Huyo Baba Yunis ana maneno mengi, Mkristo Mkatoliki ana ndoa ya make mmoja TU, kupishana kwa sio kibali Cha kuoa mke mwingine. Tumwombee Baba Yunis arudi kwenye Masakramenti. Imani ya Wakatoliki hatuna Masulia.
@BMGOnlineTVАй бұрын
Sahihi
@ackileymalisa-yx4ej Жыл бұрын
Mungu ailinde Familia ya Tunis na Wazazi wake.
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Amen
@carolinelupembe5529 Жыл бұрын
Hizi tamaa sio nzuri
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Kabisa
@sophiaoddiaga5113 Жыл бұрын
Wewe Mzee Kuna ulichomfanyia mama Yunis SI Bure Iko namna
@bernicenduku3368 Жыл бұрын
Kaa na huyo bibi umeoa,alafu mungu anyooshe kichapo kikali kwa huyo bibi na wewe ,kwa kuchafua kazi yake,kiwarambe dunia ishangae
@BrendaMarani-ml1lv Жыл бұрын
Na kitawaramba kwanza huyo mwanke aondoke hapo hakuna vile utaharibu nyumba mwingine
@shukranjazzakhaallahukheir1897 Жыл бұрын
hapa kuna fitna fulani inaendelea.huenda kunamtu anamushauzi vibaya ilikusudi gamilia isambaratike.Mungu awalete pamoja inshaaAllah
@martinamturano2152 Жыл бұрын
We Mzee ni mzinzi huna haya😩 Mama Yunis kaona unachafua karama ya Mtoto. Hao wanawake wakuzalie Mtoto kama Yunis. Sura mbayaa
@JoaquinaZacarias Жыл бұрын
Nashukuru sana husikiliza habari jinsi changamoto zilitokea huko Bukama. Ni huruma sana kutumia jina la mama Bikira Maria kibiashara! Tuwa himara wakati upepo mkali unapotufikia. Jenga nyumba yako kwenye mwamba, kukija mafuriko ama upepo mkali nyumba iendelee kusimama.
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Amina
@mwanaidsabih863111 ай бұрын
Wewe baba yuni wewe na huyo muhudumu wa gesti sio bureeee
@BMGOnlineTV10 ай бұрын
Hahaha umehisi ndivyo sivyo
@clementinakabaka7447 Жыл бұрын
Tena familia ina mapadre na sista huyo mzee ni mbabe na anatamaa ya pesa na mali anaonekana kwenye clip zote ukifiatilia ila mama ndiyo yupo kiroho.baba analaumu hata wanaopona bila kutoa shukrani kwao amesahau shukrani ni kwa Mungu na ni popote kadiri mtu anavyoshuhudiwa.apunguze maneno mengi na aache hiyo dhambi ya uzinzi kama kweli anasema maji yanatakasa aanze yy kujitakasa na huyo mtoto kwa kuwa anajua mabaya kama ameridhia kuondoka ina maana amekubali kutoka hapo mzee atubu na aache ujinga wa kutumia fedha za maombi ya wagonjwa kufanyia uzinzi
@mirrykirungi5078 Жыл бұрын
Umelenga mule mule
@leticiakaijage1060 Жыл бұрын
Mzee 0got unaliabisha kanisa katoriki ,mkatoliki afunga ndoa na make mmoja we huyo wapili wanini?hiyo nidhambi ya uzizi ukaungame umeharibu Imani za watu,alfu una maneno mengi unajifanya kwamba uko sawa haukosawa huyu mama umemuumiza kwa uzinzi wako ,kama wewe ni Mzee unatafuta nini kuoa usimulaumu mkeo wewe ndiyo mwenye makosa kanisa katoriki hakuna ndoa ya watu 2 jiheshimu Ili Mungu akuzishi baraka .
@rossarutasha9391 Жыл бұрын
Una tamaa wewe mwanaume umepata pesa kwa mtoto acha tamaa😊
@dominicmutuku9206 Жыл бұрын
Hio boma mungu alikua ameiteua kwa kumtembelea mtoto juni ,,,sasa msee OGOTI umemuruhusu shetani akutumie kuharibu huduma ya mwanao Junis Kwa kukuweka kiburi jua kwamba she Tani spendi huduma ya mungu inapaa huwe mtakatifu hata kukaribia hayo maji Chung'a mungu WA juni asikupige.
