BINTI ALIYEJISALIMISHA KWA KUHANI MUSA KUTOKA KWENYE CHAMA CHA KICHAWI - SHUHUDA

  Рет қаралды 128,643

NGOME YA YESU KRISTO

NGOME YA YESU KRISTO

Күн бұрын

Пікірлер: 158
@Shalom2018
@Shalom2018 2 жыл бұрын
Ushauri wangu hicho kingereza kingekuwa kinaandikwa chini hapo wakati mtu anashuhudia
@barikiisaya4254
@barikiisaya4254 Ай бұрын
Mungu wetu anatenda jaman.Mungu akutunze kuhani wa Yesu
@marthamartha2677
@marthamartha2677 2 жыл бұрын
Amina mtumishi wa Mungu nakupada nikiwa Lebanon lakini nyumbani ni Kenya, ninahitaji maombi yako sana na msiti kuparikiwa 🙏🙏
@josephobegi
@josephobegi Жыл бұрын
Powerful testmony helping
@ashuramachinja
@ashuramachinja 3 ай бұрын
Ashura Mrisho naomba ufichue family yangu na ndoa yangu mji wangu piya
@ZipporahNyanchama-n4v
@ZipporahNyanchama-n4v 3 ай бұрын
Amen baba ubarikiwe
@nebartmwakibinga7064
@nebartmwakibinga7064 2 жыл бұрын
Karibu sana Ngomeni kimara Temboni kwa Kuhan na mwl Musa Richard Mwacha
@joycewafula935
@joycewafula935 2 жыл бұрын
English sound is so loud 🔊🔊🔊🔊 than testimony why
@kevinntibonera
@kevinntibonera 4 ай бұрын
Amina mtumishi wa Mungu.Mungu wa uruma akuzidishiye upako.mimi ni kevin.naishi Malawi🇲🇼
@josefomoises9521
@josefomoises9521 Жыл бұрын
Saut ya kingeleza Kiko juu sana
@dottomushaija8981
@dottomushaija8981 Жыл бұрын
Amina
@officiallee1413
@officiallee1413 2 жыл бұрын
Mkalimani jmn bora akae kimya tunatoka uweponi 😭😭
@elizabethnafunamakhanu8942
@elizabethnafunamakhanu8942 2 жыл бұрын
Waah nilikuwa sijawai watch hii Mungu saidie watoto wetu nasi pia barikiwa mtumishi wa Mungu
@SalomeJulius-ss7ie
@SalomeJulius-ss7ie Жыл бұрын
Baba lao nikupendeje au nikushukulu vp maana mungu kakuleta wakati sahihi mungu akupe miaka milioni na saidi🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@magdalineajabu3057
@magdalineajabu3057 2 жыл бұрын
Yesu wa ngomeni Aishi milele🙏🙏🙏
@ashamakokha9588
@ashamakokha9588 2 жыл бұрын
Hiyo sauti ya translation to English sometimes no need
@isayleonard6267
@isayleonard6267 2 жыл бұрын
Kabisaaa not need
@davidelias6730
@davidelias6730 2 жыл бұрын
Kabisa
@zainaanita6471
@zainaanita6471 Жыл бұрын
That’s true 😀😀😀
@ombenijulius4640
@ombenijulius4640 Жыл бұрын
Hii ni kwa watu wa nje ambao hawajui swahili inawasaidia
@asmakimari8392
@asmakimari8392 Жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe kwajina naitwa upendo Fred nimebarikiwa watoto wawili wakwanza anaitwa Lucas's na wapili anaitwa mikaeli naomba utuombee mwanangu wapili Ana umwa umwa tuombee mtumishi wa mungu tuombee tunaomba
@josephobegi
@josephobegi Жыл бұрын
Amen
@maryamayitsa6181
@maryamayitsa6181 2 жыл бұрын
Mungu atusaidie tuweze kuwatambua🇰🇪🇰🇪.
