No video

BINTI WA KITANZANIA: KAACHA KAZI, MTANDAO UKAMUOKOA "KIJIJI KINANIOGOPA, NAMILIKI NYUMBA ZA MIL 335"

  Рет қаралды 108,692

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 804
@captainmligotv3478
@captainmligotv3478 3 жыл бұрын
Wanaomsikiliza huku wanasoma coment weka like hapa twende sawa 🤣
@zalfaoman9799
@zalfaoman9799 3 жыл бұрын
Ok
@fredynyakaka3382
@fredynyakaka3382 3 жыл бұрын
Huyu ni tapeli mafanikio sio simple hivyo maisha sio rahisi kiasi hicho
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 3 жыл бұрын
Hata nini anafanya hasemi , lakini anaaema yupo tayari kumshika mkono mtu yeyote , mie naogopa aaah! aaaah !
@palokuthereza2555
@palokuthereza2555 3 жыл бұрын
Si muongo anafanya sana kazi na anasafiri mno Kusaka wateja na products zake si rahisi anauza laki 3 na 60 nadhani.Maisha ukikoma unafanikiwa tupunguze maneno
@fredynyakaka3382
@fredynyakaka3382 3 жыл бұрын
@@palokuthereza2555 ni product gani hizo mkuu ya kuuza laki tatu na sitini na ukapata wateja kirahisi rahisi tu kipindi hichi cha magu hawa ni wakina qnet na foreverling nenda akushike mkono uonee sasa
@fredynyakaka3382
@fredynyakaka3382 3 жыл бұрын
@@palokuthereza2555 watanzania hatuitanagi kwenye fursa tusidanganyane ukiona umeitwa kwenye fursa jua wewe ndio fursa yenyewe
@palokuthereza2555
@palokuthereza2555 3 жыл бұрын
@@fredynyakaka3382 aise soma vitabu vingi vya biashara kaka itakusaidia na wakati unawaza Tanzania tu watu wanauza online products zao nchi zaidi ya 5 pengine and we laki 3 kama unaona hela pia bado unahitaji kufanya kazi sana kwa bidii.Maana binafsi laki 3 ni hela ila ata mafuta ya gari mwezi hainitoshi
@mmbando
@mmbando 3 жыл бұрын
Mama yake mwenyewe hajui mtoto wake anafanya kazi gani. Anajisifia au anafundisha watu. Fanyeni kaz, Qnet nyingine hii
@nghabindakama6730
@nghabindakama6730 3 жыл бұрын
Penda kupata taarifa before hujaongea
@sameeralrahbi5469
@sameeralrahbi5469 3 жыл бұрын
Ni kweli kbs makapuni yanayoa Sana watu na kufany kazi Kwa bidii hongeraa Sana
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
Ukifanikiwa usijifiche dear...zungumza watu wakujue..dont hide your success,success is an inspiration to others .
@khalidhamis5811
@khalidhamis5811 3 жыл бұрын
Mtaji wa laki 5 mwaka 2019 mpak na umeweza kumiliki nyumba ya m200 na wazazi wako umewajengea nyumba ya m150 inawezekan koz fomla ya maisha bhna ila mdog wangu kwa maelezo yako Mimi hayajanishawashi bado ila sijapinga ila hapan pia 😂😎
@martinmaryogo6081
@martinmaryogo6081 3 жыл бұрын
Jamn mafanikio ya mtu ni siri yake, ila kaz zingine huwa ni za kuegemea tu, miaka miwil pesa zote hzo , mmmmmmmh hapana
@aloycemacha9894
@aloycemacha9894 3 жыл бұрын
Hakunaga fedha za haraka hivyo wanatafuta member wa kuwapiga huu ni upatu
@happymsaki1720
@happymsaki1720 3 жыл бұрын
Ila jmn Msije sumbua serikali kama ndgu zetu wa cheni ya 4.5m na Leo wanalia au sungura au Mr kuku chondeee sijasema ni mbaya 0000000 zinatisha ila sijapinga ngoja nasikilizia sauti za shangwe,na nderemo,mwaka mpya na mambo mapya
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 3 жыл бұрын
@@happymsaki1720 nimetamani kucheka kama mazuri
@ibrahimmagere5545
@ibrahimmagere5545 3 жыл бұрын
Mbona huelezei hizo fursa ni zipi? Miaka miwili umetengeneza million 335, tueleze basi ulipataje?