@JoaquinaZacarias Жыл бұрын
Katika kanisa katoliki la Roma sijasikia ndoa ya wake wawili ama zaidi! Tangu mama Yunis aondoke na baba Yunis kuoa, ni mda mfupi sana, lini mlifahamiana hadi kukubaliana ili kuishi pamoja kama bwana na bibi. Imani yako baba imekupotosha, usimuhukumu mama Yunis tu, kwanza jihukumu mwenyewe, hadi uungame kwa mwenyezi Mungu ambae alikujalia baraka zisizopimika.
@EverlynAndeo6 ай бұрын
Sawa kwa mama kwa sababu ya neema ya mtoto mungu awe naye kwa kezi ya mtoto kwa mungu baba think twice kwa hudma ya mtoto.
@BMGOnlineTV6 ай бұрын
Amina
@joyceavisa4520 Жыл бұрын
Waache kuangaisha malaika wa mungu watachapwa na mungu
@devotajulius7572 Жыл бұрын
WW kaka nakujua vzr kipindi Eunice hajawa na miujiza mama Eunice alikuwa anachoma mkaa ndio anakula na watoto ww unakula sentani na chai huku nyumbani unakuja kulala .Leo unatambaa kweli kweli
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Noma
@kakajoeprosper957 Жыл бұрын
Wewe baba, aca kukariri biblia ambayo aujuwi, usiteteye uzinzi wako kwa kuoa mke wa pili, iyo sio imani ya dini yako katolika, ayo ni yakwako umekiuka sheria ya biblia, tangu mwanzo Mungu aliumba adam na eva, Yesu pia alikuja kuweka mambo sawa soma marko 10:1-12, sasa acha ujinga, wewe kubali kama una makosa kwa kuoa mke wapili, anza kwanza kufukuza uyo mpango wa kando kiisha ndo umubembeleze mkeo arudi, tena usimuhukumu kwa sababu wewe ndie umeyaleta, mke anawezaje kuondoka mda mufupi ulishaleta mke mwingine inamaana alikuwepo tangu zamani, usituchezeye akili bana, bilashaka ilo ndoo canzo ca ugomvi wenu, wewe itika kosa usiseme amukuzozana, jambo jingine sio vizuri kuusisha watoto kwenye mambo ya ndoa, apo unaua ico kizazi, wewe pambana na hali yako na Mungu atakusaidia.
@JonezMtakale8 ай бұрын
Watu wa Mungu pia hujaribiwa ila upatwapo na jaribu basi omba neema kiburi kisije kukutawala
@BMGOnlineTV8 ай бұрын
Amen
@joyceavisa4520 Жыл бұрын
Mungu dio alituma huyo mutoto mutulie muache mungu aandelee na kazi yake
@aaaa-g5o8x4 ай бұрын
Mnanzaa kungaanya mali ya yunusi mungu atawapiga fimbo moja tu
@BMGOnlineTV4 ай бұрын
Waombeeni
@donathajasson64016 ай бұрын
Mhhhhhhh! Ugomvi wako ni kuongeza mke wajaruo mna nn nyie kabla ya Yunice mbona haukuoa Yunice uko wapi jamani ebu nyoosha kidole tu kwa huyu mke wa baba jamani 😂😂
@BMGOnlineTV6 ай бұрын
Amen
@BurundiBurundi-ru7vu6 ай бұрын
Mungunimwema
@LomayaniLukumayi8 ай бұрын
Amen
@Josephinelatin6 ай бұрын
Baba unice mwohombea mama unice kwa sababu ni roho mbaya imemngia sio kupenda kwake shetani anawapinga vita mnasitaili kukoma kiroho
@BMGOnlineTV6 ай бұрын
Amen
@kiswahili_mangat Жыл бұрын
Soma biblia tena. Unachanganya kila kitu. Isaka hamuwa na wake wengi ila mwanae Jakob. Katoka kanisa huruhusiwi kuoa wake wengi. Hapo ni mahali patakatifu, umeshapachafua na kumtorosha mtakatifu nwenyewe. Inasikitisha sana.
@marymuthoni1551 Жыл бұрын
Mr. Ogot wachia Mungu, hiyo kazi ni ya Mungu,
@husseinhassan4920 Жыл бұрын
Mzee Ogot tafuta mahali Mama Yunis na Yunis wako orudishe away nyumbani.Tafadhali fanya kwa hio.
