Wanaohitaji mawasiliano ya mtoto Yunis kzbin.info/www/bejne/p56moJuCgd2fhaM namba iko kwenye hii video.
@nameno86082 жыл бұрын
Yunis ni mtoto ambapo anatibu ni Miujiza ya Mungu.Ila anahitaji Elimu na maisha kama watoto wengine
@BMGOnlineTV2 жыл бұрын
Wazazi wake waliishasema, umri wa kwenda Shule ukifika ataenda Shule kama kawaida
@Humble-f3p Жыл бұрын
Mungu awabariki sana wazazi wa Eunice Kwa kuitikia kufuata hiyo kipawa ya huyo mtoto..........❤we love you Eunice 😊
@rachaelkusero2432 жыл бұрын
I should visit that place
@sharonjelagat62072 жыл бұрын
Eunice is really a miracle baby ,may God continue to take care of her so that she can continue to heal people 🙏🙏
@BMGOnlineTV2 жыл бұрын
Mtengenezee
@danielsangu29592 жыл бұрын
Sistery yunice nakuomba uniombe kwa mama niwezekupona magonjwa yanayonisumbua na shida zote zilizoniandama anima
@crosscate60252 жыл бұрын
I love yinis mother because of respecting the baby's annointing...she was a true deserving vessel for this mtoto
@petereliaselias40122 жыл бұрын
Mungu atukuzwe kwa nguvu ya Bikira Maria mototo Eunice anatuonyesha kuwa inabidi tuabudu kuwa Mungu yupo na tumwabudu.
@elizawanarumoro68672 жыл бұрын
I love mother Mary you are a blessed family be happy wow
@fatuibra20122 ай бұрын
Mutoto Eunice naomba maombi yako uniombee tafathali uniweke kwa maombi pamoja na familia yangu Asante
@BMGOnlineTV2 ай бұрын
Ubarikiwe
@ruthndunge82852 жыл бұрын
May God bless baby Eunice , for the good work.
@gkiobya49602 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu azidi kumbariki
@petereliaselias40122 жыл бұрын
Mungu atukuzwe mototo Eunice anatuonyesha kuwa inabidi tuabudu kuwa Mungu yupo na KWA nguvu ya bikira Maria yeye anaponya magonjwa mbali mbali.
@gracewambui55292 жыл бұрын
Hail Mary full of Grace the Lord is with you
@christopheromaika84072 жыл бұрын
Mama maria mama wa wamkombosi wetu yesu kristo uzidi kutuonea huruma na kutushushia mwanga kutoka kwa mwanao yesu kristo Amina.
@peterleoomurunga-oyondi7996Ай бұрын
Thank you; I will see you soon as the Lord blesses me Mtoto Yunis.
@BMGOnlineTVАй бұрын
Amen
@banabwalyabwalya-yb1qj Жыл бұрын
Amen mungu no mwema
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Amen
@jyre-9ook2 жыл бұрын
i connect with mother Marry let her power spread to my Godgiven,Amen.
@leticiakiguha7432 жыл бұрын
Namushukuru MUNGU kwa miujiza ya mtoto Yunis ,mama mt.BikiraMaria kupitia Kwa mtoto huyu utuombee inch yetu Tanzania Kwa mwanao tuwe na Amani Tanzania.Familia Baba na mama Yunis mbarikiwe sana
@janeodahalizah60162 жыл бұрын
Dada yunis Mungu azidi kukupa nguvu kuponya wengi pia NAMI naitaji maombi yako kwa familia yangu Kenya
@BMGOnlineTV2 жыл бұрын
Amen
@maureenoketch392 жыл бұрын
I love you Eunice 🥰🥰🥰
@stephenmukwata17372 жыл бұрын
For those who claim that Mother Mary died, I want to assure u tht She NEVER died and she really exists. If u are not a catholic, stick to the teachings about your faith because ur faith is the one to lead to u to heaven. Those who are catholics, they know the roots of the catholic faith and thts why u will never find any of them worshipping any other than the true God. We adore Mother Mary and we know her position in the church. Politics in churches does not help us in any way. I advise we all stick to our respective faith. If catholics are wrong, God will judge us just the same way He will judge others who go against the true worship. Stay blessed Sister Yunis 🙏🏾
@aisharowe86922 жыл бұрын
Well said and I'm so proud to be catholic ❤ from Haiti 🇭🇹
@marymungai44292 жыл бұрын
I have faith in this servant of God Yunis i love mother Mary our mother mother of my lord Jesus Christ my Lord and savior
@wesleyngwalla5722 жыл бұрын
Am happy to be associated with the tribe of Yunis. I believe the Almighty God, will definitely do wonders through this little angel, and that whoever believes will surely inherit the kingdom of God.
