Super fantastic stand up comedian, wachekeshaji wa kibongo hapa mnakitu cha kujifunza
@dannienimrod87134 ай бұрын
Shida ya sound engineers wa comedy za Tz wao hupick sound za video from the cameras badala ya kupick from the sound control system. Inafanya iwe vigumu kumkiza comedian with all the noise from the crowd
@maymbeyu54584 ай бұрын
Kabisaaa...ata siskii kitu
@Mkonkotolyo4 ай бұрын
Bongo janjajanja kila kitu,hakuna professionalism huwezi linganisha Churchill show nw hizo takataka.
@dannienimrod87133 ай бұрын
Kweli kabisa..ni kama hata walirekodi na simu. I stopped watching 2 minutes into the video sababu sisikii anachokiongea. They really need to pull up their socks.
@barackiadam56113 ай бұрын
Hhhhh hatri shida kilaa kitu anataka afanye mtu mmoja
@tabithadaniel73642 ай бұрын
Kweli kabisa yan hata hazisound poa hata cheka tu ni hivyo hivyo...waaangalie Churchill show huyu mtu anajitahidi kwenye sound
@anitabell42033 ай бұрын
Nguruwe anaboo. Hamo amalize kuchekesha ndio ampee pesa. Ata ideas za hamo zinachanganyikiwe
@anethuledlusasimwimbe4 ай бұрын
nampendaga hamo venyewe anafurahisha❤
@Ezekiel-rh2ni3 ай бұрын
Nguruweeeee
@nurdinidadi62203 ай бұрын
Poor sound, hata performance haisikiki vizuri!!!
@Sejohcartel2543 ай бұрын
You guys have to work on audio... your audio are real poor
@wakivuio3 ай бұрын
Mlima
@FrankChalula-hz6dn4 ай бұрын
Uchoko tu, yaani sauti kama mizimu ndo inaongea , ndo maana wenzetu wanatushinda