Asante sana MKUU, ila mwanza Bado tuna matatizo mawili makubwa, Jengo la uwanja wa ndege la aboria japo ni dogo na aliendani na hadhi ya mji wa mwanza lakini halijakamilika, pili maegesho ya magari hapa mjini ni shida sana, kuegesha magari pembezoni mwa brbr ni jambo hatarishi sana
@BMGOnlineTVАй бұрын
Sahihi kabisa
@MadilishaSimon-sb9kk2 ай бұрын
Mwanza ❤❤❤
@BMGOnlineTV2 ай бұрын
Jiji la kuvutia TZ
@zainabumartin952017 күн бұрын
Kweli limeisha au porojo
@BMGOnlineTV17 күн бұрын
Bado asilimia chache tu
@zainabumartin952017 күн бұрын
Daraja tu lenyewe harijaisha itakua soko😢
@BMGOnlineTV17 күн бұрын
Wamesema Disemba linaanza kutumika
@zainabumartin952017 күн бұрын
Tumewachoka kigongo ferry daraja bado
@BMGOnlineTV17 күн бұрын
Kazi Inaendelea huko
@laheonlinetv21612 ай бұрын
uwanja wa ndege siyo wa kimkakati Bazo? mbona huutaji?
@BMGOnlineTV2 ай бұрын
Nao wa kimkakati. Tumeutaja sana mara kadhaa
@zachmaselle663511 күн бұрын
Ni aibu kubwa sana kw nchi yetu, mji wa pili kwa ukubwa na uzalishaji kukosa Aiport. Kila kitu kimesahalika. Angalia CCM Kilumba. mji ulio kando ya ziwa kubwa duniani wananchi wake kuwa na tatizo la maji ni aibu isiyo na kiwango. Huu ni ukweli na siyo majungu.
@BMGOnlineTV11 күн бұрын
Nini kifanyike mdau?
@niolaussdavid2 ай бұрын
na kupanga jiji upya
@BMGOnlineTV2 ай бұрын
Livutie zaidi
@MohammedJaizan-yf5ytАй бұрын
Hili soko kwa kiongozi huyo litafika mpaka mwaka kesho litakuwa bado . Uwongo ndio kipao mbele pamba wewe ndio umeipandisha? Mwanza itapitwa hata na shinyanga kimaendeleo kwa viongozi kama hawa
@BMGOnlineTVАй бұрын
Kwa nini una mtazamo huo?
@MohammedJaizan-yf5ytАй бұрын
@@BMGOnlineTV Mfano mzuri serekali imetumia kiasi kikubwa sana kutengeza nyamungoro kwa ajili ya magari makubwa lakini mpaka Leo haitumiki na wanaendelea kuharibu Barabara za mjini mbazo haziimili uzito hii yote inatokana na kiongozi kama huyu. BMG fanya utafiti wako wa miradi ya mwanza isiyokuwa na kasoro utapata jibu. Na hii inatokana na viongozi kama huyu na hawezi akasema yeye ni mgeni mza ndio huwa visingizio vyao . Hii ndio mza linalo wezekana huwa haliwezekani
@johndeov5630Ай бұрын
Mwanza jiji miradi mingi inasuasua katika utekelezaj tunaanza na ujenzi wa jengo la abiria airport Hadi Leo kimya pili ujenzi wa barabara kutoka buhongwa Hadi kishiri Tena ss soko kuu yaan miradi ya mwanza ni full danadana