@naturelle10972 жыл бұрын
Stop being tribalistic
@teddymhenga30062 жыл бұрын
Amen Amen Amen. True
@annndunge45782 жыл бұрын
Tumsifu Yesu Kristu. Namshukuru Mungu kwa neema , wema na fadhili zake za milele..... Asante Sana Mama yetu Mama Maria kwa huu huduma kupitia kwa huyu mtoto was ajabu Sana... Tunakushukuru mama kwa kutupenda upendo was ajabu. Naomba nambari la simu la wazazi was yunisi tafadhali...
@BMGOnlineTV2 жыл бұрын
+255 686 967 279
@joynabirye35422 жыл бұрын
I need to pray for me 🙏
@salalagonzales52032 жыл бұрын
Mungu mwema amtunze Sr Yunis, Mama Maria utuombee tunaomba ujumbe wako kupitia mtumishi wako huyu!
@evaboniphace70152 жыл бұрын
Aksante mungu kwa zawdi ya mtoto
@NancyMwaibula76342 жыл бұрын
Mungu ni Mungu tu anataka ibada afanyiwe yeye sifa na utukufu apewe yeye,, Sasa unachokiweka mbele huyo ndio Mungu wako Mungu anakasirika mnapomuabudu Bikira maria ohooo.
@samwelryoba70662 жыл бұрын
Mdago wangu unice tuombee sisi wakosefu tuweze kumludia mungu Wetumpka. Pia nakupenda Sana mdgo wangu
@janendungemunene10192 жыл бұрын
Wonderful
@valentinanduku87182 жыл бұрын
Mtoto yunisi niombee kwa maisha magumu na ndoto zangu zitimie Amina
@josephakure67432 жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe.Ameen
@joharyselemani61982 жыл бұрын
Mwenyez mungu akunulie nuru ya uso wako yunic
@yohaneseper75512 жыл бұрын
Mtumishi Mungu ninaomba umuombee Mke wangu Sara Yohane .Mimi ni katekista Yohane Seper Niko loliondo
@malingomdoligo49332 жыл бұрын
God bless ue baby girl mungu akuongoze ufanye makubwa zaid watu tuokolewe in the name of jesus crist
@lucylusekelo87162 жыл бұрын
Mungu azidi kumbariki
@RebecaAmon6 ай бұрын
Amena mungu ashukuliwe
@BMGOnlineTV6 ай бұрын
Amen
@venancemgani20412 жыл бұрын
Eeeeee Mama mwogope Mungu zijalibuni hiyo ni roho ya upotofu zb 115:1-10soma Mgeukie mungu Mama
@marieanneroyalty2 жыл бұрын
Do not judge for you will be judged, but I never heard kwa bible Virgin Mary akiabudiwa.. it's always God through his son Jesus.
@juliemetanoia16502 жыл бұрын
I would love to visit this family..so help me God Amen.
@Gyatdamn-2 жыл бұрын
Same here
@naomymose18662 жыл бұрын
Ata wajeshi wabariki, wamebepa Baraka.
@bridgetmuraga7362 жыл бұрын
Sister Eunice pray for us🙏🥺
@susanmakhanu25922 жыл бұрын
We bless God for this Miracle baby, we are following your channel from Kenya kindly send us more videos as at today.
