Hongera Mtumishi wa Mungu Au watumishi wa Mungu kwa kuendelea makazi ya Bwana nafahamu Mch Matunzo tangu miaka ya nyuma kipindi hicho tulikuwa tunaabudu Mikocheni b asembleass of Good kwa kwa Mama Rwakatare kwa sasa niko nyumbani singida Nawatakia maisha marefu
@AgredaMoyoАй бұрын
Waoh!
@ValenceLugeiyamu2 ай бұрын
Mungu awabariki sana
@rachelkabunda61402 ай бұрын
Asanteni woote Karibuni kesho Tumechinga ng'ombe wengi kuku nyingi kumshukru Mungu miaka 50 siyo pandogo ni kwa msaada wa Mungu chakula nibure kwa wooote Karibu sana.
@verdianaelius2 ай бұрын
Nakupenda sana my Mom kuna vitu vingi vzr huwa najifunza kwako ... Mungu akutunze.
@jacquelinenanze65302 ай бұрын
Ubarikiwe mama Katunziii
@pastorlazarosamwelkilala57952 ай бұрын
Hongera Mrs Katunzi Bishop Hongera kwa kazi ya Mungu hakika wewe ni mfano wa kuigwa
@miriamchemutaimatanda48342 ай бұрын
Congratulations pastor en Mama we love so much,Yesu awaongeze miaka 50 teena
@WolfraSanya2 ай бұрын
hongera sana mtumishi wa Mungu. Mungu wa mbinguni naazidi kuwatunza
@devothaanzikali82432 ай бұрын
Amen ubarikiwe Sana Mama Mchungaji
@selinaramadhan78142 ай бұрын
Mungu awabariki sana kwa huduma yenu ni njema
@ApiaMaiko-ym1zj2 ай бұрын
Nimejifinza Sana mama ubarikiwe 🙏
@brightonherman2712 ай бұрын
Amina mtumishi
@deborahmwita92782 ай бұрын
Ubarikiwe sana Mama
@pastorlazarosamwelkilala57952 ай бұрын
Anasima sauti yako aizeeki
@verdianaelius2 ай бұрын
Mama umenifurahisha kwamba ukichanja damu yake inatoka damu ya Yesu.
@verdianaelius2 ай бұрын
Amina
@selinaramadhan78142 ай бұрын
😂😂 hongera mama katunzi Mungu azidi kukupa hekima na busara kweli Mungu atakupa wa kufanana naye❤
@zakiamseka96982 ай бұрын
Mtumishi amepitia magumu mengi kweli uzushi ulikuwa mwingi
@huldamichael44452 ай бұрын
😂😂😂nimecheka sana,eti Florian tulikula bamia wakati wa kula kuku tule wote😂