@anandemungure4435
@anandemungure4435 3 жыл бұрын
Hongera kwa speed ya kali.japo ni ngumu kuamini maelezo yako.kwa urahisi huo Basi kila mtu angekuwa tajiri.5k ndugu wangejichanga .Elezea vizuri kushikwa mkono kwa namna gani ili wadau wafanye maamuzi zaidi 🙏
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 3 жыл бұрын
🙄🤣🤣🤣
@nickone8585
@nickone8585 2 жыл бұрын
Very true
@Officalnaph
@Officalnaph Жыл бұрын
Msanii huyu
@juhudiacademy2170
@juhudiacademy2170 3 жыл бұрын
Mafanikio sio rahisi hivyo. Acha kutudanganya wewe
@marygaspar6429
@marygaspar6429 3 жыл бұрын
Dada naomba unishike mkono, nimevutiwa na juhudi zako dadangu na Mungu akulinde na husda za dunia hii! ukinishika mkono nitarudi hapa pia kuwapa ushuhuda wa pili watatu na wanne!
@lizzalyimo885
@lizzalyimo885 2 жыл бұрын
Niite mumy Eliza hapa npo Arusha pia elimu yangu??
@simonitaagesti3657
@simonitaagesti3657 3 жыл бұрын
Utajiri wa mtu ni siri yko mengine kututoa njiani tu 2 years mambo yote hayo mh
@agneskigeme1197
@agneskigeme1197 3 жыл бұрын
Apo sasa.
@z.nalnabhani7194
@z.nalnabhani7194 3 жыл бұрын
Kweli ndugu,matajiri wanasiri kubwa
@RomwardWM
@RomwardWM 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂Daaah miaka miwili aache kutudanganya.
@ashabakar5974
@ashabakar5974 3 жыл бұрын
Feermason hiyooooooo
@eggysulle7988
@eggysulle7988 3 жыл бұрын
Haaahaa
@d.a.t3383
@d.a.t3383 3 жыл бұрын
Hahaaa mpe masPetty laki tano zako anakusubiri laki tano tuu akushike mkonooo cha moto utakionaaa manyumba na magari utayasikia
@vj8313
@vj8313 3 жыл бұрын
Aliyewahi kushikwa mkono na huyu dada kwenye hiyo biashara aseme hapa 😂
@catherinenumbula4191
@catherinenumbula4191 3 жыл бұрын
Mtangazaji amepangwa haulizi maswali ya msingi🤣🤣🤣
@vaghoghontweki9827
@vaghoghontweki9827 3 жыл бұрын
Unafanya nn sasa,,,mbn huelewk,,,Afu hi Chanel kubwa sana,,taarifa gani hii🙉🙉,,Angalien wadau msifanywe fursa😁
@sophiakasim5153
@sophiakasim5153 3 жыл бұрын
😂😂😂
@seifjuma3471
@seifjuma3471 3 жыл бұрын
😅😅😅😅
@vincentvin211
@vincentvin211 3 жыл бұрын
Motivational Speaker wakuanza nae mwaka wa 2021, tena mapemaaaaa
@joysembuche1854
@joysembuche1854 3 жыл бұрын
😂
@vincentvin211
@vincentvin211 3 жыл бұрын
@@joysembuche1854 😀
@marygaspar6429
@marygaspar6429 3 жыл бұрын
Inawezeka tu ni juhudi zake jamani msimtusi mtafuteni awashike mkono vizuuri kabisa! hongera sana dada yangu kwa mafanikio makubwa mno:
@marymaswei1746
@marymaswei1746 3 жыл бұрын
Dawa zake za neolife mezitumia na hakuna la maana,ni utapeli2
@mzeewakibegi5105
@mzeewakibegi5105 3 жыл бұрын
😂😂😂😂kubabaye kumbe matapeli
@nrwawanndeny7394
@nrwawanndeny7394 3 жыл бұрын
Umri Miaka 27 sura miaka 40!