@hawaesthermansaray67932 жыл бұрын
How can some one get unto this people please. May God continue to use this child Amen
@BMGOnlineTV2 жыл бұрын
Welcome/ Karibu
@hawaesthermansaray67932 жыл бұрын
Please help me okay
@alialamoudi97292 жыл бұрын
Uongo mtupu haifai kuamini mambo kama hayo kabisa kamwe ni shirk usijaribu kwenda huko kumoba kutibiwa ni shirk thambi isio samehewa milele usijaribu kwenda huko
@tabithaoguta6672 жыл бұрын
Barikiwa Yunis
@vinsanciakerubo41502 жыл бұрын
Dada Eunice balikiwa sna kwa kuwaponya wagonjwa mbalimbali I love you Eunice pia mh niombee sna sna ikiezekana sku Moja tutaonana barikiwa 🙏🙏🙏
@kamwanyaagnes91162 жыл бұрын
Moto mungu amekuchaguliwa na kuomba ubebe magonjwa yangu ku moyo wa bikira Maria🙏🙏🙏
@SubiraErnest-o7t Жыл бұрын
Holy merry❤❤
@herbertchapaguta3733 Жыл бұрын
I'm grateful pliz help m l need to go and take my healing l luv this young woman of God 🙏🙏🙏🙏directions pliz
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Be Blessed
@tushemerirwejackline87402 жыл бұрын
Asante maama mariya ni yiunis
@maripamoo2 жыл бұрын
How can reach her please
@naomymose18662 жыл бұрын
Yunis must have her own you tube where her contact will be for easy contributions, so has not confused giving
@BMGOnlineTV2 жыл бұрын
Do it for her!
@Emy-magda2 жыл бұрын
@@BMGOnlineTV I wish too. So atatengezewa aje
@anthonymunroe13952 жыл бұрын
@@BMGOnlineTV how can i get some water
@alialamoudi97292 жыл бұрын
Ndugu zetu waaslamu wenzetu msijaribu kumoba matibabu wa aina hii NA wala usiamini hio shirk thambi isio samehewa milele usijaribu kwenda huko kumoba kutibiwa ni shirk
@elizabethmlingi73112 жыл бұрын
Mungu endelea kulinda Huyu mtoto iliaendelee kutuponya nasisi ambao tupo mbali mama bikira maria utuombee
@giuseppinapaul44322 жыл бұрын
Tumshukuru Mungu kwa waliopona. Tumuombee mtoto Baraka ambae amekataliwa na anateseka sana
@Laban-J-Mkanda2 жыл бұрын
Amarponya ni Mungu na so mwanadamu.
@annettyrah9462 жыл бұрын
Haleluya! Naomba kupata number ya kuzungumza nao. Kwa kweli mungu anaishi kup
@lucysanka25702 жыл бұрын
Naweza kubali some how, kwani kuna mwakilishi wa mama bikira Maria Kisongo Arusha aliyetokewa na Mama Bikira maria pale watu wanatoa shuhuda za kweli kabisa Kwa kusali Rozari ya huruma ya Mungu na Kwa maelekezo atakayo kupa jinsi ya kuomba na kusali Rizari
@FredOdhiambo-he1rw Жыл бұрын
Watu wa mungu kaeni macho sana nikubaya. yesu anasema wakatiwa mwiso manabii watakua wengu waongo wakitumia jina lake,
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Amen
@roselyneachieng76382 жыл бұрын
This is miracle
@fridafrida76652 жыл бұрын
Mimi ni frida kutoka kenya but niko saodi naomba maombi ya mtoto yunisi atuombee wote hapa saodi pamoja na watoto wangu
@deborapatrick73552 жыл бұрын
Dada gunisi niombee mwanang atembee
@alialamoudi97292 жыл бұрын
