Pamela alishindwa kuzuia kicheko chake baada ya kuona hivyo.
Пікірлер: 403
@user-pj5zp1zr4oАй бұрын
Songeni nimechelewa 🏃♀️🏃♀️🏃♀️❤❤❤❤🎉🎉🎉wapi likes za wana team lisa Pamela
@fadhiliachinda418Ай бұрын
Familia ya lisa wa kwazaaaaaa♥️ Like zangu my love’s ♥️♥️♥️
@user-ln3js4mo4jАй бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@MwajumaAlly-mv3iuАй бұрын
Noooooooo😅
@javandaudi5553Ай бұрын
Woyoooooo team Rodney hapaaaa Hakuna sehemu ya kucomment kwa sauti nielezee furaha yangu anko j Jah akubless
@maresianazengo6317Ай бұрын
Wuuuuuw ,👍💪 team rodney tupo wapi na like jamani nampenda sana rodney
@user-hb4jh2rr7w29 күн бұрын
kbsa kbsa mm mwenyew timu Rodney 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@vailethmwakipesile6698Ай бұрын
Rodiney umekutana na kisik Cha mpingo🎉🎉
@victoriaedfonss727Ай бұрын
Ila Rodney mmbea duuh yan umempa Pamela talaka na bado unamuonea wivu,😏unatia kichefuchefu,🤮
@KhadijakassimMwaipayaАй бұрын
Asante sans
@EdithaJoseph-zt2xuАй бұрын
Rodney anahitaji saikolojia 😂😂😂😂
@victoriaedfonss727Ай бұрын
@@EdithaJoseph-zt2xu 🤣🤣nakwelu mana khaaaa
@radhiaomary559110 күн бұрын
Wanaume wengi wako hvo 😢wakiwaacha wanawake hawataki kuona anafraha wanataman kuona wanateseka ndo fraha yao
@victoriaedfonss72710 күн бұрын
@@radhiaomary5591 🤣🤣sio kwa karine ya sasa.
@avelinabaluhya2804Ай бұрын
Kwakweli Ian karithi busara toka kwa mama yake kumbe 😂😂😂😂
@HawaSaid-ru4zqАй бұрын
Hakika
@EdithaJoseph-zt2xuАй бұрын
😂😂😂 balaa
@Salma-zi6hnАй бұрын
Ila we mdada nakupenda sijui kwann avelina baluhyaa ❤
@avelinabaluhya2804Ай бұрын
@@Salma-zi6hn 😂😂 Asante Salma,nami nakupenda pia 😂
@debrahshelymaca5339Ай бұрын
Nani anapitia comments kama mm😅😅❤❤, like hapa hata kaa nimeingia nikiwa late 🎉🎉🎉,, Maua kwa ankojay ❤ ❤
@omerrashed9080Ай бұрын
Jamani Leo nimechelewa lakini nimefika naomba like zenu jamani nawapenda sana wasikilizaji wà ankojay one love jamani ❤❤❤
@user-rm2lk8se3wАй бұрын
Natoka 🇰🇪 jaman nmechelewa c mwajua ni nchi yenye Mambo mengi tu
@sephrinewarenga2745Ай бұрын
Kazi nzuri kaka,listening from Kenya,much love.