@martinmaryogo6081
@martinmaryogo6081 3 жыл бұрын
Hahahahahaaaaa
@julianabura4312
@julianabura4312 3 жыл бұрын
Kabisa
@petronilathaday7078
@petronilathaday7078 3 жыл бұрын
Waooo..huyu dada Namjua nimesoma naye IMTU jaman saizi anamaisha ya TOFAUTI SANA alafu alikuwa na ndoto ya kuwa na pesa siku moja ...na saizi kanenepa sana
@ibrahimmwendo7379
@ibrahimmwendo7379 3 жыл бұрын
Umesoma nae na jina lako ni masspety
@ashurahaonga710
@ashurahaonga710 3 жыл бұрын
Acha utapeli wewe dada tunakujua sana mnatapeli watu kwa kujidai mnawauzia madawa yenu ya neo life
@tonyjar2864
@tonyjar2864 3 жыл бұрын
Kumbe unamjua huyu...??
@uwitekamimy3431
@uwitekamimy3431 3 жыл бұрын
Ooh Mtandao 😲 mbona hakueleza ilikuwa jee 😏 Eti hadi Mtu amtafute nyooo nenda huko 🤔
@iddiabubakari3013
@iddiabubakari3013 3 жыл бұрын
Dada Ketty habar yako,, hongera kwa mapambano,, hakika cc ni majiran Mimi pia Niko hapa USA please naomba ushaur na mawazo yako my sister naomba NISHIKE MKONI namimi jaman
@hafsairunga3888
@hafsairunga3888 2 жыл бұрын
Mashallah huyu dada anajituma sana though most of you are arguing think this is a a scam why 🥺🥺🥺🥺 work hard guys get time to learn networking is the best business
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 3 жыл бұрын
Yani mnafanya masihara maisha siyo rahisi hivyo
@sophiakasim5153
@sophiakasim5153 3 жыл бұрын
Kwa kweli khaaaa
@tigridamassawe6067
@tigridamassawe6067 Жыл бұрын
Huyu kiumbe ni muongo mno
@hereandnow602
@hereandnow602 3 жыл бұрын
Anavojigamba ni kama anatoa ushuhuda kwenye yale matangazo ya waganga wa facebook..
@magrethnestory6502
@magrethnestory6502 3 жыл бұрын
Hana lolote huyu
@nasramsangi4518
@nasramsangi4518 3 жыл бұрын
Duuh!siyo kwa michambo hiyo
@gabrielisack7786
@gabrielisack7786 3 жыл бұрын
Eti uwe umesoma au hujasoma ni lazima Ufanikiwe yaani hawa ni matapeli sana
@jazzymkalitv5535
@jazzymkalitv5535 3 жыл бұрын
😂😂😂
@jamilasaid1764
@jamilasaid1764 3 жыл бұрын
Mh mambo yautajili nisili ya MTU Hatukatai watu na nyota zao
@mtanzaniahalisimungunimwem673
@mtanzaniahalisimungunimwem673 3 жыл бұрын
AKushike Nani mkono bure?hawa Wana mtandao Mkubwa na njia pana.na uwe na kiingilio na mtaji na wanakuuzia madawa ukauzie watu ukiweza Sawa ukishindwa Sawa wao wanapata faida kwenye ule mzigo unaonunua kwao na wanafaidilka na kiingilio Chako.wanaweka Chao mfukoni we kaangaike na madawa sijui utapata wapi wateja.Ridhika na kazi yako au biashara uliyoizoea,Fanya Kwa bidiii acha tamaa.mambo mengine ni kubahatisha tuu,upate wapi mamilion Kwa muda mfupi.
@chamimdesa148
@chamimdesa148 2 жыл бұрын
2020-2022 gari 3, nyumba 200m, Kijiji 100m. Mmmmmm
@elizabethkihunrwa9262
@elizabethkihunrwa9262 3 жыл бұрын
Hongera Da Petty sisi tunaokujua tunaelewa sana
@aidankazoba6699
@aidankazoba6699 3 жыл бұрын
Hamna kitu mimi nimepitia hizo hustling asijifanye yeye ndo mtafutaji committed sana peke yake Tz bhana.
