BINTI LISA - PART 78

  Рет қаралды 28,092

Ankojay Simulizi

Ankojay Simulizi

Күн бұрын

Sahau. Binti yake, ambaye alikuwa mtalikiwa, sasa alikuwa pamoja na Ian, ambaye hakuwahi kuoa hapo awali.

Пікірлер: 342
@Merrylukas-uz6sr
@Merrylukas-uz6sr 4 ай бұрын
Timu jeska naforest tuonane💖💖💖💖💖💖💖
@KhadijakassimMwaipaya
@KhadijakassimMwaipaya 4 ай бұрын
❤❤❤❤
@FatumaRamadan.Mwalim
@FatumaRamadan.Mwalim 4 ай бұрын
Tupo
@Mgeni-w3o
@Mgeni-w3o 3 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@ElizabethNdaga-nr7nc
@ElizabethNdaga-nr7nc 3 ай бұрын
tupo pamoja ❤❤❤
@MaryRenatus
@MaryRenatus 4 ай бұрын
Timu binti lisa 🎉🎉 naomba like people of Anko J 🙏
@yusrambodze3804
@yusrambodze3804 4 ай бұрын
Tuliomisi familia ya lissa na Alvin tujuane kwa like jamani😢
@BethMdoe
@BethMdoe 4 ай бұрын
Me namis sana watoto Lucas &Suzy
@KaviraDivine
@KaviraDivine 4 ай бұрын
​@@BethMdoena mipia na suburi sana niki isikiliza dhaaaa
@nahimanahawa
@nahimanahawa 4 ай бұрын
Mi kwasasa binti lisa iko toka ao isitoki mi sijali maana sehem ya Alvin na lisa kwasasa wamepoa tumefikia kwa jesca ss
@KhadijakassimMwaipaya
@KhadijakassimMwaipaya 4 ай бұрын
Yan.matajiri.bana
@FatimaRamadan-s4f
@FatimaRamadan-s4f 4 ай бұрын
Kumbe tupo wengine mm naiweka kiporo Nita sikiliza kesho inshallah ​@@nahimanahawa
@maseleenaesleen8149
@maseleenaesleen8149 4 ай бұрын
Yani Binti Lisa saa hii c tamu kama mwanzo lakini nikiona najikuta na smile😂😂❤❤
@Babyfaty-m3y
@Babyfaty-m3y 4 ай бұрын
Umeona eeh 😂😂😂😂😂
@UmayyaNkya-ze3ri
@UmayyaNkya-ze3ri 4 ай бұрын
Bora iwe bint jesca ama binti pamela😂😂
@user-mp1eo9nr8p
@user-mp1eo9nr8p 4 ай бұрын
​@@UmayyaNkya-ze3riwabadili jina2
@EstherMedda
@EstherMedda 4 ай бұрын
Mie sikuhizi sisikilizi ikifika pazuri mtanambia😂😂😂
@Babyfaty-m3y
@Babyfaty-m3y 4 ай бұрын
@@EstherMedda me ingekuw natumia MB nicnge sikiliz lkn WiFi ya bure naskiliz tu mpk ifike pzr
@monicahndirangu6764
@monicahndirangu6764 4 ай бұрын
Likes Kwa forest na jesca wale tunapenda the couple
@nahimanahawa
@nahimanahawa 4 ай бұрын
Team jesca mpooo kumechangamka kwasasa
@DorcasMuomba-gd3sw
@DorcasMuomba-gd3sw 4 ай бұрын
Ila kichomi Pamela yupo
@mildredalivitsa1186
@mildredalivitsa1186 4 ай бұрын
❤Timu jesca tuendele kumpongeza forest and jesca kwa mausiano yao mpaka mwisho 🙏👍👂
@fadhiliachinda418
@fadhiliachinda418 4 ай бұрын
Wa kwanzaaa my family of Binti lisa ♥️♥️ like zangu jamani 🥰 Nawapenda sanaaaaa
@MwanatumuJumaa-rj4fg
@MwanatumuJumaa-rj4fg 4 ай бұрын
🎉🎉🎉
@MaryRenatus
@MaryRenatus 4 ай бұрын
Nakupenda pia
@RoseMbuya-cn5dg