@user-rm2lk8se3wАй бұрын
Nmewahi wallah mm pia naomba like zangu wana familia, na kupenda tu bure anko jey mapesa
@user-cm6xi7lx9xАй бұрын
P0😊q
@user-cl9dz6kk7uАй бұрын
❤️❤️❤️❤️🤣Pamela akubalitu kuolewa na iyani ,🇴🇲🇴🇲mambo🔥🔥🔥🔥
@lonakirao5275Ай бұрын
MashaAllah leo nimewahi 70 nami nioneni vipenzi vya Ankojay, shukran dear kwa mwendelezo 🥰🥰🥰
@RoseMbuya-cn5dgАй бұрын
Wadau WA anko jay Leo musininyime like zenu🎉🎉❤
@girukwishakaclaudine5374Ай бұрын
Hatimae nimewai family Lisa wetu bipenzi mupo🖖 Acha ni 🪑🎧 niinjoi AnkoJay ahsante kwakweli 🙌🙏🤭😂🤣🤣
@ngesileanganile3747Ай бұрын
Kwa kweli Rodiney awaache Ian na Pamela waowane. Akafie mbele Asante sana Ankoy j kwa simulizi tamu❤
@mariam-yw3nnАй бұрын
Jamani sijawahi kupata like hata mmoja
@user-fu6ew1jb6eАй бұрын
Pole tukae pmoja😂😂😂😂
@MwanamisiHamisi-ze3pzАй бұрын
Nimechelewa nipeni like hatakama tano 😢😢❤❤
@user-rw6tu9wn3mАй бұрын
Iany hana maan hata kidogo mm sipendi alitymia njia za hila kwa kumpata Pamela hata kama anakili lkn anajia za hila sana
@user-hb4jh2rr7w21 күн бұрын
na atakuwa na mwisho mbaya sana iyani Pamela atajuta
@user-yl4zp5qd7tАй бұрын
Mbarikiwe saana Jomba Wajo na msimuliaji wetu Anko Jay Wanafamilia tunaomba 76 Tumuone Kivuruge wetu Bwana Rodney kwenye cover
@winfridakombe7366Ай бұрын
Hakika chakukulupuka tumuone kwenye cover hakika jamani nimecheka sana Rodney ni mwendawazimu sanaa😆😆😂😆
@AnastasiaKilonziАй бұрын
Rodney kama ukwenda Kwa Sarah ingekuwa ivyo yote umeyapenda mwenyewe
@MamakeJanetuser-ds8sz1mw4rАй бұрын
❤❤❤❤❤❤ namba mia moja na moja
@mirnababy5012Ай бұрын
Pamela achana na hiyo family mshazaa utajuta pamera hsuna baati kwenye mapenzi ww pame tuliaa lea mwanao punguza nyege mpende mtoto😢
@lisazainabu3626Ай бұрын
Wow tumefikiwa na sisi njoni uku kumenonga asant sana anko jy kuturetea BINTI LISA🎉🎉🎉🎉🎉
@user-cw4mv3kw7yАй бұрын
Asante sana ankojay Allah akulipe kheri Inshaallah Twakupenda sana ❤❤❤
@FatumaRamadan.MwalimАй бұрын
Amin
@MariamOmar-bn6opАй бұрын
Amiin🤲🤲
@MishyYusuphАй бұрын
Jaman wana viporo hatimaye tumekumbukwa,Ahsante sana Anko kwa muendelezo wetu huu mzuri wa bint Lisa, usisahau bado tuko pamoya, Ankoo much love ❤.
@DamariJohnАй бұрын
Team Pamela Vs Ian naombeni like zenu hapa❤❤❤
@salmaebrahim2058Ай бұрын
Pamela acha kuwa muhoga kwajili ya Rodney muonyeshe kuwa unaweza kufanya jambo Lisa nakupenda kwa ushauli wako kwani ww Pamela unaishi kwajili ya mitandao x akikuacha bac na ww unatakiwa kuonyesha uwezowako wa kusimama kumuonyesha kwamba Bado Kuna watu wanakupenda
@WwEe-qc7tcАй бұрын
Hakika Roddney amepatwa na wivu mkali na wakijinga na usio pimika wala mshauri
@shakiramohamed8824Ай бұрын
Wao jamani nilikua nime boeka hapa nilikua nanza kutafuta simulizi zazamani ❤❤❤❤❤❤
@user-fu6ew1jb6eАй бұрын
Ww kma mm nikiw cn ya kuckiliz naenda za zmn ambzo cjazskia 😂😂😂
@shakiramohamed8824Ай бұрын
@@user-fu6ew1jb6e kumbe tupo wengi🤣🤣🤣🤣
@user-fu6ew1jb6eАй бұрын
@@shakiramohamed8824 natafta za anko jay tu ilimrd nisikae board🤣🤣🤣
@agnesdondo-dz1mlАй бұрын