@shangwekamando2599
@shangwekamando2599 3 жыл бұрын
Acha uongo wewemillard tutakua hatukufollow!
@roggersnathan2592
@roggersnathan2592 3 жыл бұрын
Kwa vitu alivyosema anamiliki ukiacha ivyo viwanja vina range total ya Approximately 400M ..means kwa mwezi within two years alikua anamake more than 15M ..naona kama anatudanganya 😅😅😅
@aidankazoba6699
@aidankazoba6699 3 жыл бұрын
Alafu kama ni 15M kwa mwezi kumbuka pia kuna mahali alianzia sio kwamba faida inakuja ghafla anaanza ku_maintain mapato ya 15M kwa mwezi. Ila basi kwa kuwa huwezi kumzuia mtu kusema basi kaishasema hivyo tayari.
@HASASON
@HASASON 3 жыл бұрын
Hakuna nyumba hata 1 kati ya hizo mbili zenye bei aliosema, ya mamake ni million 40 ile yake ni million 55
@mariamsaid5655
@mariamsaid5655 3 жыл бұрын
MUNGU nifundishe kunyamaza Hahaha ngoja na mie nikazane
@martinmaryogo6081
@martinmaryogo6081 3 жыл бұрын
Hahahahahaaaaa, nami pia anifundishe
@mariamsaid5655
@mariamsaid5655 3 жыл бұрын
@@martinmaryogo6081 Hahaha
@martinmaryogo6081
@martinmaryogo6081 3 жыл бұрын
Aseeee dunia hii
@mariamsaid5655
@mariamsaid5655 3 жыл бұрын
@@martinmaryogo6081 tuendelee kunyamaza mpendwa maana mmhh
@martinmaryogo6081
@martinmaryogo6081 3 жыл бұрын
Mungu nisimamie nilizike na hiki kidogo duuuuuh
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 3 жыл бұрын
Miaka 2 mtu upate million 300 duh hiyo speed ya freemason
@anahna6788
@anahna6788 3 жыл бұрын
In point yhuyu asitupange ni wakala wa fm Au anatafuta watu wa kuwa piga kwa njia ya kupitia watu wenye utapeli wao hapa mjini
@feomanayinaza4966
@feomanayinaza4966 3 жыл бұрын
😂😂😂😂
@jazzymkalitv5535
@jazzymkalitv5535 3 жыл бұрын
😂😂😂
@aoman5214
@aoman5214 3 жыл бұрын
Hmmm anavyoongea kama kuna kitu nyuma ya paziq kwakweli
@claudiangowi9585
@claudiangowi9585 3 жыл бұрын
Mm pia siamini
@onlinemateustv1925
@onlinemateustv1925 3 жыл бұрын
Ila mimi siwezi pinga kwasababu waliowengi kwenye mitandao wanauza sana na ndio matajiri Angalia alibaba, Amazon kwahiyo watu kama hao si tunajionea wenyewe
@zackmagoma.
@zackmagoma. 3 жыл бұрын
Fact
@joharishabani2893
@joharishabani2893 3 жыл бұрын
Kwakwer alibaba wanauza sana
@wilsonsospeter8172
@wilsonsospeter8172 3 жыл бұрын
nmepoteza mb zangu tu . hakuna la maana
@ericknicodemudaniel15
@ericknicodemudaniel15 2 жыл бұрын
Hongereni Dada kwa kazi nzr naomba na Mimi unishike mkono
@qwqw1665
@qwqw1665 2 жыл бұрын
Nakupenda sana kwaupambanaji wako mungu akulinde napia akuzidishie maisa nami nitakutafuta unishike mkona nkja nakidogo basi utanionyesha njiaa
@aidankazoba6699
@aidankazoba6699 3 жыл бұрын
Nani hapendi kufanikiwa? Obviously hakuna. Je hao ndugu zake kaishawashika mkono? Kwa nini anahamasisha kuwashika mkono wengine aanze na ndugu zake maana yeye kasema ni mtoto wa nne katika familia. Hao watatu wakubwa zake kawasaidiaje? Kawashika mkono au kawasahau ili tumkumbushe?? Samahani kwa nitakayemuudhi.
