wamekamilisha
@SamuelNkorerimana8 ай бұрын
❤you biiin
@ashiriiyulu64303 жыл бұрын
wanakumbushia 😂😂😂
@fadhiladam77693 жыл бұрын
Jmaa anakilk sana broo nakukubal ata kujibu kwako nakukubal sana nandy anakufaaa msela
@evenabwire18603 жыл бұрын
That guy is a cool guy
@MaryBitulo Жыл бұрын
Safi sanaaa nandy
@upendodavid30813 жыл бұрын
Aseee bill wanawake uwa tupo romantic Sana na hasa ukiwa na umpendae ebu mfanye dandy awe na furahaa Kuna kitu akipo sawa hasa upande wa nenga mpe mapenzi ya dhati nandy please usi act kibaba baba Sana naona Kama upo silius Sana
@bimumaulid11713 жыл бұрын
YAANI HUYU NANDI ANAMPENDA MTU MPAKA ANARINGA
@flova70223 жыл бұрын
Cha ajabu jamaa Hana hata habari nae dahh ..haya mambo painfull sana
@ashaomari79723 жыл бұрын
😂😂😂🙌
@zulfakajanja1170 Жыл бұрын
❤😂😂nimecheka
@jacqdaniels8913 жыл бұрын
huyu nae cm utasema kajua cm leo loooh
@امينهعلي-ض5ث3 жыл бұрын
Mpenzi ayafichiki hongera nandi
@mediaisbawa72553 жыл бұрын
Oya aiseee the africa prince
@saraaudax81383 жыл бұрын
Yan uyu bilnas ata ayuko romantic kwa mwenzie Yan Nandy kanajitahidi kumregezea jicho ye amekazaa
@victoriamurugi67583 жыл бұрын
😂😂😂
@RamadhaniMnderi-up7em Жыл бұрын
Love it
@RoseBitanga10 ай бұрын
Nandy i love you
@munaahmed84993 жыл бұрын
Billnas kaka yng una aibu sana jmn Japo ugomvi umakuwepo lkn ktk media naona mpo vzr si rahis kujua mtu nyie mnagombanaga hivi huu ni mfano wa kuigwa si kugomban watu had mitandaoni no si poaa ila narudia twna bro ana aibuuu Anachezea cm si dharau ni aibu huyo
@64aaa3 жыл бұрын
Hawo hawana cha maojiano ni umbea tu. Na billnenga ndie anaewaweza. Media za bongo wanasubiri uteleze tu ndio utakiona🤣🤣🤣
@bonifacegervas79363 жыл бұрын
Sweety couple
@lameckjr42433 жыл бұрын
good bless
@dach_addiction95573 жыл бұрын
Billnass anamapoz ya kishamba
@mr.elevator45673 жыл бұрын
Mapenzi ya upande mmoja magumu sana. Ngoja kwanza Nandy apate experience
@pendoelisha54113 жыл бұрын
😀😀😀lakini ww
@omahmoses97103 жыл бұрын
Nawapenda sana
@queenbibisha19613 жыл бұрын
Yani wasani wa tz ndo maana awatofika popote sasa wewe unaojiwa unajifanya uko busy na simu kweli, hizo nikuonyesha zarau kwa waandishi wa abari
@tunuyaomar50173 жыл бұрын
Sio dharau ana asili ya aibu kwa hiyo hapo anazuga kucheki camera hataki😂😂
@64aaa3 жыл бұрын
Wewe waona mna mwaswali ya maana hapo isipokuwa Umbea. Waandishi na media za Bongo watakahivyo coz wanasubiri uteleze tu wapate ya kuongezea.