@RoseMbuya-cn5dg 4 ай бұрын
Wadau WA anko jay mpoo jay utatufunza mengi sana na simulizi mashabiki WA anko na sisa na Lisa mwala na Pamela nione like zenu kwa wingi 🎉🎉🎉🎉
@kas6754
@kas6754 4 ай бұрын
Nachukia watu wa kucomment kabla ya kusikiliza Hadi mwisho, na kama unaona siyo tamu nani kakuita chefuuuuh, Toka tupishe sisi tunaelewa na tunapenda Sana, sikiliza Hadi mwisho ndo ucomment alaaah
@ankojay_
@ankojay_ 4 ай бұрын
Wasikuumize kichwa hao 😂
@RahmataMuhsin
@RahmataMuhsin 4 ай бұрын
Nikweli
@evalinekanguha8770
@evalinekanguha8770 4 ай бұрын
Ankojay endeleza Hadi part 200 wasioipenda watuachie nafasi waache kututia kichefchefu na enjoy kutoka Kenya.​@@ankojay_
@EdithaJoseph-zt2xu
@EdithaJoseph-zt2xu 3 ай бұрын
​@@ankojay_ kumbe na wewe ni disminder😂😂😂
@Syviahalex
@Syviahalex Ай бұрын
Waambie waskie,wanabore sana na izo comment zao chefuuu,sisi tunaipenda iwe ya pamela jesca bora binti lisa
@TeklaNdekeja
@TeklaNdekeja 4 ай бұрын
Ankojy mapesa ubalkiwe Sana unajali wadau wako , familia mukopoa naomba Salam zenu🌹🌹🌹🏃
@agnesagnes5288
@agnesagnes5288 4 ай бұрын
Pokea salamu yangu bbygal shikamoo ❤
@TeklaNdekeja
@TeklaNdekeja 4 ай бұрын
@@agnesagnes5288nashukuru
@EliasMwakanyamale-ru9zt
@EliasMwakanyamale-ru9zt 4 ай бұрын
Asante sana Anko jay MUNGU azidi kukupa afya njema Kila itwapo Leo kazi nzuri sana MUNGU mwema azidi kukupa afya njema Kila siku zote
@FatumaRamadan.Mwalim
@FatumaRamadan.Mwalim 4 ай бұрын
Amin
@Polite901
@Polite901 4 ай бұрын
Kiukweli napenda life style ya watu waliopo kwenye hii simulizi, naenjoy mno jamani, nashangaa wengine wanasema hainogi,aiiiiiiiii kwendeni huko, sisi tunaendelea kuenjoy na binti lisa wetu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@EdithaJoseph-zt2xu
@EdithaJoseph-zt2xu 3 ай бұрын
♥️♥️
@anyessemathias2657
@anyessemathias2657 3 ай бұрын
Yaani wewe kama mimi wananikera kweli wanaomlalamikia msimuliaji kama yeye ndio muandishi sijuj wanataka sehemu zingine zirukwe ili wawekewe kwa Lisa tu
@EdithaJoseph-zt2xu
@EdithaJoseph-zt2xu 3 ай бұрын
@@anyessemathias2657 kweli dear wanakera ni kama wanataka anayepika ugali aruke stage ya kusonga ugali atoe ugali mbichi😅
@susansamira8137
@susansamira8137 3 ай бұрын
Jamani Binti lisambona tumemiss kaka Ankojay tuletee jameni twaugua
@NadzuwaGofwa
@NadzuwaGofwa 4 ай бұрын
Asant Ankojay kepenzi cha watu tunakupenda Sana brother ❣️❣️💖💖🥀🥀⚘️🌹🌾🌷😊
@ruthwaithera2650
@ruthwaithera2650 4 ай бұрын
❤❤❤❤❤siku hizi lisa haina ladha..kaah!!!siturudi kwa Alvin na lisa ama twende kwa chester na eliza...aaahhh!!!!!!!!!!!