@omaringulangwa8600
@omaringulangwa8600 3 жыл бұрын
Tapeli uyooooo
@shabanialfani5394
@shabanialfani5394 3 жыл бұрын
Wewe kuna watu tunaiheshimu hiyo Hela mpaka leo hatujawa hata na Bajaji hiyo ni kazi gani Dada yangu? Moyo wangu tulia usipumbazwe na Macho kuona mazuri na kuyatamani mwisho nikaishie Jera bure
@Ontuzu
@Ontuzu 3 жыл бұрын
Kabisa jamani maana ukisikiliza mtu unaweza kutenda dhambi
@carptentv6848
@carptentv6848 3 жыл бұрын
Huyu dada anapambana wachaga sio wa mchezo
@vanilacentral
@vanilacentral 3 жыл бұрын
Karibuni tulime Vanilla
@aidankazoba6699
@aidankazoba6699 3 жыл бұрын
Hahaha. Unalimia wapi Vanilla unifundishe kilimo hicho?
@96shots86
@96shots86 3 жыл бұрын
Unalimia wap
@vanilacentral
@vanilacentral 3 жыл бұрын
@@96shots86 +255743095524
@vanilacentral
@vanilacentral 3 жыл бұрын
@@aidankazoba6699 +255743095524
@victorjustus9258
@victorjustus9258 3 жыл бұрын
Namba yako kaka
@oneanswer8614
@oneanswer8614 3 жыл бұрын
Mama mzazi haujui kazi ya mwano kweli???? Mungu tufundushe kujua neno "MAFANIKIO"
@tabumpate9762
@tabumpate9762 3 жыл бұрын
Nashukulu M/MUNGU kakufikisha ulipotoka.endelea kuwashukulu nakumuomba hongera sana
@nurumwangoka7424
@nurumwangoka7424 3 жыл бұрын
Mmmmh mbona sasa kujisifia kumepitiliza jamani hata Kama una Mali lakini Sio kwa kujisifia huko daaa🤣🤣🤣🤣🤣
@joharhamis855
@joharhamis855 3 жыл бұрын
Na Mimi masikin sijui nicoment wap
@massawejacob
@massawejacob 3 жыл бұрын
Kodi kalipa ? Kiasi gani ?
@muktarmashukura950
@muktarmashukura950 3 жыл бұрын
Tutakuja kuchukua VAT zetu 18% ya 335M
@abdulnaseermrisho4342
@abdulnaseermrisho4342 3 жыл бұрын
Mmmmmmh karagabao (Miaka miwili Mambo makubwa namna hiyo,Basi sawa waunganishe na ndugu zako baada ya Miaka 10 mna mpita Hadi Bakhresa)
@OnlyRuky
@OnlyRuky 3 жыл бұрын
Only 2 years jm hapana NIMEGOMA KUKUBALI maybe 5 years.....mwisho wa interview kumbe anajitangaza......
@teddyoscar6876
@teddyoscar6876 3 жыл бұрын
Labda anatafuta watu wam follow
@anjelawillison4971
@anjelawillison4971 3 жыл бұрын
Huyu dada nilishaongea naye mwaka juzi 2019 akiwa anaanza ila hapan sio kwa hizo pesa lol
@musahmichael3480
@musahmichael3480 3 жыл бұрын
kasema anauza madawa usishangae mafanikio yake 😂😂😂
@martinmaryogo6081
@martinmaryogo6081 3 жыл бұрын
Madaw ya binadam au madaw yapi,
@hamissitta7062
@hamissitta7062 3 жыл бұрын
Taja kaz unayoifanya uko mtandaon mbona hatuelew!
@eggysulle7988
@eggysulle7988 3 жыл бұрын
Nami nashangaa
@fatmamwatamba5881
@fatmamwatamba5881 3 жыл бұрын
Inamana tukitumiya hiyo social media Ndo unakuwa tajiri,yaani mm sijamuelewa kabisa😆😆😆😆😆😆
@michaelkusenta8960
@michaelkusenta8960 3 жыл бұрын
Millad unazingua,huyu dada muongo muongo 100%, 2019/12/28 kaacha kazi alafu anasema mambo haya yote kafanya ndan ya miaka miwili kwan huu mwaka gan,
@esperancakombat7797
@esperancakombat7797 3 жыл бұрын
Yan miaka miwili ipi jaman!!!!!
