Napokea katika jina Yesu sawasawa na neno la mtumishi wako Askofu Elibariki Sumbe katika jina Yesu amen.
@NitakaseKongaКүн бұрын
Namba Mungu nifunguliwe vifungo vilivyonifungu maisha yangu ili nizifikie baraka zangu sawasawa na neno la mtumishi wako Askofu Elibariki Sumbe katika jina Yesu amen.
@chrisskissezzy4898Күн бұрын
Asante mungu kwa kunifunguwa Nimepokea uponyaji kwajina la Yesu Christo Amen 🙏🙏🙏
@KalondaJoyce-bd1jh4 сағат бұрын
Napokeya kufunguliwa njia zangu naza watoto wangu na mume wangu kwa jina la yesu christo amen
@NjunaelSwai7 сағат бұрын
tayari nimejiunganisha na madhabahu ya vuka yordani Bwana uniponye macho amen
Mungu baba yetu uliye mbinguni na kuomba ufunguwe ufahamu wangu na ufunguwe mume wangu pitchen Ibrahim kwa rehema zako people father Lord
@BettyNgoie-qv8lfКүн бұрын
Asante mutumishi wa mungu kwaile revelation ❤❤🙌🙌
@SHIDIOlivierКүн бұрын
Mungu Ni mwema kila wakati Eh Bwana tukumbuke Na sisi ❤❤❤
@AmisiPendoКүн бұрын
Asante yesu cristo kwa neno lako na kwakunikumbuka na kunifunguwa mm na nyumba yangu
@serapiaminja3432Күн бұрын
Nimepokea Baraka, uzima na kibali ktk jina la Yesu Kristo wa Nazareth Mungu akiye HAI
@janethkashumba1586Күн бұрын
Naomba uponyaji baba upande wa kushoto wa mwili wangu umepoozatamka nopatekuponywa
@yalalaambobe9528Күн бұрын
Ee Mungu wa mbinguni nazipa sifa zote ni zako naomba na unapo bariki wengine nami usinipete Ee Yesu kristo aliye hai.
@NzobaHuruКүн бұрын
Napokeya kufunguliwa njiya zangu nakushika bataka zangu kwa siku ya leo katika jina la yesu kristu aliye hai
@omanomma2554Күн бұрын
Nafamilia yangu na maboma yangu yaliyo fungwa na madui nafunguliwa katika jina la yesu
@bablinamtei5325Күн бұрын
Najiunganisha na madhabahu hii mungu akanisaidie nikafanikishe pale nilipoishia
@millicentraberaКүн бұрын
Glory to GOD 💪💪🙏🙏🙏 napokea neno Ee BWANA
@Kija-iq2wu11 сағат бұрын
Hakika Yesu umenitendea mema. Ninakushukuru kwa moyo wangu wote
@MuyamaBetwaКүн бұрын
Amen amen amen amen amen amen amen amen nitavikia baraka sangu leo katika jina la yesu 🤲
@nabintuhamisirachel3430Күн бұрын
Asente Mungu wa vuka yordani kwa neema iyi tena umenipa ya kufatiliya neno lako
@NzobaHuruКүн бұрын
Ninajuwa kinywa chako ni kinywa chaa Mungu naenda kushika baraka zangu kupitiya neno la mtumishi wako katika jina la yesu kristu munazarethi napokeya
@MuyamaBetwaКүн бұрын
Amen amen nabokea kufunguliwa katika jina la yesu 🤲🙏🏻👏🏼❤️
@WEMAHANCEКүн бұрын
Mungu jikumbuke kwenye haya madhabahu
@noellaniyonizeye1646Күн бұрын
Nakushukuru Baba Mungu 😭😭😭😭😭😭😭😭😭 asante sana
@WEMAHANCEКүн бұрын
Mungu kumbuka familia yangu tufute machozi baba
@ElibarikiLetayaiКүн бұрын
Asante yesu kwa kunifungua na mim
@honorinanoamba3602Күн бұрын
Bwana Yesu asifiwe sana maana tume barikiwa ya kutosha sana na Mungu amen amen
@merabKitunduКүн бұрын
Amen amen amen amen amen amen barikiwa
@charlesmisango237Күн бұрын
Nimefunguliwakwa jina la Yesu Kristo
@NzobaHuruКүн бұрын
Asante Mungu wa madhabaho hiyi ya vuka yordani kutupa mtumishi wako muzuri anaye tufunguwa natupa mafundisho inayo tusaidiya kwa safari ya kwenda mbingu ubarikiwe sana bba yetu bishop elibariki sumbe
@NzobaHuruКүн бұрын
Asante Mungu wa madhabaho hiyi ya vuka yordani asante Mungu wangu neno lako ni amina napokeya vyangu vyote kwa Siku ya leo katika jina la yesu kristu aliye hai
@YESUNIBYOSEKUBAMWIZEYEКүн бұрын
Barikiwa sana baba yangu. Asante bwana Yesu
@NzobaHuruКүн бұрын
Najiunganisha na madhabaho hiyi ya vuka yordani namuunganisha mwenzi wangu Mungu kupitiya ibada hiyi ya mtamuko utuonekaniye mimi na mwenzi wangu nakuomba usikiye Mungu Wangu
@DeboraNgwaviКүн бұрын
Najiungamanisha na madhabahu hii Mimi,mume wangu na watoto wangu,Mungu tuonekanie usitupite kupitia Mtumishi wako,tumeona wengine wakiponywa nasi tuponywe kupitia hapo.