@TPW_FLUXY
@TPW_FLUXY 4 ай бұрын
Kila mtu na kipengere chake
@craterthedog8472
@craterthedog8472 4 ай бұрын
Haina latha sanaa
@NsimireMurumbi
@NsimireMurumbi 4 ай бұрын
Wata sumulia niniatena kuhusu Lisa n'a Alvin wamemaliza yao bwana, acha tusikie wengine nap, kuna bakia tu tusikie Lisa wa unge ndowa basi
@ruthwaithera2650
@ruthwaithera2650 4 ай бұрын
@@NsimireMurumbi wee nyanya kizee..ukitaka kutoa maoni ni sawa lakini pale chini si kwa hii yangu.hii ni maoni yangu si yako
@NsimireMurumbi
@NsimireMurumbi 4 ай бұрын
Kweli wewee ni nyanya kiidhaa kabisa
@ndikumanaannaa5259
@ndikumanaannaa5259 4 ай бұрын
tunakumbuka bibi kimaru na bwana kimaru na rucas na suz🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
@Shadia544
@Shadia544 4 ай бұрын
Haya sasa mambo yanazidi kuwa moto🔥🔥🔥simulizi tamuu sanaa leo mapema tuu ✌️✌️✌️
@PhoebeWafula-d6c
@PhoebeWafula-d6c 4 ай бұрын
hii tamu jamani forest Ako in love ata kauzo anaweza kutabasamu na hisiya zuri 👏👏👏kwa forest
@FatumaRamadan.Mwalim
@FatumaRamadan.Mwalim 4 ай бұрын
😊😊😊
@Sss-b9w6f
@Sss-b9w6f 4 ай бұрын
Mashaal asant sana kwasimurinzi
@lonakirao5275
@lonakirao5275 4 ай бұрын
Wanasema kawia lakini ufike tupo tena na binti Lisa shukrani sana Ankojay ❤❤❤
@happyalberto8903
@happyalberto8903 4 ай бұрын
Timu new couple jesca na forest
@violethezekiel251
@violethezekiel251 4 ай бұрын
Hee! Kumbe mambo hadharani,, Asante Anko Jay, Mungu akutunze
@neemamwandri3320
@neemamwandri3320 4 ай бұрын
Yaan ninavyo subiri kipnde cha chesta na eliza uwiiii
@nahimanahawa
@nahimanahawa 4 ай бұрын
Kwasasa jesca ananyoosha watu ukuu apa naweza kuendea kusikilia binti lisa maana jesca ni mtata mi napenda watu km jesca wallah
@jamilanahimana-wc4nd
@jamilanahimana-wc4nd 4 ай бұрын
Jesca n'a foreste wako vizuri
@WwEe-qc7tc
@WwEe-qc7tc 4 ай бұрын
Hata mimi pia hii nitamu mnoo
@mamudequeen
@mamudequeen 4 ай бұрын
Jesca ni km lisa hataki kuonewa lkn Pamela ni muoga sanaaaa
@suzanarogath2696
@suzanarogath2696 3 ай бұрын
ankoj unatubania sehem ya79
@mozabayabanda4248
@mozabayabanda4248 4 ай бұрын