Habari za usiku Ankojay... Asante sanaaaaa Mungu akubariki SANA naamini uko mzima ninakuombea Baraka za Mungu
@ruthwaithera2650Ай бұрын
Team Ian herrooooooooooooooooo❤❤
@MwanatumuJumaa-rj4fgАй бұрын
Heroooooooooooo.penzi limetaradadii
@Evelynmoreen3655Ай бұрын
Hello 👋 👋 ila Rodney anataka kutupanda kichwani sijuwi karithi hakiri kutoka kwa sarah ila atakiona cha moto 😂😂😂😂
@user-qr8ds5ec6iАй бұрын
Huyo Ian na Pamela waoane kipande chao kiishe kina boa
@Evelynmoreen3655Ай бұрын
@@user-qr8ds5ec6i kabisa maana Rodney kawasaidia kuweka mahusiano yao wazi🤣🤣🤣🤣🤣 na Rodney atakoma
@MwanatumuJumaa-rj4fgАй бұрын
@@user-qr8ds5ec6i na vile kipande chao kinanibamba sana
@FatumaRamadan.MwalimАй бұрын
Team fulus tulio pata nafas ya kulala mchana tulalen tukiamka tuta sikiliza Binti lisa nawapenda❤n yote by nalala
@hidayamanda-gk7nfАй бұрын
❤❤❤
@wertqwe8326Ай бұрын
Safi sana
@user-zj7hd6sg3yАй бұрын
Kabisa mimi ndio naamka sasa 💞💞💘🥀🌾
@WwEe-qc7tcАй бұрын
@@user-zj7hd6sg3y Hapo sasa mie pia
@user-vl1ts1eh8sАй бұрын
Jamn mm nimechelewa sana naomba like zenu wa pendwa wangu❤️🌹🌹❤️❤️🌹🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@user-yl4zp5qd7tАй бұрын
Mi ni wa mwisho toka darasani hata hapa sishangai kikubwa Nainjoy na Voice ya Anko Jay 🎉🎉🎉🎉🎉yako bwana
@elizabethfrank271Ай бұрын
Wakwanza mim like zenu tafadhali 😂😂😂❤❤
@ntihebuwayotaty162Ай бұрын
Sijuwi ni kwanini nakosa msimamo, zidi yapamela na wapenzi wake2 sijuwi nimpende rodnay ao nimpende iyani, nipo njiapanda maana sijuwi ylniyupi mpenzi sahihi kwake, achatusikilize tuona nani ataibuka mshindi
@user-fu6ew1jb6eАй бұрын
Team Iyan Rodney kashapagaw yy
@user-hb4jh2rr7w29 күн бұрын
mpende Rodney ndo mzul iyani anamipango yake to
@HawaSaid-ru4zqАй бұрын
Team Ian njooni nimesha wa mic basi naombeni like zenu si mnajuwa nawapenda sana❤
@user-ln3js4mo4jАй бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤️❤️❤️❤️❤️💜💚🖤🖤💚🖤🖤🖤🖤💚
@AsiyaMangaza54-qr1kkАй бұрын
Merci beaucoup anko j que Dieu te bénisse weye na muandichi wetu🫶🇨🇩
@marryboimtoto9368Ай бұрын
Lisa siku hizi inaboa.. pamela anapendelewa sana inakera.. rodney anaonewa na mwandishi inakera...
@EdithaJoseph-zt2xuАй бұрын
Wewe ndo huna akili kama Rodney wako 😂😂Tunga ya kwako mwandishi yupo vizur ametumia akili sanaa
@user-hb4jh2rr7w29 күн бұрын
kwakwel nakuhunga mkono
@saumukambi8562Ай бұрын
Ahh wa20 sio mbaya nitakuwa kundi b Asnty sana anko vp hali Yako, pole Sana mkwe Allah azidi kukulinda Wapoh kundi Ain???❤❤❤❤❤
@UmayyaNkya-ze3riАй бұрын
Yote kwa yote naungana na kakake pamela mtaachana tuu😂😂sema pambana rodney ushinde wasiwe pamoja hao😂😂
@salmaebrahim2058Ай бұрын
Mapenzi hapo ndio mm napenda mnooooooo kwakweli kupenda kufanya watu wasiwaze hapa pesa Mambo ni mapenzi kwakweli shikamoo mapenzi 😂😂😂 nicheke mim jamani hongera Sana mwandishi wetu na Ankojay pamoja mnooooooo hila tuweze kutoka Pole kwa Rodney amechizika jeuli yote kwisha pole Sana kaka 🙏
@MarimGodifreyАй бұрын