Uongo mtupu haifai kuamini mambo kama hayo kabisa kamwe ni shirk usijaribu kwenda huko kumoba kutibiwa ni shirk thambi isio samehewa milele usijaribu kwenda huko
@hermanmwanansoga57682 жыл бұрын
God is great
@janewambua94692 жыл бұрын
Mtoto yunis niombee neema ya uponyaji na mafanikio kwa msaada wa mama yetu Bikira Maria( Jane kutoka Kenya)
@nameno86082 жыл бұрын
Ameen
@mihigokabengano824511 ай бұрын
Mariamu siyo mama tafadhali, ni dada yetu katika Imani
@BMGOnlineTV11 ай бұрын
Barikiwa
@phibijuilus77482 жыл бұрын
hongera jathurwa yasaye oriti
@franciscagloriabowora40742 жыл бұрын
Translate - English. This is a blessing
@BMGOnlineTV2 жыл бұрын
Kwa nini
@agnesakeyo33372 жыл бұрын
Amen,mungu aendelea kumbariku Eunice.na iko kijiji gani na direction 🙏
@BMGOnlineTV2 жыл бұрын
Bukama wilayani Rorya
@josephinevicent10102 жыл бұрын
Mungu nipe kibari pia nikumbushe.mungu sema nami ktk ili
@BMGOnlineTV2 жыл бұрын
Amen
@aderna20932 жыл бұрын
Sawa
@claramboya20182 жыл бұрын
Ni kweliii kbx,uwa Bikira María anapenda sn,hizi nyumba kwa hk,zinaitws gruta
@ruthndunge82852 жыл бұрын
Mungu na amullinde kutokana na maadui.
@ambroseonesmo37822 жыл бұрын
Mwenyezi mungu endelea kumbariki sister yunis
@mhoyaamos19022 жыл бұрын
🎉🎉
@mhoyaamos19022 жыл бұрын
🎉🎉
@mhoyaamos19022 жыл бұрын
🎉🎉
@muenimbuvirutoooooo37862 жыл бұрын
Na mungu amzidishie neema tele
@mawazoandjelani31722 жыл бұрын
Asante mungu na sisi tuna matatizo mengi yesu Tujalie na sisi baba
@Laban-J-Mkanda2 жыл бұрын
Mtoto amepotea, hakuna Mungu alietuumba anaemtumia hapo. Hayo nimapepo wafu wapo kabulini. Nikita Maria hayupo hai yupo kabulini, kwahiyo wazazi wamsaidie tu KWA namna yoyote ile, hakuna Mungu alietuumba anaetaka ajengengewe nyumba Wala kutokea mtu KWA njia ya moto someni maandiko matakatifu shetani atajigeuza kama Malaika wa Nuru na hapo ndicho kinacho endelea. Muwe makini kuna roho chafu inatembea Sana Tanzania na NCHI zingine ikiwatokea watu kua ni Yesu HUKU akiwa ni shetani kabisa. Maandiko hayasema Yesu akija ataonekana na ulimwengu mzima. Huyo mtoto hizo ni roho chafuna ni shetani anaetaka kujenga Jonzi yake kwenye makanisa tena yupo kila kabisa msipokua makini mtamuabudu bila kujua someni maandiko matakatifu mpatr maarifa Sana Sana.
@BMGOnlineTV2 жыл бұрын
Sawa, karibu umsaidie
@Laban-J-Mkanda2 жыл бұрын
BMG TV, naomba Kama umemaanisha kweli Basi, tutaftane Mimi na wewe. Mimi siyo nabii Wala mtume, ila no mshika Neno la Mungu ninae abudu siku ya Ijumaa Mosi, MUADVENTISTA MSABATO, hakuna pesa yoyote ile maana dunia imechanganyikiwa Sana Sasa hivi. No zangu Kama unazihitaji nitakupatia au unipe za kwako.
@BMGOnlineTV2 жыл бұрын
@@Laban-J-Mkanda sawa
@pasilisajerono74092 жыл бұрын
OGod strengthen faith of ft Unice to countiue in is mission.
@imakulatashayo2 жыл бұрын
Namba zake za simu mungu mwema sana
@BMGOnlineTV2 жыл бұрын
Wanaohitaji mawasiliano ya mtoto Yunis kzbin.info/www/bejne/p56moJuCgd2fhaM namba iko kwenye hii video.