Anko una akili nyingi sana mungu zaidi kukubari sana kwa kazi ambazo una tuleteya kila siku❤❤❤❤❤❤❤
@sephrinewarenga2745
@sephrinewarenga2745 4 ай бұрын
Wow,listening from Kenya Much love
@Evelynmoreen3655
@Evelynmoreen3655 4 ай бұрын
Ila Anko umetupiga nakitu kizito hiyo Canberra ipo kenya ama 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@agnesdondo-dz1ml
@agnesdondo-dz1ml 4 ай бұрын
Aaaaaah Asante sana Ankojay Mungu akubariki SANA ninakuombea
@FatumaRamadan.Mwalim
@FatumaRamadan.Mwalim 4 ай бұрын
Amin
@neemamwachepha213
@neemamwachepha213 4 ай бұрын
Hayaaaaa Fatima imefika tuko poa sana anko mapema chukua 🎉🎉🎉🎉🎉 much love ❤❤
@LailaKibonge
@LailaKibonge 4 ай бұрын
Wowooo 56 leo.., akojay pokea🌺🌺💐💐 yako asee
@user-fv5se6iu9r
@user-fv5se6iu9r 4 ай бұрын
Humu ndani wanawake ndio Wana nguvu kuliko wanaume kuoa na kuolewa❤❤
@FatumaRamadan.Mwalim
@FatumaRamadan.Mwalim 4 ай бұрын
Pesa inaongea
@aminah9557
@aminah9557 4 ай бұрын
Jamani tumemiss suzy na lucaxy 😢😢
@MelisaSelena
@MelisaSelena 4 ай бұрын
Yaaani sijuw wamehifadhiwa wapi jaman!!!
@PaschaziaSezari
@PaschaziaSezari 4 ай бұрын
Hongera anko j mambo yanazidi kuwa mazuri
@KhadijaKassim-k8d
@KhadijaKassim-k8d 4 ай бұрын
Nimewahi . Asante sana ankojay Allah akulipe kheri Inshaallah ❤❤❤❤
@Nawmi-p9b
@Nawmi-p9b 4 ай бұрын
Hii si bint Lisa tena
@MaryamMaryam-n1j
@MaryamMaryam-n1j 4 ай бұрын
Kweli inabid abadilishe jina tu
@NadzuwaGofwa
@NadzuwaGofwa 4 ай бұрын
Mimi hapa ni team Jessica na forest
@binthassan9191
@binthassan9191 4 ай бұрын
Ukipenda mwanaume kwa moyo wako mmoja na mwanaume alitambue hilo ,,ama kwa hakika huyo mwanaume atachukua advantage kwa penzi lako la kweli kwake
@FatumaRamadan.Mwalim
@FatumaRamadan.Mwalim 4 ай бұрын
Hao wanaume wapo kweli kama Forest mkiachana asubuh jioni amepata mpya
@binthassan9191
@binthassan9191 4 ай бұрын
@@FatumaRamadan.Mwalim 🤣🤣🤣🤣huwa kashamueka mwengine waakiba🤪🤪
@tusifuesther4833
@tusifuesther4833 4 ай бұрын
Asante sanaa ankojay, haki naomba Mungu wazazi wa Pamela wakubalii jesca ,juu Jessica nimwanamke hodari tena mzuri.