@veryfridackzm8493
@veryfridackzm8493 3 жыл бұрын
Labda wewe acha danganya watu
@petronilathaday7078
@petronilathaday7078 3 жыл бұрын
Wewe mkwel tuambie yakwako ...unataka kunilazimisha kukuamin wewe
@jacklinemyalu1494
@jacklinemyalu1494 3 жыл бұрын
Dada na mie naomba unishike mkono
@mohamedfaris3000
@mohamedfaris3000 3 жыл бұрын
Mashaa Allah Mungu akuweke na akuhifadhi na viumbe wabaya
@neemanzota3505
@neemanzota3505 3 жыл бұрын
Dada uko vizuri sanaa hongera sana kwa hapo ulipo fikia natamani sana kuwa kama wewe Sasa naanza vip hata sielewi naomba unisaidie dadaang mi nipo njombe
@farajihassan3300
@farajihassan3300 3 жыл бұрын
Ufala mtupu millard ayo...utapoteza wa2...achana na hizi mbanga za uongo fanya research kwanza...eti 1994 doooh...
@sirmed9753
@sirmed9753 3 жыл бұрын
Siamini amini ! So take care
@latifajanja2375
@latifajanja2375 3 жыл бұрын
Ni bora mtu ufunguke kutoka moyoni kua umefanya inshu gani na kwa njia gani ili na wengine wafate km ya halali lkn km unanijua umedanga au uko na utajili wa uchawi au freemanson af kwenye kamela unasema nimehaso wallah mungu akusamehi maana utakua umepotosha wengi
@irenegudluck1214
@irenegudluck1214 3 жыл бұрын
Jamani Mbn sioni watu wakiongelea bei ya izo nyumba! Nyumba ya millions Mia haina hata bati la msouth ?
@irenedamas4806
@irenedamas4806 Жыл бұрын
Be strong and always be successful 🥰🤗❤️😘 beautiful
@petermuhoro2236
@petermuhoro2236 Жыл бұрын
napenda ifo nifulahi kwa life nawazazi wangu kabosa ,shukulani kwa itanet god bles uu
@givensanga3524
@givensanga3524 3 жыл бұрын
Vina mwishooo hivyo Dada walikuwepo
@martinmaryogo6081
@martinmaryogo6081 3 жыл бұрын
Sio walikuwepo wengine had sasa wapo ni kuwa mtiifu tu wa utaratibu hahahahaaaa
@remmimushi2197
@remmimushi2197 3 жыл бұрын
Ujasema unafanya kaz gan rasmii
@SeifSaidseif
@SeifSaidseif Ай бұрын
Mashallah vzur na sie tufahmishe
@ashabakke8892
@ashabakke8892 3 жыл бұрын
Hongera sana . Nimekupenda uko open na kutusaidia na sisi.
@josephmna5080
@josephmna5080 3 жыл бұрын
Dada hongera xna mengi mxhukuru mungu kwa Kila jambo
@martapatrick2687
@martapatrick2687 3 жыл бұрын
Dada namm nishike mkono
@mwajumafadhili9268
@mwajumafadhili9268 3 жыл бұрын
Mmmh mi sihamin maana nikimuona macho yake yanapesapesa,alaf anaongea sana
@zalfaoman9799
@zalfaoman9799 3 жыл бұрын
Nimependa sana maelezo yako
@uwimananadia6066
@uwimananadia6066 3 жыл бұрын
We dada na Mungu unamtaja kweli, sasa hapo umesaidiya watu ao umewatamanisha!