@rogersiddy
@rogersiddy 11 ай бұрын
Amina🙏
@chazyshadrack2558
@chazyshadrack2558 2 жыл бұрын
aminaaa baba 🔥🔥
@JacksonJames-bu5yk
@JacksonJames-bu5yk Жыл бұрын
Àminaaaah
@MarthaThomas-wp4yi
@MarthaThomas-wp4yi Жыл бұрын
Mungu azitetee familia zetu Kwa jina la yesu
@LydiaNasimiyu-h1n
@LydiaNasimiyu-h1n 7 ай бұрын
Ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ❤❤❤❤❤ ameeeeeen barikiwa sana
@gracekomba6291
@gracekomba6291 Жыл бұрын
Baba Mungu akutunze tunapokea uponyaji ktk jina la Yesu
@sweetletmushi2801
@sweetletmushi2801 Жыл бұрын
Amen Baba !
@coletasilayo8771
@coletasilayo8771 2 жыл бұрын
Amina .Yesu ni Muweza
@joycekunyanja1027
@joycekunyanja1027 2 жыл бұрын
Huyo mkali man apunguze sauti.Mungu awabarik sana
@agnessmalyeek9387
@agnessmalyeek9387 Жыл бұрын
Unayetafisiri English mwachie mda wa kiswahili afu tafisiri sawa,baba mungu akuongezee
@dorissmrosso7420
@dorissmrosso7420 2 ай бұрын
Kingereza kiondolewe hatuelewi sauti IPO juu sana
@bertilambiro2956
@bertilambiro2956 2 жыл бұрын
Jaman nimewapendaaa
@vickystellah3194
@vickystellah3194 2 жыл бұрын
Ubatikiwe sana Kuhani wa Mungu. Asante
@adisabetty2173
@adisabetty2173 Жыл бұрын
Amina balikiwa Baba
@SmilingJellyFish-vf6xy
@SmilingJellyFish-vf6xy 8 ай бұрын
Mungu. Mungu. Yajamani bariki Nabii Musl Lichard Mwacha.
@benganabenjamin3304
@benganabenjamin3304 Жыл бұрын
Yesu wa kuhani Musa namimi ndani ya wanangu nisaidiye icho chama watoke ndani nisaidiyi
@RashdaShabani
@RashdaShabani 6 ай бұрын
🤗🤗🤗🤗❤️
@ainekishagodwin1877
@ainekishagodwin1877 Жыл бұрын
Unaetafsri acha mala moja unatualibia
@mariselabuya8562
@mariselabuya8562 Жыл бұрын
Amina🙏🇰🇪👏
@msukumamama6211
@msukumamama6211 2 жыл бұрын
Yesu kristo wa mbinguni tusaidie hivi vizazi vyetu
@clarissengalila402
@clarissengalila402 Жыл бұрын
Yesu wagomeni aishi milele
@judiehance1736
@judiehance1736 2 жыл бұрын
Huyo wa kiingereza Bora anyamaze anaondoa watu katika uwepo
@josephobegi
@josephobegi Жыл бұрын
Aidi milele
@stellahokworo6561
@stellahokworo6561 2 жыл бұрын
Naomba baba uniombee naota ndoto za ajabu ajabu
@lizlovedbyGod
@lizlovedbyGod 2 жыл бұрын
Huyo mzungu jamani mnyamazisheniiiiii....anatupigia fujo aiseeh.
@MathaWilliam-c3c
@MathaWilliam-c3c 11 ай бұрын
Amenenepa vizuri! Uchawi hauna maana kwelii
@dolphinemotondi6520
@dolphinemotondi6520 2 жыл бұрын
Yesu wa ngomeni ni waajabu
@valenakomba7686
@valenakomba7686 2 жыл бұрын
AISHI MILEEEEEEEEEEEEEEEEEEE BWANA YESU WA NOMENI. ASANTE YESUU
@gloriamichael7935
@gloriamichael7935 2 жыл бұрын
Mungu Baba tusaidie tuombe bila kukoma kwa msaada wetu uko kwako daima
@zenaalex5824
@zenaalex5824 2 жыл бұрын
Mungu azidikuku Linda mtoto
@gracenyamisa8703
@gracenyamisa8703 2 жыл бұрын
🙆🙆Mungu wangu tukinge na yote ya dunia
@rehemadamas994
@rehemadamas994 2 жыл бұрын
Asante baba kwa neno
@zenaalex5824
@zenaalex5824 2 жыл бұрын
Mmmm Mtoto unaogopesha
@IbrahimHassan-yc2nk
@IbrahimHassan-yc2nk 3 ай бұрын
hakika baba una weza
@valenakomba9218
@valenakomba9218 2 жыл бұрын
Kwa Jina ka Yesu Ameshindwa shetani.