@justinashayo37432 жыл бұрын
Daaah!! Ninachoona shida n8 kama watu wanamwabudu mtoto yunisi. Na wazazi muelewe kanisa katoliki hatumwabudu Mama Bikira Maria ila tunamwamini na kumheshimu kwa kuwa ni mama wa Mkbmbozi wetu Yesu Kristu. Mama wa Mungu mtu na siyo mama wa yunisi jamani
@rechomethod82882 жыл бұрын
Umeongea point 🙏👏👏👏
@linahsemindu42612 жыл бұрын
Mm hapana kabisa siamin Hy kitu jmn Mungu anisamehe jmn khaaa
@fatimakatana34272 жыл бұрын
Dadayunismuombeemtotowangu,akilalaanaonavitu
@rosenjoroge68422 жыл бұрын
Lakini ujue Yesu alikua kabla Dunia kuanza Maria alitumika tuu kwa njia ya Yesu Kuja Duniani kwasababu angekuja kwa njia ingine watu hawangeamini wangesema ni jini
@kissakayuni7672 жыл бұрын
Mungu akutunze Sister Yunis maana huyo ndo Mungu
@frolachristiani68302 жыл бұрын
Tumsifu yesu kiristu mtto yunisi ? Uliye tokewa na mma bikira Maria ..naomba uniombe nipone tatizo linaro kunisumbua ? Mimba zangu ziache kuwa zinatoka Amina
@judywakhungu38782 жыл бұрын
Mungu ambariki mtoto huyu kupitia kwake Watu wamjue mama Bikira Maria mama wa mkombozi
@noonelike63822 жыл бұрын
Jamani nime miss huo uji wa Rorya🔥😃
@BMGOnlineTV2 жыл бұрын
Karibu
@jacklinemunyao55092 жыл бұрын
Naitaji uponyaji
@piterlaiza55762 жыл бұрын
Acha kuwapoteza watu na kumpoteza mtoto. Tafuteni mchungaji mcha Mungu, amkemee pepo ndani ya huyo mtoto nae amweche huyo mtoto salama
@reginabeno19042 жыл бұрын
Yn huyu mtoto hamna kitu hawa wazazi walikaa wakayajenga wawe wanatoa shuhuda za uongo kama ni kweri siumpeleke mahospitalin akaponye wagonjwa huko yn mtaliwa Sana pesa wenzenu wanatajirika jaman maisha haya ukitaka kutoboa cheza na akili za watu fasta unakua tajiri niuongo wazi wazi
@zuhuramuhanga54002 жыл бұрын
Nakwambieni huyo na zumaridi hakuna utofauti shetani Lusfa yupo kazini
@winfridagama58322 жыл бұрын
Mchungaji nae Ni Mungu au MTU?Mungu Hana uoendeleo yoyote anamuokoa.kuazia Sasa hata milele vizazi vyote nitakuita mbarikiwa.
@Patience.672 жыл бұрын
Ukweli
@mkululimenze60442 жыл бұрын
She is very good and blessed
@elisabettambega7812 жыл бұрын
Mbarikiwe sana mtafanikiwa Mungu anawapenda yote yawezekana kwa Mungu
@beatricenjau91242 жыл бұрын
Mungu awafungue macho YENU mjue mnamuabudu shetani mwenyewe hakuna uponyaji kwa bikira maria wala maombi yeyote yanayo kwenda kwa yesu kupitia bikira maria maana kristo Bwana wetu hakuubiri injil hiyo someni 2yohana 1-9-10,wagalatia1-6-9,isaya 53-12,1yohana2-1,marko7-6-9,warumi8-26 ukisoma maandiko matakatifu yako wazi kabisa hata kama ni uponyaji mnawekewa laana na ibilisi mwenyewe wala hamuoni. Uponyaji wa kweli upo ndani ya YESU KUPITIA JINA NA DAMU YAKE YA THAMANI huyo anaye kuja kumtembelea huyo mtoto ni PEPO wala Mungu hayupo hapo waefeso 2-13,1Timotheo 2-5,WAEBRANIA 12-24,WAEBRANIA,13-12,1 YOHANA 1-7 NA KWAKUPIGWA KWAKE SISI TUMEPONA ISAYA 53 SOMENI NENO LA MUNGU NDILO LISEMALO KWELI ACHENI NJIA ZISIZO MPENDEZA MUNGU