@raessa_i438Күн бұрын
Mungu baba yetu uliye mbinguni mbali haiko kiziwizi ni wewe ule leo jana na hata milele please father Lord ni guse uni funguwe mimi fifi benedite na kizazi changu chote pamoja na jamaa yangu
@omanomma2554Күн бұрын
Napokea kufunguliwa pamoja na uzao wangu
@DanielKiplangat-px3iwКүн бұрын
Amen
@ElibarikiLetayaiКүн бұрын
Mungu nifungue na mim yesu
@Happy-rm7gs23 сағат бұрын
Wastahili Bwana ❤
@loreenmwambinguloreen7373Күн бұрын
🎉🎉🎉🎉BWANA usinipite
@VeronicaMkandilwa18 сағат бұрын
Mungu niokowe nifunguwe
@WilliamKigosi6 сағат бұрын
Always God is faithful 🙏🙏
@HarunMchanaКүн бұрын
Amen and amen 🙏
@prisca4612Күн бұрын
Amen👏👏👏👏👏👏👏🙏🏿
@HavyarimanaDesiré-v8xКүн бұрын
Asante babaaaaa
@clementinachezue3209Күн бұрын
Ameen Ameen
@YESUNIBYOSEKUBAMWIZEYEКүн бұрын
Hallelujah 🙌
@VenessashayoVanessashayoКүн бұрын
I,have done me well ooh lord
@VenentieMwadaКүн бұрын
Ameeeeeeeeeeeeeeeen 🙏🙏🙏
@carolinetoto8706Күн бұрын
Ameen asante Yesu 🙏🙏🙏🙏
@nabintuhamisirachel3430Күн бұрын
Amen asente yesu
@carolinetoto8706Күн бұрын
Aminaaa 👏👏
@clementinachezue3209Күн бұрын
Amiina
@janethkashumba1586Күн бұрын
Najiungamanisha na madhabao hii
@NsabimanaOnesime14 сағат бұрын
Nisaidie kukutorea dhaka na dhabihu eeeh yesu tena nitoe kwawakati nisaidie eemwokozi
@NeemaJonathan-d2eКүн бұрын
🙏🙏
@AloraFanuelКүн бұрын
Najiunga na madhabau hii
@clementinachezue3209Күн бұрын
Amiiiiiiiiiina
@raessa_i438Күн бұрын
Mungu baba yetu uliye mbinguni tusaidiye usi tupite mimi fifi benedite na jamaa yangu yote watoto wangu raissa nyota na Arnold nonda na mume wangu pitchen Ibrahim tu funguwe eee bwana yesu chrito
@adelebwale481852 минут бұрын
Ninaomba MUNGU wa mazabau aniguse aniponye na magonjwa ya mugongo inauma sana
@AreggAregg-u2h9 сағат бұрын
Zaburi 116:14:18
@AreggAregg-u2h21 сағат бұрын
Matamko zaburi 84:5:7
@catherinepahali2626Күн бұрын
2. Zab 116:14,18.
@GrâceMalengauobeКүн бұрын
Najiunganisha na ibada hii unao bariki wengine usinipite
@muzigemudege492417 сағат бұрын
Mungu wangu kupitiya mazabaho iyi yavukayorodani nifunguwe moyo ili nipate kuwa namtoleya zaka na zabihu
@George-King-o4qКүн бұрын
Kusema ukweli nimefunguliwa na yesu baada ya kusikiliza mahubiri kwenye KZbin kamba zimekatika na nimepokea baraka kutoka kwa Bwana Yesu.
@loreenmwambinguloreen7373Күн бұрын
Naomba BWANA usinipite kupitia ibada hii japo nimechelwa kusikiza naomba ukutane na mm siku ya leo tarehe 16/01/2025
@AreggAregg-u2h9 сағат бұрын
Eee Mungu nisaidie nisije nikakusahau wakati utakapo nipariki bali nizidi kukaa katika uwepo wako