@kkjustn8385
@kkjustn8385 2 жыл бұрын
Shetani shinda kwajina layesu amen amen 🙏
@kkjustn8385
@kkjustn8385 2 жыл бұрын
Amen amen
@josephobegi
@josephobegi Жыл бұрын
Yesu wa ngomeni aisi milele
@lilyaline5671
@lilyaline5671 2 жыл бұрын
Nasisi wakazi wa Burundi usitusahawu
@estherfaidamalkia4021
@estherfaidamalkia4021 2 жыл бұрын
YESU wa NGOMENI AISHI MILELE ANATISHA
@queenesther2639
@queenesther2639 2 жыл бұрын
Mwenye kutafisili anazuia kusikia vizuri
@jennifernyongesa2713
@jennifernyongesa2713 4 ай бұрын
The translator is not necessary Just interfering
@msukumamama6211
@msukumamama6211 2 жыл бұрын
Aisee duniani kuna mambo
@neematairo3964
@neematairo3964 2 жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@esaiehakizimana5783
@esaiehakizimana5783 2 жыл бұрын
Mungu wetu. ni mwema sana na Damu ya Yesu Kristo ni ya aajabu
@sylvia3999
@sylvia3999 2 жыл бұрын
Amen 🙏🙏
@jumannemasanja1815
@jumannemasanja1815 2 жыл бұрын
Hakika yesu anaweza.
@RizikiMaria-o9b
@RizikiMaria-o9b 8 ай бұрын
Yesu nimwema
@ilumvalameck1901
@ilumvalameck1901 Жыл бұрын
Mungu simamia uzazi wetu🙏🙏🙏
@jumannemasanja1815
@jumannemasanja1815 2 жыл бұрын
Jamani wamama msiwashawishi watoto kuingia kwenye uchawi muogopeni mungu.
@angelalaizer3895
@angelalaizer3895 2 жыл бұрын
Akishaongea ndio utafsiri we hatukusikii na huyo binti hatumsikii😱
@AzinaKitery
@AzinaKitery 3 ай бұрын
Nimeituma sadaka yangu Kwa ajili ya kujifungamsnisha na wewe ili unitoe kwenye mateso na wanangu
@djumazuena52
@djumazuena52 2 жыл бұрын
Mungu wa ngomeni na mimi nitasa unikumbuke na mimi nipate kuzaha
@cutenicely4766
@cutenicely4766 2 жыл бұрын
That's translation to be secere inabore coz sometimes no need...
@thepastorgeremi9613
@thepastorgeremi9613 Ай бұрын
Mtumishi naomba msaada wa maombi ysko
@AzinaKitery
@AzinaKitery 3 ай бұрын
Nisaidie mwanangu taus atoke kwenye mateso hayo us ukichaa
@bonabonaza5066
@bonabonaza5066 Жыл бұрын
Mungu mwema
@MoraniLesoile-rz1qy
@MoraniLesoile-rz1qy Жыл бұрын
Dah mtoto una roho ngumu sana dah baba ako alokulea miaka yote na kukusomesha umuue kisa cheo tuzudi kuomba kwa imani sana😢😢😢😢😢
@rogersiddy
@rogersiddy 11 ай бұрын
Unadhani ni yeye basi roho chafu aliopandikizwa na uyo aliemfundisha uchawi na hao sio kama wanachukuliwa wanajielewa wakiwa usingizini taratibu badae anabadilika sasa yaan hao wakuuwa wote wanaowafosi kuwaingiza watoto kwenye kazi ya hovyo
@eazyentertainment5570
@eazyentertainment5570 2 жыл бұрын
huyo mkalimani ni useless kabisa kaharibu upako kabisaa, msimrudishe tena
@elesiathoha8586
@elesiathoha8586 Жыл бұрын
Huyu mtumishi yupo tz au Kenya?
