Mungu akubariki sana kwa kazi njema upewe maisha marefu
@maombinshedson59147 жыл бұрын
Amen somo nzuri sana ,umegusa penye nilikuwa na mashaka ya namna kuwa yesu nimungu, wakati nimwana wamungu ,lakini kuanzia leo nimeelewa vizuli sana ndo yuleyule MUNGU WAMAJESHI
@selegioelias55247 жыл бұрын
am blessed
@yvonneamekakaombeniwimbomu83127 жыл бұрын
Amen nime sikiya sasa sita onewa tena nime jifunza kabisa ili neno lime nisaidiya sana
@pirminmatumizi54646 жыл бұрын
Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu. You prove beyond doubt to be a real philosophical doctor.
@danielmmaka21662 жыл бұрын
Ndio uuu 7
@edithmakonde53846 жыл бұрын
Somo zuri naelewa pastor ubarikiwe
@mariaemilian58396 жыл бұрын
God bless u man of god ,,,nmejifunza makubwa sana
@stevenkigae63087 жыл бұрын
ubarikiwe mtumish wa mungu
@اماحمد-ض4ه Жыл бұрын
Ameen barikiwa mtumishi Mungu akuzidishie
@nursechunga44705 ай бұрын
Zidi kubarikiwa baba, umenifungua mno yaan!!! mimi ni mrawala🙌
@josephitangishaka96011 ай бұрын
Ubarikiwe My Askofu nagupenda Sana
@godlovem71397 жыл бұрын
Hakika nimebalikiwa sana na mafundisho yako
@saz6s3247 жыл бұрын
Aman amen ubarikiwe sana mchungaji nmejifunza kwa neno la mungu ,mimi n mungu ndani yangu n naroho ni na mwili n na tawala,Nina uwezo wa kuamru na hamisha, mimi silaha za vita nelly form Kenya but niko Saudi Arabia nimebakiwa sana na hitaji maombi
@magmag46487 жыл бұрын
GOD bless u pastor
@edinaubarikiwemtumishijohn43207 жыл бұрын
mungu akubariki mtu mishi wa mungu kwa kazi nzuri
@rajabukimemile79825 жыл бұрын
Amina
@evarnafula28988 ай бұрын
Amen baba
@samuelmajule54 Жыл бұрын
Hili somo Bishop ni mwisho wa matatizo
@janemwakapesa55695 жыл бұрын
Ameen
@magenichips49725 ай бұрын
Amina
@rithersospeterkati23034 жыл бұрын
Nimekuelewa baba naanza kuamlisha mabaya yote yatoke kwangu na familia yangu. Amen.
@lazaruspeterson10193 жыл бұрын
GOD bless you
@piusmbatina38162 жыл бұрын
Nashukuru Sana Baba
@godfreymsembe1692 жыл бұрын
Amina amina kubwa baba
@soberkaleya51482 жыл бұрын
Hesabu 22:12 Mungu akamwambia Balaamu, Usiende pamoja nao; wala usiwalaani watu hawa, maana wamebarikiwa.*TUJIWEKE WAKFU KWA MUNGU WETU ILI ATUBARIKI. LAANA, MIKOSI, UCHAWI NA UHARIBIFU VISITUPATE!!!*
@cristophakan67007 жыл бұрын
ameeen
@zahramunir85967 жыл бұрын
amin
@adammdoloadammdolo5194 Жыл бұрын
Amee
@EMChantalG4 жыл бұрын
Amen
@كارولكارولين7 жыл бұрын
Amen Amen
@nestorsospeter49572 жыл бұрын
Nang'oa kazi za shetani juu yamaisha yangu
@gabrielkadenge30247 жыл бұрын
mara yesu ni mwana wa Mungu mara ni mungu mbona twaekwa njia panda
@saloomesoso92637 жыл бұрын
Nestor Kambala :kuna mahali sikuelewa amesema mungu hakuingilia wakati Adam na Hawa walindanganywa na nyoka,juu yeye ni roho ,nawakati alikuja kuwatembelea diposa akawakuta wako uchi juu ya kukula matunda,na akawatengenezea nguo za ngozi alikuja kimwili ama kiroho?Mwazo 3:8,, 21
@saloomesoso92637 жыл бұрын
Nestor Kambala :kuna mahali sikuelewa amesema mungu hakuingilia wakati Adam na Hawa walindanganywa na nyoka,juu yeye ni roho ,nawakati alikuja kuwatembelea diposa akawakuta wako uchi juu ya kukula matunda,na akawatengenezea nguo za ngozi alikuja kimwili ama kiroho?Mwazo 3:8,, 21
@highzacknnko40023 жыл бұрын
Nimeelewa leo
@furahayabwana61276 жыл бұрын
Aaaaaaaaamen
@mwaumark43723 жыл бұрын
Hivi wewe mchungaji Gwajima ulisomea chuo kipi cha Biblia