@allybanda7015
@allybanda7015 3 жыл бұрын
Kafanyaje? Cyo mafanikio tu tuambie mtandao umekusaidiaje
@nghabindakama6730
@nghabindakama6730 3 жыл бұрын
Unapenda kujua ila huna nia ya kujua siku zote taarifa makini huwa au official haziongelewi public nenda ofsi husika kisha pata taarifa kamili ukihitaji kujua taarifa ya mtandao mfuate anayefanya ili upate taarifa kamili sawa kwn ww hupendi maisha mazuri hayo???, nifuate nikuelekeze vizri
@prosperfrank2383
@prosperfrank2383 3 жыл бұрын
hii kali ya mwaka, hongera petty iyo ndo tafsiri ya Manka
@isakamgaya3409
@isakamgaya3409 3 жыл бұрын
Daaaa hata stamani kunakitu hapo
@petronilathaday7078
@petronilathaday7078 3 жыл бұрын
Umeonaa my kaka tumetumwa pesa mjini
@benjaminfataki6898
@benjaminfataki6898 3 жыл бұрын
Nakuelewa dada kila mtu ananyota yake duniani.
@fredymaswimwita3091
@fredymaswimwita3091 2 жыл бұрын
Hongera saana dada,, kwa kufanikiwa,,
@SUNDAYMRGAMINGTZ
@SUNDAYMRGAMINGTZ 3 жыл бұрын
miaka 2 nyumba 2 viwanja 2 gari 3 ,,,,hahahahaahahaha asante moyo
@leylahleylah4599
@leylahleylah4599 3 жыл бұрын
😀😀😀
@aminamrope1797
@aminamrope1797 3 жыл бұрын
😃😃😃au ndio zile habar kila ukiamka unakuta tranka limejazwa pesa🙊mdomo koma
@sifatiiman
@sifatiiman 3 жыл бұрын
@@aminamrope1797 tena koma kweli kweli 😂😂😂😂🙈🙈🙈🙈
@esteralbert4720
@esteralbert4720 3 жыл бұрын
@@aminamrope1797 🤣
@amriharuna4236
@amriharuna4236 3 жыл бұрын
Sijaona la maana zaidi ya majigambo ya kich......
@youngsimbawcb1814
@youngsimbawcb1814 3 жыл бұрын
I BELIEVE IN GOD ✊🏿✊🏿✊🏿✊🏿✊🏿✊🏿✊🏿✊🏿✊🏿✊🏿✊🏿
@eddadaniel9355
@eddadaniel9355 3 жыл бұрын
Vzr may
@victormushi6641
@victormushi6641 3 жыл бұрын
ULICHUKUA HATUA MWEZI WA TISA 28/12/2019... LEO NI JANUARY 6/1/2021 UNA NYUMBA MBILI NA MAGARI HATA MIAKA MIWILI BADO? ACHA UONGO DADA SEMA UNAFANYA KAZI GANI? BIASHARA YA MTANDAO HAITAJWI.. DUUUUUUUUUUUUUH?
@esteralbert4720
@esteralbert4720 3 жыл бұрын
Anatuchukulia poa huyu😂
@lizzybahati3739
@lizzybahati3739 2 жыл бұрын
Sawa dada acha tujitume na kaz Mungu atusaidie
@humaidalnaamani4183
@humaidalnaamani4183 3 жыл бұрын
Ukweli maneno mazuri bali kusema kwa miaka 2 kwa laki 5 wajenga nyumba ya ml 100 na magari 3 hii haingi akilini bali kwa sbb umesema kuna dada kakufundisha kuuza madawa hapo ya hitaji uchunguzwe ni dawa aina gani
@josephmatonyi1802
@josephmatonyi1802 3 жыл бұрын
👏👏
@petronilathaday7078
@petronilathaday7078 3 жыл бұрын
Za Afyaaa
@tonnysaimon7314
@tonnysaimon7314 2 жыл бұрын
Inawezekana kabisa hebu jaribu uone watu wanafanikiw kwenye biashara ni fursa kwako kuamua jaribu
@tonnysaimon7314
@tonnysaimon7314 2 жыл бұрын
@@petronilathaday7078 napenda Sana hizo bidhaa mm mwenyew nipo ninapambana
@violetnjau6290
@violetnjau6290 3 жыл бұрын
Mungu nakuomba unipe maisha mazur yenye aman na furaha lakin nisishikwe mkono na huyu dada.. Kuacha kaz ya ufarmasia nakuwaz kuuza viatu..... ?mara ukashikwa mkono dada weweeeee tuache jaman dunia izunguke kweny muhimil wake majira ya hali ya hewa yasije yakabadilik .
