The whole world needs to hear this.welcome to Kenya,tunataka hayo mafundisho.
@mwendwakawea45072 жыл бұрын
Amen Baba uinuliwe na Ulindwe zaidi na Mbingu
@tabithaibrahim84932 жыл бұрын
Thank you Lord for your sweet teachings from your powerful servant.Glorybe to GOD.
@rachelpaschal93789 ай бұрын
Amina mtumishi wa mungu barikiwa sana
@bahatisanga87153 жыл бұрын
Asante Kwa maarifa ya jinsi ya kutumia Malaika wa Mungu . Barikiwa Sana Mtumishi wa Mungu. 🙏🙏
@happinesmafuru99395 жыл бұрын
Asante kwa mafundisho mazuri mpakwa mafuta wa bwana.
@rachelpaschal93789 ай бұрын
Amina mtumishi wa mungu barikiwa sana Kwa msaada wa kutufundisha
@eunicetheresa50155 жыл бұрын
Ni mafundisho ya kipekee sana Mungu niwezeshe kufundishika kwa jina la Yesu
@winifrdamagina33663 жыл бұрын
Asante mchungaji na mm ninawatoto wangu wasumbuliwa na wachawi naomba yako nikueleze nahangaika nao
@halimamashed19043 жыл бұрын
Nenda kanisani utasaidiwa ni ubungo maji hapo
@alexfrancis57195 жыл бұрын
bishop dr gwajima nimebalikiwa sana
@JacklineMmary-e2h10 ай бұрын
Amen.mchungani ubarikiwe
@douglasgatobu1052 жыл бұрын
Thenx kwa kujua jinzi ya kutumia malaika
@ritahwamboi27308 жыл бұрын
baba ngwajima nina mshukuru mungu baba kwa kututumia mwalimu kwa wakati wetu ubarikiwe na familia yako majeshi majeshi asante yesu amen
@SamwelJoseph-yk3cw9 ай бұрын
Majeshi ya BWANA ameeeeeeeeeeen
@bristonemwazighe27608 жыл бұрын
Bishop Gwanjima karibu Kenya.
@EvelyneNdabunga7 ай бұрын
Asante baba karibu Burundi
@ignasprosperballu23767 жыл бұрын
Aisee Baba Mungu anakutumia kwa namna ya ajabu sana aisee duu
@ongitoabel15976 жыл бұрын
nimebarikiwa sana kwa kusikiliza Mahubiri ya JINSI YA KUTUMIA MALAIKA. UBARIKIWE MTUSHI WA BWANA YESU KRISTO.
@Patience.673 жыл бұрын
Baba asante kwa ili somo
@nicolaus40882 жыл бұрын
Nakuelewasana mchungaji ubarikiweee
@maryadega71578 жыл бұрын
Thank you servant of the most high am amazed about todays message.God bless you and am blessed
@catherineassenga7368 жыл бұрын
baba ubarikiwee sana nakupenda sana nakuombeaa sana katika safari hii ya kugeuza ufalme wa dunia kuwa wa mwanakondoo
@SamwelJoseph-yk3cw9 ай бұрын
Nami naungana na wewe katika hilo
@bettynyongesa67024 жыл бұрын
Ameen kwa ujasiri wa hali ya juu
@gloryeliya20587 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu upendwae sana
@primoermani79618 жыл бұрын
ubarikiwe pastor na mungu wetu wa ufalme wa mbinguni akupe nguvu
@dianemukeshimana14218 жыл бұрын
Josephat Gwajima RudishaTv Nawapata
@kennedynjau20225 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana..Jina la Bwana lipewe sifa..Barikiwa mtumishi na Mungu akuzidishe
@shohamuwokovuhalisi.26488 жыл бұрын
Amina. asante Daddy. nitajua jinsi ya kutumia malaika.
@annmukai13675 жыл бұрын
Baba mungu akubariki Sana mtumishi wa mungu,mafundisho yako mazuri sana
@khairatzinzibar14348 жыл бұрын
Baba gwajima nakushukuru kwa maombi yako
@magnifiquekwizera56163 жыл бұрын
Barikikiwa mtumishi wa MUNGU
@ezekielimpiga78707 жыл бұрын
Nilitamani sana kutumika na wewe kama baba yangu, lakini haikuwezeka,Mungu azidi kukutuza akupe nguvu nyingi tuzidi kuujenga ufalme wa Yesu.
