Mungu nisaidie katika kumalizia maisha yangu kama utanifikisha uzeeni niishi Mwanza..japo kuanzia miaka 50+.. sasa nipo kwenye jiji nisilolipenda ila nakuomba nimalizie maisha yangu ndani ya jiji langu nililokulia
@BMGOnlineTV8 ай бұрын
Maombi yako yatimie, na ukifika Mwanza, tutakupokea Ishaallah
@HusseinAnatol Жыл бұрын
Napakubari sana rock city hom boi apo Yani, DSM namba moja mwanza namba mbili
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Sahihi kabisa Hussein
@Yusuphmasalu Жыл бұрын
Naipenda Sana Mwanza naipenda Tanzania
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Wewe ni mzalendo
@MadilishaSimon-sb9kk Жыл бұрын
Naipenda mwanza
@GBPazzo11 ай бұрын
Nzuri
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl Жыл бұрын
Nenda kule moro naona kwasasa nao wameamka wanajenga magorofa mengi sana
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Sawa sawa 🙏
@MadilishaSimon-sb9kk Жыл бұрын
Mwanza ni Jiji morogoro ni manispaa wapi na wapi
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl Жыл бұрын
Uwege muelewa mda mwingne ay majiji wametokea wap pia ujaelewa mtangazaji alivyo ongea usipende kudandia vitu kwanza kabla ajasikiliza kwamakini
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
@@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl tuliwahi kupitia Morogoro, tazama hapa kzbin.info/www/bejne/Y6XaiGWBl7R8gZIsi=OSodrWQe2caTUIbR na tunakuahidi kupitia tena Ishaallah 🙏
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
@@MadilishaSimon-sb9kk uko sahihi, Moro ni Manispaa. Kasema napo wameanza kujenga maghorofa. Siku moja Ishaallah tutapita 🙏