@hidayangoda4724
@hidayangoda4724 2 жыл бұрын
Tunabarikiwa sana but huyo anayeongea ki ingereza anatuchanganya🙏
@joycezuliaka9168
@joycezuliaka9168 2 жыл бұрын
Pray for me please 🙏
@rozebone2368
@rozebone2368 2 жыл бұрын
Jamani sis wanene utuombee Mtumishi w MUNGU duh ila WEWEKUHANI unasaidia sana
@joycemabariki9303
@joycemabariki9303 2 жыл бұрын
YESU ni BWANA
@josephobegi
@josephobegi Жыл бұрын
Wakufe kabisa ata wa kwangu
@lonickdavid3637
@lonickdavid3637 2 жыл бұрын
amina
@bahatirobert1009
@bahatirobert1009 Жыл бұрын
Mkalimani tulia unapoteza upako
@MageAwe-hl5zb
@MageAwe-hl5zb 11 ай бұрын
Najiungamanisha
@asmakimari8392
@asmakimari8392 Жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏tuombee mtumishi
@blandinatogolai1620
@blandinatogolai1620 Жыл бұрын
Heeee uyo Binti
@anaeltenga123
@anaeltenga123 2 жыл бұрын
Ameena
@carolus9831
@carolus9831 Жыл бұрын
huyo anayetafsiri kiingereza please, you are making it hard for us to get the point
@lightessmbweli7624
@lightessmbweli7624 2 жыл бұрын
Hahahahaa Yesu tusaidie jomon
@asmakimari8392
@asmakimari8392 Жыл бұрын
Tuombee mwanangu amekuwa anasumbuliwa na marazi naomba maombi yako mtumishi wa yesu naomba ningekuwa wakulia kila Mara mwanangu anasumbuliwa naomaoma
@daynadiny3791
@daynadiny3791 Жыл бұрын
🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔😭😭😭😭😭
@swahili24live56
@swahili24live56 2 жыл бұрын
Mtafsili anahalibu SAUTI yake ipo juu iwe chini
@janetchinga5617
@janetchinga5617 2 жыл бұрын
Jamani Jamani Dunia ina mambo mungu nisaidie
@joycewafula935
@joycewafula935 2 жыл бұрын
Amen 🙏
@evajoseph8113
@evajoseph8113 2 жыл бұрын
Sauti ya mkaliman iko juu sana
@gracezunda8804
@gracezunda8804 Жыл бұрын
Ameeeeeeeeeeen
@frankrichard3491
@frankrichard3491 2 жыл бұрын
Mtumishi napataje connection npo mwanza
@josephabel4980
@josephabel4980 2 жыл бұрын
freshng
@rosemzava5149
@rosemzava5149 2 жыл бұрын
Mmmmmh🙌
@beninairera3387
@beninairera3387 2 жыл бұрын
Shalom shalom nimefulahi kumufata mutumishiwamungu nambanambayake kweli
@agnessmpemba7121
@agnessmpemba7121 2 жыл бұрын
Jamani naombeni namba zenu za wasapu
@fatmaomary3981
@fatmaomary3981 2 жыл бұрын
Jamani
UNABII MZITO WA KUHANI MUSA KWA MTOTO ALIYEOZA MKONO
12:09
NGOME YA YESU KRISTO
Рет қаралды 44 М.
Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:20
Leisi Crazy
Рет қаралды 79 МЛН
哈莉奎因怎么变骷髅了#小丑 #shorts
00:19
好人小丑
Рет қаралды 56 МЛН
From Small To Giant Pop Corn #katebrush #funny #shorts
00:17
Kate Brush
Рет қаралды 72 МЛН
Rose Muhando Si Salama
8:07
Africha Entertainment
Рет қаралды 2 МЛН
MAOMBI YA KUTIKISA MISINGI YA MIZIMU YA KIUKOO
38:35
NGOME YA YESU KRISTO
Рет қаралды 47 М.
JOKA LILILOFUNGA KIZAZI CHA DADA HUYU KUPITIA NDOTO LAKAMATWA MADHABAHUNI
10:53
LIVE:MASANJA ANAHUBIRI KANISANI KWAKE
1:18:36
FEEL FREE CHURCH Dar es salaam
Рет қаралды 70 М.
Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:20
Leisi Crazy
Рет қаралды 79 МЛН