@demicratia4071 Жыл бұрын
Atamtafute wapi??? hawezi acha watoto aingie mitaani kumtafuta ATAANZIA WAPI? reporte police wamtafute ndio solution iliyobaki
@obadiajumamkaria2568 Жыл бұрын
Inathibitisha simpango wa MUNGU
@TM-zs3rm Жыл бұрын
Mgogoro Upo. Maswali yako mtangazaji sijayaelewa. Ilibidi I’m and huyu mzee. Kwa vile Mtoto huyu ni kupitia dini ya Roma huyu mzee haruhusiwi kuoa mke wa pili na kutumia maslahi yake binafsi. Ana Inja nguvu ya mama Bikira Maria kupitia mtoto Yunis. Baba mbovu. Mi ningemtelekeza kabisa huyu baba.
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Ungependa wakati ujao tuulize maswali gani?
@TM-zs3rm Жыл бұрын
@@BMGOnlineTV mnajua wazi anamtumia pesa kutoka huyu Mtoto kujenga nyumba ya biashara na kumweka mke wa pili pale. Achume Mtoto na mama achukue kupitia imani za watu. Ni tapeli. Analialia kama Mtoto hajui hasara a shoo-in Giza kwa familia kwa Ubinafsi na kuwa Tunis nyinyi. Hajiheshimu wala ham heshima huyo Ukitaka Maria. Ni tapeli mkubwa na mbinnafi hajali familia na hakiheshimu.
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
@@TM-zs3rm wakati ujao tuulize maswali gani?
@sefrozasibuti9194 Жыл бұрын
Haya ni majaribu,. Mungu simama nao ,
@jackyanyango9678 ай бұрын
Mama unice umekosa sana utapata laana kubwa sana niyayako unataka kuanza business na unice Mungu atakuchapa sana think twice
@BMGOnlineTV7 ай бұрын
Waombeeni
@ZiadaMgola-ev3ow5 ай бұрын
Shida ipo kwa baba tangu mwanzo nilimwona
@jackyanyango9678 ай бұрын
Mama unice thafadhali rudisha mtoto nyumbani wacha kuchezea nguvu zake Mungu
@BMGOnlineTV7 ай бұрын
Amen
@aaaa-g5o8x4 ай бұрын
Tamaa ni mbaya sana na wewe mnzee wewe ndio umesambabisha hayo
@BMGOnlineTV4 ай бұрын
Ni kuombeana neema ya Mungu
@edwinamboyi9138 Жыл бұрын
But why did you marry in a month if not you were in relationship...na wamama wenye huwa tayari kuoleka kwa Mme wa kwake l pity you 😊oooh
@nicolenabintu2509 Жыл бұрын
This man is weekend, he’s the betrayal of the family, almighty God will punish you baba Yunice ume haribia mtoto kipaji na umalaya wako 😭👎🏽
@aaaa-g5o8x4 ай бұрын
Weeeh ati nyumba😢😢😢 kwani ni bihashara
@BMGOnlineTV4 ай бұрын
Hapana
@peterleoomurunga-oyondi7996Ай бұрын
Nashukuru tena sababu Yunis japo Mtoto aliniguza rohoni mwangù jinsi Mama Maria anavyotupenda sisi wanawe. Roho-Mtakatifu atashinda yote!
@BMGOnlineTVАй бұрын
Amen
@aaaa-g5o8x4 ай бұрын
Kumbe ulichafua madhabau ya mtoto na kuzini😢😢😢
@BMGOnlineTV4 ай бұрын
Mwombee toba
@florangido202 Жыл бұрын
We mzee unaongea sana!! Unajihaibisha, sema nyumba zote mmejenga wewe na mkeo, Sasa unaposema nyumba 2 ni za kwako Una maana gani!! Mwanamke ukiona ameamua kuondoka ujue Amechoka. We baki na hao wanawake zako. Ulitaka aondoke haache mtoto wake!! Ye ndiyo aliyezaa. Na pia ndiyo anajua Baba wa Mtoto. Eti mtoto Apatikane Arudi. Na Mke Aende wapi!! Mke hasirudi!! We baba mjinga sana!! Baada ya kumuomba msamaha Mkeo na Kumtaka Arudi na Uachane na Hao wanawake!! Yaani hacha Uzinzi. Kama mama anatoroka Ujue Una Mauzi....!!! We, Baba Huna Haya, Kwanini UMEOA, Ugomvi si ndiyo huwa!! Eti hakuna Ugomvi!! Ovyo kabisa wewe!! HUJITAMBUI. HUYO MKE ANAKUJAJE KUKAA HAPO WAKATI MKEO KAONDOKA!! UONI KUWA YEYE NDIYE CHANZO!! ULISHAANZQ KUWA NA KABLA HUJAMLETA HAPO. ULIPAGAWA NA PESA ZA MTOTO... SASA MAMA KAONDOKA NA MWANAE WE BAKI NA HAWARA YAKO. USICHEZE NA HISIA ZA MWANAMKE!!! UMEMUUMIZA MNO.....