@64aaa3 жыл бұрын
@@tunuyaomar5017 kabisaaaa na apendi maswali ya kimbea.🤣🤣🤣
@MsAggie53 жыл бұрын
Si bora wasaniiiiiiii huwa nasikia kuwachapa viboko wana siasa wa chama fulani yaani hata kwenye mikutano ya maana wako busy na simu NONSENSE
@rich.kizza103 жыл бұрын
Sasa kama maswali yenyewe ndo haya ataachaje kuwa bize na mambo yake
@noelmarapachi18083 жыл бұрын
Wabongo wanapenda sana umbea na wengine kuharibikiwa, aina ya maswali ya so called waandishi wsnauliza
@LynCvlogs3 жыл бұрын
Being in an interview and you're busy on phone is total disrespect
@MKobe_2543 жыл бұрын
For real… very very stupid
@hamdusimai77113 жыл бұрын
Unprofessional kabisa
@angelxwt78793 жыл бұрын
Pia Mimi sipendi simu qwani inahama akimuacha atawahi pata Kama Nandy
@hopeeve35582 жыл бұрын
I second you broo
@kunlecryzee29333 жыл бұрын
Nenga mah broh
@esthernonneh27403 жыл бұрын
there is a disconnect btwn nenga n nandy
@denisdejo50333 жыл бұрын
Upo sahihi, though people can't see that.
@phinaswai47183 жыл бұрын
Hayo ni mawazo yako aise. Wapo poa tena sana
@denisdejo50333 жыл бұрын
@@phinaswai4718 Upo sahihi na wewe pia. Some see that way.
@eshimendinkya86783 жыл бұрын
Yess hata mm naona hapa kila mtu ana hamsini zake ..Ni kama yale ya vee na jux kuambiana wasiexpose mambo nje ila mwisho wa siku
@msbeckie46933 жыл бұрын
The guy yuko busy na cm ad anaboa😏
@officialarafa65113 жыл бұрын
Yaaniie huwa nawashangaa sana watu wa kwetu 7naulizwa maswali lkn hujibu inavotakiwa sababu ni nini lkn muda wote huo munapotezewa watu bando tuu
@dannywiston63913 жыл бұрын
Nenga hua ana akiri sana
@thelonewolf44293 жыл бұрын
Katoto laini ona kanavyo mwangalia najicho la mahaba Nenga ana faidi nyie
@jumannenyabuge833 жыл бұрын
Hahaha
@aminatanzanya74753 жыл бұрын
SNS 💕💞💙
@calvinmayola78663 жыл бұрын
Wewwwww nandy
@atroisfoundation55463 жыл бұрын
Nenga ila next usishike simu unapokua unahojiwa sio poa..bora ukatae interview next time if ur busy
@64aaa3 жыл бұрын
Media za bongo zinataka mtu kama billnenga. Hapo amna mwaswali ya maana zaidi ya Umbea.
@MsAggie53 жыл бұрын
Nadhani yuko shy ☺️ sana
@milbys3decarter9983 жыл бұрын
This lady eeeish maringo!!!! Ppppthoooo
@mamy82203 жыл бұрын
💓💓💓😘
@kingideo40322 жыл бұрын
Best couple in tanzania
@lulugora27123 жыл бұрын
Sasa hiyo cm ya Nini?
@zubedamagambo96003 жыл бұрын
Bilnas hana comfidance kabisa.
@zuhra4803 жыл бұрын
Why are you guys blaming billnas being on phone...maybe he has interview phobia...nit everyoneikes interviews!!
@bettychambogo45823 жыл бұрын
Love..
@hakimsashamusic3 жыл бұрын
Play don't worry by hakim Sasha please i
@dolicajosedolicajose14472 жыл бұрын
Te amo nandy
@leilaadamu48173 жыл бұрын
Nawapenda muwe wote jmn acheni hizi breck up😠😠😠
@masalukasomi16173 жыл бұрын
Waoooh
@nimoshe04232 жыл бұрын
Let's not ignore Billnass rudeness???
@finishmasai45623 жыл бұрын
Nawakubali Sana ficheni Mambo yenu
@williamkeitha12623 жыл бұрын
Billnass umekuja kwa interview but haupo serious upo busy na simu acha uboya hapo umebebwa tu na NANDY.acha upuuzi aisee bill
@lilianestephanie78812 жыл бұрын
Mfuyyeee wewe vipiii
@denisdejo50333 жыл бұрын
Something is very wrong with these two. No matter what things will never be the same between them. Billnas made a huge mistake while he was still in a relationship with Nandy of which she is using that to hold the relationship between them. Nenga wants to be forgiven so they can get back together but Nandy will find a way to forgive him but not to be with him again. And for those who think that Nandy loves Nenga more than him, big NO, it,s Nenga loves Nandy more than her. As a result, Nandy will be healed from this and move on but Nenga will never recover from this I can promise you that. I really like the new song from Nandy with Nenga "Party".