@nameno86082 жыл бұрын
Siku hizi wanawake tunasonga mbele Mungu zamaridi na leo mtoto Junis keshg ni mimi
@NancyMwaibula76342 жыл бұрын
Hawajui kama shetani anaweza kutumia hata mtoto tu hiz ni siku za mwisho, hahah kweli nachukia Sana Mungu asipoadiwa aaah japo I'm not perfect
@MarthaMwenda-lx7ui9 ай бұрын
Kila mtu achaguwa njia imfaayo wewe kama unaamini hivo usihukumu wengine mungu ana njia nyingi kuokoa roho za watu usipotoshe wala kutoka kauli mbaya
@VictoriaChuma-ot5ry7 ай бұрын
Acha ujinga wewe unaongea nini
@phanice93242 жыл бұрын
Tunapaje namba ya simu tuko kenya eldoret
@BMGOnlineTV2 жыл бұрын
Wanaohitaji mawasiliano ya mtoto Yunis kzbin.info/www/bejne/p56moJuCgd2fhaM namba iko kwenye hii video.
@elizawairimu82292 жыл бұрын
Motor mungu akubariki uniombee umadkiini uniondokee nitashukuru
@gerhardaiita10612 жыл бұрын
Thanks to be God to respect the children may God bless them
@silviaattal8897 Жыл бұрын
Mama Maria ampee nguvu Zaidi za kufanya mapenzi ya Mungu
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Amen
@mutindabonnie42532 жыл бұрын
Which part is she found?in Tanzania.
@BMGOnlineTV2 жыл бұрын
Bukama Rorya
@michaellakpa65642 жыл бұрын
Glory be to God. Is there an English translation for non-speaking Tanzania language?
@BMGOnlineTV2 жыл бұрын
That's a little kid called Yunis, she's three years old. The Virgin Mary appeared to her in a dream and gave her the ability to bless the water that heals people. He is located in Bukama Village, Rorya District in Mara Region, Tanzania.
@aseymour52312 жыл бұрын
pray for me
@bonifasemmanuel47002 жыл бұрын
Hapo sio kWa Mungu,mbona mnaangamia kWa kukosa maalifa
@Phirissarange6757-r2b2 жыл бұрын
Mtoto wa maajabu God bless you how can I get the number plz 🙏
@sylvestrengwelu20122 жыл бұрын
Amina
@marialustina44292 жыл бұрын
Tafadhali wacheni kupotosha watu. Yesu alisema "njoo kwangu". Wala hakusema:" pitieni kwa mtu fulani.
@BMGOnlineTV2 жыл бұрын
Sisi?
@alialamoudi97292 жыл бұрын
Uongo mtupu haifai kuamini uko vizuri sana mwenye busara NA akili hawamini hayo
@VennyTz2 жыл бұрын
Nyie hamna kazi t Yani mambo ya upuuuzi ndyio mnasaport acheni ujinga
@BMGOnlineTV2 жыл бұрын
Kazi njema wewe mwenye kazi. Subiri yakukute
@janeinzera68372 жыл бұрын
God is great his powers unlimited to all
@patrickmunishi22772 жыл бұрын
JAMANI JAMANI MNAPOTEA KWA MASHETANI, MAANDIKO YAKO WAZI, AKUNA JINA JINGINE CHINI YA MBINGU LITUPASALO KUOKOLEWA KWALO. YESU ANATOSHA, MWAMINI YESU MUOKOLEWE
@BMGOnlineTV2 жыл бұрын
Amen
@janeinzera68372 жыл бұрын
God uses everyone willing
@christinenekesa32632 жыл бұрын
Mungu wetu apewe sifa.
@theopisterjovent34832 жыл бұрын
Mungu akubariki sister Yunis naomba uniombee na watoto wangu haya magonjwa yasitutese tena Amina