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 4 ай бұрын
Aoe mwingine,atoe idhini mwingine nayakataa hayo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@peninahmmbone4648
@peninahmmbone4648 4 ай бұрын
Asante Ankojay listening 🎧🎧 from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤❤
@marry-dh9bm
@marry-dh9bm 4 ай бұрын
nimewahi jamani natumaini mtanihurumia hata kwa like tano tu
@jasminmohagthari3730
@jasminmohagthari3730 4 ай бұрын
Aweeeeh ulijuaje kama niko boad mda muwafaka kabisaa umelete vitu ancol❤❤❤❤
@ThurayaAlsuwedi
@ThurayaAlsuwedi 3 ай бұрын
Salam ankojay natumai uko salama simulizi mzuri hio sana Binti Lisa kwa ivo natumai tutapata sehemu ya 79 Kwa ham kubwa ❤❤❤❤❤
@shakiramohamed8824
@shakiramohamed8824 4 ай бұрын
Kuna watu wana lala Hapa KZbin 😂😂😂😂
@RoseMbuya-cn5dg
@RoseMbuya-cn5dg 4 ай бұрын
Wadau sasa itakuaje jesca na iani ni ngugu na dada huku Pamela na phoctin ni ngugu na dada apo sasa itakuaje na mapenzi ya menogaa mgonge hapo like😂😂❤🎉
@maseleenaesleen8149
@maseleenaesleen8149 4 ай бұрын
Sasa phostin ni nani mbona hakuna mtu mwenye Hilo jina na ngugu ni nn😅😂😂😂
@SaumuIssa-zl1vy
@SaumuIssa-zl1vy 3 ай бұрын
​@@maseleenaesleen8149😂😂😂😂😂😂😂😂
@AishaFavoured
@AishaFavoured 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@tinershayo6191
@tinershayo6191 4 ай бұрын
Mama pamera mmbeya mpaka umbea unamshuka sasa tuone 79😂😂😂😂😂
@saumuhamisi9285
@saumuhamisi9285 4 ай бұрын
Nko hapa Kwa kuona Lisa tulizo la moyo
@aumuelly2909
@aumuelly2909 4 ай бұрын
Ahsante bwana anko Jay simulizi ❤❤❤
@FatmaHassankhamisi
@FatmaHassankhamisi 4 ай бұрын
Asante anko jey Yani siku hizi Raha tu 🇴🇲🇴🇲🎉🪑🪑🪑🎧🎧🎧
@halimahemed8389
@halimahemed8389 4 ай бұрын
Ahsante Anko jay🎉🎉🎉 ndo kwanza mambo yananoga
@mariamsaidi1658
@mariamsaidi1658 4 ай бұрын
I miss Lisa na watoto wake❤
@user-hu5qi4nl1i
@user-hu5qi4nl1i 4 ай бұрын
Me toooo😊
@زينزوادي
@زينزوادي 4 ай бұрын
Kituhiko jamani asante kakayetu kipezi❤❤❤❤
@PatricalBeti
@PatricalBeti 4 ай бұрын
Much love from Omani 🇴🇲❤❤
@tinershayo6191
@tinershayo6191 4 ай бұрын
Ndio maana nakupendea hapo tu Anko🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@ZabibuHassan-ci5vz
@ZabibuHassan-ci5vz 4 ай бұрын
Namm leo nmekua top 50 jmn wanafamilia msinitenge mnilikei namm hata like 5 tuu nitafurai😊
@a0_quran
@a0_quran 4 ай бұрын
Oman like zenu tafathal
@hamidabaliyanga2584
@hamidabaliyanga2584 4 ай бұрын
Asante sana Ankojay tuko pamoja ❤❤
@marryofficial9143
@marryofficial9143 4 ай бұрын
Anko sjachelew jmn mjengon🥳😁
@jinaanhkareem3650
@jinaanhkareem3650 4 ай бұрын
Wa mwisho like zangu pleas team strong from dubenga gonga like kama zoteeeeeeee
@elizabethkeli956
@elizabethkeli956 4 ай бұрын
Wow thanks alot ❤❤❤
@MamaFei-o2i
@MamaFei-o2i 3 ай бұрын
kusema kwel sipendii penzi la Pamela na iyani hata kdg😏😏😏😏
@PrinceAmos-y8t
@PrinceAmos-y8t 4 ай бұрын
Uwakika sana master 🎉🎉
@kimzymamy6594
@kimzymamy6594 4 ай бұрын
Shukran snaa anko jay❤❤❤❤❤🎉
@mirnababy5012
@mirnababy5012 4 ай бұрын
Leo wa 94 duh happy😊
@EdithaNgowi-em5bp
@EdithaNgowi-em5bp 4 ай бұрын
Asante ankojay hadithi zako zinatufundisha .