@mirrykirungi5078 Жыл бұрын
Fact kabisa
@judithmelvinealuchio8968 Жыл бұрын
alinigonga EUR zangu wacha Mungu ampige kiboko kabisaa tena nilimuambia kabisaa kuwa Mungu atampiga kiboko I hope anakumbuka hiyo text yangu 🙏🙏🙏
@mirrykirungi5078 Жыл бұрын
@@judithmelvinealuchio8968 ndio malipo anayoyapata anatamaa mno alitaka kanisa likulupuke ila wapi tamaa na utapeli kaweka mbele
@kiswahili_mangat Жыл бұрын
Kama akili ilikuwa kujitajirisha, si ajabu umeharibu kila kitu. Aibu iko upande wako baba wa watu.
@mariaikombe7839 Жыл бұрын
Huyu naye kachanganyikiwa anahitaji maombi Romani ukishaoa mke wa pili umeshajifungia sakrament akili ameshaharibu
@mercypeter162 Жыл бұрын
Tamaa yako imekuponza umemgeuza mtoto mradi. Labda malaika aliendani ya huyo mtoto ndio amemshauri mama watoke kwako. Ni wajibu wa baba kuridhisha watoto. Baba ndio anatoa uridhi Na sio mama. Pesa za mwanamke usiziingilie mjalua akiwa mkorofi na mtu wa watamaa ya Pesa Na umalaya. Ni tatizo. Shetani amepata lango kwenu wazazi kuua karama ya mtoto. Lakini usisahau giza haichangamani Na nuru hivyo MUNGU atadhihirisha ukweli
@@justinemmanga7369 umelenga mule mule hakuna kuoa wake wawili sema tamaa tu
@jenipherkachecheba80977 ай бұрын
ukewenza usikie ... huyo mzee atakuwa alikuwa na huyo mke wa pili!!
@BMGOnlineTV7 ай бұрын
Noma sana
@rossarutasha9391 Жыл бұрын
Mbona mwanzo ulisema huchukui pesa yoyote kwa watu mbona sasa unaonyesha mapesa uliyonayo
@siryklyubov7989 Жыл бұрын
mbona simuelewi huyu mzee anasema ametoa mke mmoja na mhudumu. imekaaje hiyo. na kwa nini huyo mwanamke umuingize kwenye nyumba ya mama yunis na usimtafutie nyumba.
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Maswali ni mengi, majibu ni machache
@annehaysanday9214 Жыл бұрын
Wewe ndo utapata laana
@mariamfritsi4943 Жыл бұрын
Hii story ni marudio,si ulikwisha tuletea.
@dominicmutuku9206 Жыл бұрын
Sadaka ya pasa sa magojwa imelaaniwa pungulia mtoto bank muwekee pasa sake za huduma mama Maria atakuja kudai hiso sio pesa sako
@mirrykirungi5078 Жыл бұрын
Hahahahahahajaha
@ZiadaMgola-ev3ow5 ай бұрын
Baba ana sifa sana huyu na anatumia mtoto fursa pesa mwana haramu
@BMGOnlineTV4 ай бұрын
Mwombeeni sana
@demicratia4071 Жыл бұрын
labda baba Mkubwa anajua alikp
@MikereMio Жыл бұрын
kaungame wewe mzee , na uombe toba kwa uasharati wako . na pesa za sadaka sio zako kujinufaisha na kujitajitisha
@rossarutasha9391 Жыл бұрын
Na umuombe radhi kaka yako shida ni kuoa sio kaka yako usimuchonganisha
@jackyanyango9678 ай бұрын
Baba unice na mamake mtunze mtoto muwache mvurugano munapea shetani nafasi
@BMGOnlineTV7 ай бұрын
Amina
@gracewilliam4102 Жыл бұрын
Kwa nn asisuke nywere saa we mzee malaya
@veronikamwampashe984 Жыл бұрын
Imekula kwako we mbaba uongeaji wako unaonekana ogoteee unamitaaamaaa ya mali
@mirrykirungi5078 Жыл бұрын
Yani hacha tamaa kaweka.mbele kuliko utu
@emmymatigula4870 Жыл бұрын
Ni wewe umenajisi karama ya mtt. Wakristu ndoa ni moja tu Mengine ni dhambi Umemchosha mamaYunis Umeshindwa kuweka mtu umlipe ahudumie nyumbani? Wewe unamakosa Kumbuka ulikotoka na mama wa wtt wako.