Nimechelewa sana lakini nimefika naombeni mnikumbuke kwa like vipenzi vyangu mmeamkaje Wana team aluvulisa na Rodney ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@bettyphares9046Ай бұрын
Daaaa mambo ni fireeee hadi nimetamani isiishe
@KhadijaKiweleАй бұрын
Jamanii lodney anadai mke wake huku tumsaidiaje jamani 😂😂 😂
@speciozamikole2194Ай бұрын
😂😂😂😂 Aende akadai Mahakama kwani mke wake ni Sara anayesubiri kunyongwa hadi kufa
@user-fu6ew1jb6eАй бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣atasubri sna alisema cha nn wenzke walisema watakipata lin😂😂😂
@salmaebrahim2058Ай бұрын
Watu Leo nimelala umu ndani wapendwa 😂😂
@FatumaRamadan.MwalimАй бұрын
😊😊😊
@aishawhite110723 күн бұрын
74 hii mamaa Ian wewe ni mbaya Sana unampendelea Sana wanao,, hata hivyo Rodney nipo na wewe 📌
@user-tv6ii7pc4zАй бұрын
Anko Lisa angekua mpelelezi anachambua vitu wasi wasi 😂😂😂
@fatimafoaani2263Ай бұрын
Nice story be blessed anko Jay wetu kipenzi ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@a0_quranАй бұрын
Mwendo ni ule ule timu Rodney hapa like zenu
@user-pj2zs2dh7iАй бұрын
Hakika mimi ni timu Rodeny❤
@a0_quranАй бұрын
@@user-pj2zs2dh7i mtu wa maana kabsa wewe
@user-xx5fr8li1dАй бұрын
@@user-pj2zs2dh7imm napenda vitingwi vya rodney kusema kweli yani mpaka pamela aseme😅😅
@shazimnaАй бұрын
hahahahahaha
@sophiahassan-kn7ovАй бұрын
Hata mm napenda Rodney n Pamela warudiane 😢
@Linet-gu8jvАй бұрын
Pemela na lisa n watoto waliolelewa vzri sana na wazazi wao sana wako na nidhamu na heshima sana hawana darua na majivuna kama wasichana wengine wao walikutana na charit msichana wa kenya nairobi na wakampenda na kumkubali kama rafiki yao wa dhayi kbsa hawa wasichana wa tanzania walilelewa vzti sana na wazazi wao
@Tracepeter0723Ай бұрын
Yn Ian amenyooka sana hana kona kona ila pamela sasa yn muoga cjui ndo anakosa msimamo 😢
@FatumaRamadan.MwalimАй бұрын
Nili waambia Ian ni baba mipango na Pamela hakumpenda Rodney simumeona makofi kwa mama Ian 🌹🥀🌷 mauwa kwa anko j mzuri mzur 😊😊😊
@DorcasMuomba-gd3swАй бұрын
Tunasonga mbele team alvilisa japo Pamela anatuvuruga🎉🎉🎉🎉
@user-tk3cq4hl9gАй бұрын
Binti Lisa hainogi kwasasa kutokana na vulugu za iani, Pamela na Rodney ,,,, nasikiliza kwakuw nataka nijie mwisho wake
@jfjgxcv5859Ай бұрын
Mapema njoo best asante sanaaaa kwa mwendelezo anko jey wetu🥰🥰🥰
@binthassan9191Ай бұрын
Rodney my king 😂😂 usipanic pamela ni wakwako 😊
@winfridakombe7366Ай бұрын
Mimi napenda kusikiliza simuliza za ankojay na lucas lumbasi baaasi huko kwingine wallah hata kwa bakora 81 siendi watanipiga tu waniue anko jay nakupenda kuliko wali maharage nakuaga mwehu nikiwa nasubiria lisa asee @ANKOJAY SIMULIZI
@linnerphilip4260Ай бұрын
Rodney dish lishayumbaa😂😂😂. Ex. Anaumaaaa
@maseleenaesleen8149Ай бұрын
Vile nimesubiri kwa hamu Mungu ndio anajua haki thanks ankojay Tumtafutie dawa ya majuto RODNEY😂😂😂😂
@Evelynmoreen3655Ай бұрын
😂😂😂😂😂hakika
@user-fu6ew1jb6eАй бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣yan anatafta kila sbbu Rodney lkn anatok kapa
@marryofficial9143Ай бұрын