@christinemwendejuma4401
@christinemwendejuma4401 4 ай бұрын
Much love from Kenya
@saumukambi8562
@saumukambi8562 4 ай бұрын
Nakuwa wakwanza Anko naomba Zawadi yang❤❤❤❤
@reginarichard3349
@reginarichard3349 4 ай бұрын
Ancle na jomba asante ni sana kwa mwendelezo ❤❤
@fatimafoaani2263
@fatimafoaani2263 2 ай бұрын
Nice story be blessed anko Jay wetu ❤❤❤🎉🎉🎉
@susansamira8137
@susansamira8137 4 ай бұрын
Barikiwa kaka Ankojay
@mwanamisikifogo869
@mwanamisikifogo869 3 ай бұрын
❤❤❤ aaaaaah haditi nzuri san
@Salma-zi6hn
@Salma-zi6hn 4 ай бұрын
Love you uncle wetu bikraaa
@EuniceEunice-d4o
@EuniceEunice-d4o 4 ай бұрын
Hoyoooooo
@rizikibakari3598
@rizikibakari3598 4 ай бұрын
Thanks Ankojay wetu ❤️
@GetrudShayo
@GetrudShayo 4 ай бұрын
Hata mm Leo nimewahi like nimekua wa 45
@mariam-yw3nn
@mariam-yw3nn 4 ай бұрын
Nipeni like jamani na mimi nawapa
@MishyYusuph
@MishyYusuph 4 ай бұрын
Japo nimechelewa ila nimo, Ahsante sana Anko kwa muendelezo wetu huu mzuri wa bint Lisa, usisahau bado tuko pamoya, Ankoo much love ❤.
@EstherEmmanuelZakayo
@EstherEmmanuelZakayo 4 ай бұрын
Yaan mashabiki wa anko jay wana vigeu geu kwa sasa mnasema mletewe chesta na eliza wakati ikifika kipande chao pia mtapachoka hii simlizi kila epsod lazima walohusika nao wawe na kipande chao na kila mtu kwenye episode apitie mateso yake kuweni waelewa jaman tunajifunza pia wote wahusika wa simlizi hii wapitie vipande vyao
@ankojay_
@ankojay_ 4 ай бұрын
nisipo leta wanaanza kulalamika 😂😂😂 acha nayo, we Enjoy
@EstherEmmanuelZakayo
@EstherEmmanuelZakayo 4 ай бұрын
@@ankojay_ hakika labda wamesahau kuwa kila muhusika kwenye simlizi tupitie history yake
@alineumutoniwase9667
@alineumutoniwase9667 4 ай бұрын
The first time namaliza iyi sehemu hawamzungumziyi pamela namapenzi yake afadhali
@SophiaStanley-tb1ct
@SophiaStanley-tb1ct 3 ай бұрын
Jaman anko j tunaomba binti lisa 79
@GloriaMduma
@GloriaMduma 4 ай бұрын
Ungeweza kutafsir za kihind au za kiphilipino uwii tungetamba
@TatuHamis-rk6gh
@TatuHamis-rk6gh 4 ай бұрын
Nzuri sn anko j mapesa
@asumthamanyahi5255
@asumthamanyahi5255 4 ай бұрын
Thanks nimewahi leo
@nellylewa4457
@nellylewa4457 3 ай бұрын
Asante ankojay lkn tumemiss Lisa na alivn ❤❤❤❤❤
@WinniePretty-t1v
@WinniePretty-t1v 3 ай бұрын
Forest na dadake wanachekeza 😂😂😂 familia ya Trisha Wana mdomo mbaya sana daah
@monicahndirangu6764
@monicahndirangu6764 4 ай бұрын
Likes Kwa ankojay Kwa simulizi nzuri
@OmanTaqah-u5y
@OmanTaqah-u5y 4 ай бұрын
Duuuh wa 62 haya na mm like zangu
@ornellaniyongabire4487
@ornellaniyongabire4487 4 ай бұрын
Angalau leo nimekua wa 74🥰🥰🥰
@mariammalembo5569
@mariammalembo5569 3 ай бұрын
Anko umekuwaje Lisa sehemu ya 79 au ni Mimi tu ndo sijapata tukumbuke❤