@annehaysanday9214 Жыл бұрын
Hakuna karama hapo ilikuwa kiki kama ya babu wa Loliondo.Huyo mtoto angetumwa na Mungu baba yake asingefanya uzinzi angekuwa na hofu ya Mungu.Muongo sana wewe baba
@tabby6064 Жыл бұрын
@@annehaysanday9214kweli kabisaa
@hellengoretti1620 Жыл бұрын
Anyway polygamy is not allowed. Mzee wewe baba yunis umekosa sana . Tunza neema ya mtoto
@demicratia4071 Жыл бұрын
Polygamy not allowed to u but to their Luo traditions its allowed. Hao watoto WATATUNZWA NA NANIII? NA PIA AMEONDOKA AMEMUACHIA MTOTO MWENYE MIMBA??? does it make sense.Mama Yunis needs HELP
@demicratia4071 Жыл бұрын
HOLY MARY ANAJUA MTOTO ALIPO NA ATAMPA FULL RECHARGE NA KUMRUDISHA NA FULL ENERGY LETS KEEP ON PRAYING HAIL MARY...
@demicratia4071 Жыл бұрын
Ameeen
@LomayaniLukumayi8 ай бұрын
Amen...nibarikiwe
@monicawangui792210 ай бұрын
Watu wa Kenya wanapata
@BMGOnlineTV10 ай бұрын
Barikiwa
@josephkuriamungai6877 Жыл бұрын
Let me try
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Ok
@JacklineKemunto-u4c6 ай бұрын
Yunis niombea
@BMGOnlineTV6 ай бұрын
Amen
@CatherineSuda-u7x Жыл бұрын
Mzee umeshangaza usituletee hadithi zako acha mahubiri Yako umekosea kwa Nini uoe haraka haraka acha kutoa mashahidi hao ni watoto hawajui ya ndani kwenu pesa ilimuua YESU na ndoa yenu itasambalatishwa na PESA
@RoseKimishabhalemi-oz9bn7 ай бұрын
Labda ni mashaka
@BMGOnlineTV7 ай бұрын
Kikubwa kufuata imani yako
@restitutanjau2585 Жыл бұрын
Ulichofanya wewe pia Ni aibu
@maspro6294 Жыл бұрын
Huyu mzee taperi na mke na mtoto wake hakuna maajabu yoyote na mpubavu Yana kwenda kunywa maji ya Choo hii story Haina tofauti babu WA kikombe
@alicewairimu29696 ай бұрын
Adui ya mtu ni yule wa familia
@BMGOnlineTV6 ай бұрын
Kabisa
@tumainimsumba513 Жыл бұрын
Shida iko wapi
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Swali zuri
@grecevitariss6363 Жыл бұрын
Mama yunisi aache maramoja,iyotabia yakuwa anaondoka nyumbani,anatupotosha kwasababu MUNGU apendi atafanyawatu wakose Imani naMungu atafanya anachojua yeye kwaajiliyakuokoa watu wake
@franciscabisimwa7093 Жыл бұрын
Manayake unakuwa isaka
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Badala ya?
@mamaafrica1530 Жыл бұрын
Niko natabu ya mokojo,Dada unis unisadie mako istop pls
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Amen
@nicolasoduor7695 Жыл бұрын
Wapinga kristo wameteka nyara nafsi ya mama Yunisi;lakini hayo yote ni mapito tu.Ninaamini mungu wa milele atawarudisha nyumbani hivi karibuni na huduma itaendelea madui wapende wasipende
@RoseKimishabhalemi-oz9bn7 ай бұрын
Mwongo wewe ni mtuimishi wa shetani mshenzi wewe
@BMGOnlineTV7 ай бұрын
Mwombee sana kwa Mungu
@markben6142 Жыл бұрын
Huyu mama amechukuliwa na shetani lakini Tia Biashara kando na huduma ya mtoto yunis
@SimonOpondo-g4n Жыл бұрын
Ogot many nyathini yunis mano gwethni
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Sawa sawa
@janebosire3318 Жыл бұрын
Lakina hata mama yunis alikosea Kwa kweda na yunis ambaye ilikua anasaidia watu angeacha pastor yunis haedelee kusaidia wagochwa
@TM-zs3rm Жыл бұрын
Mama Yunis kamwondoa mtoto asitumike na baba kwa Ubinafsi, utapeli na uzinzi