Na mm leo nmewai sjui wangap ss😮😂
@Nailah736Ай бұрын
Niachieni pia nafasi kadogo tu nikae nisikilize simulizi letu tamu la bint lisaa❤❤🎉🎉
@user-rc3om5hs9iАй бұрын
🌹🌹🌹🏃
@joyfayla12Ай бұрын
Wakwaza leo jamani
@mirnababy5012Ай бұрын
Twende kaziii
@user-hb4jh2rr7w29 күн бұрын
Pamela hangaika na iyani lkn mume wako ni Rodney to iyani atakuja kukupiga na ktu kizito hutaamini😏😏😏
@user-wc2lo8yc5rАй бұрын
Anko wangine umesha tuowa bila ata kujuwa chendechonde usituumize man simuliz zako zinatufanya tulizike bila masherti❤❤❤❤❤😊
@MaryMary-kq3nhАй бұрын
❤❤❤ Asante sana Anck Jay kwa muhendelezo simulizi tamu kweli hahishi hamu🎉🎉🎉
@Sidrasidra636Ай бұрын
Pamela na Ian wana udhi😡😬na wana dekezwa na wazazi wao na kumkandamiza Rodney
@user-qr8ds5ec6iАй бұрын
Ian ana roho mbaya yaani anapanga kufukuza ndugu yake Ili apate vyote peke yake
@user-rc3om5hs9iАй бұрын
Yaani
@salmazwallo8720Ай бұрын
@@user-qr8ds5ec6irodney alijitakiaa mwenyewee bhn mnamuonaa lan 2 mbayaa
@user-xx5fr8li1dАй бұрын
@@user-qr8ds5ec6iaki mm anani kare sana
@avelinabaluhya2804Ай бұрын
Wow♥️♥️♥️🎋🎋🎋🥗🥗🥗🥀🥀🥀🌹🌹🌹🌷🌷🌷🌿🌿🌿 Asante sana mpendwa wetu Ankojay 💃💃
@Shadia544Ай бұрын
Yaani NILIBOEKA sana kukosa simulizi haya IANI JAMANIII ATAMUOA KWELI PAMELA HAYA TIMU SIMULIZI TAMUU LIKE 10 ✌️✌️✌️
@nchidabajuma9401Ай бұрын
wangewaacha tu wafunge ndoa na maisha yasonge ilimradhi wamependana
@jasminmohagthari3730Ай бұрын
Watu mnakesha hapa jaman kaah haya ankol jay sante kwa kutulaza saana😂😂😂
@user-iy7hr8wm1cАй бұрын
Waooooooo Asante. Anko j
@user-yo3zl7qx3eАй бұрын
Mungu. akutinze akupe. Uzima Anko jay
@mamudequeenАй бұрын
Jamani 20 mins na hamusemi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@user-zj7hd6sg3yАй бұрын
Ankojay kipenzi cha watu na kukubali sana brother💘💘💘💞💞💝❤️🔥💖🥀🥀🌹🌹🌾🌾🌷💐
@user-vv6en8nh1cАй бұрын
Mkuje huku jamani Leo na mm newai njooni tujue Ian ameambiwa Nini na baba yake
@mozabayabanda4248Ай бұрын
Asante sana Anko jay ila sauti yako hinaoneshe una umwa pole ila mungu atakuponya❤❤❤❤❤❤❤
@user-cp5fp8gx8cАй бұрын
Wachelewajiiiiiii !!!! Ila tutafika tu. Make tulikotoka nimbali sana na bado hatuchoki. Safi sana Ank jay wetu
@RukiaYasini-dm1trАй бұрын
Asante anko jay tuliboleka sana ❤❤ ubalikiwe mpendwa we2
@asmaali5712Ай бұрын
Happy birthday to you Ankoy jay🎉
@salmakim557Ай бұрын
Anko Jay wetu,much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪,shikilia papo hapo
@user-rh6dw8yi7mАй бұрын
Nime waiiii dhaaaa ata kama ni wana viporo tuuuuu
@UmayyaNkya-ze3riАй бұрын
Ndo naingia mjengoni😅😅nipen like za kuchelewa mie😂
@Linet-gu8jvАй бұрын
Kwa hiyo pamela hakuwa na budi ila kuubeba ujauzito huo wa mtoto wa roudine kila mtu hapo kwa simulizi yetu nzuri ya binti lisa analijua hiyo mbona.leo hii ety mtu anamuita pemala malaya?hiyo cio pia.kbsa maana mtu malaya.huwa anatembea na wanaume zaidi ya wawili.na kwa ajili ya pesa tu sio mapenzi waala kumpenda mtu huyo anafanya mapenzi kwa pesa tu plz neno malaya n neno baya sana kama mtu hujui maana ya neno maalaya bc usilitumia kbsa