BINTI LATIFA PART 1: SIMULIZI FUPI BY Beatrice Mshana

  Рет қаралды 9,117

SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix

SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix

Күн бұрын

Пікірлер: 35
@christinahaule-p8i
@christinahaule-p8i 2 ай бұрын
mr ashimu ni baba mwenye matamanio sana yani Latifah nikama binti yake kwa nn ameamua kumuingilia kimwili na kumtoa usichana wake ❤❤❤
@Sss-b9w6f
@Sss-b9w6f 2 ай бұрын
Mashaal asant 1❤❤🎉🎉
@ZakiaJongo-ey9xy
@ZakiaJongo-ey9xy 2 ай бұрын
Jamn leo nimekuwa wapili❤🎉🎉
@Rais__772daughters
@Rais__772daughters 2 ай бұрын
Huyuu binti alifeli mtihani na maisha pia yaani
@AnnaMelikion
@AnnaMelikion 2 ай бұрын
😂😂😂unauhakika tayar umeshaimaliza kuisikiliza yote Ndio ukacoment dear
@Rais__772daughters
@Rais__772daughters 2 ай бұрын
@@AnnaMelikion kipenzi Latifa kanishida tabia ameshidwa tuh kumkomesha huyuuu babu kizeee sijapenda☹️😂
@Naaima-c7e
@Naaima-c7e 26 күн бұрын
😂😂😂​@@AnnaMelikion
@lonakirao5275
@lonakirao5275 2 ай бұрын
Latifa umetisha mdogo wangu,mwanzo ulitia huruma ila sasa unatia kichefuchefu jamani, umeshakua zabania kugombanisha mabwana tena familia moja😢
@AAa-it7nx
@AAa-it7nx 2 ай бұрын
Huyu dada hana akili yaani utachanganya vipi familia nzima huyu dem ni ubwa aki nachukia watu kama hawa hawa
@StellaSanga-wq4po
@StellaSanga-wq4po 2 ай бұрын
Hana kosa Baba kama hawa malipo ndo hayo
@WwEe-qc7tc
@WwEe-qc7tc 2 ай бұрын
Duuuh Latiffa kumbuka unajuwekezea hatina yaunayo watendea wengine
@victoriangasa
@victoriangasa 2 ай бұрын
❤❤❤❤🎉🎉
@AnnaMelikion
@AnnaMelikion 2 ай бұрын
Latifa sio wa kumlaumu San jamani 😢😢😢 Nae ni binadamu kaeni mfikilie ni mangapi amefanyiwa na kutendewa 😢😢 Nashangaa weng mmemtupia San shutuma .je mmeshavivaa viatu vyake na mkafikilia ni mangap ya yaliyomkuta???Hapo wa kulaumiwa kabisa ni shangazi yake Latifa hao Ndio wameharibu maisha ya huyu Binti latifa
@Aishwaraimasiennah
@Aishwaraimasiennah 2 ай бұрын
Kweli kabisa
@AnnaMelikion
@AnnaMelikion 2 ай бұрын
@@Aishwaraimasiennah Umeona dear.yote yaliyotokea Latifa sio ya kujitakia yeye bali ni binadamu Ndio wanamfanya aonekane kuwa yy n mtu mbaya mpka katolewa usichana wake yot hayo ni kutokana na shangazi yake kumtimua pale nyumban 😢
@MwanatumuJumaa-rj4fg
@MwanatumuJumaa-rj4fg 2 ай бұрын
Lakini hii story haina uhalisia .ila.tumeburudika.n Tumepata.somo.kiasi
@swabrarashidi1082
@swabrarashidi1082 2 ай бұрын
Kama mtu vile
@swabrarashidi1082
@swabrarashidi1082 2 ай бұрын
​@@AnnaMelikionSasa ndo ulie
@sarahmathew6214
@sarahmathew6214 Ай бұрын
❤❤
@bintimrope
@bintimrope 2 ай бұрын
4😊
@Evelynmoreen3655
@Evelynmoreen3655 2 ай бұрын
Ila huyu Latifa kwanini ange achana na salimu maana aritembea na baba yake watu wanamiyoyo migumu kama jiwe Latifa Latifa sijapenda kabisa. Nahuyo baba yake salimu alifanya makusudi kuto kufuatilia mali za Latifa maana ni haki yake. Ila Latifa kutembea na baba na watoto zake wa kiume umenishinda tabiya we Latifa.
@AlulaJunior
@AlulaJunior 2 ай бұрын
Hajitambui huyo latifa Ani anajizima dhata
@LovenessMsangi-u7r
@LovenessMsangi-u7r 2 ай бұрын
Lakini kwa nini walimubaka hayo ndio malipo
@Evelynmoreen3655
@Evelynmoreen3655 2 ай бұрын
@@LovenessMsangi-u7r sasa ndo atembeye na wanaume wote wenye familia moja 🥺🥺🥺🥺🥺
@uwimanaLatifa-q4u
@uwimanaLatifa-q4u 23 күн бұрын
Kwanini latifa jamani😂😂😂😂😂😂😂😂😂daaaaahh
@AleKhan-k3z
@AleKhan-k3z 2 ай бұрын
Umelaaniwa ww latifa yaani unakula kuku na mayai yake pumbavu kabisa
@marthasonia5005
@marthasonia5005 2 ай бұрын
😅😅😅😅🤔
TAMARA | SIMULIZI TAMU YA SAUTI BY Beatrice Mshana
1:33:59
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 12 М.
SIMULIZI YA SAUTI : FEEL MY HEART ❤ SEHEMU YA: 01
22:17
SUMMY STORIES.
Рет қаралды 521
Synyptas 4 | Арамызда бір сатқын бар ! | 4 Bolim
17:24
didn't manage to catch the ball #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 33 МЛН
啊?就这么水灵灵的穿上了?
00:18
一航1
Рет қаралды 57 МЛН
BINTI AMELIA PART 1 SIMULIZ FUPI BY Beatrice Mshana
3:30:50
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 8 М.
Jua Kali Leo Ijumaa Usiku 18-10-2024
21:21
KASKAZINI - Tv
Рет қаралды 8 М.
BETINA 01: NILIOLEWA NIKIWA NA MIAKA 37
29:22
BONGO VIBES
Рет қаралды 200
NANAH (LOVE & COMEDY): simulizi fupi ya sauti
3:52:31
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 47 М.
MREMBO KICHAA: SIMULIZI FUPI YA SAUTI
2:21:24
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 6 М.
POPOTE TU NI SAWA, INGIZA TU
43:16
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 558 М.
MAIMUNA BINTI KIKONGWE
2:01:27
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 39 М.
SISTER MELINA: SIMULIZI FUPI YA SAUTI.
3:33:05
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 29 М.
LISA : SIMULIZI FUPI YA SAUTI.
1:27:53
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 5 М.
Huba Leo Ijumaa Usiku 18-10-2024
21:26
KASKAZINI - Tv
Рет қаралды 9 М.
Synyptas 4 | Арамызда бір сатқын бар ! | 4 Bolim
17:24