@mamatuishi-mamatuondoke88227 жыл бұрын
Mungu akusimamie milele daima- Ubarikiwe sana mwalimu wa injili
@SamwelJoseph-yk3cw9 ай бұрын
MUNGU aendelee kukutia nguvu katika yeye
@uMkhonto_weSizwe10 ай бұрын
Majeshi Majeshi!! ✊🏾
@SamwelJoseph-yk3cw9 ай бұрын
Majeshi ya BWANA
@suzanmrema10925 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana na somo hili
@pendosamson72022 жыл бұрын
EMEN EMEN EMEN EMEN DADY 🙏🏻🙏🏻
@mariammasika37208 жыл бұрын
God bless pastor Gwajima!!
@kwambokaonchonga32696 жыл бұрын
Asante sana mtumishi wa mungu kwa mafunzo Stay blessed.
@piensiacosmas4376 жыл бұрын
baba mungu akubariki sana nimejifunza mengi kupitia ufufuo na uzima
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Marekani ni kazi zao zote
@lovenesswalter66505 жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@bettypraisethelordbeblesse50407 жыл бұрын
May Almighty God be with you always be blessed
@tabithaibrahim84932 жыл бұрын
Nisamehe Baba Mungu kwa kuomba kinyume cha sheria .Mara nyingi nilituma malaika wengi na sikupata majibu.
@melesianageorge20122 жыл бұрын
Amen 🙏 sana
@alexngowo27575 жыл бұрын
Yaani nabarikiwa sana kupitia wewe mtumishi Gwajima, maana unatusaidia kuijua Biblia, sheria za MUNGU na kutokea hapo ndio ushindi wetu ulipo
@lazaruspeterson10193 жыл бұрын
Majeshi majeshi
@SamwelJoseph-yk3cw9 ай бұрын
Majeshi ya BWANA
@nicolaus40882 жыл бұрын
Jeshilaufalmee
@maryadega14638 жыл бұрын
Amen Naamini
@nicolaus40882 жыл бұрын
Nimejuamalaikaa
@gracekahinga90182 жыл бұрын
Ameeen
@sirizilizofichwazakale13798 жыл бұрын
asante bishop
@nickodemasfransis2148 жыл бұрын
god blease my dady
@lazarotluway58815 жыл бұрын
Ameen
@josephmutemi74942 жыл бұрын
Ameeeeeeeeeeen
@tobiasantony36443 жыл бұрын
Ninapoyatumia mahubiri yako kuwahubiria wengine, nakuta wanatetemeka na mapepo yanakimbia. Nataman kupata upako huo zaidi
@lusubilosilomba63048 жыл бұрын
Amen
@IssaDanda-mg1uc7 ай бұрын
Amy
@KulwaKasike17 күн бұрын
Luke 12:32
@KulwaKasike17 күн бұрын
Mathayo 25:34
@Marcondunguru8 жыл бұрын
tuta pataje vitabu vyenu
@godfreykimaro30114 жыл бұрын
Good news
@marietherese66807 жыл бұрын
God please my dady
@johnkasiti46146 жыл бұрын
Marie Therese hey
@soniamumbi14306 жыл бұрын
I can't wait to sit under you one day Man of God! ! Iv been following your ministry and God has realy lifted me. Keep serving Sir👏.. wellcomes to Nairobi..
@johnedward30008 жыл бұрын
pastor ubarikiwe sana, ni miongoni mwa watu wanaojifunza sana kupitia wewe na ningependa kuongea na wewe, hivo naomba uniandikie kwa edwardjohn450@live.com
@martjonas77237 жыл бұрын
tarifa ya habari ya SAA mbili tarehe 25 2 017 SAA 2 usiku
@claudinelola38944 жыл бұрын
Mchungaji,tunaruhusiwa ku omba malaika?
@LifeOnFire824 жыл бұрын
Hauombi unamtuma kwa sababu umepewa mamlaka hayo.
@claudinelola38944 жыл бұрын
@@LifeOnFire82,mpenzi,utatuma jee malaika ijapo kua saa anafika anakuja na mission tayari kutoka kwa MUNGU BABA?Just asking sababu sielewi.
@LifeOnFire824 жыл бұрын
Claudine Lola ukiweza sikiliza part 1 na 2. Utaelewa vizuri zaidi.
@SamwelJoseph-yk3cw9 ай бұрын
Hapana, aombwae ni MUNGU tu ila malaika ni wajumbe wa MUNGU kwetu sisi wanadam