@user-ex6je2uj8s
@user-ex6je2uj8s 4 ай бұрын
Jamani leo sijachelewa sana naombeni like zenu 10 ty😢😢
@fatumamatano8216
@fatumamatano8216 4 ай бұрын
Ubarikiwe Anko j we love u
@victoriangasa
@victoriangasa 4 ай бұрын
Thanks you Anko J mapesa wetu ❤❤🎉🎉🎉
@WwEe-qc7tc
@WwEe-qc7tc 4 ай бұрын
waaoow bado moto unazidi kuteketeza chaka mbona machaka yote vilivyomo vita jutia kujificha na kupata maskani humo maana sio kwa kuteketea huko mbona wazazi wanaingiwa na baridi badala yakufurahia kama kuna kitu mihupenda niwatu kama Jesca na forest waluvyo anza maisha ya ubabe kisha kukoleza penzilao na kwakuwa limekolea moto sasa nikulipigania tuu hapa ndoa naiona nawatazi wafurahie matokeo kwani matarling ni wana wao na ni wamoro sanaa
@fatmamasoud1398
@fatmamasoud1398 4 ай бұрын
Anko Jey tuko pamoja❤❤❤
@saodashabani2652
@saodashabani2652 4 ай бұрын
Poa poa asante sanaa
@YasintaHongela-j4s
@YasintaHongela-j4s 4 ай бұрын
Ankoj siku hizi unajua kutuburudisha
@racheluwda6552
@racheluwda6552 4 ай бұрын
Simulizi tamu sana duuh Mambo ni fire🔥🔥
@AgnessChissanga-s6j
@AgnessChissanga-s6j 4 ай бұрын
Ankojay tupe dabo dabo tufurahishe bwana
@saudaamohammed8743
@saudaamohammed8743 4 ай бұрын
❤❤❤❤hellow familia ya Anko j
@حليمةيوسف-ل9ت
@حليمةيوسف-ل9ت 4 ай бұрын
Asantaa kakangu jamaniii
BINTI LISA - PART 79
3:06:52
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 26 М.
BINTI LISA - PART 76
3:04:20
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 27 М.
Touching Act of Kindness Brings Hope to the Homeless #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 19 МЛН
Men Vs Women Survive The Wilderness For $500,000
31:48
MrBeast
Рет қаралды 101 МЛН
From Small To Giant Pop Corn #katebrush #funny #shorts
00:17
Kate Brush
Рет қаралды 35 МЛН
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
MrBeast
Рет қаралды 203 МЛН
SIMULIZI FUPI: NIACHE NILIE, By Anko Jay
3:13:44
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 47 М.
SHAIMA : SIMULIZI FUPI YA KUSISIMUA
5:03
BONGO VIBES
Рет қаралды 1,9 М.
BINTI ANGEL - SIMULIZI MPYA YA MAPENZI
2:50:01
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 52 М.
JULIA - SIMULIZI FUPI
1:55:18
LUCAS LUMBASI SIMULIZI
Рет қаралды 33 М.
Mkasi | S14E03 with Mohammed Dewji Extended version
35:56
MkasiTV
Рет қаралды 1 МЛН
LUCY | TRUE STORY | EX WANGU ALITAKA NIACHANE NA BABAAKE
2:02:18
LUCAS LUMBASI SIMULIZI
Рет қаралды 14 М.
BINTI LISA - PART 74
3:03:57
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 24 М.
BINTI MORENA - SIMULIZI MPYA YA MAPENZI
3:00:47
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 88 М.
ToRung comedy: 🙏rescue the baby👶
0:50
ToRung
Рет қаралды 27 МЛН
Брат выручил и сам того не понял😂😳😱 #funny
0:34