@christianndewario5459
@christianndewario5459 3 жыл бұрын
Hongera kazi nzuri
@barakanyccarsinfluencer7419
@barakanyccarsinfluencer7419 3 жыл бұрын
Mmh kuna mtu anaenda kupigwa hapa .matapeli hawa
@eliakundamtaita6365
@eliakundamtaita6365 3 жыл бұрын
Kazi nzuri
@williamibrahim2823
@williamibrahim2823 3 жыл бұрын
Hongera sana dada
@jumajonas5253
@jumajonas5253 3 жыл бұрын
Bado cjakusoma vizurii kazi ngani hiyo inayomwezexha mtu kuwa na mkwanja wa kujenga nyumbani 2 kwa mwaka mmoja kwa gharama ya milioni 200 na milion 135 acheni kudanganya watu sema biashara unayoifanya
@abednego3876
@abednego3876 3 жыл бұрын
Eiish. Mtaji 500, 000 ndani ya miaka miwili ana miliki mali za zaidi ya milioni 300... 🤔🤔🤔🤔
@aminarashidi5649
@aminarashidi5649 3 жыл бұрын
Ninawasisi kabisa na huyu dada ,anaweza kuwa ni fremasson .kwenye maneno yake hajanyoosha maelezo vizuri, vitu au bidhaa Gani alinunua ili kutengeneza hiyo biashara?? 🤔🤔🤔🤔🤔
@mozam4496
@mozam4496 3 жыл бұрын
Nakuunga mkono🥰🥰
@frankwiliamu9248
@frankwiliamu9248 3 жыл бұрын
Umenipa mawazo kufanikiwa sio adi ajira
@lifeexplorers1
@lifeexplorers1 3 жыл бұрын
Ni kweli kufanikiwa sio mpaka ajira wasiliana nasi 0658379911
@petronilathaday7078
@petronilathaday7078 3 жыл бұрын
Umeonaaaa.. haswaa hakuna tajiri gani mwajiriwa
@bwamjitv5797
@bwamjitv5797 3 жыл бұрын
COME ON ALLIANCE IN MOTION GLOBAL GUYS
@user-xq9wi9wf2w
@user-xq9wi9wf2w 3 ай бұрын
Uko vzr dada naweza kupataje mawazo yako plse
@abdallamasoud9056
@abdallamasoud9056 3 жыл бұрын
Mashallah na mm nahitaji unishike mkono nifanyeje my
@geminialoyce2832
@geminialoyce2832 3 жыл бұрын
Amina mitu anaweza kuzaa siri ya utumiaji wake kufa kufa wewe ongea tu watu wame tafuta pesa muda mirefu Yani watu wewe weweitaji mahitaji ya usikilize uongo tu Manani aliye muona baresa kwenye media
@issakwisamwakisambwe4080
@issakwisamwakisambwe4080 3 жыл бұрын
Kumbukeni huyu ni mangi 😂😂😂😂😂
@faizsalim4973
@faizsalim4973 3 жыл бұрын
Nitumie no yako
@thabitmohamed8744
@thabitmohamed8744 3 жыл бұрын
2 years a lot of things, it,s so fanny
@samwelkisaka6754
@samwelkisaka6754 2 жыл бұрын
Mhhhhh bs saw mungu akubarik
@janathankazimily7718
@janathankazimily7718 3 жыл бұрын
Hongera Sana dada yangu 🙏🏼🙏🏼
@kezianathan3963
@kezianathan3963 Жыл бұрын
Hongera Sana dada na Mimi naomba unifundishe jamani nimekupenda bure
@hasyno9805
@hasyno9805 3 жыл бұрын
unamkaribia daimond 🤣🤣 mibado hata cjakuelewa
КТО ЛЮБИТ ГРИБЫ?? #shorts
00:24
Паша Осадчий
Рет қаралды 1,1 МЛН
Bony Just Wants To Take A Shower #animation
00:10
GREEN MAX
Рет қаралды 7 МЛН
Mtanzania Milionea Mtarajiwa alieacha kazi ya mshahara wa milioni 1
29:05