@mayahassan13303 жыл бұрын
✌️✌️✌️✌️
@denisdejo50333 жыл бұрын
@@mayahassan1330 🔥🔥🔥.
@junaithammahad38443 жыл бұрын
Mistake gani kubwa kiasi kwamba nandy asiweze rudiana nae kimahusiano?
@eshimendinkya86783 жыл бұрын
@@junaithammahad3844 mtoto nje wakati bado wakiwa ndani ya mahusiano
@junaithammahad38443 жыл бұрын
@@eshimendinkya8678 ohhh ok apo mm mwenyewe nisingemsamehe. Ok thanks
@hanifamasudi97323 жыл бұрын
Bilinasi hana mapenzi yaukweli wanawake hua twamizwa kilasiku
@salummzengaeka93413 жыл бұрын
Dada angu wanawake ndio mnaumuza sana wanaume mana wanawake mnadanganywa sana ,na mpo tayali kumuacha mtu alikupenda na kukujali ukamfuata mwanaume anaekushawishi na kukufanyia stalehe ,
@donathalaizera65612 жыл бұрын
Ndio washaoana na mtoto tayari
@patrickmukundichalamila30383 жыл бұрын
Bill aibuuu kama mm🤣🤣
@faithmutio26283 жыл бұрын
Nandy deserves a man who respects her..billnass doesn't seem to respect her
@jacklinebaini35173 жыл бұрын
I think we are on the same page. Will end up separating like venessa and jux.
@MKobe_2543 жыл бұрын
Ata amemwita Huyu alikua South Africa
@videozaaj10693 жыл бұрын
Nyie watu mnajaji watu sana!!!MNAWAJUA???
@saeedalsaedy99163 жыл бұрын
unafki mbaya daah wanapendna wte sna snaa
@phinaswai47182 жыл бұрын
Haya wamefunga na ndoa kabisa, nyie mnao wajua sanaaaa imekuaje??
@jemmymarioty8483 жыл бұрын
ila nandy na nenga pumbaaaaaafu saaaana ,,, yan mnang'ang'amuana afu mnajdai mmeachana
@MrNdanguza3 жыл бұрын
Wananyanduana na condom au ?
@albasnepa30013 жыл бұрын
Uhum
@queentoto38783 жыл бұрын
True love never see handsome ur beautiful
@hanifamasudi97323 жыл бұрын
hawa wanachanaka nakurudiana kilasiku daah 🤣🤣🤣🤣🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@andromedagalaxy86272 жыл бұрын
Wameshaoana tayari
@khadijakiba35873 жыл бұрын
Ila wapare jmn wanajua kupenda hawajui kuacha wakishapenda na wivu juuu kwa sanaa
@jescajulius80233 жыл бұрын
Wakwendreeeee huko.
@faudhiamfinanga4003 жыл бұрын
Saaanaaaa
@azzamahamdu70393 жыл бұрын
Mhm ngoja tuone......
@frankngoloka25893 жыл бұрын
Tatizo waandishi wa habar mnapoa sana,tabia ya kung'ang'ania kitu uliza maswali ya msingi yanayohusu mada iliyoletwa
@RehemaRajabu-nh1su Жыл бұрын
Nenga ana aibu jmn
@agnnesludovick33123 жыл бұрын
😍😍😍
@eazieofficial62093 жыл бұрын
Nandy anampenda Sana huku Kaka hata kwa macho anaonekana Ila huyu Kaka sasa
@rumdeesonsoa18113 жыл бұрын
Wanawake wanajua sana kupretend
@pharmaceuticalnotesbank33483 жыл бұрын
nenga unakaa kinyongee sana
@devisowigo80673 жыл бұрын
Hawa jamaa wanaendana xna na mapenzi yao yakisekondary hahaaaa
@jeremiahbaraka19293 жыл бұрын
Mnapendezana jamani
@lovenesskalenge26833 жыл бұрын
Hivi mnao andika kingereza mna Nini lakin hamjuh kiswahili au nawependa nyote